UDHAMINI WA GSM TIMU SITA, TFF WATOA MSIMAMO WAO!! TAKUKURU WAITWA KUCHUNGUZA

  Рет қаралды 40,168

LIKE MEDIA

LIKE MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 401
@BenardSambilo-h2h
@BenardSambilo-h2h 2 ай бұрын
Wewe ni mpumbavu hauwezi kumiliki watoto watano halafu ukashindwa kukaanao kuhusu kumbeba mmoja wao
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 ай бұрын
Makolo na lambalamba wamedhaminiwa na GSM.
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
​@@jumamustapha8254hawana jibu .. Mo naye akadhamini wengine..
@edwardmassawe5116
@edwardmassawe5116 2 ай бұрын
​@@jumamustapha8254umekurupuka
@RajabuNakapala1
@RajabuNakapala1 2 ай бұрын
Tulinyamaza muda tukifhania watu wa mpira na kanuni wataliona hilo lkn wamekuwa kimya wasidhani hatuna ufahamu hapana nanyi Takukuru kafanyeni Kazi yenu Kwa ufasaha acheni au msingize siasa Kwa vile hiyo timu inapendwa na viongozi wa juu wa nchi hii hapana fanyeni kazi yenu pia kama hakieleweki mchakato wa kuwafikishia wenye mpira wao utaendelea haki na fair play izingatiwe
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 2 ай бұрын
Zetu dua cku zote 🙏🙏🙏💚💛💪💚💛 mtahangaika sna aisee
@Winstonfying
@Winstonfying 2 ай бұрын
Pelekeni Mahakamani hawa TFF kama mzee Magoma tu
@hajiali-cd6sz
@hajiali-cd6sz 2 ай бұрын
Huko duniani watu wenyeakili zao hakuna isipokua tazania wao huko duniani wanatumia kanuni gani
@AbdallahOnga
@AbdallahOnga 2 ай бұрын
Kwa hiyo watu wapange matokea kwa sababu timu hazina uwezo
@DamianoTippe
@DamianoTippe 2 ай бұрын
Hakuna kitu hapo wewe gsm ubaki kumdamini yanga tu
@fredrickmandia1741
@fredrickmandia1741 2 ай бұрын
Ndio walaji wenyewe hao, anatumia mapunguvu ya sheria iliyopo kujipatia ulaji
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga 2 ай бұрын
Sheria kama inaruhusu Simba tuhamie hata Zambia tuwaachie TFF na timu zao.
@mumbamuganda6834
@mumbamuganda6834 2 ай бұрын
Nyie TFF mmeshatuharibia ligi dunia nzima udhamini kama huo uko hapa tz tu,
@dalalfundikila507
@dalalfundikila507 2 ай бұрын
Hawa UTOPOLO tungewachia ligi yao na tff wanatumia mngongo wetu kutuhujum tuamie Zanzibar tu.
@emanuelpetro9591
@emanuelpetro9591 2 ай бұрын
Mjinga wewe mnahujumiwa vipi inqmaqna nyie Makolo mmekandwa mara tatu mfululizo mara ya kwanza 5_1 mara ya pili 2_1 mara ya tatu ni 1_0 kwahiyo na nyie mnadhaminiwa na GSM? Azam juzi Kala 4_1 kabla ya hapo alinyoosha kule Zanzibar na yeye anazaminiwa na GSM? Acheni ujinga sajilini wachezaji wazuri nyie mnasajili ovyo hovyo mfano mwaka huu mmesajiki kwa kigezo cha rasta hapo mnategemea kuwa na timu bora na kupata ubingwa!?
@Stevmwamba2090
@Stevmwamba2090 2 ай бұрын
Kwel jamaa angu uko sahihi simba yetu mbovu mno bora twende zetu zenji huko,, huku bara pagumu sana huyu yanga sio kabisa ana tishaa sanaaaaa😢😢😢 kila kitu anajua
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 2 ай бұрын
Mtangazaji hajitambui kwani kusema YANGA bingwa kuna shida gani
@justinjasson7070
@justinjasson7070 2 ай бұрын
Mbona Azam anasaport timu zaidi ya moja?
@PeterMuhina
@PeterMuhina 2 ай бұрын
Tff mnaharibu ligi mnashilikiana 'na yanga
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 2 ай бұрын
Mwaka huu kitaeleweka kuna sehemu mtego upo😂😂😂
@charleslinhege690
@charleslinhege690 2 ай бұрын
We want fair competition.
