Nini Ufanye Unapokosa Support? - Joel Nanauka

  Рет қаралды 122,291

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 505
@lilianlambo4095
@lilianlambo4095 5 жыл бұрын
Sasa leo umenifungua kwa nini watu hawani support...asante sana ntaji sapoti mwenyewe kwa jina la yesu...tenda mema uende zako usingoje shukran..mungu ndie mpangaji
@bressafya605
@bressafya605 5 жыл бұрын
Ubarikiwe mpaka ushangae! unachotoa ni darasa kubwa mno. MUNGU wa mbinguni akutane na haja za moyo wako, Hii sadaka ya mafundisho unayoitoa ifanyike manukato mbele za MUNGU BABA
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kwa Kujifunza
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Bress Afya nashukuru sana,endelea kuniombea pia
@marthazakayo9787
@marthazakayo9787 5 жыл бұрын
Nakukubal sanaaa
@elizamagesa3447
@elizamagesa3447 4 жыл бұрын
Nakupenda sana broo maneno yako ya Tia nguvu sana nilikata tamaa lakini katika hili naaza mpya
@liliangrace5436
@liliangrace5436 4 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka
@jamesmwalimu7705
@jamesmwalimu7705 5 жыл бұрын
amina nakuelewa sana ulinifanya nijue kuwa mwanadamu aakila milo mitatu kiufasaha anaweza akaishi miaka mingi na yenye furaha na amani,,,,twa paswa 1.kula kimwili mean mchan,jion,mloulio kamili na mazoez 2.tule kiakili means tusome na kujifunza kwa umakin. 3. tule kiroho means tuwe na imani tusali na tumuombe mungu kwa nguvu zote,,,,,thanks bro
@mercyfaith8126
@mercyfaith8126 5 жыл бұрын
Kiukweli umeokoa nafsi yangu. Ni mungu amenileta hapa. Asante sana kaka.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Pia Rafiki Endelea Kujifunza
@catherine-oj2sw
@catherine-oj2sw 3 жыл бұрын
Unisaidie swali boss alikuwa hajanilipa vizuri lakini sasa anacheleweshaa mshahara sana
@catherine-oj2sw
@catherine-oj2sw 3 жыл бұрын
Niko saudi boss name give up kunilipa vizuri nimekosa. Imani
@rolandpaul9465
@rolandpaul9465 5 жыл бұрын
Ahsante sana Brother @JoelNanauka , nimefarijika na pia nimefurahia sana haya mafundisho yako mazuri. Mungu akubariki sana
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Pia Rafiki Yangu Naomba Unisaidie Kushare Video Hii Na Kusubscribe Channel yangu #SeeYouAtTheTop
@rolandpaul9465
@rolandpaul9465 5 жыл бұрын
OK usijali Kaka
@boniphacedaud5160
@boniphacedaud5160 3 жыл бұрын
Kak kwahilo wala usijar nakuatilia kila hatua nakuombe kwa mung azid kukupa maalifa ya kutoa elim bola ya kiuchum
@emanuelchandugu5409
@emanuelchandugu5409 3 жыл бұрын
Amina ."""Nitajisupport mimi mwenyewe mpaka pale watakapo kuwa tayari kunisupport."" .mungu akubariki sana kaka joel.
