UCHAGUZI WALIMU WAWAINGIZA KWENYE MGOGORO, BAADHI WARUDI CWT WAKISEMA NI BORA KULIKO CHAKUHAWATA

  Рет қаралды 79

Balagumu Media

Balagumu Media

25 күн бұрын

Habel Chidawali-Dodoma
Waliokuwa wagombea wa nafasi ya Katibu Mkuu (Tumaini Nyagawa) na Naibu Katibu Mkuu (Nyavidunda David Mhule) wameeleza kinachodaiwa kukiukwa kwa Katiba ya Chama na kufanya baadhi ya watu kupita kwenye uchaguzi huo ikiwemo masuala ya rushwa za fedha na maneno.
Walimu hao tayari wameshakata rufaa kwa msajili wakipinga matokeo hayo lakini wakasema ikiwa hawatapata nafasi ya kusikilizwa watakenda kuidai haki yao mahakamani.
Kwa upande wake Hilary Mwingine amesema Pamoja na kitakachofanyika, lakini hana Imani tena na CHAKUHUWATA badala yake anaona bora kurudi CWT walikokuwa wamehama kwani kumekuwa na unafuu mkubwa ukilinganisha na chama hicho kipya.

Пікірлер: 5
@Gracemagoma-mi9ub
@Gracemagoma-mi9ub Күн бұрын
wooooote nyie mnatafuta vyeo mkikosa mnaanza migogoro
@Gracemagoma-mi9ub
@Gracemagoma-mi9ub Күн бұрын
hiyo wanatia haibu ndivyo mlivyo
@michaelmanyasi9186
@michaelmanyasi9186 21 күн бұрын
Hahaha mwingira nani akuruhusu urudi huku kaaa huko😅😅😅
@deograsiasngailo4871
@deograsiasngailo4871 21 күн бұрын
Tumeshajua kua mmetumwa na CWT kuja kuharibu
@deograsiasngailo4871
@deograsiasngailo4871 21 күн бұрын
Kama mnakuja CHAKUHAWATA kwaajili ya uongozi bakini hukohuko C.W.T kwani kuna mtu aliwalazimisha kuhamia CHAKUHAWATA? Tanga mnatia aibu kubwa sana.
ZITTO KABWE AMVAA MSAJILI -  "Unataka Kuifuta ACT Wazalendo?"
30:58
Global TV Online
Рет қаралды 17 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 63 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 41 МЛН
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3,7 М.
KIJANA  Aliyejitosa Mbele ya 'MAGUFULI'  Akamponza Mkurugenzi!
1:02:33
Global TV Online
Рет қаралды 76 М.