Post kama hizi zinahitaji kuwa na views kuanzia Billion na kuendelea,lakin tatizo watanzania wengi tunaishi na tabia kama hizi cz tunahisi kama tuna disiwa kumbe tuna pewa Elimu....Kaka unaweza sana #WorkHard #I_got_α_chαnges 4ur words.
@saumuyahaya8959 Жыл бұрын
Hapa kazini kwangu nimeshakutana nayo kwa maboss na wafanya kazi wenzangu lkn nilijitahidi na kazi sikukata tamaa mwisho nilifanikiwa Asante kaka unanielimisha sanaaaaaa
@komboomar82755 жыл бұрын
Brother ni kioo cha jamii nizaidi ya mwalimu ww ni zaidi ya mshauri unayoyasema yoteee ndio tulionayo kwenye jamii na ndio changa moto zetu hakika Allah akubarik daima uwe na maisha marefu mia 900
@innocentkyungai11384 жыл бұрын
Nakusikiaga Sana kaka ila sijawahi pata muda wa kukufuatilia hakika kuanzia leo maneno yako ni chakula changu Cha kila siku Kama iliyokuwa kwa mitimingi!.
@tumaingideon52372 жыл бұрын
Brother thanks
@lesionlukumay5195 Жыл бұрын
Brother mm nina shida kubwa sana màana anae nisema vibaya ni mume wangu na kila akisema ukimuuliza anasema nimeteleza nisamehe anarudia kila mara najikuta naumia sana lakini hajali
@lesionlukumay5195 Жыл бұрын
Naomba msaada
@manenolugendo63965 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana kunawatu wanaweza wakasema vibaya sababu umewazidi cheo au umewazidi pesa au kiwango flani. Mwingine anweza sema vibaya sababu tu umemkopesha pesa anachelewa kulipa nawe unaitaka hivyo anaanza kupakaza mbovu. Mwingine labda alikua rafiki lakini ukamtenga sababu anapenda Starehe wewe unapenda kuwekeza hivyo lazima aseme mbovu. Ahasante kwa Ujumbe Bro.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Maneno Lugendo Ni Kweli kabisa
@salamahamadisudi19124 жыл бұрын
Asante kaka nimejifunza ilikuwa na kerwa Sana na binadamu km hawa lkn Sai nitawapotezea niangalie mambo yangu ya maana
@bahatiinnocent43753 жыл бұрын
Asante kwa sharing. Ikumbukwe mtu wenye matunda yaliyokomaa na kuiva ndio hurushiwa mawe. Wanatusha mawe ili nawe uwarushie matunda yako. Nini cha kufanya. Kusanya mawe jenga jukwaa kubwa endelea kung'aa watakuzoea.
@happinessbitababaje29705 жыл бұрын
Asante Yesu, nimepata majibu maana nimepitia changamoto hizi kazini kwangu. Barikiwa bro uishi milele
@joelnanauka5 жыл бұрын
shukrani sana. endelea kubaki na sisi kuna video nyingi zinakuja
@festonmwampashe57675 жыл бұрын
Big up bro mungu akupe long life na ukuongezee uwezo zaidi ya juu ulinao @
@queennossy9213 жыл бұрын
I like this guy Nanauka ananimotivate sana my God blessed u more
@samwelalex84175 жыл бұрын
Waooooo!!!!! Nmejifunza. Nmekutana na kundi la 3 but pia la 4 hadi nmeamua kumake decision Ya kuhama kituo cha kazi licha ya kwamba maeneo yale nilkua Tayar nmeanzisha biashara yangu Nzuri. Nilikua depressed Kwa kipindi kirefu. Nashukuru Mungu now baada ya kuhama nmetulia na inabidi kuanza MAISHA/KUJIPANGA vizuri.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Samwel Alex pole kwa changamoto na hongera kwa kuchukua hatua haraka kabla mambo hayajaharibika
@meshackngadango68555 жыл бұрын
Pole sana,Mungu mwema utafika utakapo tu
@amariaelieneza18544 жыл бұрын
Jamani Mimi nimekutana na yote. KWA sasa napambana na kundi no nne. Asante kwa kunipa njia ya kuishi nao. Wooowooooo. Keep on what you doing. 💪💪💪💪💪💪
@johnkapalamula4351 Жыл бұрын
Asante sana.napitia hayo kazini nafanya kila jukumu langu vizuritu.lakini mtu mmoja aliepewa mamlaka uniripoti vibaya.emefikia nakosa Raha oficini. kila ninachofanya yeye nikibayatu.