@jamesibrahim8849
@jamesibrahim8849 5 жыл бұрын
Binafsi niliwahi kukosa sapoti, kilicho nisaidia nikutokata tamaa. Hivyo nashukuru Mwl. J. N. NANAUKA kuniongezea nyama katika hili, 'KUJISAPOTI MWENYEWE BILA YAKUTEGEMEA MTU MWINGINE'
@hamisimgaya7889
@hamisimgaya7889 5 жыл бұрын
Nakukubali xana nanauka
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Hii malipo makubwa yanatoka kwa mungu naipa asilimia 💯 💯 💯 nimekubali sana hii barikiwa sana brother 🙏 🙏
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Ahsante brother kwa kutuongezea nguvu 💪 💪 na ujasili wa kufanya jambo furani tuna songa mbele hatukati tamaa
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Pia Rafiki
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
@@thegirl1405 #SeeYouAtTheTop
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Amiin brother@@joelnanauka
@wemamuss
@wemamuss 5 жыл бұрын
Shukran kaka kwa kuendelea kutupa moyo Wa kusonga mbele, maana kuna waKat akili inachoka pale unapokosa support kwa mtu wako wa karibu sn. Ubarikiwa👐
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Karibu Tena Darasani
@KabilaDamas
@KabilaDamas Жыл бұрын
Aise Kaka jowel,nazidi kukushukuru Sana kwamatumaini haya umeendelea kunipa nguvu yakuto kata tamaa,kuziendea ndoto zangu.asante ,mbinu hizi ulizonifundisha nitaziishi hatanizifikie ndotozangu, mana Mungu ni Mungu haangarii Kama mwanadamu, nakunakitu ambacho nakiona maishani mwangu ,hakika sitapoteza utambulishohuu.japo nanenewa maneno yakunivunja moyo, nakuonekana mtuninae jifurajisha kuongengeaongea tu,but one day yes .
@annaglorykabuni6890
@annaglorykabuni6890 4 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel nabarikiwa mno kwa kutizama video zako, libarikiwe tumbo la mama aliekuleta kwenye huu ulimwengu zaidi unanibariki unaposema "see you at the top" n i believe
@asnaryissack2582
@asnaryissack2582 5 жыл бұрын
Brother you are the best, thanks so much! Nimejifunza point ya nne 4 be blessed! # see you too at the top
@jumamabruck7846
@jumamabruck7846 3 жыл бұрын
Asante ...Mungu akupe maisha marefu... tuzidi kupata elimu..
@greysonclastus2805
@greysonclastus2805 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana saana. Nilianza kukufatilia tangu mwez wa 5 ,1,2021. Nimebadilika sana ki_ mtazamo na kiuchumi. Nina mpango wa kufungua mgahawa. vifaa nimesha nunua bado tu wafanya kazi ili nifungue rasmi.
@clemencehaule3857
@clemencehaule3857 2 жыл бұрын
Asante Sana kwa somo zuri, binafsi kwa Sasa nipo katika kipindi ambacho naona kabisa kuwa nakosa support, niona Yale ambayo nadhamiria kuyafanya ni Kama hayaonekani kwa jamii
@beatusmpogoza4200
@beatusmpogoza4200 5 жыл бұрын
Ni kweli malipo ya MTU hutoka kwa Mungu, kuna wakati nafikiri nahitaji kupata sapoti kutoka kwa ninaowahudumia, mf. Mm ni mfamasia nahudumia wagonjwa, mwisho wa siku anatoka na lawama au anakutukana, so, nimejifunza kuwa, kuwa supported sio lazima. Thanks Mr. Nanauka.
@raphaeljoachim2665
@raphaeljoachim2665 4 жыл бұрын
Mimi nimekuelewa sana Joel,endelea na moyo huohuo,una taji yako mbinguni kwa elimu unayotupatia,binafsi nimeanza kufunguka kupitia mafundisho yako,ubarikiwe baba.
@selemaniabdallah5215
@selemaniabdallah5215 3 жыл бұрын
NITAJISAPOT MWENYEW MPK PALE WATAKAPOAMUA KUNISAPOTI...THAT IS A VERYVERY MOTIVATIONAL STATEMENT BE BLESSED AND KEEP IT UP...
@dianampemba3874
@dianampemba3874 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukuweka Kaka! binafsi unanifungua sana! uwe na maisha maref yenye baraka telee.
