9. AT-TAWBA 6O. Wa kupewa sadaka ni mafakiri, na masikini, na wanao zitumikia, na wa kutiwa nguvu nyoyo zao, na katika kukomboa watumwa, na wenye madeni, na katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na wasafiri. Huu ni waajibu ulio faridhiwa na Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima
@janethdickson32372 жыл бұрын
Amen
@Thomas-nt9yg2 жыл бұрын
Ubarikiwe
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
🤝
@mwakalukwafredy199010 күн бұрын
Nani anatakiwa kupewa fungu la kumi?
@FadhiliMaganga6 ай бұрын
Je! Pesa ya mkopo mfano kwa wanafunzi Boom au mkopo benki kwa ajiri ya biashara una tolea fungu la kumi? Yaani pesa ya mkopo
@misigarojustine33572 жыл бұрын
Mm ni mama wa nyumban napewa pesa yaatumiz ya ndan kulingana na idadi ya familia yangu je nisawa kutoa pesa niliyopewa kwaajili ya kununua chakula nitoe zaka?
@emmanuelwith18122 жыл бұрын
Amen 🙏
@sophiatemba88322 жыл бұрын
Lppppl9oopplllll sloppy o
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Sadaka wala zaka hapewi mchungaji hupewa maskini hakuna andika katikati biblia nimalize inayo sema tutowe fungu la 10 huo ni wizi waumini mnaibiwa msitowe sadaka wala zaka kwa wachungaji
@JoyceHaule-o8c3 ай бұрын
Ahsante kwa ushauri sasa naendelea ya kabisa yanapatikana vipi? Na malipo ya mchungaji yanapatikanaje?
@alzawahirabdallah22993 ай бұрын
@@JoyceHaule-o8c kanisa si mali yako ni mali ya mchungaji ndio maana mchungaji analipa kodi kanisani na anaweka picha ya mkewe na picha zake kanisani na mchungaji anapaswa afanye kazi asiibie watu sadaka kwa jina la yesu
@RahmaRahma-ie6ey Жыл бұрын
Mimi mama yangu ni mjane ninalusiwa kutowa fungi la kumi kwake?
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Huruhusiwi sadaka hupewa maskini fukara wajene na watu wenye mahitaji
@rebecakigutu Жыл бұрын
hapana fungu la kumi nila BWANA sio la mtu ..also MUNGU anataka kila mtu atoe zaka ..sasa msaada mpe mama mtaji afanye biashara apate pesa ya kazi ya mikono yake hili aweze kumtolehe MUNGU zaka yake .Amen
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
@rebecakigutu hakuna fungu la 10 kabisa kuna kitu kinaitwa zaka na zaka unatowa kila mwaka mara moja kwa mtu mwenye uwezo humpa makskini fukara na yatima km huna uwezo utatowa sadaka hakuna sehemu yoyote imeandikwa utowe fungu la 10 huo ni wizi wa wachungaji na sadaka pia hupewa maskini hapewi mchungaji
@misigarojustine33572 жыл бұрын
Mm ni mama wa nyumban napewa pesa yaatumiz ya ndan kulingana na idadi ya familia yangu je nisawa kutoa pesa niliyopewa kwaajili ya kununua chakula nitoe zaka?
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Zaka hutowa kwa mtu anaye jiweza unaweza ukatowa sadaka lakini sio zaka
@misigarojustine33572 жыл бұрын
Mm ni mama wa nyumban napewa pesa yaatumiz ya ndan kulingana na idadi ya familia yangu je nisawa kutoa pesa niliyopewa kwaajili ya kununua chakula nitoe zaka?
@lawimoses25142 жыл бұрын
Pesa ya matumizi ya nyumbani unayopewa na mumeo haitolewi zaka