Hebu mtangazaji ongea vizuri hizo mbwembwe unazidisha unaharibu sana
@hassanlikwenangu84717 сағат бұрын
Ni kama anamuiga Salim Kikeke vile,mbwembwe zinakera sana
@rashidnizam74335 сағат бұрын
@@hassanlikwenangu8471siyo kikeke mzee masako😂
@SabinagodfreyGregory2 сағат бұрын
😂😂
@tumainiellyimo46579 минут бұрын
Mwandishi nakukubali sana unavyombana huyu jamaa maana anajichanganya balaa na wayz wataelewa hata kwann Zotto na Kitala walitoka walipotoka😂😂😂😂😂
@williamsenkoro22103 сағат бұрын
Toa mfano ea Samia na Yesu Kristo . Wewe utalaaniwa aiseee😊😊
@EwaldKweka18 сағат бұрын
Ulikuaje kipofu wakati wewe ni mtumishi wa Munguu? Kumbe wewe aukua mchungaji kwelii!😂
@barakaekuro6 сағат бұрын
Host ni mtu makini sana, nimependa maswali yako brother.
@GasperKapungu14 сағат бұрын
Uyo ni CCM lazima amtetee LISU kwasabu hao walikuwa na agenda ya kuihujumu CHADEMA
@dennissamora72913 сағат бұрын
Hujitambui ww! Sasa kwa taarifa yako mbowe ndio ccm
@simonsadala238614 сағат бұрын
Hapo una promote hotel ya Sugu 😂😂😂😂😂😂 Desderia wewe Msigwa na jamaa yako Tundu Lissu mlishtukiwa mapema kuwa ni wasaliti mnatoa siri za chama upande wa pili
@GasperKapungu14 сағат бұрын
Mlioondoka wote mmeenda CCM hamuoni kwamba njaa zinawasumbua?kwann wengine wasiende CUF,NCCR,TLP?mnashida na kula na vyeo na ndomana mmeshindwa kuvumilia njaa
@michaelngalo180817 сағат бұрын
Kweli huyu kavurugwa na anaendelea kuvurugwa sana na Chadema! Chuki, husda; wivu,umaskini
@WamoyothenumberoneСағат бұрын
Ukweli mtupu msigwa unaongea wenye hakili tunajua ila chawa ndo wanamkumbatia
@alexanderalson68016 сағат бұрын
Huyo sio njaa huyo kanunuliwa kama walivyonunuliwa watumwa huko kunakufaa maana kumejaa damu muda wako kunyonya hatuna muda na pyuku pyaka teenada unnouno
@Kwelihukuwekahuru23 сағат бұрын
Mchungaji kweli wewe mwenye visasi chuki majungu uhasama inda dharau wivu ndivyo Yesu alivyokufundisha
@WamoyothenumberoneСағат бұрын
Kweli msigwa mbowe ndo anahalibugu hiki chama maana niyeye tu kisa nichama cha babaakee
@mayrfrimi475922 сағат бұрын
Jamani wadau wenzangu, huyu baba, kwani kuna ulazima gani kuhama chama na kurudi kuwasengenya mbele ya kamera, ukweli ni kwamba huyo jamaa hata jina mchungaji hapaswi kuitwa. Ajifunze kufanya siasa za kistaarabu, aache majungu, hatakama anafukuzia kuwa mtu maarufu.
@sendisteve79819 сағат бұрын
Duuhhh.Mchungaji akili yake ngumu kuielewa😂
@barnabasmafuru673514 сағат бұрын
Siasa ÷ uzarendo + maslahi binafsi x uongo = umalaya wa kisisaa.
