No video

🚨Mapya Mazito kuhusu Kibu Denis,Simba watoa tamko zito,Jemedarsaid aweka waziukwel

  Рет қаралды 20,266

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

#football #alikamwe #youtube #yangafc #yangasc #yangatv #ahmedally #simba #simbatanzania #simbaislive

Пікірлер: 37
@RashidRajab-oz5ec
@RashidRajab-oz5ec Ай бұрын
Ubaya ubwela kama kibu anazingua fifa ipo hata hilo sio tatizo bado dirisha lipo wazi Acha mutale afanye kazi
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh Ай бұрын
Tunawaomba viongozi wetu wa Simba waelekeze Nguvu Kwa Elia Mpanzu mkishindwa nawajua yanga wataitumia hiyo nafasi hapo Baadae Ili kuwachonganisha viongoz wa Simba na wanachama wao ndio wanavyofanya siku zote
@silasjacob-j2l
@silasjacob-j2l Ай бұрын
warundi ndio zao
@thepresidenttobe5481
@thepresidenttobe5481 Ай бұрын
Haya maswali ni ya hovyo sana hata kama Kibu ana makosa. Masuala ya uraia wake yanakujaje kwenye hili sakata? Kibu ni Mtanzania kama nyie kwa kuwa alishapewa uraia. Leo mnakuja na upuuzi wa kudhalilisha watu? Kuweni professional. Mimi sikubaliani na ujinga wa Kibu lakini sikubaliani na nyie zaidi kuingiza mambo yasiyohusiana
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl Ай бұрын
Asante. Sana. Hiyo. Ya. Kibu. D. Mmemupa. Hata. Uraia. Wa. Bongo. Tena. Mlimupigania. Sana. Apate. Uraia. Leo. Huyo. Anawazeveza. Nyie. Nguruwe. Fc. Mmeishiwa. Munamugombea. Mwenye. Goli. Moja. Msimu. Mzima
@williamwihala548
@williamwihala548 Ай бұрын
Tuachane na Kibu, anatucheleweshea muda wa mipango ya maendeleo ya Simba. Kibu Hana lolote atoke tu Ila arudishe pesa zetu.
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh Ай бұрын
Kibu anaogopa Mashine zilizoingia Simba anajua hatapata namba Kwa ule mpira wake wa miguvu
@prince783
@prince783 Ай бұрын
Wacongoo on firee
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 Ай бұрын
Kibu labda awe amekimbia kufanya kazi za kawaida lkn hawezi kucheza mpka Simba wamruhusu mpira unasimamiwa na sheria za fifa
@JansenSiti
@JansenSiti Ай бұрын
Achukuliwe hatua
@shemuulenje7588
@shemuulenje7588 Ай бұрын
Kibu hata akirudi hatakiwi kucheza Simba tayari ameshaonyesha dalili ya usaliti atatuchoma huyu kila mechi mpaka tujute
@mariammbwana9018
@mariammbwana9018 Ай бұрын
Timu inasumbuliwa na mchezaji ambae msimu mzima kafunga goli moja hivi kibu anapewa m400 kwa kipi kweli nimeamini wajinga ndio waliwao
@prince783
@prince783 Ай бұрын
Huyo ni mcongo huo utanzania si wa maandishi tu lkn uyo ni mkongo na wacongo tunawajua tabia zao ndo izo
@JosephEmmanuel-eb7gj
@JosephEmmanuel-eb7gj Ай бұрын
@@prince783 ila kakulia bongo😅 hata Kikongo hakijui
@mohamedsalum3112
@mohamedsalum3112 Ай бұрын
Katika mchezaji AMBAE SIJAWAHI KUMKUBALI BASI NI KIBU.....ILA WATU WALIMPENDA KISA NI MPAMBANAJI , BUT KWANGU ALIKUWA NGUVU NYINGI LAKINI AKILI YA MPIRA HANA....MUWACHENII PLEAAASE MCHEZAJI MWENYEWE ANA GOLI MOJA MWAKA MZIMA NI WA NINIII ???? SIMBA PLEASE
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Ай бұрын
Mimi bado nina jemedali asijifanye yeye ndiye mjuaji wa kila kitu Sasa TFF wamekili kulipwa na Haji manara na pia kifungo kimeisha Jemedali wacha chuki kwa Haji manara
@DStarTz-if2ko
@DStarTz-if2ko Ай бұрын
Kwann alikubali kusain?
@KagamePaulo
@KagamePaulo Ай бұрын
Kagame Paulo
@maimunaathumani9121
@maimunaathumani9121 Ай бұрын
Aludishe pesa
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
Kazichueni mlipo ziweka 😂😂😂
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 Ай бұрын
Milioni 400 Cash daah!!
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Ай бұрын
Itamcoast
@DM_15
@DM_15 Ай бұрын
Wakongo mani sikuzote niwahuni wasaliti . Hawana uaminifu ndio hao huwa wanauza mechi shubamiti zao
@fedricjuma6115
@fedricjuma6115 Ай бұрын
Ivo ww mwandish ayo ndio maswal gan ayo maswal kama hujapita shule
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Ай бұрын
Waongo hakuna mianne
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
VIONGOZI WA SIMBA WAKAMATENI HAO WASIMAMIZI WA KIBU D. AJE ALIPE HILO DENI LA SIMBA. SASA NA NYIE VIONGOZI KWANN MNAMBEMBELEZA? ACHANA NAYE HUYO
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk Ай бұрын
Nyie watangazaji mna umri gani? Simba wamelalamikia Kibu kusafiri? Yaani uhamiaji wamzuie mtu huru kusafiri? Kuna kiwango cha pesa ambacho mtu haruhusiwi kutoka nacho au kuingia nacho bila kutoa taarifa. Kibu nina uhakika hakubeba millioni 400 kusafiri nazo.
@user-ny7mi1ui4w
@user-ny7mi1ui4w Ай бұрын
Hiyo maana ya ubaya ufyuuuuuuuuu,kenge nyie
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
KM UMEPATA TIMU NYINGINE WAAMBIE VIONGOZI WA SIMBA.ILI MMALIZANE.
@user-ny7mi1ui4w
@user-ny7mi1ui4w Ай бұрын
Mpaka mseme
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
KIBU D UMEPEWA NA URAIA WA TANZANIA ACHA UJINGA .
@DanielNdabi
@DanielNdabi Ай бұрын
Simpendi AONDOKE tu arudishe pesa yetu
@andekisyenasibu312
@andekisyenasibu312 Ай бұрын
Unahoji maswali ya kijinga, kuna uhusiano gan kati ya uhamiaj na maswala ya mpira?
@MuslihiHassan-bi2nj
@MuslihiHassan-bi2nj Ай бұрын
Kibu ni mvuta bangi
@edwardmbonika5102
@edwardmbonika5102 Ай бұрын
Arudishe kibunda aondoke kabisa
@bashiriOmmy-bl5bi
@bashiriOmmy-bl5bi Ай бұрын
...msilibembeleze limbwa Hilo acha liende tu
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
HUO NI UJINGA C ANGESEMA TUU SASA AKIFUNGIWA C ATAKUWA AMEIUA FAMILIA YAKE? KIBU D ACHA UJINGA UTASABABISHA FAMILIA YAKO KUWA MATATANI. HUKO ULIKO KM UNASOMA HZ KOMENTI BASI URUDI ILI UMALIZIE MAONGEZI NA SIMBA.
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 13 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 7 МЛН
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 59 М.
GB 64 AMLIPUA HAJI MANARA KISA AHMED ALLY, ANAZUNGUKA TU ZAIY LISSA
12:06
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 52 М.
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 13 МЛН