UFANYE NINI MUNGU ANAPONYAMAZA KIMYA??

  Рет қаралды 35,503

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

4 жыл бұрын

Пікірлер: 82
@claudinemwendapeke5636
@claudinemwendapeke5636 4 жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana pastor ni mebarikiwa
@kifacem8248
@kifacem8248 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Mchungaji. Unafundisha vizuri sana. Nahavache!
@saphinamlowe6780
@saphinamlowe6780 4 жыл бұрын
Amen mtumishi kwa mafundisho mazur Mungu azidi kukutumia nabarikiwa sana na mafundisho yako
@rebbecatimo5449
@rebbecatimo5449 4 жыл бұрын
🙏🙏Nimebarikiwa sana...napitia kipindi kigumu lakini nimetiwa nguvu na amini pamoja na ukimya huo Mungu bado atanijibu..Amina
@irenemakokha7615
@irenemakokha7615 4 жыл бұрын
Hili somo limenibariki sana, am a single mother of 3 kids nimeishi bila mume miaka 10 iliopita nilikuwa nikifanya kwa hotel ili nipate kipato cha siku , siku moja 2018 tarehe 5 February kuamka asubuhi nikakutana na maiti mwanamme ,baadae nikazingiziwa kuwa waliuania kwa nyumba yangu mbapo sikujua ! kwenye macho ya wanadamu zikuweza kujitetea kwa sababu kila jicho lilinielekea Mimi ,lakini ashukuriwe Mungu wangu anayeona kwa siri nakujibu kwa uazi alinipigania vita,nilipaki na ushuhuda ,nasikilaza mafundisho nikiwa Kenya ubarikiwe mjungaji.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 жыл бұрын
IRENE MAKOKHA Oh!! Mungu akubariki sana!! Ushindi ni hakika
@irenemakokha7615
@irenemakokha7615 4 жыл бұрын
Mahubiri Tv Amina
@judithcherono2595
@judithcherono2595 4 жыл бұрын
@@irenemakokha7615 Pole Dada Mungu ni mwema
@irenemakokha7615
@irenemakokha7615 4 жыл бұрын
Judith Cherono Ahsante dadangu ,Mungu wangu na akubariki .
@sammywanje2686
@sammywanje2686 4 жыл бұрын
Amen,, mchungaji ubarikiwe na MUNGU wetu aliye MKUU akuzidishie maarisha na ujasiri,, mafundisho yako yanani bariki sana,,, BWANA ASIFIWE SANA
@devothafransis4978
@devothafransis4978 4 жыл бұрын
Mchungaji Mungu akubariki na aendelee kukutumia na kubwa kuliko yote masoma hayo yatuongoze katika ufalme wake unaokuja hivi karibuni
@victoriachaula3921
@victoriachaula3921 4 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa somo , ninapita katika biashara yangu, changamoto za vijana kunijibu ovyo, mume wangu amenipa mwezi , kanisimamisha kazi.lakini naamini yatapita
@barakajoseph1816
@barakajoseph1816 4 жыл бұрын
Mungu azidi kuibariki huduma hii,,iwafikie wengi zaidii
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 жыл бұрын
Amen
@tabumrishoamen8601
@tabumrishoamen8601 3 жыл бұрын
Nabarikwa na masomo yako Mungu akubariki mtumishi
@rubennathan8804
@rubennathan8804 4 жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU ,Uzidi kubariki,kufunuliwa,kuimarishwa,kujazwa roho mtakatifu zaidi,nko dhehebu lingne lakin nabarikiwa sana mtumishi wa MUNGU🙏🙏
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 жыл бұрын
Mungu akubariki, huduma hii ni kwa madhehebu yote
@aronmapunda1783
@aronmapunda1783 4 жыл бұрын
Tuombe katika ROHO na KWELI
@themessage3508
@themessage3508 2 жыл бұрын
Amina
@sarahdamian5043
@sarahdamian5043 4 жыл бұрын
Baba yangu wa MBINGUNI ninae muabudu akubariki sana na kukutunza, MUNGU anakutumia sana kwaajili ya maisha yangu. Yani huyu MUNGU ninaemtumaini aendelee kukutumia kwa kadri apendavyo ili uendelee kutufundisha zaidi na zaidi, mwisho wa yote, tujitahidi wote tukutane Mbinguni🙏
@watwegopnina6480
@watwegopnina6480 4 жыл бұрын
Mungu atusaidie, na atuokoe, Asante mchungaji na Mungu akubariki. Ameeeeen.