@LinusKyando
@LinusKyando 2 ай бұрын
Ni MAREFA KUCHEZESHA KWA HAKI SIO KUONDOKA UDHAMINI
@chidampiri1012
@chidampiri1012 2 ай бұрын
Viongozi wangeungana kwa hili huyu GSM asingeweza kuleta upuuzi, TFF mna tatizo
@jumakapesa2940
@jumakapesa2940 2 ай бұрын
Mwandishi amejizima sikio la ufaham na kafungua sikio la mashitaka dhidi ya GSM
@edwardmassawe5116
@edwardmassawe5116 2 ай бұрын
Umekurupuka
@JosephMhagama-qs4je
@JosephMhagama-qs4je 2 ай бұрын
Waambie ukweli hatutaki hiyo biashara ya kudhamini timu saba mashabiki tunatoa viingilio vikubwa
@FetyzarMselemo
@FetyzarMselemo Ай бұрын
Tff hamna jipya tayar gsm ni yanga dam unategemea kitatokea nn kama anadhamin tim sba Yan hapo hata mtt wa cku Moja anajua nn kinaendelea cku hzi hakuna mjinga wa hvyo
@EmanuelMuna-w2q
@EmanuelMuna-w2q 2 ай бұрын
Sasa wewe mheshimiwa, tutaanzisha sheria mpya ambayo itailinda ligi kuu. Hatuitaki hiyo GSM. Wameishakamatwa na FBI na wizi wa serikali kuu. Sasa wewe Ofisa, nyamaza kabisa.
@JosephMhagama-qs4je
@JosephMhagama-qs4je 2 ай бұрын
@@EmanuelMuna-w2q mahaksma yenyewe ya kwao
@josephatcelestinemuhoza2214
@josephatcelestinemuhoza2214 2 ай бұрын
Simba na sisi tudhamini tu-club twinning, kama kumi hivi!
@JaphetAndondile
@JaphetAndondile 2 ай бұрын
Yanga wangekubali mo azamini timu 6
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 2 ай бұрын
Adhamini maana team zinatafuta wadhamini huko mikoani ili nao waweze kununua wachezaji wa kimataifa
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 2 ай бұрын
Wanao haribu mpira sio Yanga wanaoharibu ni TFF sababu wao ndio wanaobariki haya mambo kama kweli lengo la GSM ni kiinua vitabu mbonahatuoni kujitoa sana kama anavyofanya kwa Yanga
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 2 ай бұрын
Kabla ya Wadhamini kujitokeza kwenye timu Mo alitamba sana Walikuwa wanawarubuni Wachezaji wa Timu fulani kucheza chini ya kiwango sababu za Njaa zao. Wadhamini wapo Wachezaji wanapata chochote cha kujikimu Makolo Msajili Wachezaji wa Maana sio wa kubahatisha ili mshindane na YANGA. Wivu haufahi
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 2 ай бұрын
OMBULA UMESHAKULA MLUNGULA NA GSM
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 2 ай бұрын
simba na azam wamefungwa na wao wanadhaminiwa na GSM
@mkomboziabdallah
@mkomboziabdallah 2 ай бұрын
Uwe na akili wew , unafikiria Kwa kutumia mkundu eeeh
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 2 ай бұрын
Pumbavu sana wewe mliingilia mlango si rasimi kwenu mikundu nyie
@athuman7480
@athuman7480 2 ай бұрын
Unafirwa we
@murshidyabdallah1356
@murshidyabdallah1356 Ай бұрын
wee kuma akili hauna
@DormanDorman-jm3dz
@DormanDorman-jm3dz 2 ай бұрын
HUYU BROTHER HAJIBU ALIVYOULIZWA. GSM HUENDA AKAENDELEA KUDHAMINI VILABU VYENGINE UKIACHA SIMBA AZAM. HAKUJIBU KAPOTEZA.
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 2 ай бұрын
Hapana iko haja mfuatilie tupe mifano ya ligi za mataifa mengine ambayo Yana mdhamini mmoja
@ericbrunokalonndwa8590
@ericbrunokalonndwa8590 2 ай бұрын
Kuna mbumbumbu wanachofikiria wanadhani sheria ni kila unachofikiria
@AbdallahOnga
@AbdallahOnga 2 ай бұрын
Mnataka ushahidi gani kudhamini timu zaidi ya moja ndio ushahidi wenyewe
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 2 ай бұрын
Mahakamani watu wakigundua ndugu yako huruhusiwi kusimamia kesi sasa wanaposema mpaka ukamate shitaka mbona mahakamani hawaruhusu kusimamia ndugu au hata rafiki mazingira tu yanakataza kusimamia kesi yake kama wewe ni hakimu
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 2 ай бұрын
GSM KAARIBU LIGI YA TANZANIA 🇹🇿
@emanuelpetro9591
@emanuelpetro9591 2 ай бұрын
Kwahiyo hata Makolo mnadhaminiwa na GSM?
@anyeresa928
@anyeresa928 2 ай бұрын
Ligi ya tanzania ipo kwenye nafasi ya 5 africa halafu bado unasema gsm karibu kweli wewe akili unayo?
@matokeomwinami3659
@matokeomwinami3659 2 ай бұрын
Kiongozi utopolo kama huyu 😂😂😂😂,,,,!!! Bado kunawatu wanashabikua mpira watanzania!!!!
@mikidadmhando2504
@mikidadmhando2504 2 ай бұрын
Sasa tatizo limeonekana kuwepo viashiria vya rushwa, wekeni Sheria kujenga mpira wetu, mkinyaza nyie ndio wale wale, wewe mwanasheria wa tff of unatutia mashaka, sisi tunakufahisha kuwa ni rushwa na unaweka pingamizi, kuona huoni hats kusikia husikii , mashaka MAKUBWA Kwa viongozi kama hawa taifa litakwama Pasi shaka
@Izzoh2021
@Izzoh2021 2 ай бұрын
Shida mshaona hamna team ya kubato na yanga sasa mnatafuta pakutokea hohohohoho kichapo kipo pale pale mtajua mmesajili au mmeokota,yani huyu pimbi naona katumwa na madunduka naye ni dunduka akili zake hazina akili kama madunduka wenyewe sasa hata mo si adhamin team zaidi ya moja maana naona wanalia na tajiri gsm hohoho
@edwardmassawe5116
@edwardmassawe5116 2 ай бұрын
Weka hoja punga kwa hoja
@JosephMhagama-qs4je
@JosephMhagama-qs4je 2 ай бұрын
Tunaomba gsm ijitoe kudhamini timu saba Yanga bingwa katangaza ukweli timu saba point za bure
@johnrogas7183
@johnrogas7183 2 ай бұрын
Daaaaah mpira wa Tanzania unaelekea wapi
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 2 ай бұрын
Kama mnaona wivu, mwambie Dewji achukue timu zilizo baki kwani shida iko wapi, Gsm anaitaka kuizamini hata simba😅
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 2 ай бұрын
Kuna timu itachukua ubingwa wa Bongo muda wote mpaka mfadhili aseme Basi.Kwa akili ya kawaida hakuna fair competition.Akili ya kawaida tu.
@innoinnovative7730
@innoinnovative7730 2 ай бұрын
Lazma tuhangaike haya ni maajabu ya Dunia Yan mnadhamin timu sita na gsm kajiweka yanga ssa we unafikiria hizo timu sita zitakaza kwa yanga
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Azam naye amedhamini teams zote..tena yeye ana team yake ya Azam
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 2 ай бұрын
Azam amedhamini nini? Unajuwa azam kadhamini nini kwenye ligi? Umeona yanga kavaa nguo yenye logo yyte ya azam? Fala ww hujuw kitu
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
@@muksinimbaruku1233 logo inacheza? Kuna kanuni na sheria zinaongoza soka na ligi yetu..mngekuja na analysis ya faida/hasara ya udhamini wa GSM kwa team za chini. Mo alidhamini simba na singida kwa wakati mmoja,wengine walikuwa kimya. Tulieni kolo,sindano ziwaingie
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 2 ай бұрын
Azam hana mkataba na vilabu azam Ana mkataba na TFF SIO NA VILABU KWASABABU LIGI INAENDESHWA NA TFF
@alifani7509
@alifani7509 2 ай бұрын
Kwani nyie haiwezekani kuweka sheria ya timu kuwa na udhamini wa timu zaidi ya moja kwenye ligi moja? Muda upo. Kwanini msifanye ili kuondoa malalamiko kwenye mpira once timu inaposhindwa kuridhika na matokeo? Tatizo mpira wetu ni ubabaishaji mwingi. Inawezekana ikawa ni sawa kuweka hiyo sheria, but haijawekwa. Ni mwaka wa ngapi huu watu wanalalamika kuhusu hili?
@gilbertmaganga9370
@gilbertmaganga9370 2 ай бұрын
Hapo ni sawa uweke mpambano wa ngumi ndugu mmetafuta kichaka
@NyalaMaige
@NyalaMaige 2 ай бұрын
TFF hawana mwanasheria Tena,kama anashindwa kugundua kitu chepesi hivyo Cha upangaji wa matokeo! Hata wakijuwa atafanyanini wakati wameruhusu?
@patridabernard9148
@patridabernard9148 2 ай бұрын
Kwani kolo naye kadhaminiwa na GSM?Maana tulimchapa nje ndani na ngao jamii tumemgongaa
@SanziNzige
@SanziNzige 2 ай бұрын
Anachokiongea huyo mkulya kinaeza kukutapisha matapishi meusi
@SaidMana-dp4et
@SaidMana-dp4et 2 ай бұрын
Kudhamini timu za ligi kuu zaidi ya tano ni. Rushwa mojawapo ya kimpila
@ChicsSalimu
@ChicsSalimu 2 ай бұрын
Hakuna kitu tff wote mamruki tuu karia mwenyewe anafaidika na gsm hawezi kuitoa maamuzi
@abdullahjuma3926
@abdullahjuma3926 2 ай бұрын
Anababaika Sana na ukimsikiliza anakwepa kujibu sababu anaingiza mifano Zaidi kuliko uhalisia. Kwa ufupi waondoe udhamini wa Zaidi ya klabu moja kwa ligi moja ili kuondoa fikra mbaya kwa Tff na nchi kwa ujumla. Rushwa na mipango ya kusaidia inaonekans wazi wazi. Huyu jamaa unamjua kama ana uhusiano na GSM kutokana na maelezo yake. Tuacheni tabia ambazo wenzetu hawafanyi
@LinusKyando
@LinusKyando 2 ай бұрын
MWANDISHI MJINGA SANA,KAMA UNA AKILI WAJLIZE SIMBA NA AZAM KWA NINI WANAFUNGWA NA YANGA KILA SIKU WANADHAMINIWA NA GSM??
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 2 ай бұрын
Iyo siyo hoja .dunian kote ni tz ndo I.etokea mdhamin kudhamin vilabu sita ktk league kuu.uu ni upuz wahali ya juu.tff msitupeleke takukulu.isiwe ndo kichaka chakujificha.simba tupeleke kesi iyo fifa
@amosmahona433
@amosmahona433 2 ай бұрын
Mwandishi yuko vizuri sana
@KabungaKalla-fw4pp
@KabungaKalla-fw4pp 2 ай бұрын
Nyinyi Makolo na waandishi wenu tambueni kuwa Yanga ni Timu ya wananchi sio timu ya GSM. Mmeanza kutafuta pa kitokea .kwani kolo anapo fungwa anakuwa ameambiwa na GSM aachie.? Watu wasimba mnatajiri.Mo mwambieni adhamini na yeye zilizo baki.apange matokeo.Mmefeli kwenye mpira Totaly. mmehamia kuomba msaada kwa waandishi. Poleni
@erickkaindoa8665
@erickkaindoa8665 2 ай бұрын
Ndo maana ana mkataba wa udhani wa yanga GSM yy ni Muuza jezi
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 2 ай бұрын
Azam. Amedhamini Timu zote 16 Kwa kuzilipa Ili asimamie matangazo ya Television. Mechi zote. Na ni Mmiliki wa AZAM F.C na inasemekana ana unasaba na SSC .je naye anashiriki kupanga matokeo au anaharibu Ligi yetu?
@ChicsSalimu
@ChicsSalimu 2 ай бұрын
Tff wote wara rushwa tuu mbona wanatetea madudu ira mtakuja kupata aibu kwani hamjui Mzee hujitambui ww
@dalmasokoth4190
@dalmasokoth4190 2 ай бұрын
Kweli mfa maji haachi kutapatapa!! Wewe tengeneza timu imara ushinde ubingwa. Ukiona unashindwa kuzifunga timu ndogo ujue huna quality!!