@revbarakaonyango8821
@revbarakaonyango8821 3 жыл бұрын
Nashukuru kwa somo lako nzuri , Mungu akubariki mtumishi
@Woundedbuffalo-sm2zs
@Woundedbuffalo-sm2zs 3 жыл бұрын
Nimejifunza kua aitakiwi kutegemea saport ya mtu na sapota ni we mwenyewa thanks brother
@29WavesTV
@29WavesTV 4 жыл бұрын
Amen Asante sana kwa neema ya ujumbe mzuri Mungu akubariki na azidi kukuinua
@joshuakaminyoge4954
@joshuakaminyoge4954 5 жыл бұрын
Joel Nanauka mbingu zashuhudia hakika una kipaji na ni speaker mzuri kuwah kutokea huwa naweza kusikiliza na kusikiliza hizi kazi zako hazinichoshi zinanipa faida tuuu. Utalipwa na Mungu 🙏
@furahasweya7433
@furahasweya7433 7 ай бұрын
Barikiwasana kaka Joel. Kila kukicha najifunza jambo kwako na ninajiona kuwa wa tofauti. Naahidi kuanzia sasa nitajisupport mwenyewe, na kufanya vitu vya kwa ubora zaidi si kwa kiwango cha kawaida. Mungu anisaidie na akubarikisana . Mafundisho yako ni muhimusana ktk maisha yangu
@denisharold4718
@denisharold4718 4 жыл бұрын
Mungu akubarik sana joel nanaika tunajifunza mengi kupitia ww umekua kama malaika wa mafanikio ktk maisha ya wat
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
Nanauka Nanauka jaman wewe! MUNGU Kaweka kitu cha ziada kwako,umegusa maisha yangu ,uko vizuri kwenye ufundishaji ,big up JOEL
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Judith Njunwa Ameen nashukuru sanaa🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@hassanlubola414
@hassanlubola414 5 жыл бұрын
Nimefrah sana kukutana na wewe brother Joel Nanauka kiukweli wewe ni mkombozi wa fikra zetu Mungu akutumie zaid!
@boazjumbe6875
@boazjumbe6875 Жыл бұрын
Nami nilikuwa nakwepa kuwaelewa watu nikitambua kuwa kamwe sitakuja kuwaelewa ahsante sana. JOEL
@felistamtafya3160
@felistamtafya3160 2 жыл бұрын
Thanks Mr Joel kwa kwel unagusa maisha ya wengi 🤝🤝
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 Жыл бұрын
Ameeen! Naomba Mungu anikumbuke! Asisahau mapambano yangu! Jeshi la mtu mmoja🙏
@lenfridachanga1482
@lenfridachanga1482 5 жыл бұрын
Asante sana,najifunza mengi kupitia wewe Mungu akubariki sana
@AsdAsd-qq1iv
@AsdAsd-qq1iv 3 жыл бұрын
Asante sana kaka joel mungu amekutuma kunisaidia.roho yangu ina ugua God bless u kaka joel.
@mrishobhaya8965
@mrishobhaya8965 Жыл бұрын
Du Leo umelenga Kwa kila pembe ya maisha ninayo ishi 1. Juhudi ninalipwa na Mungu 2. Kila nikifanya nakosa kuhungwa mkono 3 nilipoanza kufanikiwa juhudi zilipolomoshwa
@JudithChatila-gc9ow
@JudithChatila-gc9ow Жыл бұрын
Nimekuelewai sàna Joel Mungu akubariki sana
@anordbyamungu
@anordbyamungu 4 жыл бұрын
Asante Sana kiongoz kwa somo zuri
@efesojila815
@efesojila815 4 жыл бұрын
Barikiwa brother nanauka kwa somo zuri! Nimepata vitu vya kuniwezesha! Asante sana
@citymaxbookshoptanzania2924
@citymaxbookshoptanzania2924 5 жыл бұрын
Upo sahihi mr Joel ukitenda na kufikiria kwa njia nzuri kuhusu wewe na wengine utapata heshima kubwa sana na hakuna jambo kubwa katika maisha kama kufanya jambo kwa ubora na wakati mwingine fursa hupati kwakuwa hakuna kitu ambacho ni kisababishi cha wewe kupata fursa kubwa asante Joel na hata kama umeamua kuweka SAVINGS weka na itafika wakati utaona fursa kubwa katika kile ambacho unafanya.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Pia Rafiki Yangu Naomba Unisaidie Kushare Video Hii Na Kusubscribe Channel yangu #SeeYouAtTheTop
@michaelnyamba5211
@michaelnyamba5211 2 жыл бұрын
Ahsante kwa SoMo hats Mimi nakosa suppt kabisa ,kakati hiki nilicho jaliwa ,nimefungua chekechea
@gracethomas5298
@gracethomas5298 3 жыл бұрын
Ubarikiwe saana Joel kwa mafundisho yako
@rozinachao5256
@rozinachao5256 3 жыл бұрын
Thank you very much nimejifunza mengi be blessed
@makairokuyatei3364
@makairokuyatei3364 4 жыл бұрын
Mungu akuzidishie Baraka.
