MCH. RICHARD JACKSON HANANJA. Mwanachuo usiseme hakuna kazi. Matatizo ya watu ndio kazi. CCT UDSM.

  Рет қаралды 398,629

UDSM CCT MEDIA

UDSM CCT MEDIA

2 жыл бұрын

Video na Audio hizi zinahusu Matukio, Mafundisho na Mahubiri Yaliyotolewa Katika Ibada zinazofanyika UDSM CCT Chaplaincy (CCKD)

Пікірлер: 137
@YustaAlfonsi
@YustaAlfonsi Жыл бұрын
Mchungaji bw,asifiwe .nimeipenda mahubiri yako anayedikiliza kwamakini ataelewa neno ambaye hanaumakini kwa hayo mahubiri ataona ni mzaha amen
@priscakitambi8639
@priscakitambi8639 5 ай бұрын
Uko vizuri Hananja! Hasa kuwa na mistari kichwani
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Huyu mch nabarikiwa nae sana sana sana jaman anahubir neno vzr biblia yote ipo kichwan kwake ameeen
@violethrobson2332
@violethrobson2332 2 жыл бұрын
Amen amen tunaomba no tutoe sadaka…mr billionaire Kumcha Mungu ni utajiri na zaidi ya Ulokole🙏🏽Amina baba🥰🙏🏽🙏🏽🙏🏽usharika wap tuje jpil jmn
@jayeventstv313
@jayeventstv313 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa hakika mchungaji 🙏🏿😀😀😀. Mungu akupe maisha marefu baba. Wosia maalumu kwa wakati maalum kwa kizazi maalum 💪💪💪❤️
@geraldmariki1098
@geraldmariki1098 2 жыл бұрын
Mchungaji maandishi yanaishi. Naomba utunge kitabu cha mahubiri yako au mtaalamu wa uandishi aandike historian 'autobiography' yako. Dunia itajifunza mengi kutoka maisha yako. MAISHA YAKO NI DARASA.
@judymasunzu7517
@judymasunzu7517 2 жыл бұрын
Hongera Baba Mchungaji kwa Neno zuri Kwa Vijana. Nimependa Style yako ya Mahubiri ni Furaha tupu.
@JulitaAndrea-nu6pz
@JulitaAndrea-nu6pz Жыл бұрын
Mungu akuongezee hekima na maarifa ya KIMUNGU
@donatilangari5426
@donatilangari5426 2 жыл бұрын
Mchungaji Mungu akubariki sana kwa maneno mazuri sana uliosema na Vijana, Mungu wa Mbinguni akubariki sana Baba
@arthurmaleke8245
@arthurmaleke8245 2 жыл бұрын
Yesu kristo ndio njia ya kweli na uzima
@rozimeriemiliemili
@rozimeriemiliemili 21 күн бұрын
Bb upo vizuri na neno mungu akupe umri mrefu
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Жыл бұрын
huyu mch ni genius sana aisee.Bwana asifiwe sana
@Zakayonzala
@Zakayonzala 5 күн бұрын
Wewe mungu amekupa hicho kipawa cha kuhubiri na kufundisha
@saccomachapta5812
@saccomachapta5812 2 жыл бұрын
Amen mtumish tumeongezekeza kiroho &kimwil
@martinomwayi6123
@martinomwayi6123 5 ай бұрын
You are a teacher and you preach through teachings its so fullfilling
@shukuruelendela4478
@shukuruelendela4478 Жыл бұрын
Watching always from usa 👌💯
@francisongubo2914
@francisongubo2914 Жыл бұрын
Hapa kimeumana. Mchungaji Biblia yote umeimeza. Ah! Nimeshangaa. Mzee uishi miaka mingi kwa kazi nzuri uifanyayo.
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 2 жыл бұрын
Mch.mungu akubariki make unaenda na mandiko nabalikiwa sana
@mrugamhono9451
@mrugamhono9451 2 жыл бұрын
Hongera Sana mch kwa somo zuri Sana kwa vijana , Mungu akubariki Sana
@sengondomzava7746
@sengondomzava7746 2 жыл бұрын
6y66yyyyyyyyy
@northerntanzaniatv4033
@northerntanzaniatv4033 Жыл бұрын
Huyu mchungaji ni genius kwa watu wenye gamy yamafanikio watatoka na kitu
@solomonchemeitoi8315
@solomonchemeitoi8315 2 жыл бұрын
Kongole sana mch.mahubiri mazuri Mungu akubariki
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 14 күн бұрын
Mungu atubariki sana Rich
@Davidmwakipesile-tq7oh
@Davidmwakipesile-tq7oh Жыл бұрын
Barikiwa kuhani wa bwana utalipwa na yeye alipaye kwa haki
@gracedonald385
@gracedonald385 2 жыл бұрын
Huwa unanibariki sana mchungaji
@user-ve8bg9lb4i
@user-ve8bg9lb4i Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa bwana
@godfreypatrick1450