@christianmwamoto7592
@christianmwamoto7592 Ай бұрын
Amejitangaza , kwan mo kashindwa kudhamini,
@abdullahjuma3926
@abdullahjuma3926 2 ай бұрын
Sports pesa na premium si viongozi wa Yanga lkn GSM ni kiongozi wa yangs
@BakaryOmally
@BakaryOmally 2 ай бұрын
Gsm unamjua lakini?? Na kama unamjua pale ktk uongozi wa yanga yupo nafasi ipi??
@OmaryJuma-c9l
@OmaryJuma-c9l 2 ай бұрын
Ligi ninzur ila ni mbaya kiundani raisi wa yanga simfanya kazi wa GSM afu et munasema hamuna kitu kwenye udhamin kuwen na ueledi kwenye hili tff
@EdwardZayumba
@EdwardZayumba 2 ай бұрын
Haya maelezo yake hayana mashiko kitu Cha msingi TFF ijipange Kwa kuandaa Sheria itakayo Fanya mashabiki wa upande mwingine waslalame ni ya dhamini zinazofanyika kwenye soka.
@AbdallahOnga
@AbdallahOnga 2 ай бұрын
Kudhamini timu zaidi ya moja ndio match fixing ushahidi ndio huo
@martinjonathan4595
@martinjonathan4595 2 ай бұрын
Hivi kwamfano na timu Fulani ikiamua kudhamini timu zote zilizobaki itakuaje
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 2 ай бұрын
Tatizo lipo wapi kudhamini timu zaidi moja?, marefa wapi, makamisa wapi nk, tatizo Nini hapa kama GSM kudhamini hizo timu?, Kwani GSM ni refa?
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 2 ай бұрын
Mbona kama anamzuia kwa ujanja asimuhoji?
@kassimyusuph9470
@kassimyusuph9470 2 ай бұрын
Tff hamjielewi itafkia wakati mzamini mkuu atakua gsm
@DicksonAmbilikile
@DicksonAmbilikile 2 ай бұрын
Huyo msemaji bodi ligi hata sura yake inaonyesha rushwa ipo
@charleslugemalila1168
@charleslugemalila1168 2 ай бұрын
Kanuni mnatunga ninyi TFF ambao mnadhani hii ya GSm kudhamini timu 7 katika ligi siyo tatizo sababu huenda kuna manufaa. Lakini twende kwenye hali ya kawaida tuone. Kampuni inadhamini timun7 katika ligi ba miongoni mwazo moja ndiyo giant na inayowapa mileage. Unadhani kutakuwa na fairness hapo? Kufananisha Azam yenye uongozi tofauti na kudhamini timu zote pamoja na Yanga ambayo.Raus wake ni mwajiriwa wa GSm ninkitaka kupotosha ukweli. 15:07
@faustinemsanguli1055
@faustinemsanguli1055 2 ай бұрын
Wehu nyie TFF aende akadhamin ligi daraja 1 aache ujinga
@johnmweji9345
@johnmweji9345 2 ай бұрын
Huyumwanasheria wa ajabu sana...ushahidi ni wamazingira ya rushwa ndio haya. UNATAKA ushahidi Gani UNATAKA?iv ULAYA ni mfadhiri Gani kadhamini zaidi ya vilabu sita??
@ericbrunokalonndwa8590
@ericbrunokalonndwa8590 2 ай бұрын
Azam wanatim na wanadhamin timu zote na pia mwenye azam ni kolo 💯
@reginaandrew-sm4ck
@reginaandrew-sm4ck 2 ай бұрын
Simba amefungwa tano,kafungwa mbili,kafungwa moja je anazaminiwa na gsm
@christianmwamoto7592
@christianmwamoto7592 Ай бұрын
Mwandishi ametumwaa, n mnafiki ni mnafiki kwelii
@marystambuli8045
@marystambuli8045 2 ай бұрын
Mwandishi mbona unarudiarudia maswali Yale Yale? Huelewi anavyokujibu? Kolo ww. Tuhuma Hazina msingi
@dalalfundikila507
@dalalfundikila507 2 ай бұрын
Hawa wakupelekwa FIFA UTOPOLO na Tff wafungiwe Maisha hawa wamepewa billion 4 za udhamin lazima wailinde UTOPOLO.
@baalawyaljadyd6750
@baalawyaljadyd6750 2 ай бұрын
Ulianza kushabikia mpira juzi wewe unakumbuka 2019 MO alipodhqmini vilabu 4?