@SamsonSoli-h2n14 сағат бұрын
Kaka ww ni mkwel sana Kwan Mbowe ni mtu mbaya na ni mwizi tu mshenz huyu .mtowen kabisa
@sendisteve79819 сағат бұрын
Yote hiyo ni uchaguzi wa kanda ya kanda ya Nyasa?Ndiyo ukazaa nuru ya Sauli kuwa Paulo😂😅😅😂
@mandelasamson84015 сағат бұрын
Mie ni Chadema in blood,,nilikupinga sana Msigwa mwanzo lkn kwa sasa nakuelewa,,kuna mambo si mazuri ndani ya Chadema na kama usemavyo,, waliobaki ni Lissu na Heche,nimemsikiliza Wenje juzi,inaelekea kalamba asali
@Nyaboke-12316 сағат бұрын
Mbona huongelei bandari zote zilizouzwa. Mchungaji hovyo kabisa
@JaziraMustafa-g9p14 сағат бұрын
BANDARI IPI IMEUZWA
@JosephKithama-q2q2 сағат бұрын
Uchumi upi,wakati Hali ya wananchi inakuwa ngumu zaidi
@WamoyothenumberoneСағат бұрын
Kwahiyo wakat samia hayuko madarakan inamaan inch alikuwa anaiongoza mbowe,kumber
@ReginaJoseph-cm3cx6 сағат бұрын
Kwamba ulikuwa kipofu ni kweli lakini unaporudi nyuma na kumsifia Mama na kufikiri kwamba yeye ni bora kuliko JPM inaonyesha kwamba wewe bado ni kipofu isipokuwa labda kama ume lamba asali na kwahivyo unajiondoa ufahamu
@MalkiadiNaano22 сағат бұрын
Upo sahihi ,mtangazaji upo bais inaonekana unataka kumbana ktk kona,lakini uwezo wako wa kufikiri unaonekana kuwa ni mdogo sana jirekebishe usij ukashusha hadhi yako
@MaguguStore20 сағат бұрын
Kabisa
@kariankeirelionka18317 сағат бұрын
Hana hoja na yeye mchungaji,,,, yeye hoja yake ni mbowe tu
@HellenLemilya14 сағат бұрын
Mchungajii bado ni chadema, hahahaha
@michaelngalo180817 сағат бұрын
Aeleze je: alisubiri uamuzi wa rufaa na nini status ya rufaa yake?
@rwezimulastephen371322 сағат бұрын
Mchungaji ! Mbwamwitu tu.
@michaelngalo180817 сағат бұрын
Muongo mkubwa! Ulifuata rushwa ya upande wa pili
@williamsenkoro22103 сағат бұрын
Kwani kosa chama kumtafuta kampini nje kutengeneza software ku control vitu . Huyu jamaa ana njaaa anatafuta teuziiii.....
@michaelngalo180817 сағат бұрын
Hivi Msigwa tapeli unadhani watu hawajui madhambi na machafu yako
@MushiroseAlberth23 сағат бұрын
Acha kuhangaika mbowe type nyingine kabisa hatukuelewe we co mpinzani
@DandasiKundi3 сағат бұрын
Hizi taarifa za mbowe ungezitoa ukiwa kwenye chama hizi za Sasa hivi ni...
@RobinsonKadogo4 сағат бұрын
Iyo ninuru ya shetani siyo Nuru ya mungu
@gamakykyara429520 сағат бұрын
Msingwa, wewe ni mchungaji. Unasema "Mt. Paulo alibeba upanga ili kuchinja watu". Hii ni kufuru na uongo mkubwa. Mt. Paulo alikamata watu na kuwafunga, hakuna mahali popote imeandikwa aliua watu hata kwa upanga! Usichanganye propaganda za siasa na dini.
@Kwelihukuwekahuru6 сағат бұрын
Hilo la pdidy kama alilisema basi Msigwa atakuwa hopeless to the maximum naona shida kumsikiliza nasomaga heading tu mtu aliyekuwa amejitanabaisha mtetezi wa wananchi siku hizi kwenye majukwaa hazungumzii tena wananchi bali propaganda tu
@CretusMwalongo4 сағат бұрын
Hii yote imesababishwa na kurunzinza mbowe boya kweli
Kuna tofauti kubwa kati ya kauli ya mchungaji wa enzi zile na maneno ya mchongwaji wa nyakati hizi. Kweli binadamu ana sura nyingi usije ukamkariri!
@JaziraMustafa-g9p14 сағат бұрын
MBOWE NI MKWELI
@richardnganya231112 сағат бұрын
Msigwa ni kigeugeu hata uchungaji wake unaingiwa dosari ! Pilipili zipo shamba zakywashiani ? Umeondoka CHADEMA na bado unaiwaza hadi leo? Kwa hiyo kama ni kanisa likikosea unahamua kwingine !? Achana na uchokonozi usiokusahidia. Leo umevaa CCM unaita CHADEMA chama chetu...!?
@RobinsonKadogo5 сағат бұрын
Msidanganye uma Eti tunaimani nambowe, tunaitaji lisu ashike stelingi
@petsmore995523 сағат бұрын
Msigwa hana lolote zaidi ya kuwa lichawa ! Ana ubavu gani wa kumchana kamanda. Ana imaarufu gani zaidi ya kuwa msaka tonge? Hata wewe mtoa posti ni hovyo sawa na yeye !