@neemamarco1742
@neemamarco1742 3 жыл бұрын
Asante sana Joel umenifungua macho, Mungu akulinde na kukuinua zaidi
@usuilyhenry2891
@usuilyhenry2891 6 ай бұрын
Asante sana kaka yaani unagusa maisha yangu kila nikikusikiliza
@eliyakyaolang8504
@eliyakyaolang8504 5 жыл бұрын
thanks my brother! massage nzuri sana imenifungua kwa upande flani
@rachealmwale3897
@rachealmwale3897 3 жыл бұрын
Amen. Barikiwa ndugu kwa mafunzo mazuri. Nimejifunza kitu.
@godmercyilluminatus51
@godmercyilluminatus51 5 жыл бұрын
Thank you very much Mr joel Nanauka.. you talked about something that really even though I was wondering why I didn't get support, you taught me something so great in my life. May bless you
@rehemabonza4529
@rehemabonza4529 5 жыл бұрын
God bless kaka wetu. Nimependa ulivyomkumbuka mungu katika mafunzo haya.
@yudamwakasala1866
@yudamwakasala1866 5 жыл бұрын
Asante Joel nanauka MUNGU anakutumia ww kusema nasi
@arnoldasava
@arnoldasava 5 жыл бұрын
Thank you, Joel. See you at the Top
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@nakudanatheresia22
@nakudanatheresia22 3 жыл бұрын
God bless you brother Thanks so much
@drallytv2018
@drallytv2018 4 жыл бұрын
Mimi hapa nilifanya kazi na baba yangu mdogo, nilifanya kazi na kaka yangu wa kuzaliwa tumbo moja, Nikianza na babangu mdogo, yeye imefikia hatua ya kunidhulumu haki yangu, maana yake ni kwamba? Mwanzo alilipia frem ya biashara lakini alisema hana uwezo wa kuendesha maduka mawili, kwa hiyo akaniamulu mm niendeshe duka hilo, ila akasema itakua itanipa kiasi cha pesa kila mwezi, maana mm nina majukumu mengi, mm nikaona sio tatizo kwangu, baadae kama mwaka umepita ananiambia sasa hivi duka hili langu, ukitaka uwe mfanya kazi, kama hutaki kaangalie maisha kwengine, hapo hapo ameita police ili nikigoma ama nisipo ridhia kwahilo bac anipeleke police endapo sitakuwa na uvumilivu labda hata kushikana mashati, lengo lake lilikua kunipoteza, pia kakaangu nae amefata shule ya huyo baba mdogo, naye alipewa shule na huyo babaetu mdogo, Sasa yeye mm nilimwambia nafungua duka lingine ili tuwe na maduka mawili, baadae anasema lile duka la mwanzo anasema la kwake yeye pekeake, mm nikaona mwenzangu naye kanigeuka? Sasa hivi nimefungua hilo duka lakini hakuna surporty wala nn, Na muda mwingine napata tabu sana kwenye biashara, pia hao wote wako radhi hata vitu dukani kwangu vipo lakini wanaenda kuunga mkono kwa watu hata sio ndugu yao, Na wanasema wakija kuninunuza vitu mm nitapata maendeleo, Ila mm nina imani kubwa kwa Mungu ipo siku malengo yangu yatatimia, Ni hivyo tu mshauri
@salomekombo215
@salomekombo215 2 жыл бұрын
Hakuna jambo lisilokua na mwsho ipo sku Mungu atakuinua ktk viwango vya juu usichoke kuomba
@priscardanier8264