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 2 ай бұрын
​@@baalawyaljadyd6750mwenzio anapokosea dawa yake nikurekebisha kosa siyo na wewe unakosea kwa makusudi kwa sababu mwenzio alikosea ⛔
@simonnjovu586
@simonnjovu586 2 ай бұрын
​@@baalawyaljadyd6750hawana hoja hawa simba. Malalamiko siyo wadau bali ni kolozidad.
@godfreymanyilizu5789
@godfreymanyilizu5789 2 ай бұрын
Kama vipi Simba tuhamie ligi kuu ya Zanzibar tuwaachie utopolo na TFF ligi yao ya kisenge yani mtu anadhamini timu 8 na anahamisha wachezaji kutoka timu moja kwenda nyingine anavyotaka yeye tu hawa TFF nao wanatetea usenge tu yani mtu anasema kabisa hadharani Yanga bingwa hujui Kuna rushwa hapo.
@AbubakarkilalaGwani
@AbubakarkilalaGwani 2 ай бұрын
Hata Simba amezaminiwa na GSM ndio maana Kila anapo kutana na yanga anafungwa
@JILBERTDaniford
@JILBERTDaniford 2 ай бұрын
We wenge
@JayHassan-cd2vg
@JayHassan-cd2vg 2 ай бұрын
Amna jipya nyinyi mshapewa chenu mnababaisha tu
@jitihadaharuna9448
@jitihadaharuna9448 2 ай бұрын
Hii haikibaliki kabisa inakuaje muwe hamna kanuni na wakati mnajua suala hili hadi lilete madhara yepi mnataka kanuni itungwae leo tupate fair competition.
@jumamkwelengala4599
@jumamkwelengala4599 2 ай бұрын
Mbona hata Makolo walipewa rushwa wakaachia pointi sita na goli saba
@DicksonAmbilikile
@DicksonAmbilikile 2 ай бұрын
Hapo pana rushwa takukuru chunguzeni hilo
@MichaelSiuhi-xl2qq
@MichaelSiuhi-xl2qq 2 ай бұрын
Ushahidi gani anataka huyu wambura vipi kwani haoni huyu jamaa kadhamini timu sita? Je ushahidi gani anautaka au uanasheria wake hujamsaidia chochote
@johnmariki
@johnmariki 2 ай бұрын
Awawezi kukubali, safari hii atakamatwa mtu
@AbasiHassani-td7li
@AbasiHassani-td7li 2 ай бұрын
Tff hakuna kitu hapo na TANZANIA hatuna waandishi wa habari tuna machawa wa habari
@rashidmkwinda23
@rashidmkwinda23 2 ай бұрын
Kuna wakati unajiuliza tuna Waandishi au tuna watoa taarifa
@MishlaySulley
@MishlaySulley 2 ай бұрын
Huyoo ni mshabiki WA Yanga , Ktk ligi Moja kampuni Moja haiwezekani kudhamini timu Moja ,
@emanuelpetro9591
@emanuelpetro9591 2 ай бұрын
Acha ushabiki kolo wewe taja kifungu cha sheria siyo unaropoka tu!! Simba anafungwa mara kwa mara na yeye anadhaniwa na GSM?,Azam anafungwa mara kwa mara naeanadhaminiwa na GSM?
@steamtvtz
@steamtvtz 2 ай бұрын
Sawa mkali wa hizi kazi 🎉🎉🎉
@KhamisShija-t7y
@KhamisShija-t7y 2 ай бұрын
Huyo siyo mwanasheria ni mpuuz Moja tu
@DanielDaud-uh3qq
@DanielDaud-uh3qq 2 ай бұрын
Kamakunaukweli was mtuakizamini timu anapata pointi mbona hata moo anaweza kuzamini basi Mimi naona azamini timu zilizobaki mbona ziponyingitu kwani wewe unazani hapesa muangalie kwanza yeye moo nitajiri nambangapi Barani Africa miminaona sisi wana Simba tumshauli Moo azamini timu.
