BABA NIKUTANISHE NA WATU WANAOTHAMINI NILICHONACHO WIKI HII KWA JINA LA YESUUUU.....
@MusaSelemani-x2cАй бұрын
Haleluyaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! Its exactly trueee nimepitia hapo ni sasa nipo mahali pengine mpaka namshangaa Mungu. Nilikuwa demoted ila nilijisikia amani moyoni na nikafanya kazi kwa bidii kazi zangu zikareference na nikawa naalikwa kusaidia wengine na kuwa appreciated hata ofisini nikawa sikaaa bila cheo. Nikajifunza kupitia video ya Kuongoza bila Cheo hadi nimeiandika kwa notebook yangu. Today I am another person Glory to God. Be Blessed brother. Nipo Dar ipo siku tutaonana
@AbdulkadirHaji-dd4uuАй бұрын
"Usiinue kiburi, inua unyenyekevu, na fanya kwa ubora zaidi" AHSANTE SANA DAKTARI. JOEL ARTHUR NANAUKA. kwa ujumbe mzuri. Mungu akubariq.
@joelnanaukaАй бұрын
Ahsante sana
@muddyhamza9606Ай бұрын
Nipo kwenye wakati huo🙏 thanks God 🙏💪
@shadrackkasekwa54658 күн бұрын
nimekuwa nikikuona tu my bro na kukufollow kwenye link zako ila leo nimemakinika na unachokisema ni fact hakika wakati wnagu wa kuinuliwa kifikra , kimaarifa na kiuchumi naanza kutambua ndo huu umefika japo haikuwa rahisi there are tough situation AMEN AMEN
@cattyrichard1714Ай бұрын
Amen, Mungu akubariki sana Mwalim na naomb aniinulie watu wa kuona kile nilichonacho
@khurlainashly5686Ай бұрын
Yani wewe ❤ndo nanza kukufatilia ila nakuelewa kinoma noma📌
@ShamimShamyАй бұрын
Ahsat kwa sir kibwa haki najiona watofaut mungu atulide na mahasidi,,,tuinuliwe Jolie Mungu akubariki
@joelnanaukaАй бұрын
Ameen Ahsante sana
@ENOSOUND15 күн бұрын
Amen nikweli hilo nimeliona kabisa "Mungu akubariki sana"
@SALMAramadhani-e3jАй бұрын
Asante Mtumishi naomba Mungu anikutanishe na watu watakaoona kilicho ndani yangu
@mosesfrancis84952 күн бұрын
👊👊
@abbywaziri7725Ай бұрын
Fanya kwa bidii zaid 🙏🙏
@sharonabnersalema5890Ай бұрын
Ujumbe mzuri Sana,nipe unyenyekevu na utii kwa hili.
@gloriakinyota-qv8ppАй бұрын
Dr.Joel Mungu azidi kukubariki,,,umekuwa sehemu ya mabadiliko katika maisha yangu🎉❤
@AbrahamuBukolionlineTv-ju6knАй бұрын
Ubarikiwe sana haya unayo yasema ni kwel kabisa Mungu aendelee kukuinua Sana
@Marthamodest-l7qАй бұрын
Ameen asante mtumishi ubarikiwe sana,kuna ishara 2 hapo nimeziona naamini ni wakati wangu wa Mungu kuniinua.
@LydiaowinoАй бұрын
Much humble before the lord
@MaryKabwe-r2x24 күн бұрын
Ubarikiwe sana na Mungu
@jameshirimaАй бұрын
BARIKIWA SANA DR.JO YOU ARE VALUE TO MANY🎉💯
@JosephMpangala-wd5mpАй бұрын
Asa nte sana, Mungu atukuzwesana, kwaajili Yako nayetu.