@edithaginawila634
@edithaginawila634 4 жыл бұрын
Amina mchungaji, Mungu atusaidie
@naomijonas1711
@naomijonas1711 4 жыл бұрын
Mungu akuongoze zaidi na zaidi
@samwelndulu9367
@samwelndulu9367 4 жыл бұрын
Mungu atubariki San PR nimebarikiwa na masomo yako
@sarahsamatwa3211
@sarahsamatwa3211 Жыл бұрын
Ninabarikiwa Sana .na mafundisho ya mtumishi.
@aronmapunda1783
@aronmapunda1783 4 жыл бұрын
Ndugu katika KWELI YAKE, mahubili yako siyo sahihi Kwa kuwa nawe bado unaficha KWELI YAKE, Mwisraeli wa kweli ni mtu mweusi hata mitume wote walikuwa weusi, Maombolezo:4-8
@hatimalnaamani876
@hatimalnaamani876 4 жыл бұрын
Amen. Kwa somo nzuri ili kuelewa vizuri nilisoma sura yote ndio nikakusikiliza na nimeelewa vizuri
@yohanadanielmhocha4289
@yohanadanielmhocha4289 4 жыл бұрын
Amen
@themessage3508
@themessage3508 2 жыл бұрын
Amina
@najmanaj1873
@najmanaj1873 4 жыл бұрын
Ubarikiwe pastor mbaga kwa mahubiri mazuri
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 жыл бұрын
Amen
@farajingware4900
@farajingware4900 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri " Mungu awabariki
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 3 жыл бұрын
Ameen ubarikiwe
@salva94977
@salva94977 3 жыл бұрын
Mungu akubariki azidi kuinua huduma unaponya mioyo iliyojeruhiwa na kukata tamaa
@jeremiahoumaonditi8285
@jeremiahoumaonditi8285 4 жыл бұрын
Amen,nimebarikiwa sana
@amirisimbano2650
@amirisimbano2650 4 жыл бұрын
Amen
@shimwekagwiza3731
@shimwekagwiza3731 4 жыл бұрын
Ubarikiwe pastor, unazidi kunifumbua macho kila nisikilizapo mafundisho yako, Mungu akuweke zaidi ili uzidi kutuhudumia 😍😍
@jameskalume7117
@jameskalume7117 4 жыл бұрын
Barikiwa mchungaji kwa neno zuri.
@enockmatondo182
@enockmatondo182 4 жыл бұрын
Nakupata vzr xana pastor
@denismugisha2
@denismugisha2 4 жыл бұрын
Mafundisho yanaweza kufanya kitu ndani yangu naomba Yesu aonekane kupitia mafundisho haya
@esternaftari4553
@esternaftari4553 4 жыл бұрын
Mtumishi hili somo linabariki sana
@yohananyabu4040
@yohananyabu4040 4 жыл бұрын
Amina huyo mpiga zeze amenikosha sana abarikiwe🙏🙏
@finiaseliya9392
@finiaseliya9392 Жыл бұрын
Amina sana pastor mbaga
@mn9484
@mn9484 4 жыл бұрын
Bwana Akiwa ndani yetu ni nani aliye juu yetu!
@mackynicky8278
@mackynicky8278 4 жыл бұрын
Am in a, ubarikiwe mtu wa Mungu
@finiaseliya9392
@finiaseliya9392 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@judithmakoye8766
@judithmakoye8766 4 жыл бұрын
amina, barikiwa pastor mmbaga kwa mahubiri yako mazuri, Mungu azidi kukutumia zaidi
@themessage3508
@themessage3508 2 жыл бұрын
Tuna barikiwa xn pastor
@labanmitinje3432
@labanmitinje3432 4 жыл бұрын
Amen sana
@florencethuranira4882
@florencethuranira4882 3 жыл бұрын
mungu akubariki sana mchungaji
@sporakileo1324
@sporakileo1324 4 жыл бұрын
Amina
@Jr-pc3gr
@Jr-pc3gr 4 жыл бұрын
Amen amen amen
@janetfrancis7180
@janetfrancis7180 4 жыл бұрын
Nafarijika na neno zuri nikiwa huku Brazil ubarikiwe mtumishi David mmbaga 🙏🙏
@angelcharles7731
@angelcharles7731 4 жыл бұрын
Ubarikiwe xna mchungaji
@esternaftari4553
@esternaftari4553 4 жыл бұрын
Miongon mwa masom yanayonibariki ni somo hili
@marycheupe8613
@marycheupe8613 4 жыл бұрын
Hallelujah
@nyotaepapi2375
@nyotaepapi2375 4 жыл бұрын
Amen Mchungaji, Mungu akuzidishie mengi
@felikitakilonzo6755
@felikitakilonzo6755 4 жыл бұрын
Toa vilivyonona😍😍
@godfreygreyson7807
@godfreygreyson7807 4 жыл бұрын
tunazid kubarikiwa xana mtu wamungu
@jamesmedard5538
@jamesmedard5538 4 жыл бұрын
Amen.
