Unagusa maisha halisi ya watu,hongera Sana mchungaji
@Dolphinebosibori-um7gi2 ай бұрын
😂l like your teaching servant of God from Kenya 🇰🇪 na barikiwa Sana
@veraikundansuri66 Жыл бұрын
Mtumishi MUNGU AKUBARIKI Sana kwa mafindi yako
@HoseaObeid-wo7kg11 ай бұрын
Mchungaji mungu akupe maisha marefu wewe ni teacher waukweli mm silale bila kuku sikiliza ugali jero mboga............... Nakuelewa sana
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Ubarikiwe Hananja
@edwinekaboyoka2917 Жыл бұрын
Baba barikiwa * 100.nabarikiwa sana na maneno Yako ya upako nakinabii.
@JoshuaSamweli-lb7bk Жыл бұрын
Mungu akujalie uendeelee kutia neno kila kona
@bizmangwimo5823 Жыл бұрын
Uko vizuri waeleweshe
@emmanueltemba6406 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@PatrickMaturo7 ай бұрын
Nabarikiwa sana namahubiri ya huyu Mchungaji
@user-fq9zk9wn1u7 ай бұрын
Yan mchngj mungu akuweke sana mana unatan siku ifike chap uwai
@mkinitito5296 Жыл бұрын
Kwakweli mchungaji uko vzr.
@siwemamsesa520 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako Pastor, Mungu akubariki sana! na akujalie maisha marefu yenye neema na baraka tele
@genesswai5082 Жыл бұрын
Amen mchungaji kwa mafundisho mazur
@GodlistenAlen14 күн бұрын
So impressive!!!
@FrankNgogo-hs9xo Жыл бұрын
Wewe baba wew umenibaliki na nafrah San kukusikiliz ubarikiwe
@graideschrispo8786 Жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji,mafundisho yako yananibariki sana
@RemmyLyimo11 ай бұрын
Hakika MUNGU azidi kukuweka mchungaji🙏🙏
@ElishaKasambo-yu5jt Жыл бұрын
Mungu akutunze baba
@rahma6189 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@user-od7sj4bf7e9 ай бұрын
🎉🎉🎉
@TatuYufuramadhan-zw2ln Жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji
@VenanceclarenceAlifred-gd3qz20 күн бұрын
Dar es salam
@trizafrances4304 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 unanibariki mchungaji Niko kenya
@clgifakarakibaoni7691 Жыл бұрын
Nabalikiwaa sana
@user-pg9th2hb5y4 ай бұрын
Safi sana pastor hananja tunakupata vema
@isayamwenga152111 ай бұрын
mimi na mke wangu tunakupenda sana mchungaji
@LameckBenard-kv7qg Жыл бұрын
Ubarikiwe
@webijacktan6668 Жыл бұрын
Asante kwa kutumegea vipande vitamu vya kiroho barikiwa mchungaji:
@luisevarist4819 Жыл бұрын
Very p
@mariabenja-lj4om Жыл бұрын
Hongera sana hananja
@imansamwel4757 Жыл бұрын
Mungu azid kukubalik
@EmanuelMasingaАй бұрын
Baba uko vizuri
@youngloyclassic3173 Жыл бұрын
Kiukwel wew ndio mchungaji wangu bora
@WII567 Жыл бұрын
balikiwa sana BABA. mchungaji
@stephenponda1081 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mpendwa
@henrykasikao8573 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yako
@sharifamusic Жыл бұрын
Babu nakupenda ga sanaa
@richardamswetyjesus8017 Жыл бұрын
Kali sana hii
@useniswedi959724 күн бұрын
Safi sana
@user-yw2wq5bo8w9 ай бұрын
Hanaje naitwa Mheshimiwa Natepe Napenda kukusikiliza mpaka nashindwa kufanya kazi ofsini
@anitamhina1780 Жыл бұрын
Ubarikiwe saaana mchungaji!
@kinggodfather2628 Жыл бұрын
Nimebalikia San mafundiche
@kinggodfather2628 Жыл бұрын
Ubariki San
@kinggodfather2628 Жыл бұрын
VP
@kinggodfather2628 Жыл бұрын
Mamb anit
@jacobmgiye6252 Жыл бұрын
Mahubiri yako murua sana,Ubarikiwe
@EliasEdward-ge7ii23 күн бұрын
Eti tunafurahia mafundixho ya vituko kweli kuna kulijuwa neno hapo tuwe makini watu wa Mungu ili tupate vokovu tuangalie makanisa ya Mungu kwa kusoma mandishi ili tujuwe kanixa la kweli ni lipi na wachungaji wa kweli
@niyomwungerecarine-yt1mg Жыл бұрын
Nimependa
@abudulingasa6413 Жыл бұрын
Maimua alie🔥🔥🔥🔥 kubar sana
@isakaandrea5056Ай бұрын
Aminaaa
@williammunuo2117 Жыл бұрын
Asante kwa somo lako
@user-lm1ls5vp2y7 ай бұрын
Ulimi safi ni mti wa uzima bali ukorofi wa ulimi ni kuvunja moyo.
@darcinmubeza15606 ай бұрын
Napenda sana
@user-sx1uq9ly1k11 ай бұрын
❤mungu mwema
@jonathangalishi9893 Жыл бұрын
Amen baba
@user-od7sj4bf7e9 ай бұрын
Ameen 🎉🎉🎉
@adelinageorge4257 Жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana
@user-lm1ls5vp2y7 ай бұрын
Zaburi 119:37, Amen
@user-ns1jt1xw2r Жыл бұрын
Ameniii mchungajii
@vodiadominick2460 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@emmanuelmosha05 Жыл бұрын
Nakubalii
@mussamwankefu1201 Жыл бұрын
👍👍👍
@HAJIYAKOUB-iq5jy27 күн бұрын
❤❤
@user-mf3pv1is5p7 ай бұрын
Amen 🙏 🙏
@yusuphsadickkitova9805 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana mchungaji naomba namba pia nimuhimu
@tarmoniseti-zm6mg Жыл бұрын
Ulisha pata namba za mchungaji hananja
@joycekimaro6685 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆 ubarikiwe sana mchungaji
@thomaskiponda60797 ай бұрын
MZEE ANAWACHANA MAKAVU❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@audaxshirima6323 Жыл бұрын
Naongea kama nimekunywa supu ya ulimi wa mbuzi hananja bna