Ufanye Nini Unaposemwa Vibaya Na Watu - Joel Nanauka .

  Рет қаралды 18,923

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 45
@uwingeneyeshadia7697
@uwingeneyeshadia7697 4 жыл бұрын
Mafunzo yako nimazuri sana kila unapotoa funzo utadhani unanilenga mm kaka yangu respect💕🙏 ubarikiwe sana
@queeneva3709
@queeneva3709 4 жыл бұрын
Watu kama hao wapo wengi sana. Mungu atusaidie kwakweli.
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 4 жыл бұрын
Sante kwa somo, nimeona hapa kubwa yao ni "Kuwapuuza na Kuwakataa kwa kile wanachokitaka na kutaraji kitokee kutoka kwako.
@michaelkasogela370
@michaelkasogela370 4 жыл бұрын
Mm juzi tu mmoja alinifata nikampotezea
@grace-neemabuninange-bujik9117
@grace-neemabuninange-bujik9117 2 ай бұрын
Nimepona aisee kupitia haya mafundisho😅
@financialBoldCommunity
@financialBoldCommunity 10 ай бұрын
Hali hii napitia pia ofisini nasemwa maneno ya uongo 😢😢
@washentown64
@washentown64 2 жыл бұрын
Umeongea ukweli kaka umenifunza kitu
@richardambrose8742
@richardambrose8742 2 жыл бұрын
Kaka nimewi kukutana nao na bado nakutana nao
@esternzumbi1888
@esternzumbi1888 4 жыл бұрын
😍😍😍 Maisha yangu ni jukumu langu.
@RastaRuvako
@RastaRuvako 6 ай бұрын
Exactly sir.👍
@AkitakaHuwa
@AkitakaHuwa 9 ай бұрын
Nimekupata nilichotaka
@jeremiahgodson7389
@jeremiahgodson7389 4 жыл бұрын
Hako kamlio kanaharibu ujumbe Kaka binafs
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 28 күн бұрын
🎉🎉Wow
@Unknow9473
@Unknow9473 4 жыл бұрын
Mmmh me na kumbuka kwenye mahusiano yangu watu walikuwa wakimfuata mt wangu wakimwambia vitu naye akawa anareact mpaka siku akavunja mahusiano kisa maneno ya watu
@chrismassawe326
@chrismassawe326 4 жыл бұрын
Asant sana mwalimu Joel Nanauka
@leonardmcheche8048
@leonardmcheche8048 4 жыл бұрын
Kwelii umenifungua macho
@queeneva3709
@queeneva3709 4 жыл бұрын
Nimewahi kukutania na visa kama hivi sana sema at the time there was no one to educate me how.should I deal with them.
@mwanatz5980
@mwanatz5980 4 жыл бұрын
Kweli kaka inauma sana .
@mkubwaphoto6250
@mkubwaphoto6250 4 жыл бұрын
Hellow abari za uzima kaka enderea kutupa erimu japo changamoto nyingisana unazo pitia ila nikushauri sauti ndogo sana
@sadajuma8189
@sadajuma8189 4 жыл бұрын
Asante teacher Joel Nauka yaani kwa kipindi hichi hii changamoto ndio nipo nayo tena ipo ndani ya familia ila umenipa muongozo nashukuru sana nitakabiliana nazo Mungu akubariki sana
@Tanurulafikra2410
@Tanurulafikra2410 4 жыл бұрын
Well copied my brother nanauka
@sylvestermagarya5342
@sylvestermagarya5342 Жыл бұрын
Kama mtu akiwa makini kusiliza maneno yako miaka 3 iriyo pita maisha yake yamebadilika naamini hivyo🙏🙏
@lucykichumisa5653
@lucykichumisa5653 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana, siku moja ndiyo
@mengicacoconut8144
@mengicacoconut8144 4 жыл бұрын
Asante brother
@deborahlaizer9683
@deborahlaizer9683 4 жыл бұрын
Lesson learned, thank you
@rehemajuma4656
@rehemajuma4656 4 жыл бұрын
Thank u teacher joel
@alhandroraj8009
@alhandroraj8009 4 жыл бұрын
Napenda sana mafunzo zako Joel, naomba namba yako tafadhali
@neemaonesmo7642
@neemaonesmo7642 4 жыл бұрын
Thanks Sir
@joseefaidabutu7294
@joseefaidabutu7294 4 жыл бұрын