@4gtradingimpex201 Жыл бұрын
Thanks kaka nimependa somo lako kwani napitia hizi hatua zote lakini umenifungua mawazo kwa sababu haya yote nilikuwa nafanya na kumbe nilikuwa sahihi kabisa ahsante kwa kuniongezea nguvu na hatua mia mbele.Barikiwa
@ahmuhally44304 жыл бұрын
This is one among your best speech.Hongera sana Teacher
@gracedamas58833 жыл бұрын
Nimekua nikisemwa vibaya tena pale tu ninapoongea Ukweli ktk kufikisha ujumbe sehemu tofauti ndugu marafiki. Lakn leo umenifungua ufahamu wangu kaka Joel nanauka Mungu akubariki sana
@marthahaule83373 жыл бұрын
Asante kwa ushauri wako nitaendelea kuufanyia kazi. Mimi nimekutanana na makundi hayo yote na yameniumiza sana na kujisikia kukata tamaa sana lkn huwanaachilia baadae ili maisha mengine yaendelee japo huwa kunakipindi nasikia sana kuumia tena.
@GetaryAyera Жыл бұрын
Umeongea ukweli kabisaa 🙏.Mimi hapa kazi ninachangamoto mengi sana😢😢kusemwa,kudharauliwa na kukosa furaha😢
@mansourkhamis457 Жыл бұрын
Pole sana 😢
@dialukando86056 ай бұрын
Kiukweli sio wewe tu,Kuna watu ni mashetani hasa makazini
@nathanmateow94555 жыл бұрын
Asante rafiki yangu wa dhati nimeguswa ni watu wa karibu kama ulivyofundisha walitaka kunishusha thamani,sasa ntakabiliana nao sitakubali wafanikiwe nasonga mbele,thanks very much.
@AbelIshaninga-dy2sf4 ай бұрын
Mungu akubariki xana kaka huwa naelewa sana Masomo yako na yananifundisha sana
@جزجزشكطا5 жыл бұрын
Asante sana kaka elimu yako ni pana mno malipo sina ila mungu atakulipa
@freshman99133 жыл бұрын
Aisee asante sana kwa maneno yako mazur nimezidi kujifunza vitu vingi hata watu watu wakijaribu kunisema vibaya na puuza na songa mbele mungu akubarik sana joel nanauka
@HappyDuck-cd2cx6 ай бұрын
Asante umeniponya kidonda kikubwa mno mungu akubariki Sana 🙏🙏
@glorymushi54252 жыл бұрын
Thankyou bratherwew ni mshauri sana kwenye jamiii muda mwingine huwa tunakatamaaa kupitia watu wanaotuzunguka
@jacobnduya7983 жыл бұрын
Asante kwa somo nzuri. Mimi karibia nimekutana na makundi hayo lkn ni wale ambao hawana cha kufanya na oppressors
@irenedaudi6382 жыл бұрын
Nimefurah mno nilichukia ila kwa kukusikiliza wewe nimepona....God bless you my brother
@StellaSimon-o3t2 ай бұрын
Asante sana nimejifunza kitu kwa upande wangu makundi yote nimeshakutana nayo
@furahairene18293 жыл бұрын
Asante Sana Joel,yaan mm n mkenya bt mafunzo yako yamenifanya niiujue ulimwengu,najiona hata mtu akinifinyilia namna gani tyr huwa nmepata jawabu lake,maisha s rahisi Ila n rahisi ukijikubali na kujitoa vilivyo,barikiwa kaka
@yolandasebastian685 Жыл бұрын
Kaka Asante kwa ushauri makundi yote manne nimekutana nayo.
