Hawa ndio viongozi wa utopolo akili zao zilivyo. Ndio Mzee Magoma alisema hao ni MFU
@PascalSimon-i3d6 сағат бұрын
😂😂😂😂 nimecheka sana ivi yanga wanaumwa nini?
@cathbetsolomon31516 сағат бұрын
Huyu jamaa hajielewi asa unasema kabsa simba wanaenda coz hawaamini timu yao, asa anataka yanga wajaze ili nao waonekane hawana imani na timu yao?? Vipi huyu
@JustinMkumbwa5 сағат бұрын
Akili ndogo hajielewi
@hassanabdala73836 сағат бұрын
Hyuu chibonge kumbe akili hana
@charleskuyeko16604 сағат бұрын
Yanga Bwana! Wamefukuza kocha aliyefungwa mechi 2 na kusajili kocha aliyefungwa mechi 4 mfulurizo na kudroo 2 katka michezo 6. Haya ni mauzauza. Wamekuwa mkono aamekanyaga mavi. Huyo kocha mpya sidhani kama tutakula naye Chrismas ya mwaka huu. Katika mechi za clabu bingwa naona yanga ikiwa ya mwisho kwenye kundi lake. Hana wa kumfunga. Sasa huyo kocha atabakia yanga kweli. Tusubiri tuone.
@masuditosha31145 сағат бұрын
Huyo jamaa hana uweledi wwte wa mpira eti mashabiki wa simba hawana imani na wanajaza uwanja...kweli tabora alikuumiza
@OmaryKiduka5 сағат бұрын
Huyu alikua mwenyekiti
@kulwastima39935 сағат бұрын
Hv kjaza uwanja ni timu kcheza au
@VentureMbilimaСағат бұрын
Mtu mzima na akili zake anaongea upumbav kama hujitambui yan!!??...thus why tim y yanga ina wapumbav yani mapimbi wa fikra asilimia 99.9 ya mia ukimkta anaejielewa yang ni bahat...timu yenye siasa mpira uwanjani (kwenye pitch)asilimia 30 matokeo nje ya uwanja asilimia 70...na wala hayaelew...
@leonardlubala39357 минут бұрын
Tatizo, hawa jamaa hawa jui tatizo kubwa la mahudhurio wa watu viwanjani ni kipato cha Watanzania wengi ni kidogo ama hakuna. Hivi ajira zipo watu ili watu wawe na kipato? Hata biashara nchini TZ kweli zipo vizuri? Wacheni ujinga wenu, wapenzi wengi wa mipira ni vijana na wengi wao ni tegemezi sasa mtu tegemezi awe na pesa za kulipia viingilio vya mipirani? Wacheni uvivu wa kufukiri
@bulanyakidenya91656 сағат бұрын
Tatizo Mnaongea Negative Nyingi Saana Kuhusu Mpira Wa Tz Kuliko Kuuchambua Mpira. Wachambuzi Now Days Mnaongea Propaganda Saana
@AmosiPeter-z3g34 минут бұрын
Mwakale bela ndio maana hukuenderea na uongoz hunahekima unaongea. Ujinga