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 2 ай бұрын
Bord ya ligi mnapanga matokeo na gsm ukitazama vizuri bord ya ligi wanahusika na rushwa wamehongwa na gsm huwezi kuzamini timu saba mtu mmoja ambaye na yeye akiwana timu yake hapo sio sawa kabisa
@EmanuelMuna-w2q
@EmanuelMuna-w2q 2 ай бұрын
Huyo GSM hana fedha kabisa. They are under FBI investigation. Wacha kabisa. Kama TFF inatafuta sponsors, please tafuteni wadhamini huru wasiohusishwa na timu tawala kwenye ligi. Wewe ni mzembe, mzito wa kuelewa ukweli. Stakeholders tafuteni, lakini siyo hawa wadhamini wa Yanga. Mtafungwa wote.
@AshelyAbel-kg4kx
@AshelyAbel-kg4kx 2 ай бұрын
Hii nchi ya ajabu kumbe TFF Inaendeshwa kihuni hawana kanuni wala sheria kuweka ukomo wa mdhamini mmoja kumiliki virabu zaidi, duuh! Ndio maana janjajanja nyingi tena hata hilo liwambura nijipu haswaaaa!
@kazumarihokororo9153
@kazumarihokororo9153 2 ай бұрын
Kweni mooo huyu vp km ni luksa afanyee jmn au aweziii anaogopa kufilisika
@SelemaniMarko
@SelemaniMarko 2 ай бұрын
Mtangazzji akili huna dunduka mamae
@OmaryMbaruku-pw6eo
@OmaryMbaruku-pw6eo 2 ай бұрын
Yani wew muandishi mnafkisana hataufanani
@proisolution7166
@proisolution7166 2 ай бұрын
SIMBA KWELI MNACHEKESHA,HUOM UONGOZI WENU KAMA MNAUZA KAHAWA SASA HIVI MNATAKA TUSHI KWA HISIA,HATA KUULIZA SWALI ELIMU HUNA KIJANA.
@AhmedSaid-mk7qs
@AhmedSaid-mk7qs 2 ай бұрын
Musikwepeshe gsm anatoa rushwa ndie anaeuharibu mpira wa tanzania
@mtumeananiasjohachim8760
@mtumeananiasjohachim8760 2 ай бұрын
Huyu muandishi mbona simuelewi, kwan akisema yanga bingwa shida iko wap?
@bsmonline8482
@bsmonline8482 2 ай бұрын
Gsm yeye anatangaza Biashara yake ila watu sasa wameshindwa uwanjani wanapambana nje ya uwanja
@DormanDorman-jm3dz
@DormanDorman-jm3dz 2 ай бұрын
SIO MPAKA MUANDISHI AJE TFF KUHOJI!! KWA NINI TFF MSITOE KAULI MAPEMA . HII NI SHIDA NA LITALETA SHIDA KWA YANGA NA TFF..CZ GSM NI YANGA HALISI..
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 2 ай бұрын
Kilimanjaro premium hawana timu yeyote ligi kuu acha kurukaruka Mwanasheria tunasema GSM Ana timu inaitwa yanga inakuwaje apewe club zingine 5?
@DamianoTippe
@DamianoTippe 2 ай бұрын
Hakuna kitu hapo,asijipigepige hapo
@WolframChristophe
@WolframChristophe 2 ай бұрын
Uyu mwashelia nae yupo upande wa gsm
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 2 ай бұрын
Hao wanao mkataa gsm wote ni simba ata kama gsm hasidhamin timu yeyote simba haiwezi kuishinda yanga kwa sasa, Kwa sababu tunaona yanga inashinda mpaka inje ya mipaka mfano mzr tumeshuhudia juzi tu kule south afrika yanga imebeba kombe la Toyota tuseme gsm ilikuwepo? Waache janja janja zao wa jenge timu yao porojo haziwasaidii ata kidogo.
@abubakarimussa1955
@abubakarimussa1955 2 ай бұрын
Makolo acheni ujinga inawauma Kwa timu ndogo kuwezeshwa Ili ziweze kupambana na wasiosajiri vizuri
@tunsumemwakinyuke661
@tunsumemwakinyuke661 2 ай бұрын
Tatizo mnajichukulia tu point kwenye timu zenu acheni uboya
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Azam na simba nao wamedhaminiwa na GSM?? Wote wamefungwa. ​@@tunsumemwakinyuke661
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 2 ай бұрын
kwali 😊 nnn apa kuna shida
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 149 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 30 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Charles Hillary. Yanga vs Simba #No2
2:55
Lutfi Akrabi
Рет қаралды 2,7 М.
NYOMI LA STESHENI YA SGR DODOMA NI HIVI 🔥🔥🔥🔥🔥
10:13
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 30 МЛН