Ufunuo Choir - Mwanamke Tasa (Official Video

  Рет қаралды 205,837

UFUNUO CHOIR

UFUNUO CHOIR

Күн бұрын

Пікірлер: 171
@lowasameliyo4027
@lowasameliyo4027 10 ай бұрын
Nmebarikiwa mpka nashangaa Sanaa kama umebarikiwa kama mim wape likes zao
@JacquelineBaholerwa-hv7gv
@JacquelineBaholerwa-hv7gv Күн бұрын
Mimi uwaga na skiliza nyimbo zao kila siku siwezi lala siku skia au kuona iwę tv mungu awalinde sana kweli
@lachelkasambaganya6273
@lachelkasambaganya6273 Жыл бұрын
Hiii kwaya ina balaaa mie muislam ila hapa kuna hatar🎉🎉🎉🎉mungu awaongoze
@BlandinaNjama
@BlandinaNjama Жыл бұрын
Amen karibu sana
@sashalemmoh3264
@sashalemmoh3264 Жыл бұрын
Malibu nyumbani kwabwana❤
@neemakikoti5091
@neemakikoti5091 Жыл бұрын
Kwa Yesu kuna raha sana ukimpa Yesu maisha yako hutojutia kipenzi
@McJullytz
@McJullytz Жыл бұрын
Amen❤
@PeterA.Meshack-mu5rw
@PeterA.Meshack-mu5rw 10 ай бұрын
OKoka ndugu
@anak72565
@anak72565 3 ай бұрын
Ameeeeen, nilikuwa tasa, lakini Leo Mungu amenibariki na watoto wane🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@Lynn_Makau
@Lynn_Makau Жыл бұрын
Awww Amazing ❤ in love with this❤ wapi likes za ufunuo choir❤
@mverakazungu1714
@mverakazungu1714 Жыл бұрын
The best choir East Africa..Mungu awazidishie katika hii huduma,yaani mna hudumu kutoka mioyoni alafu Mmebarikiwa yaani kila mmoja wenu hapo mwimbaji...❤❤nawapenda buree kutoka kenya
@dr.lisheofficial7894
@dr.lisheofficial7894 Жыл бұрын
Mwenyezi azidi kuwapa mafunuo naawabariki sana msipungukiwe hata siku moja kiuchumi na hata katika kila hali ili mzidi kutambua kuwa kumtumikia bwana kuna faida. Amen❤❤❤
@violetndibwire4338
@violetndibwire4338 Жыл бұрын
Wako vizuri sana. Ni mahubiri tosha.
@maki5449
@maki5449 Жыл бұрын
Guys for me u r the best choir in Tz🇹🇿🇹🇿keep shining.mnanibariki mno
@AdelinaMalunde
@AdelinaMalunde 10 ай бұрын
Mungu azidi kuwabariki sana nabarikiwa mnoo na nyimbo zenu Miko vizuri hongereni sana Mungu azidi kuwapandisha viwango vya juu zaidi
@AndatiAbsai
@AndatiAbsai Жыл бұрын
Our east Africa joyous celebration...Sasa watoe video kwa stage kubwa..level ya joyous celebration...wanaeza..joe from kenya
@ufunuochoir
@ufunuochoir Жыл бұрын
thank you
@ufunuochoir
@ufunuochoir 10 ай бұрын
www.boomplay.com/albums/80176278?from=search&srModel=COPYLINK&srList=WEB
@ThadeoESimon-be9my
@ThadeoESimon-be9my Жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi wa Mungu, kwa kazi yenu ya kuihubiri injili kupitia uimbaji. Ushauri wangu kwa upande wa mavazi kwa Wana wake Wana paswa kubadilika na kubadilisha vazi hilo maana siyo vazi lenye heshima na utukufu mbele za Mungu. maana biblia inasema mwana mke asivae vazi li mpasalo mwana ume. Asante.
@pendothomas7885
@pendothomas7885 9 ай бұрын
Sio vazi lenye heshima kwa mtazamo wako😂😂
@ThadeoESimon-be9my
@ThadeoESimon-be9my 9 ай бұрын
@@pendothomas7885 Kwa mtazamo wangu tena? “Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako. ” Kumbukumbu la Torati 22:5
@jeremkya1
@jeremkya1 Жыл бұрын
Waoh...waoh...kazi njema saaana,full of message.Hogereni Sana ....Na pia congratulations Mwalimu Emma.Mungu amekupa Kibali
@agnesnewa
@agnesnewa Жыл бұрын
Mnajua mnajua mnajua tena , nyimbo zenu nzur zina ujumbe mzur na zinamtoa mtu hatua moja kwenda nyingine , mzidi kubarikiwa
@waliwilson6804
@waliwilson6804 11 күн бұрын
Aiseee 🔥🔥🔥🔥ufunuo mnatisha
@neemanyongoto3910
@neemanyongoto3910 Жыл бұрын
My bebe luvanda vocalist wangu
@ibrahimsonyofficiel1640
@ibrahimsonyofficiel1640 Жыл бұрын