@sugarkheri46802 жыл бұрын
Barikiwa Sana kaka J Umenigusa kwa sasa hapo kwenye kusemwa kuna ambao wanakusema kwa watu wengine hawa tunawakabili vipi
@LinuskalokolaNicolaus6 ай бұрын
Kwakwel brother unafundisha vzur sana aisee na nmekuelewa sana na ninakuombea maisha marefu yenye baraka na mafanikio makubwa sana katka maisha yako yote 🙏🙏
@BahatiIssa-ly9nw15 күн бұрын
Ahsante kaka kwa kutufundisha vyema mungu akubariki
@alimatambwe34022 жыл бұрын
Barikiwa sana Mimi niwafanya kazi wenzangu huwa kila siku wanaenda kinisema vibaya kwa boss alafu wakiwa na Mimi wanajifanya marafiki
@josephmwanyika83005 жыл бұрын
Asante Sana kaka daa elimu yako nzuri sana haya mambo yako Sana kwenye jamii zetu. hata ndugu kwa ndugu tuliozaliwa pamoja ipo somo la nne ilo saana Mungu akubaliki Sana..
@maseiafricano12503 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu yako nzuri nimejifunza kitu kwa somo lako mungu akubari sana mwalimu
@elisantemrerimmwiri31585 жыл бұрын
Thanks brother for the powerful speech, your helping me on my way of life.
@charlzzesonconsciousness66855 жыл бұрын
Mm watu kunisema vibaya hainiogopeshi sana lakini mtu ambaye tunaheshimiana na anayenifahamu vzuri kwa muda mlefu akinisema vbaya lazma nikae chini kujitafakari.
@saficharles2165 жыл бұрын
Kaka asante kwa mafundisho mazur ubarikiwe
@mumanyimulyowa83614 жыл бұрын
Ndio wale namba mbili umeshauriwa usikae kimya tetea haki yako dhidi yao
@mugishafrank31835 жыл бұрын
Asante saana kwa kweli masomo yako yanatujenga saana Mungu azidi kukupa afya njema kbsa. Mimi kundi la pili na la nne lakini sana sana kundi la pili la kutaka kushusha thamani yangu muendelee kutupa ushauri. Asante barikiwa zaidi.
@lydiaedwin39983 жыл бұрын
Ahsante Sana kaka Joel umenirudisha now ,daah nilikuwa nataman kuacha Kaz eti. Nimekuwa jasili
@kitegwelucas15625 жыл бұрын
Kiongozi me nakuelewaga sana motivation zako na napenda sana kukusikiliza #God_bless_you👏👏👏
@margritkraeuchi87235 жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho kaka .je mm nasemwa vibaya muno n a dada mdogo na dugu wa kubwa hata wameninyaganya mashamba zangu tatu .na huyu dadang mudogo hana kitu lakini anagombea kuwika kuniliko na hana kitu mm ndo mwenye mali nyingi kumliko .nifanyeke Brooo
@chrismassawe3265 жыл бұрын
Nakushkuru mwalimu Joel nimezungukwa na vitu hivo nimepata majibu leo asant sanaa
@reginamkuti76152 жыл бұрын
Barikiwa sanaa mimi karibia Anna zote nimekutana nazo sema nashukuru nimepata mbinu yakukabiliana nao🙏🙏🙏
@zuhuraabdillah69415 жыл бұрын
kiukwel bro makundi yote nimekutana nayo maeneo ya kazi. kundi la watu wanaotaka kukutoa kwenye focus ni changamoto kubwa. Nashkuru kwa kunielimisha am still doing great
@aminahahlubayt73992 жыл бұрын
Kaka nashukur sana nimejifunza kitu allah akubariki sana. Ila mimi hayo yote yananikabili kwa sasa,nilichokifanya ni kuwapuuzia na sina habari nao kbsa,na nahisi imenissidia kiasi fulani hv cha kuumia
@roseirungo19505 жыл бұрын
Nimekipenda sana hichi pikindi yaani Nimeweza kukambiliana na kundi No 1,2,3 kwa sasa nimesimamia 4....Many thanks to God since I make my circle too small my life have changed 🙏👌
@mwanaharusialifakifaki87165 жыл бұрын
kundi la nne la kwanza nimenigusa mno ahsantenimejifunza binadam wana sura mbili mbili ,umenenakaka ,mm nyonge sipendaji kujibu ila huwa wanavijembe kila nkitabasamu kumbe sitakiwi niwe mnyonge.mafanikio yangu yanawauma sana watu ,ahsante mungu akueke miaka 10000.