@Wamoyothenumberone2 сағат бұрын
Sasa kama chadema nao kunauvisadi na rushwa sasa wanalaumuje ss ccm wakitumia nguvu kuchukua uongozi
@MushiroseAlberth23 сағат бұрын
Hiv mkikosa uongozi mnaanza kusema wenzenu hamjui kakitoa wapi chama ni pesa tu mnataka we sio,mpinzani ila mnaingia kuharibu waacheni chadema na watu wanaoipenda
Peter wewe kutwa kucha mitandaoni why!! achana na enferiolcomplex and don't proved your guilty all the time shameful
@JaziraMustafa-g9p14 сағат бұрын
Tunaimani na Mbowe sana sana
@MohamediAbasi-e5t17 сағат бұрын
Wacha kutudanganya msigwa
@EwaldKweka18 сағат бұрын
Sema una njaa, na nilichogundua kwako ulifuata maslahi ila ulichokifuata aukukipata sasa umeonjeshwa asali,wee kula asali acha kumuaibisha Mungu kwa kujiita mchungaji,
@GeoffreyShali15 сағат бұрын
Napoteza bando langu bule
@PrinceHendry-hp8vv13 сағат бұрын
Msigwa nisamehe nilikutukana ulipokuja ccm ila kwasasa nishajua mbowe ni nani endelea kumuunga mama mkono ccm hoyeeee
@yakoubkimeza262922 сағат бұрын
Mwandishi wa habari moja kwa moja maswali yako ni wazi wewe ni chadema uliyetumws na chadema..
@MaguguStore20 сағат бұрын
Katumwa na wahuni na maswali yake hayana adabu kabisa
@georgeigogo92593 сағат бұрын
Mchungaji yupo sahihi
@tumainiellyimo465731 минут бұрын
Huyu hakutakiwa hata kuja CCM
@TanzaniaYe216 сағат бұрын
Hutu he he hanaakili ha yo Ana yo ya fan ya samiia ni misingi yamakufuli huyu nimroho wauongozi asifie ape we uongozi
@JosephKithama-q2q2 сағат бұрын
Uliza kwa Nini Mbowe hakumtaka?
@ErickyKatunzi23 сағат бұрын
Mbowe ni ccm B. Ila nimemwelewa msigwa, msigwa amejilazimisha kwenda ccm ili aseme Yale yaliojificha kwa mbowe. Mbowe ni dicteta na atakiua chama. Anafanya chama kama ni chake na Cha ukoo flani.
Huyu siyo kada wa thithem. Kumbe hajui hata kama Chama chake kinamtaka Mbowe zaidi kuliko Lissu.
@officialkinghimself263721 сағат бұрын
Shoga Mmoja wlasiwasumbue akili maana zishawekwa nyuma zinamuwasha
@mayrfrimi475922 сағат бұрын
Mwandishi napenda sana maswali yako, yamekaa vizur yamenyooka, Inasikitisha sana mtu mzima tena mchungaji anahama chama na baada ya kupokelewa anawaponda aliowaacha. Kuweni makini hata nyie mliompokea, endapo akihama ataenda pia kuwasema vibaya nyie aliowaacha, watu wa aina hii ni hatari kwa nchi. Fanyeni siasa za kistaarabu, na majungu wekeni pembeni, hao ccm wakae nae kwa makini sana, vigeu geu hawa.
@godfreymikmta50086 сағат бұрын
Mpuuzi tu huyu
@AgustaZaile6 сағат бұрын
Mbowe ni mwizi
@evarestthomasmboya92264 сағат бұрын
Huyu ni Mbwa koko tuu
@Wamoyothenumberone2 сағат бұрын
😅😅
@Akimu-e6g15 сағат бұрын
Msigwaaa mimi ninakuelewaa ila mwanzo niliona ulikurupuka kutoka chadema ila ulikuwa sahihi .Shida ni kwanini uhamie ccm na si chama kingine ili kuendeleza harakati za kupinga uchafu wa ccm
@EngelbertMakoye17 сағат бұрын
Msigwa kinachokusumbua hasa ni nini ! Si uneshahamia ccm sasa chadema jnakuhusu nini ? Waache chadema waendelee na mambo yao na wewe endelea na yako huko ccm huyo apuuzwe TU
@EwaldKweka18 сағат бұрын
Wee ni msalitii,kwanini aukumujliza ulivyokua nayee? Acha usalitii
@biteyubwoba492Сағат бұрын
Msigwa ni mchumia tumbo tu hana lolote la maana katika matamko yake
@NeemaPaulo-wf3oz16 сағат бұрын
Wewe odemba nishida,watekaji ni chadema,
@bravebrain64223 сағат бұрын
Mtu akisha hisi kuwa ni star anaanza kutembea na utaratibu wake badala ya utaratibu wa wote ambao ni wa chama... Tafadhali mjipime viongozi ....
@bcozhenry269823 сағат бұрын
Utaratibu wa chama ni MBOWE tu kugombea uenyekiti wa chama wengine wakigombea ni kosa?😂
@bravebrain64222 сағат бұрын
Mbowe aondoke kwakupigiwa kura na watu siyo kulazimisha. Sababu kubwa vyama vya upinzani hivi havifanikiwi ni mambo kama hayo mnataka. Kwakuwa chama ni changa lazima mtu anayetaka kuongoza chama athibitishwe na wanaofahamu chama, kwani uasi ni mwingi sana. Utamfanya mtu kuongoza chama kwa mihemko siku chache mparanganyika. Kuaminiwa siyo kazi nyepesi hivyo lazima uthibitike mwenendo wako kwa muda wa kutosha.
@illomowerner769016 сағат бұрын
@@bcozhenry2698nani kakatazwa kugombea? Eti nkurunziza, aiseee
@dittokalole328623 сағат бұрын
Hahah umeponaaaa mchungajii
@michaelngalo180817 сағат бұрын
Je alpeleka malalamiko Kamati ya Maadili?
@AgustaZaile6 сағат бұрын
Chadema ina ukabila sana
@aabedi54117 сағат бұрын
Kwani Msingwa Nkuruziza ninani?
@AgustaZaile6 сағат бұрын
Mbowe ni tapeli na Dikteta
@NickTajir-q9d5 сағат бұрын
Uchungaji huna unaongopa
@EdruKyanga14 сағат бұрын
Daaaa siasa,.
@HellenLemilya14 сағат бұрын
Odemba maswali ako utamuua mchungajii
@EZRAYOHANA-g1t22 сағат бұрын
Nilikuwa kipofu sasa naona. Hadi Raha
@camilomassao897123 сағат бұрын
Mbona sioni logic, maana katiba si ya CHADEMA ni ya wananchi?
@GeoffreyShali15 сағат бұрын
We,nimsaliti kama wasaliti wengine hufai hata bele mchungaji gani wewe huogopi hata kusema uongo
@noorbazaar906321 сағат бұрын
Mwandishi uchwara ametumwa na fisadi papa!
@MaguguStore20 сағат бұрын
Huyu mwandishi uchwara kweliii
@michaelngalo180817 сағат бұрын
Hivi mchngaji gani muongo na wa hovyo hivyo??
@RobinsonKadogo5 сағат бұрын
Mbowe amechoka akapumuzike
@MiltonByems23 сағат бұрын
Bado anaitwa Mchungaji huyu??
@MohamediAbasi-e5t17 сағат бұрын
Miradi yote nani ariye Saini miradi yote
@georgelazaro394018 сағат бұрын
Huyo mnafiki tuu
@MohamediAbasi-e5t17 сағат бұрын
Mbona ujibu oja unazunguka tu nawewe mchugaji
@harounmaarufu324122 сағат бұрын
Msigwa yuko sahihi
@shabanikitogo6613Күн бұрын
Siasa sio mchezo hawa wanasisa watu hatari sana
@PaulNgwandu.Mŕpaul17 сағат бұрын
Mchungaji ng'ombe njaa tupu
@mkondomkondo472123 сағат бұрын
Huyu mchungaji ni dishi
@boneyme943323 сағат бұрын
GOOD MAN
@DandasiKundi4 сағат бұрын
Kama wewe ni maarifu ungeenda kutoa msaada katika kwenye vyama vidogo ili viweze kusonga mbele lakini njaa hizi wnakimbilia ccm je wewe si kiongozi makini mvumilivu hula mbivu.
@ulimbagakipole397123 сағат бұрын
Msigwa anajibu maswali bila kufikiri.
@pastorstevenmdoe514323 сағат бұрын
Kama mwanachama wa chadema 😂
@alexkondo425516 сағат бұрын
😂😂 huyu hafaii hajui anaongea nn. He need Maombi ya knowledge.
@adamsoud486223 сағат бұрын
Njaa hiyo upumbavu mtupu nenda zako huko wewe na polepole sawa sawa