Ufanye Nini Ukipoteza Mtaji?

  Рет қаралды 12,655

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 51
@francismtaki5979
@francismtaki5979 3 жыл бұрын
Think tank
@esthermahonda231
@esthermahonda231 3 жыл бұрын
Mimi ni usimamizi
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Kaka niseme ahsante sana kwa kunipa Moyo mpaka kusimama tena maana niliingia katika mkataba bila kuwa makini na kujikuta share ile mkataba wanibana mimi, na sasa nasimama mimi kama mimi kwanza na naanza na kilekile kiwango changu, Ubarikiwe sana Kaka 🙏🥋🥊👉🏆
@firdosoman3133
@firdosoman3133 3 жыл бұрын
Ni watu wanao nizunguka ila video zako zimenifundisha mengi sana kaka,,,mungu akubariki na akupe afya njema kaka joel
@kijokombao5345
@kijokombao5345 3 жыл бұрын
Sauti iko sawa sana kaka shukrani
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Pamoja sana
@jafarilupimo4537
@jafarilupimo4537 3 жыл бұрын
Mimi nilifeli kwa sababu ya usimamizi nakushuru sana Mr Joel Kwa masomo yko yamenitia moyo sana nimefanikiwa kuanzisha biashara nyengine MUNGU akubariki sana.
@amemeabdulrazak1397
@amemeabdulrazak1397 3 жыл бұрын
Asante
@boscomfundo7953
@boscomfundo7953 3 жыл бұрын
Much blessings to you Joel
@seifthani8468
@seifthani8468 3 жыл бұрын
Hapa tuliowengi tukipoteza mtaji ndo mwanzo wakukata tamaa nakupoteza muelekeo kabisaaa kwakweli umetusaidia kaka Joel
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsante , Tusonge mbele 🙏🏼
@fasahaproductstv638
@fasahaproductstv638 3 жыл бұрын
Nmepata Point kuu ni Maarifa na kuyafanyia kazi. Ahsante Mwalim wng Joel
@farajhassan1775
@farajhassan1775 3 жыл бұрын
Shukran sana 🙏
@aidanmbilinyi8184
@aidanmbilinyi8184 3 жыл бұрын
Usimamiz uliniangush never give up now nitarud strong n usimamiz mm mwenywe
@msetihosea9732
@msetihosea9732 3 жыл бұрын
Mimi kisa cha kufeli ni kutokuwa na malengo thabiti
@allymnyiwe9698
@allymnyiwe9698 3 жыл бұрын
Asante kaka Joel mm kilichonifanya nianguke ni usilamizi mbovu
@esthermutua1287
@esthermutua1287 3 жыл бұрын
Thanks for updating this point taken..knowledge and skills
@justinebaada9079
@justinebaada9079 3 жыл бұрын
Barikiwa sana bro nimepata kitu muhimu sana hapa
@NeimahJay
@NeimahJay 3 ай бұрын
Kaka nakupenda sana mungu akubaliki
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
This is gold.asante bro.be blessed.
@viceboirapper1121
@viceboirapper1121 3 жыл бұрын
hivi kaka biashara gani inaanza na mtaji mdogo
@emmanuelmakindi4409
@emmanuelmakindi4409 3 жыл бұрын
Napenda kuona hii channel ikiendelea, mada ni nzuri lkn pia infact nimependa Background
@ibahatimoses6431
@ibahatimoses6431 3 жыл бұрын
Nimejifunza mwalimu kwa maelekezoyako nitafanyia kaz nitasimama tena
@yumbujackson869
@yumbujackson869 3 жыл бұрын
Good content be blessed
@harunmwazembe9980
@harunmwazembe9980 3 жыл бұрын
Ni kukosa usimamizi mzuri
@jembesumukagine1403
@jembesumukagine1403 3 жыл бұрын
Nakukubari, naomba nikuulize swali? Je vitambu ulivyo viandika mwenyewe huwa unavisoma,
@augustinoreuben6842
@augustinoreuben6842 3 жыл бұрын
Kukulupuka 2 uelewa mdogo kuhusu maswala kibiashara
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 3 жыл бұрын
Vijana Tunabeti mnooo adi tunashindwa fikia malengo coz tunapoteza pesa kipuuzii sanaa naomba siku ulizungumzie hili
@blankakecy2464
@blankakecy2464 3 жыл бұрын
Mim kilichonifekisha ni eneo ambalo nilikua nimefungua biashara,hivyo nimebadilisha eneo nimeongeza maarifa nimeanza upya.
@hoseakitomary7102
@hoseakitomary7102 3 жыл бұрын
Kaka me Ni usimamizi na mfanyakazi wang
@timothykengere2535
@timothykengere2535 3 жыл бұрын
📚📚📚📚📚 📖
@PeterMwidete-wm5sh
@PeterMwidete-wm5sh Жыл бұрын
Kaka nashukura kwa masomo yako kupitia Wewe nilifanikiwa sana ila Leo hii biashara imekufa nikwasababu ya ghalama za kodi yaani matumizi makubwa kuliko kipato ninachokiingiza
@fredymuhuro4540
@fredymuhuro4540 3 жыл бұрын
Kaka mimi niliwahi kufanya biashara lakini kilicho nifelisha ni isimamizi wa biashara yangu kwa sababu mda mwingi nilikua mbali na eneo la biashara hivyo ikanipeleka kupata hasara kubwa mno.. Nikalima pia usimamizi pia ukanifanya nifeli kwa kiasi kukubwa sana. Sasa nashindwa nifanyeje ili niweze tekeleza haya mambo mawili
@mujunior3664
@mujunior3664 3 жыл бұрын
Sasa uncle Kuna sisi ambao tupo na umri mdogo Kama miaka 20 tunasoma chuo unaweza kusaidian kuhusu ideas za biashara
@emmanuelmhina7176
@emmanuelmhina7176 3 жыл бұрын
uza nguo za wadada, mfano za ndani si gharama kubwa wao kununua, au juices; kwa sehemu za vyuo vitu kama chakula na juice ni rahisi kuuzika. najua huna friji ya kuhifadhia unaongea na wauza vyakula ambao wanazo anakuwa na kazi ya kukuhifadhia na kuuza pia.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Tafuta video Yangu inayosema BIASHARA 5 AMBAZO MWANACHUO ANAWEZA KUFANYA u
@awamkhalid5571
@awamkhalid5571 3 жыл бұрын
Marifa ndio kitu kikubwa kwenye biashara
@khamismshamu1864
@khamismshamu1864 3 жыл бұрын
Usimamizi
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 жыл бұрын
Tunaisubiria hiyo video kwa,hamu sana
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Naamini umeshaisikiliza
@husseinbhatia434
@husseinbhatia434 3 жыл бұрын
usimamiz mbovu ,kukosa maaarifa yakuifaham biashara na soko kwa ujumla
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Pole sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
Usimamizi na watu nilio wa chiaa 😢
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Pole sana, ila naamini utafanyia kazi makosa yako
@emmanueljoseph6171
@emmanueljoseph6171 3 жыл бұрын
Kaka mi nipo dubai nafanya kazi nataka nifanye biashara dubai to Tanzania watu waniagize bidhaa uku kwa hela zao,wanilipe kwa ajili ya kuwanunulia,nifanye nini waniamini au niweke rehani nini wajue siwadanganyi? nimejifunza kwa wakenya, kuliko mtu aingie gharama za Visa, nauli gharama za Hotel anitumie mimi kuokoa gharama hizo na mzigo ntamtumia bila shida
@kondoatown8765
@kondoatown8765 3 жыл бұрын
Big aidia . Ndg yngu kufanya hivyo ni lazima ujitoe Kwanza . Kwa namna yoyote . Jamaa yngu mmoja alianza kusafiri na Mara ya Kwanza nilimpa lift kwny roli. Ameenda kuchukua mzigo kwa pesa yke aliochukua oda teyari . Alianza kwa kumtembelea mteja wke ebwna naona unabidhaa hii je nikikuletea nkakuuzia kwa bei hii vipi ? Akaanza na wa Kwanzaa akatafuta na mwingine na mwengine kwa Sasa anapewa hela kma ilivyoaidia yko Kisha anawatumia . Japo yupo Dar tu na ananunua mzigo Dar kwnda mikoani na kwa Sasa anapata faida Mara mbili coz ananunua mzigo tan 15 . Ambapo anaikodi ile Gari. Kisha yy anapakia mzigo Kisha ule mzigo anauchagi kwa kila items . Mfano anakodi Gari milioni Kisha Kuna Aina Mia za mizigo kila Aina labda anachaji elfu Kazaa mwisho wa siku labda anapata kachaji milioni na laki Tatu. Hizo laki Tatu ndio faida Sasa akitoa hela ya wapakiaji nk . Kwa siku hakosi laki na hamsini na kuendelea maisha yanasonga .
@emmanueljoseph6171
@emmanueljoseph6171 3 жыл бұрын
@@kondoatown8765 asante sana kaka hakika umenitia moyo wa kutokukata tamaa,barikiwa sana
@harunmwazembe9980
@harunmwazembe9980 3 жыл бұрын
Ni kukosa usimamizi mzuri
@mariammaligwa8887
@mariammaligwa8887 3 жыл бұрын
Mawazo ya kutelekezwa na mtoto na kuondokewa na mama ambaye alikuwa Kama kiongozi kwangu, nilipoteza Kila kitu!
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 2 жыл бұрын
Usimamizi ninjambo la muhimu sana,asante Joel
NJIA YA KUONGEZA PESA ZAIDI - JOEL NANAUKA
7:57
Joel Nanauka
Рет қаралды 57 М.
Nini Ufanye Unapokosa Support? - Joel Nanauka
9:42
Joel Nanauka
Рет қаралды 122 М.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 2,2 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 18 МЛН
DALILI 4 ZA WAKATI WAKO WA KUINULIWA - JOEL NANAUKA
7:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 12 М.
UFANYE NINI UKIJIONA UKO "DOWN" SANA - JOEL NANAUKA
7:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 36 М.
JINSI YA KUTIMIZA MALENGO YAKO KWA MWAKA NA JOEL NANAUKA
3:16
NGUZO YA MAARIFA
Рет қаралды 942
Je,Kesho Utakuwa Wapi?
5:29
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.
MAMBO YA KUEPUKA ASUBUHI - JOEL NANAUKA
6:35
Joel Nanauka
Рет қаралды 117 М.
MAMBO 4 YANAYOSHIKILIA KESHO YAKO - JOEL NANAUKA
7:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 4,2 М.
Jinsi ya Kufanya Biashara Bila ya Mtaji Au Kwa Mtaji Mdogo Sana
8:09
EPUKA VITU HIVI VINAVYOPOTEZA MWELEKEO - JOEL NANAUKA
9:31
Joel Nanauka
Рет қаралды 8 М.
LIFE WISDOM: UFANYE NINI ILI WATU WAKUPENDE ZAIDI - JOEL NANAUKA
9:10