@seifzongo3205 жыл бұрын
Wanataka kunitoa kweny focus.... huyu mm kabisa watu wanataka kunitoa...I'm keeping doing the right thing , Asante sn kaka
@joelnanauka5 жыл бұрын
Seif Zongo kabisa Zongo
@johnsonbagambi10865 жыл бұрын
Tuko pamoja
@alihassanhaiba69375 жыл бұрын
Ahsante sana ,mm wakati nipo chuo Uganda nilikutana na point ya 4 kwa watanzania wenzangu lakin nilifocus kwenye masomo yangu at end I got award. best student
@zahrazukher43373 жыл бұрын
Asantee sanaa mm nipo kwenye ndoa ila mume wang ali weza kuwa na mwanamke mwingine naa aka mpa namba yang nakuaza kunitumia sms zakejeli na kunambia maneno yakuumiza sanaa' sasa hii Hali Bado inanitesa sanaa zile sms bado zinaishi kwenye kichwani kwangu nimeshidwa kuzisahau
@mikalucas2553 ай бұрын
Mungu akubaliki sana akufanyie wepesi katika mambo yako
@glorymmbando9223 жыл бұрын
ASANTE Kaka Kwa Elimu nzur MUNGU Akujalie Maisha Marefu Uzi kuelimisha Wtu Zaid.. Kikuwe makundi yote nimekutana nayo jamni, Ila Nime elimika sasa .. MUNGU Akubark Kaka🙏
Blaza Joel Nanauka. Nakubali kazi yako lakin Naomba ujaribu kuweka vitabu vyako katika online viwe katika e-book Kwan utaweza kujipatia kipato lakin kubwa zaid utatusaidia sisi WA mikoan kupata kwa wepesi
@asteriambwei955 жыл бұрын
Una mafundisho manzuri na shati lako linzuri sana wewe ni mwalimu ? Unaongea ukweli mno unanifurahisha ndiyo shida ya sisi wanadamu
@meshackngadango68555 жыл бұрын
Ha!ha!ha,shirt zuri au siyoo!
@fahadabdulrazaq6704 жыл бұрын
Exactly brother, may Allah bless your hand work
@jacksonmoshi11524 жыл бұрын
Thanx brother umenifundisha mambo mengi Sana'a
@catemutindi15352 жыл бұрын
Asante sana Mr .Noel mimi nimepitia hayo umesema mahali nahishi na mmoja anajinya rafiki yangu
@achiamwenda87882 жыл бұрын
Ukweli kundi namba 1na 2 nimekuta a nao kazini japo kuna wakati namba 2 niliwahi kumjibu akapunguza kuongea asantee Sana kaka
@sallymaritim95954 жыл бұрын
Asante Joel umenibadisha kweli.
@mwanaharusialifakifaki87165 жыл бұрын
Ahsante wapo watu hunisema mbele ya uso wangu mara nyingi hunyamaza na huwa mnyoge mpk ikafikia kipindi husema kwa kuwaskia kuwa tunamuumiza malusudi ashindwe concentrate akose furaha .kaka umesema kweli ahsante nakupenda bureeeee mungu akueke ktk uhai wangu wote ili niishi kwa raha duniani ,unajua mwanzo akili yangu hakuwa kubwa mm ukinipa kijembe ukinsema vobaya nacheka tu ila sasa nimeishi nawatu nakuwa nafaham .km hiki mlengwa ni mm imekua shida napoteza furaha yangu ya asili .ahsantee
@michaeltimoth3663 жыл бұрын
Nice presentation...binafsi nishakutana na makundi yote 4
@proscovialongino11 ай бұрын
Asante sana kaka kwa ushauri wako watu wa Ivo Nami ninao ninapoishi lkn baada ya kuwagundua tabia zao niliamua kukaa kimya ila bado wanaongea ila mi Niko kimya
@mwajumamwishehe34235 жыл бұрын
Asante kaka Mimi namba nne wanataka kunitoa katika muereleo wangu Ila nakomaa. Nao 😬😬
@akhousesolutionsltd94332 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Ningekupenda zaidi ukiwa unaongeya tu kiswahili bila kucanganya vingereza maana tunawatu wasosikia kingereza arafu kiramara tunaombwa eti tuwaelezee umemaanisha nini sisi tunaomba uwe unaonge kiswahili mwanzo mwisho❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@Usawa_phonetech5 жыл бұрын
Salute unabadili maisha yangu kila kuitwapo leo your words they empower than I can imagine
@joelnanauka5 жыл бұрын
David Nh‘aranga thanks so much nashukuru sanaa
@neemaelisha8145 жыл бұрын
Asante kaka kwa somo lako nzuri mm nakutana naye kwenye familia tena naishi nayo, nimepata wakati mgumu sana hadi nimejikuta yule alinisema vibaya nimemchukia na siongei naye zaidi ya salamu kwakweli napata tabu sana kuishi naye kwasababu sikutegemea kama yy angeweza kunisema hiyvo
@obadiatweve20062 жыл бұрын
Kaka ushauri wako ni mzr sana mungu akubariki akutie moyo 🙏🙏🙏
@rahemahrahemah27195 жыл бұрын
Shukraan Kaka Joel Kwa mafunzo mazuri unayotufundisha , hiyo number mmoja inanikabili Sana Kwa sasa , nikiwa nao wananichekea nikiwapa mgongo wananisema vby hua nashindwa nifanye nn nabk kuwaangalia tu nawala siwaonyeshi Sura ya kuchukia .
@maggiepeter89364 жыл бұрын
Powerful words mwalimu....
@DiazPilipili9 ай бұрын
Asante mwalimu, mimi kusemwa vibaya kwangu ni rutuba , ninapo semwa vibaya ndipo naendelea tena zaidi
@johnluhwa83425 жыл бұрын
Shkrani kaka Joel, nikwel bro unacho tufundisha kuna watu raha yao nikuona mtu kachukia.
@Elizabeth-i9z6 ай бұрын
Asante kwa elimu yako
@nyangenyange57173 жыл бұрын
Asante sana duh rafiki hao wote nimekubana nao nashkur kwakunikumbusha
@amariaelieneza18544 жыл бұрын
Mungu akubariki my Son( Joel is my first born) ujumbe umenifunua. Hahaaaaa HATA KWETU WAPO.
@abdulatifismail35694 жыл бұрын
Hii video kaka Joel inafunza sana mungu akubariki broo
@mariammwambungu31744 жыл бұрын
Asante sana nikweli nimejifuza Sana.
@samweliponera11003 жыл бұрын
Kaka Joel yesu akubariki sana
@victoriabulambo20293 жыл бұрын
Asante sana pastor nimejifunza kitu 🙏
@rosehezron74515 жыл бұрын
bratha I salute you. makundi yote yapo lkn chamsingi hapo ni namna ya kuepukana nao kama ulivotuelimisha mengine tuyapuuze lkn wengine the a confront# clip nzur hii 100%
@88bello5 Жыл бұрын
Sehem yoyote ya kipato sana hii changamoto changamoto ila, Ahsante kwa ushauri bruh tupo pamoja🇰🇪
@thegirl14055 жыл бұрын
Shukraan brother barikiwa sana
@ramadhanalmashamza34582 жыл бұрын
Asante sana kaka mimi ninakutana na kundi namba nne ambao wanataka nitoke kwenye kufocus ndoto zangu ila nimejifunza kuendelea kua na msimamo
@nevernicodem84205 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel leo nimekuelewa vzriiiii kbsa Mungu akubariki
@barakastephenmollel24335 жыл бұрын
ahsante brother nakupata
@CalvinMteyeko2 ай бұрын
Shukran sama kak unatusaidia sana
@barwani8903 жыл бұрын
Shukraan bro maneno yko ni kweli na yashatufika lkn nimepuuza na nitazidi kujifunza ktka kwako .from oman
@shemsamussa6084 жыл бұрын
Asante xana kwa lecture kaka ,kweli kabisa uyasemayo
@neemamroso68645 жыл бұрын
Kundi naomba 2 na no 4 wananitesa kazini kaka.Nimejifunza shukrani
@NeemaKabila-gd3nu3 ай бұрын
We n Bora sana kaka, Kaz nzur ubarkiwe🎉
@kelvinmponzi46642 жыл бұрын
Najifunza mengi sana kutoka kwenye mafundisho yako, ubarikiwe sana
@lauchungulau92555 жыл бұрын
Thank you so much teacher joel for the power full speech I Lean something god bless you so much
@joelnanauka5 жыл бұрын
Lauchungu Lau Ameen thanks so much Lauchungu
@eliasevelin8694 жыл бұрын
god bless you my brother
@jackypaul88462 жыл бұрын
@@joelnanauka kaka na je kama sitaki kabisa kuzungumza nae yaani kila siku group ya whatsap mambo ya kazi ananisema vibaya yaani ana na kagroup ka wenzie ka wa5 nilishamcomfront face to face ila kwa sasa sihitaji kuongea nae tena, je nikimkalia kimya?bado ataniona mnyonge?
@winniemlay88835 жыл бұрын
Joel my mentor,,,,,,,unaongea na mimi asante brooo asanteee sanaaaa
@joelnanauka5 жыл бұрын
Winnie Mlay nashukuru sana karibu tuendelee kujifunza
@sarahbenjamen5629 Жыл бұрын
Nimefurahishwa na mafundosho Yako na naendakuwa the best nilikuwa nasumbuliwa sana na kundi la pili na la nne kidogo la pili nilikuwa napambana nisiwemnyonge Kwa asilimia Fulani hivi nilifaulu ila hili la nne oooh nilitolewa kwenye mstari nataka kurudi sasa kwenye mstari🙏🙏🙏
@kinogomuriga86315 жыл бұрын
Uko vizuri sana kk. 💕
@gregorymmasi34425 жыл бұрын
Mr Joel Nanauka, watu hawa wanaopenda kuvuruga mwelekeo wa watu (Such as vision destructers) nimekutana nao sana. Wengi hawana dira, wamejawa na wivu, maana ni kama wanafanana na hawa oppressive people. For sure, wengi wenye sifa moja katika hizi nne; they do possess the other characters, therefore ni vingumu kuwatenganisha. For me ill keep mixing all the strategies as i learned in this video.
@eunicemachunde9865 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel kwa ushauri na mafunzo pia nimebarikiwa
@mevomohamed5553 жыл бұрын
Asante brother nimejifunza mengi kupitia wewe
@josephtinginya38605 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Mr Joel ,kwan hata walio dislike mawazo yako hawako tofaut na hao wanaoweza kukusema vibaya ,kwan mambo ya msingi unatuelimisha bado mtu mwingine anakuwa against na ww.
@safinessfrank26803 жыл бұрын
Ni kweli kaka
@suleimanmakwega92333 жыл бұрын
Me ni miongozi wa watu ninaesemwa vibaya Sana sana nikiwa naenda kazini na nikimaliza mda wa kazi naenda Kusoma masomo ya kawaida
@EuniaRyaga-zd3zx11 ай бұрын
May God bless you! You are the one whom I appreciate
@joannafula94963 жыл бұрын
Ahsante brother. Joel
@mariamyoyote81724 жыл бұрын
Kwel kaka hiyo ya nne ni true imewah nikuta wakati ambao nimepata nafas ya kaz kuliibuka maneno mengi Sana lengo nikate tamaaaa but niliumia nilitaka kuahirisha lkn nilisimama nikapiga moyo konde had sasa nashukuru Niko vizur
@nuruzeniaboubacar79005 жыл бұрын
Asante sana kaka kwakunifunua ubongo ubarikiwe
@gchancedon2 жыл бұрын
Nakuelewa sana kaka masomo Yako yananiondoa sehem moja kwenda nyingine
@pambachannel883511 ай бұрын
Kundi namba moja niko nalo so, Nipe mbinu za kuwapuuzia