@godfreypatrick1450 2 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 14 күн бұрын
Nimebarikiwa asanteni mitandao
@user-uo7wu6of1l
@user-uo7wu6of1l Жыл бұрын
Kwa kweli Haya mahubiri yanatia nguvu❤❤
@peter4650
@peter4650 2 жыл бұрын
Duuh mchungaji umemeza bibilia yote hahahahah heshima kubwa sana kwako
@patrickkavenuke852
@patrickkavenuke852 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na mahubiri yako Mch. Richard. I like the way you connect the word of God with our day to day lives.
@bessiemunisi686
@bessiemunisi686 Жыл бұрын
Asante sana kwa mahubiri mazuri Mungu akubariki sama
@fuhiaelimrema3786
@fuhiaelimrema3786 Жыл бұрын
​@@bessiemunisi686
@athumanimachupa667
@athumanimachupa667 Жыл бұрын
Mchungaji nitumie namba yako kwanza maana mchungaji wewe hatal
@albinimichael1342
@albinimichael1342 2 жыл бұрын
Excellent man of god
@ShidaKazungu-tp8ld
@ShidaKazungu-tp8ld 2 ай бұрын
Ameni pastor jamani na barikiwa sana mm
@peter4650
@peter4650 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@waterswai9073
@waterswai9073 2 жыл бұрын
Ubarkiwe. Mchungaj
@naikekangele7117
@naikekangele7117 Жыл бұрын
😂fanya kazi mch Mungu akubariki
@linnerram8959
@linnerram8959 2 жыл бұрын
Mchungaji karibu Ebenezer Mwanza
@EdithMhehe
@EdithMhehe 3 ай бұрын
Mahubiri kwa styli hii inafaa sana kutia mutual kwa vijana kwani unaweza kumwongoza kuanza mapema kupangili maisha
@joshuamushi5461
@joshuamushi5461 Жыл бұрын
Baba nimependa sana somo la leo
@user-gc8vb3gv8c
@user-gc8vb3gv8c 8 ай бұрын
Baba Mchungaji ,Mungu akubariki
@mongamusa7242
@mongamusa7242 2 жыл бұрын
Hongera mchungaji
@pricioussamwely2670
@pricioussamwely2670 2 жыл бұрын
Jaman kanisa lakee liko wap nimempendaa buleee
@udsmcctmedia7708
@udsmcctmedia7708 2 жыл бұрын
Dar es Salaam Tanzania.
@user-nw5fj8wt4g
@user-nw5fj8wt4g Жыл бұрын
Amina sana mch.
@stephencharles4391
@stephencharles4391 Жыл бұрын
Nimepokea kitu, ahsante mchungaji
@sparonmussa3360
@sparonmussa3360 17 күн бұрын
Very Powerful
@godefroidm741
@godefroidm741 11 ай бұрын
Mungu akupe Kuishi
@ShidaKazungu-tp8ld
@ShidaKazungu-tp8ld 3 ай бұрын
Ameni pastor
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 8 ай бұрын
Daaaah huyu mchungaji geneous hasomi popote
@johnnjiuka7510
@johnnjiuka7510 Жыл бұрын
Safi pastor
@emmanuelchristopher5463
@emmanuelchristopher5463 10 ай бұрын
Nakukubari sana baba
@bennettbankobeza3581
@bennettbankobeza3581 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ana fomula nzima ya maisha
@briannzioka12
@briannzioka12 Жыл бұрын
Wow, thank you helping figure that out
@eliaibobo9270
@eliaibobo9270 Жыл бұрын
Mungu akubark
@JosephMwita-fi9ui
@JosephMwita-fi9ui 2 ай бұрын
Baba Hananja mahubiri yamoto Amina
@judithmosha3453
@judithmosha3453 2 жыл бұрын
Barikiwa sn
@godwinpathologist3503
@godwinpathologist3503 2 жыл бұрын
Tunaomba namba yako mchungaji
@brycesonkingililwe2180
@brycesonkingililwe2180 Жыл бұрын
Hakika pastor upo vizuri
@husseniemmanuel4653
@husseniemmanuel4653 2 жыл бұрын
Mahubiri mazuri
@ELIZABETHAUMA-ye9qn
@ELIZABETHAUMA-ye9qn 3 ай бұрын
Ameeeen amen amen amen 😅😅😅😅 ameeeen amen amen amen 👏👏👏👏👏👏👏👏 ameeeen 🙏
@johnmahu5060
@johnmahu5060 10 ай бұрын
Mtumish nakupnda naomba mungu anipe hyo akili ht nusu yko tu
@ellyelly5833
@ellyelly5833 2 жыл бұрын
Mchungaji ubarikiwe sana
@udsmcctmedia7708
@udsmcctmedia7708 2 жыл бұрын
Amina ubarikiwe piah
@user-yw8wo6wx3z
@user-yw8wo6wx3z Жыл бұрын
Mchungaji uko vizuri'
@leticiaboniface2949
@leticiaboniface2949 4 ай бұрын
Abarikiwe huyu baba
@peter4650
@peter4650 2 жыл бұрын