@priscardanier8264 Жыл бұрын
MUNGU akutane na haja ya moyo wako
@costabeatus9492
@costabeatus9492 5 жыл бұрын
Shukuran kiongozo Mungu azidi kukubariki Ili tuendelee kujifunza mengi kupitia kwako
@francismusa4912
@francismusa4912 Жыл бұрын
Hakika nimejifunza mengi kutoka kwako. Barikiwa sana
@fredrickthobias7760
@fredrickthobias7760 4 жыл бұрын
Asante sana ubaikie kila wakati na kila sekunde mungu azd kukupa zaid
@beatricedanken8936
@beatricedanken8936 5 жыл бұрын
thank you brother be blessed forever kwakaz unayofanya kutupa maarifa
@fidelpendelelo5738
@fidelpendelelo5738 2 жыл бұрын
Hubarikiwe sana kaka sina lakuongea zaidi yakusema shukrani
@SAIDMALAGALAGA
@SAIDMALAGALAGA 2 ай бұрын
Kaka umenifanya niwee na furaja katika maisha yangu japo maisha yangu ya kawaida 👍
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 8 ай бұрын
Mungu akubariki kaka umeongea ukweli bila kujiamini hakuna maendeleo✍️🙏🇨🇩
@seifzongo320
@seifzongo320 5 жыл бұрын
Baraka za kweli zinatoka kwa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Pia Rafiki Yangu Naomba Unisaidie Kushare Video Hii Na Kusubscribe Channel yangu #SeeYouAtTheTop
@NeemaKabila-gd3nu
@NeemaKabila-gd3nu Жыл бұрын
Unazid kubadilisha maisha yangu,upendwe zaid na ubarikiwe sana.
@eliasbufula6290
@eliasbufula6290 5 жыл бұрын
Umeongea na mimi kuanzia mwanzo hadi mwisho, yote yamenihusu, asante sana kwa msaada huu kwangu. Nitazingatia haya, AMINA.
@salmabanga8962
@salmabanga8962 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@aminasimba4724
@aminasimba4724 Жыл бұрын
Ahsante nimekuelewa Kaka mungu akubariki sana
@alphoncedaud8561
@alphoncedaud8561 5 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka mkubwa somo lako limenihusu 100% kuanzia sasa nitafanya mwenyewe mpaka watakapo tambua jitihada zangu barikiwa sana mungu wa wote akupe ufanisi zaidi katika kila unachokifanya
@geraldjoel5727
@geraldjoel5727 4 жыл бұрын
Asante brother, Mungu akubariki
@abdallahmakubi8059
@abdallahmakubi8059 4 жыл бұрын
Nakuelewa sana bradhar kunawati unakosa kujiamin mtu sababu ni wanadam wanahila unatumia akili na nguvu lakini wanatumia kilasababu uzalaolike unachokifanya asante umenipa moyo
@johnchibanhila1850
@johnchibanhila1850 5 жыл бұрын
Point
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@salomekombo215
@salomekombo215 2 жыл бұрын
Asnte broo joel kwa kunifungua ntajifunza kujisapot mwenyew ubarikiwe 🙏
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 2 жыл бұрын
Asante sana
@brianamichale5528
@brianamichale5528 2 жыл бұрын
Daa Asante m2 wa mungu kuanzia sasa nimepata nguvu mpya
@LaurentiElikana
@LaurentiElikana Жыл бұрын
Asante brother kwaushari
@winnyshayo8812
@winnyshayo8812 5 жыл бұрын
Ameeen, Thank you so much brother.
@kisarawetv4348
@kisarawetv4348 5 жыл бұрын
Mama
@JoshuaNdaturu-i7f
@JoshuaNdaturu-i7f 8 ай бұрын
Asante sana nmejifunza kitu
@richiecharles2301
@richiecharles2301 4 жыл бұрын
Absolutelly br/Life coach.... Ninamiaka mitano nafanya volluntering katika kituo cha kusaidia vijana/jamii iliyoathirika na matumizi ya dawa za kulevya..
@heavenlypatric4822
@heavenlypatric4822 5 жыл бұрын
Ahsante umenipa ufahamu mpya kabisa.. Shukran sana Joel
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Shukrani Pia
@levinasoka1685
@levinasoka1685 5 жыл бұрын
Nashukuru kwa mafunzo mazuri Kaka, Asante!
@mariamissaahmed7675
@mariamissaahmed7675 5 жыл бұрын
Kweli kabisa! Thank you
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Thanks Too
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Asante Kujifunza Na Usiache Kujifunza.Kama Bado Haujasubscribe Channel Hii Fanya Hivyo Sasa.#SeeYouAtTheTop
@boniventuresonda
@boniventuresonda 3 жыл бұрын
Umenigusa sana hapo,watu wengi hatuamini kama unaweza kukosa sapoti hata kutoka kwa wazazi wako,lakini ukweli ni kweli wazazi wanaweza kutokukusapoti na usijue kwa nini!!imenitokea pande zote kwa Baba na Mama tena richa ya kuwasaidia mambo yao,ndiyo kuanzia hapo nikajifunza fanya kwa ajiri yako na MUNGU na si Binadamu🙏
@cuthbertthomas7059
@cuthbertthomas7059 3 жыл бұрын
Napenda elimu zako sana mimi ni mdau mkubwa wa vipindi vyako vina elimisha sana barikiwa
@milcahussein3899
@milcahussein3899 3 жыл бұрын
Ninasaidia sana hata watu nisiwoo wajua mtu akiniambia ninashida basi inauma lazima nitatuma msaada siyo kama nina uwezo bali Imani niliyojaliwa hivyo naomba Mungu anikumbuke anipe uwezo mwingi ili niweze saidia
@cashmoney6256
@cashmoney6256 4 жыл бұрын
Nimefurh kuipata hii channel leo big sharoti Joel falsafa nzuri Sana hii naomba kujua naweza kupata kitabu Cha saiklojia
@hamisially2414
@hamisially2414 4 жыл бұрын
Kaka shuklan sana kwa sabab mpaka leo sapot kwangu ni ndogo nimekusikia nimehamasik mungu akuzidishie
@anselemimchulo4084
@anselemimchulo4084 3 жыл бұрын
Hakika we ni mentor wangu brother, Mungu akubarik sana
@samikasongwere9163
@samikasongwere9163 Жыл бұрын
Mungu aku bariki sana
@upendomwasapi5235
@upendomwasapi5235 5 жыл бұрын
Brother i appreciate km unajua ninapopitia kazini kwangu...nipokea baraka zako na iwe kwangu kama ulivyosema in Jesus name 🙏
@martinalan7854
@martinalan7854 5 жыл бұрын
shukrani sana
@sarahwaswa5819
@sarahwaswa5819 3 жыл бұрын
Ukweli kabisa....asante sana bro mungu akutie nguvu
@kidoshokishy7492
@kidoshokishy7492 3 жыл бұрын
Asante Sana Nijifunza sababu Niko single mother nalea mwenyewe watoto kila support ya mtu
@dedisongeneralsupplies2109
@dedisongeneralsupplies2109 4 жыл бұрын
Nakushukuru sana kwa hii elimu ya kutokusubiri saport
@danielmwanza1507
@danielmwanza1507 4 жыл бұрын
Amina sana kaka ubarikiwe
@saudamussa6499
@saudamussa6499 5 жыл бұрын
Thanks mr j nanauka darasa zuri sana
@middlechristlight8117
@middlechristlight8117 5 жыл бұрын
Support ya MUNGU ni bora zaidi kuliko support iwayo yoyote ya Mwanadamu. Maana kwa support yake MUNGU hutupatia mambo muhimu zaidi mbali na Mwanadamu...!!! MUNGU pekee hutupatia UZIMA,AFYA,NGUVU na UBUNIFU kila siku ya kufikia MAKUSUDI ya kutuumba kwake na kuishi katika kusudi lake; na kutembea katika NDOTO YAKO kwa kumtazama MUNGU na si Wanadamu. MUNGU pekee hutusaidia kuendelea kutimiza majukumu tuliyonayo. BARIKIWA SANA BROTHER JOEL.