Shukrani kaka
@josephmallya6519
@josephmallya6519 2 жыл бұрын
👍
@HappinessGeorge-z4n
@HappinessGeorge-z4n 11 ай бұрын
Asante,mi nasemwa siishi maisha ya level yangu kisa ninasomesha wanangu shule ya private (shule ya masister)nani primary.Ila shauku ya moyo wangu ni kuona kwa msaada wa Mungu wanangu nawafikisha mahali, na ndiyo maana nilijitahidi kusoma kuwepo nilipo kwa ajili ya kuwapambani wanangu kesho yao . Swali ambalo najiuliza wanaijua level yangu kuliko nnavyoijua mimi
@mussahashimu4593
@mussahashimu4593 4 жыл бұрын
Thanks
@hilarygodfrey5862
@hilarygodfrey5862 4 жыл бұрын
Nakubali sana mwalimu
@maxmaxmo5545
@maxmaxmo5545 4 жыл бұрын
Da ni kweli kbs nilishamwambiaga mtu hivyohivyo kwamba nimekugundua ..... Aliacha Toka siku hiyo
@AbednegoYusuph-r2y
@AbednegoYusuph-r2y 2 ай бұрын
Ndy
@edoraandason
@edoraandason 5 ай бұрын
nimewahi kukutana nao na nipo nao .Ila katika yote nikikusikiliza Kuna namna nafunguliwa ufahamu . Mungu akubariki na kuzidi pia .
@tinaamwacha7404
@tinaamwacha7404 Жыл бұрын
Natamani nikutafute Kaka yangu haya maisha ya kesemwa vibaya yananitesa San 😭😭😭
@sophiambunda1507
@sophiambunda1507 4 жыл бұрын
Asante bro imetupa mafunzo mazur mungu akubalk najvunia kukfaamu
@mercyccherono5896
@mercyccherono5896 Жыл бұрын
❤❤❤ thanks for Advice sae mimi ndio nko hyo situation but I don't give up mungu yupo😢
@benardjaloo5263
@benardjaloo5263 4 жыл бұрын
nimewahi kukutana nao Wengi sana
@faithpanga3591
@faithpanga3591 4 жыл бұрын
Ninakutana nao sana hao watu, huwa wananiumiza sana.😣
@tabithaerastoshukrani.90
@tabithaerastoshukrani.90 4 жыл бұрын
Wapo Kila sehem,
@directorjobely4252
@directorjobely4252 4 жыл бұрын
Tunaitaji sound bora
@faidaruzamuka6997
@faidaruzamuka6997 4 жыл бұрын
Unasema kweli
@ellysilwani9287
@ellysilwani9287 4 жыл бұрын
Kaka Joel asante sana!kila uchao ninapopata masomo yako nafunguka na kugundua mengi sana,watu hao wapo ,hata jana, leo nimekutana nao,sitawapa muda.See you at the Top!barikiwa sana!
USIDHARAU MTU KWA KILE ANACHOKIPITIA - JOEL NANAUKA
7:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 18 М.
Nini Chakufanya Unaposemwa Vibaya Na Watu?
11:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 180 М.
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,7 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 67 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН
NJIA ANAZO TUMIA MUNGU KUKUTOA MATIZONI - JOEL NANAUKA
6:12
Joel Nanauka
Рет қаралды 29 М.
EPUKA MAFANIKIO YA HARAKA - JOEL NANAUKA
7:02
Joel Nanauka
Рет қаралды 39 М.
Njia Sita (6) Za Kuboresha Mahusiano Yako  - Joel Nanauka
6:02
Joel Nanauka
Рет қаралды 68 М.
Mambo Ya Kufanya Kabla Ya Saa Mbili Asubuhi - Joel Nanauka
5:46
Joel Nanauka
Рет қаралды 141 М.
Aina Nne (4) Za Watu Wanaoua Ndoto Zako - Joel Nanauka
8:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 107 М.
LIFE WISDOM : JINSI YA KUHARAKISHA MAFANIKIO YAKO - JOEL NANAUKA
6:14
MAENEO MANNE AMBAYO FEDHA IMEJIFICHA - JOEL NANAUKA
5:52
Joel Nanauka
Рет қаралды 24 М.
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Njia Tano (5) Unazoweza Kuzitumia Kuongeza Ujasiri
9:37
Joel Nanauka
Рет қаралды 184 М.
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,7 МЛН