@judithcherono2595
@judithcherono2595 4 жыл бұрын
Amen Nakupenda sana pastor am followed you every step please except my request lnstagram
@linethowire7031
@linethowire7031 Жыл бұрын
Kuna muda mibaraka ya Bwana inaambatana nasi mpk unajiuliza maswali KICHWANI ndo iko hivi??kiukweli kwa neno hili nimebarikiwa Sana,Sasa moyoni Sina hofu na taabu zote zinazonishika...ninachoamini vita ni vyake Yesu....atanipigania zaidi yakunipigania maana ninamuita kwa MAOMBI NA KUFUNGA.Asante Pr.ubarikiwe Sana na mafundisho haya yakutupambanua kila kukicha.
@SuzanaNyanda
@SuzanaNyanda 2 ай бұрын
YESU NAKUPENDA
@neemarugoe8315
@neemarugoe8315 2 жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi natamani tukutane mbinguni tukale mema
@lucymutisya3152
@lucymutisya3152 4 жыл бұрын
Kweli Mungu ni Mtetezi Wetu.Mwenye alicheza Violin akona kipaji na amecheza vizuri sana.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 жыл бұрын
Amen
@janetfrancis7180
@janetfrancis7180 4 жыл бұрын
Unioshe Kwa damu yako ya thamani
@MaryWilson-vg2mm
@MaryWilson-vg2mm 3 жыл бұрын
Kanisa lako lipo wap mtumishi
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
Kwanini mimi somo hili ao mafundisho haya sauti haitokagi kwenye simu yangu? Nimeona komenti kuwa kama wengine wamesikia ilamimi sauti haitokagi kilasiku ila mafundisho mengine sauti ipo
@izzylyrics2240
@izzylyrics2240 4 жыл бұрын
October 22 2019 Nimeangalia hili somo! japo limejirudiaa Nimebarikiwa mno! Mtumishi ubarikiwe nasubiri kitabu Cha ufunuo!
@kangijoseph2467
@kangijoseph2467 4 жыл бұрын
izzy lyrics @amen
@eucabethkemunto3836
@eucabethkemunto3836 4 жыл бұрын
Amen
@romanamihama1443
@romanamihama1443 4 жыл бұрын
mungu azidi kutumia na akupandishe ufike kwenye utukufu mwingine
@musamasero1596
@musamasero1596 4 жыл бұрын
Barikiwa pr
@lameckmtaka2659
@lameckmtaka2659 4 жыл бұрын
Amina
@estherg7725
@estherg7725 4 жыл бұрын
Amen
@jacksonkavoi5170
@jacksonkavoi5170 4 жыл бұрын
Mahubiri mazuri poster
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 4 жыл бұрын
Amen
@selfaakinyi512
@selfaakinyi512 4 жыл бұрын
Amina
@namsamson3443
@namsamson3443 4 жыл бұрын
Amina
@kissahmagombe9353
@kissahmagombe9353 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mafundisho yako
HILI SOMO LIMEPIGA IKULU YA SHETANI.
53:35
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 43 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 8 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 50 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
Ufanye Nini  Unaposemwa Vibaya Na Watu - Joel Nanauka .
3:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 18 М.
MATUKIO YA KIMUNGU KATIKA MAISHA YAKO
49:34
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 14 М.
Ngugi wa Karanja MCee kuhe mami wa nyumba kirorerwa
1:19:29
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 32 М.
Pastor Tony Kapola : NGUVU YA MSAMAHA
1:10:16
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 92 М.
MUNGU ANAPO HITAJI KUKUTUMIA PR  DAVID MMBAGA  (OFFICIAL VIDEO)
54:34
SIRI YA KUINUKA TENA BAADA YA HASARA
51:47
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 48 М.
#1# AINA HII YA IMANI UKIWA NAYO UTAONA MENGI (Seh ya 1)
26:02
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 39 М.