@kilolahmakondo766
@kilolahmakondo766 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Leo umegusa moyo wangu brother hasa icho kipengele cha mwisho.Nakuomba punguza kidogo speed unapoongea ili tuelewe ujue wengine hatuna uwezo wa kunasa maneno haraka haraka ivyo tusaidie ktk hilo. Ciao
@emmamasonga4847
@emmamasonga4847 5 жыл бұрын
umetisha sana kaka kwan hilo tatizo hua linanisumbua sana hivo nimejua nininifanye
@phanuelpaul3785
@phanuelpaul3785 5 жыл бұрын
Ahsnte Sana kwa point ya mwisho! ''Malipo makubwa yanatoka kwa Mungu'' waoooo!! Nimeipenda na ntayafanyia kazi yote haya maana mie ni mhanga wa kusubiri sapoti so kuanzia Leo ntafanya mwenywe
@josephkesoy7571
@josephkesoy7571 3 жыл бұрын
Asante sana kwa somo hilo
@omarykhalidi9603
@omarykhalidi9603 2 жыл бұрын
Asante sana bro nimekuelewa sana
@sleyshabani3644
@sleyshabani3644 4 жыл бұрын
Asante sana kaka hii session imekuja wakati muafaka
@amyclassic
@amyclassic 2 жыл бұрын
Asante sana kk
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 3 жыл бұрын
Daah my mentor. Kazini kwangu mimi hawana appreciation kabisa lkn kumbe nipo sahihi kwamba nilifundishwa na ma yangu kwamba chochote ntachofanya nifanye km hamna mtu mwingine atakayefanya na nifanye kwa nguvu zangu zote. Penda sana wewe mentor wangu
@monamzonge1398
@monamzonge1398 5 жыл бұрын
Asante sana kaka unanifungua akili yangu Mungu akubariki siku zote
@neemaonesmo7642
@neemaonesmo7642 5 жыл бұрын
Asante kwa kutupa nguvu,kweli malipo makubwa hutoka kwa mungu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@lucymasanja2947
@lucymasanja2947 3 жыл бұрын
Mungu akubariki uwez jua t nikwakias gan umenisaidia kwahili dalasa leo Mungu akubariki sana kaka
LIFE WISDOM : FANYA HAYA ILI USIJUTE UZEENI - JOEL NANAUKA
12:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 24 М.
DHAMIRA YA WANAOKUSAPOTI UNACHOKIFANYA JOEL NANAUKA
7:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 4,9 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 6 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 31 МЛН
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,4 МЛН
JOEL NANAUKA: Siri ya mafanikio mwaka 2021 mambo 6 ya kuzingatia
26:21
Maeneo 4 Ya Kumjua Mtu Vizuri - Joel Nanauka
6:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 122 М.
KUJENGA JINA KWENYE KILE UNACHOKIFANYA - JOEL NANAUKA
7:11
Joel Nanauka
Рет қаралды 36 М.
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Godly voice family
Рет қаралды 16 М.
LIFE WISDOM : MATUMAINI KATIKA KIPINDI CHA KUSUBIRI - JOEL NANAUKA
16:49
LIFE WISDOM : KWA NINI WANAKUCHUKULIA POA - JOEL NANAUKA
13:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 41 М.
VIGEZO VYA KUJUA WATU SAHIHI - JOEL NANAUKA
7:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 50 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34