Mungu mwenyezi Hatubariki kabisa kwa kazi ambayo tuko naji toa kwa kumutumikia , wimbo hizi ni bendera zangu n'a inuaka kila Siku . Mimi ni PAPA JEFF hapa Congo katika taune ya Kolwezi Jimbo ya Lwalaba . N'a penda ku gawanya na nyinyi habari jema pamoja . Please kwa namna ya mimi kwandika katika lunga tukufu la swahili , nina tatizo kwandika nazoea french . Isikilivu wema .
@nabwikekyokyo49069 ай бұрын
Wimbo una upako
@fredrickmunyoki324510 ай бұрын
The awesomeness in this song and the way it blesssing my heart, Glory be to God. Much love brethren.
@davydtongy904610 ай бұрын
Again,my favorite song, keep blessing us Ufunuo Choir🇰🇪
@beatricenjanda246510 ай бұрын
Hakika Mungu anatuongoza katika magumu na kutuleta kwenye wepesi! Si nguvu zangu bali ni kwa uweza wake tu
@francischaula58278 ай бұрын
Amen amen good song napenda Sana mwimbo huuu!!!
@marynyangaya-zx7sk2 ай бұрын
this song made me know this group and nikawapenda buretu❤❤❤❤
@calvertnkurlu890810 ай бұрын
Hakika ni Wimbo unaonibariki sana!
@rehemajingu390910 ай бұрын
Moyo wangu usisahau matendo ya Mungu kwako🙏
@RojonNdunguru4 ай бұрын
Sitokusahau Mungu wangu
@DonathaMlwilo4 ай бұрын
Sitosahau kuwa kwenye Kila ninalipitia Mungu Yuko mbele
@doreenmuthoni88036 ай бұрын
I can never get enough of this song. I listen to it over and over. God bless you Ufunuo
@fredygeofrey8 ай бұрын
Dah,the first one with white man was fire,this is 10th times I look the video,you nailed it
@margaretkinyanjui4979 ай бұрын
Best song ever.
@SelinaSelinal10 ай бұрын
Hakika Mungu awabariki sana mnanibariki sana
@debiproducts669610 ай бұрын
Wimbo matata sana ila mngeurekodi na zilezile sare ambazo zilifanya wimbo kunana nazo
@mariahaggu18098 ай бұрын
Halleluiah! May God bless each one of you members of Ufunuo Choir; your singing is of another level! May you continue praising and worshiping the Almighty God through His Holy Word like you do. Asanteni sana sana sana kwa kunibariki kwa nyimbo zenu nzuri na zenye jumbe maridhawa! Mungu aendelee kuwainua kutoka utukufu hadi utukufu mnapoeneza Injili yake!🙏
@AloyceAssenga-z4o10 ай бұрын
Tunzeni Siri iliyowapa Neema hii na ufunuo wa kina Kama huu
@maryamumbua9 ай бұрын
Kwanza hio part ya ‘katika mema yako.....
@HappyKavira-rq9ru6 ай бұрын
Nyimbo zenu zinanibariki Sanaa nawa penda sana
@laureanmugisha3824 ай бұрын
Mungu awabariki sana ..na awape Maisha marefu
@adelaj.k592010 ай бұрын
hongereni kwa ujumbe, ila we should remember that God likes a clear difference between a man and a woman. Barikiweni sana
@EsterShaban-q9c10 ай бұрын
Mbarikiwe sana mungu awainue zaidi❤
@maryamumbua9 ай бұрын
I love love this song
@stellaswai43910 ай бұрын
Wimbo mzuri mno mmetabasamu poa yaani
@BenHook-rm5to10 ай бұрын
nzuri sanaaaaaaa
@prosperjoseph3267Ай бұрын
❤❤❤
@ChristinaMbena6 ай бұрын
Nzur sana
@dennispeterson28814 ай бұрын
Bass 🔥🔥🔥
@grolyqueen583310 ай бұрын
Huu wimbo SI una video yake mmeu record upyaa Tena kale kasale kako pambe sanaaa
@jephonaplatinumz847510 ай бұрын
Nabarikiwa sana nyimbo zenu wapendwa
@mverakazungu171410 ай бұрын
My favorite ❤❤❤
@lucymbwaga115510 ай бұрын
Usahau hata kidogo
@florajerry937610 ай бұрын
I like yjis song be blessed ufunuo
@barakamfilinge694310 ай бұрын
Bora mmerudia na kutengeneza vizuri video ya huu wimbo❤
@devdelias939010 ай бұрын
Mbalikiw sana
@NathanaelIlunda10 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@momylaviel10 ай бұрын
My favorite
@LinnetNafula10 ай бұрын
You guys are on 🔥🔥🔥
@aikamichael59459 ай бұрын
I love this song 🙏
@LinahYusto7 ай бұрын
❤❤❤❤🎉
@furahishajerry783210 ай бұрын
😊😊❤❤❤ 🔥 🔥 🔥
@EuniferGee10 ай бұрын
I just heard this song a few minutes ago and am in love.