@AngelNelson-y4tАй бұрын
Naisubiri hyo siku jamn
@IsaacNgele-g4tАй бұрын
Asante sana kwa mafundisho Mungu aendelee kukubariki sana kiukweli minimekua nikisikiliza sana na kutizama video zako na ushauli wako kiukweli nikwamba ushauli wote unaotoa mimi unanigusa sana ila tatizo langu ni Moja tu nashindwa kuchukua maamzi tana nahitaji sana msada wenu kupitia kwenye maombi ili nibadilike Sasa kwenye huu ujumbe naomba niulize kitu kimoja kwa mfano ikitokea ishara zote hizo umeziona na ukiwa umeajiliwa na mtu mwingine arafu mtu huyo huyo akawa hakusapoti kwa kile unachomufanyia arafu wanaokusifiya kwamba unochokifanya nikozuri sana wakawa wa nje kwa mda huo wew unatakiwa kufanya nini? Boss wako kama hasamini unachokifanya alafu watu wa nje wakawa wanakisamina arafu nje huko huko pakawa na mtu anasema kwamba miningepata mtu kama wewe ningefika mbali sana hapo unatakiwa kufanya nini?
@OmanOman-c9dАй бұрын
Nasubir ❤❤❤
@winurasa6249Ай бұрын
AMEN🙏🙏🙏
@Egbethelneus-wj3bqАй бұрын
Mwamba sana Joel
@esthersimbeye5480Ай бұрын
Kwakweli mda umefikaa 🎉
@joelnanaukaАй бұрын
Umefikaa
@OmanOman-c9dАй бұрын
Shukran kaka joel ❤❤❤
@AlexJefwaАй бұрын
Asante Kaka Joel 🎉🎉
@NZAMUYEJosephАй бұрын
Thanks sana dk Joel nanauka my knoweledge connection
@joelnanaukaАй бұрын
Thank youu
@hebeyeАй бұрын
Bless you brother
@michaelbengesi9838Ай бұрын
Prophetic
@bonifaceferdinand566Ай бұрын
This is fact brother
@smartonlinetv5144Ай бұрын
Absolutely correct
@antonyojode5500Ай бұрын
Mwalimu wangu🙏🙏
@WebNet-f9eАй бұрын
It sounded so prophetic be blessed Joel nanauka
@NiyongaboAnacletАй бұрын
Much thanks for the inspiration🙏
@amanimoses7867Ай бұрын
Amen 🙏✍️
@celinedaniel7200Ай бұрын
Naona kama haiongei au ni kwangu
@christinahaule5591Ай бұрын
Ahsante kwa somo zuri
@PashalNestoryАй бұрын
Asante kwa leo
@emanuelnonga1666Ай бұрын
Mungu Baba naomba
@AnnaKavwangaАй бұрын
😭😭😭😭🙏🙏
@GiftyGeofreyАй бұрын
God Bless you 🙏🙏🙏
@AngelNelson-y4tАй бұрын
Asante sana 🙏hakika nimejifunza jambo Zur sana
@joelnanaukaАй бұрын
Nashukuru sana
@joelnanaukaАй бұрын
Tuendelee kujifunza
@AngelNelson-y4tАй бұрын
@@joelnanauka nikwel Teacher Barikiwa hakika unawatoa watu kwenye Giza la umaskini kwakwel Mungu akupe miaka Mingi sana 🙏🙏🙏
@kuruthumukondo7149Ай бұрын
Shukran kaka❤❤
@RegginaJohnАй бұрын
😊😊 mwalimu
@claudjohnАй бұрын
Asante
@muhangwamateo8262Ай бұрын
👍🏿
@JoyceHaule-o7bАй бұрын
Nasubiri kwa hamu
@joelnanaukaАй бұрын
Tuendelee kujifunza
@youngbr33zy76Ай бұрын
Broh mimi nataka nijiunge kwenye group ili nipate ufafanuzi nakuendelea kujifunza vitu veng🙏
@asiliyetu7892Ай бұрын
SAMAHAN KIONGOZI,, MM NAPENDA SANA KUSIKILIZA SIMULIZ NA MATUKIO YA KIHISTORIA, PIA NAPENDA KUSOMA FALSAFA ZA PHILOSOPHERS WA KALE KWENYE KAZ PIA NAPENDA NINGEKUA JASUSI KWA SABABU NAPENDA SANA MAISHA YA USIRI SO KLA MTU ANIJUE SANA, NAOMBA KUKUULIZIA JE MM NATAKIWA KUA NANI