Mchungaji ungesomea udaktari ungeponya wagonjwa wengi sana...unaakili sana
@danielnjuguna22
@danielnjuguna22 11 ай бұрын
Mahubiri yako yaniguza Sana bibiliya waijuwa yote
@WinfridaKimaro-vh9nr
@WinfridaKimaro-vh9nr 25 күн бұрын
Aminaaaaa sanaaa
@walternaftal331
@walternaftal331 Жыл бұрын
Good
@patriciasanga9848
@patriciasanga9848 2 жыл бұрын
Aminaaa!
@CharlesNdigiti-sj2ho
@CharlesNdigiti-sj2ho Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana kwa maubili mazuri
@ShidaKazungu-tp8ld
@ShidaKazungu-tp8ld 2 ай бұрын
Ameni pastor jamani
@user-wi9cr6jl3b
@user-wi9cr6jl3b 4 ай бұрын
Tunakukubali mchungaji
@ezekielkimaro3932
@ezekielkimaro3932 Жыл бұрын
Huyupasta anajua sana
@ezekielrichard916
@ezekielrichard916 2 жыл бұрын
Ameni
@emmylobulu6374
@emmylobulu6374 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 amen
@gracewarioba7719
@gracewarioba7719 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@victormajenge1396
@victormajenge1396 2 жыл бұрын
Amen, amen.
@mackmneneiy7284
@mackmneneiy7284 2 жыл бұрын
Mch.njoo Arusha
@gidionjonathan6526
@gidionjonathan6526 Жыл бұрын
Mchungaji mafundisho mazuri
@AjaliKasimu-rz7sp
@AjaliKasimu-rz7sp 22 күн бұрын
ni zaid ya mchungaji kwakweli
@danielnjuguna22
@danielnjuguna22 11 ай бұрын
Naomba no YA mhubiri
@mikemakau9537
@mikemakau9537 Жыл бұрын
Amen
@nehemiahndalawa6720
@nehemiahndalawa6720 Жыл бұрын
Amen 🙏
@nelsonmurithi7264
@nelsonmurithi7264 Жыл бұрын
Great
@zabrongermanus-co1jj
@zabrongermanus-co1jj Жыл бұрын
Amina
@enocksilungwe1211
@enocksilungwe1211 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji umeniweka mtoto mpotevu Baba ubarikiwe
@user-xe6em2qv2t
@user-xe6em2qv2t 7 ай бұрын
Mch Mungu akuinue kwa kiwango cha juu ❤ hakika Mungu anakutumia endelea kutusogeza karibu na Mungu mno.ubarikiwe mpaka ushangae
@namri_namri_namri
@namri_namri_namri 2 жыл бұрын
🙏🙏
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 2 жыл бұрын
KARIBU MHESHIMIWA
@stanleynzuga9188
@stanleynzuga9188 2 жыл бұрын
Ukonjema mchugaji:
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Жыл бұрын
Biblia kaimeza yote duh!!!
@hassanisaimon1531
@hassanisaimon1531 13 күн бұрын
Fact
@AbinelIsaya
@AbinelIsaya 11 ай бұрын
jikubali
@Oredicomdeytv333
@Oredicomdeytv333 11 ай бұрын
thanks
@DeusBenjamin-cb6oj
@DeusBenjamin-cb6oj Жыл бұрын
Nami nitayafata mahubili haya nataman kuwa mtu wa mafanikio
@UpendoZakaria-nq3pn
@UpendoZakaria-nq3pn 10 ай бұрын
Karibu mheshimiwa😅😅😅
@stephenkalemera331
@stephenkalemera331 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@deokrasisjosephat5857
@deokrasisjosephat5857 2 жыл бұрын
Kila nikipata bandle nina kuzoom
@BonifaceKamsini
@BonifaceKamsini 7 ай бұрын
❤🎉
@janewamaitha4930
@janewamaitha4930 Жыл бұрын
❤❤❤
@user-pj8ul5hz8e
@user-pj8ul5hz8e 9 ай бұрын
@deboramwakalukwa9283
@deboramwakalukwa9283 10 ай бұрын
Amenii😃😃
@phransyadrixxx6417
@phransyadrixxx6417 Жыл бұрын
ubalikiwee
@AdamuJabily
@AdamuJabily 2 ай бұрын
🐿️💯💯
@user-dq7hw7zt5o
@user-dq7hw7zt5o Жыл бұрын
Naomba mwenye numba ya mch
@eliamanluhelo9098
@eliamanluhelo9098 6 ай бұрын
Njoo udom tena
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 486 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 33 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 192 МЛН
UTOTO UTUMWA, UJANA MASWALI, UZEE MASWALI
46:42
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 255 М.
MCH. HANANJI | "DIAMOND, SHOLO MWAMBA NI WATOTO WETU"
37:38
Victory tv
Рет қаралды 187 М.
MCHUNGAJI HANANJA AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE
20:39
Tacmen Group
Рет қаралды 587 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН