Рет қаралды 2,583
Kilimo cha Lavi (funzaa) watokanao na inzi chuma washika hatamu Tanzania.
Funza hawa ambao huandaliwa katika sehemu maalamu wamekuwa chanjo mbadala wa chakula cha mifugo kwakuwa hutengeneza kiwango kikubwa cha protini na hupatikana kwa bei nafuu zaidi ukilinganisha na vyakula vingine vya mifugo.
Katika kiwanda hiki cha Mambwepande huzalisha Funza milioni 20 kila siku.
Na kusambaza katika hifadhi mbalimbali za mifugo kama samaki na kuku.