Une très bonne chanson pour bénir l'église corps du Christ. Mungu awabariki choir Ufunuo❤❤❤❤
@ufunuochoir
@ufunuochoir Жыл бұрын
amen
@ayubmakenzi9804
@ayubmakenzi9804 Жыл бұрын
🎉🎉 Kwakweli wapewe maua yao🔥🔥 Ufunuo choir Mungu awainue zaidi
@BarikiGodson
@BarikiGodson 4 ай бұрын
Jaman mungu awainue zaidi
@sund2553
@sund2553 10 ай бұрын
Ila bebeluvanda anaimba bwana 🙌Waoooh finally hii nyimbo imetoka lkn mbona imekuw fupi hivi😮😅 binafs nil ifahamu hii kwaya kupitia hii nyimbo kipande cha 'mim sitaogopa mabaya' kili trend mda fln mitandaoni.
@gifftygabriel375
@gifftygabriel375 Жыл бұрын
Nawapenda sana ufunuo chini ya mwalimu Emmanuel Deus ❤❤
@EliaIvan
@EliaIvan Жыл бұрын
Daaah! MUNGU awainue kwa viwango vya juu zaid huu wimbo kila siku nausikiliza zaidi ya maramoja aisee kwake yesu mim ni mshindi pia naweza kwake mi ni wathamani ❤❤🔥🔥🔥
@alikomwandoto1258
@alikomwandoto1258 Жыл бұрын
Amani tele ,,, amenitoa mbali sana❤❤
@AbubakarSeif
@AbubakarSeif Жыл бұрын
This is the best choir i have listened to in a long time. Their songs touch and minister to me in a different way. God bless you all and help you to continue standing in salvation. An ideal song for "Mother's day"....from Kenya
@nyotaangel148
@nyotaangel148 Жыл бұрын
Onger watoto wa baba mungu awatie guvu
@FestoMwamiho
@FestoMwamiho Жыл бұрын
Hongerni sana nyimbo nzuri
@geoffreyambasi9601
@geoffreyambasi9601 8 ай бұрын
I thought I was alone kumbe tuko wengi ,such an awesome choir
@AbubakarSeif
@AbubakarSeif 3 ай бұрын
​@@geoffreyambasi9601 so true
@jemmymajuani5889
@jemmymajuani5889 Жыл бұрын
Amina nabalikiwa kupitia hii nyimbo hakika me nimushindi kwa Jina la Yesu
@lilianwanderi9918
@lilianwanderi9918 Жыл бұрын
waow waow waow,,,,,, the best choir...lovely message i love you guys very much ufunuo choir
@ufunuochoir
@ufunuochoir Жыл бұрын
Thankyou God bless you
@gabrielsiame5725
@gabrielsiame5725 Жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu baba yetu nina barikiwa sana na nyimbo zenu Am from Zambia
@HairathyAthumani
@HairathyAthumani 3 ай бұрын
Awe mama wawatoto wenye furaha kweli amiiin
@JeanPaulMusego-ls3sd
@JeanPaulMusego-ls3sd Ай бұрын
Mu barikiwe zaidi
@henrybaraka5258
@henrybaraka5258 9 ай бұрын
God bless you all ...napenda uimbajii wa kwaya hii....hakuna mbwembwe nyingi......sauti zimenyooka....ujumbe unausikia kila Kona. Kwaya nyingine zijifunze. Kutoka kwa hawa. I hope hamtabadirika...kama kwaya nyingine...zilizokuwa za imba vizuri...eti Sasa zinajiita za kisasa. Eti kuimba kwa sauti zinazopindapinda ndo modern gospel 🤔😂😂 Ufunuo choir Keep it up...mko on track msitoke.
@tiffysimba4434
@tiffysimba4434 6 ай бұрын
Mnapatikana wapi jamani honestly I feel like every one is blessed as a soloist in this choir ❤ nawapendaaaaaaaaaaaaa mpaka naishiwa nguvu
@MusaJames-te9xw
@MusaJames-te9xw 6 ай бұрын
Kimara Bonyokwa kwa Askofu Bendera
@merrynzohumpa3996
@merrynzohumpa3996 Жыл бұрын
Nabarikiwa na huduma yenu sana hakika kazi yenu ni njema sana
@thomasbarriye4807
@thomasbarriye4807 2 ай бұрын
Kw upande wa wanaume maua yaende kwa bonge hapo maana anajituma san mpaka raha jamn aliyetunyongea tai nyeusi soloolisty wetu hapo 🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉
@catherinenyanda9597
@catherinenyanda9597 Жыл бұрын
Mungu awabariki saana kwa nyimbo zinanibariki saana ila hapo tu kwenye sare wanawake baadhi tujirekebishe tusije tukalikosea Neno la Mungu
@lusogo_albert_1
@lusogo_albert_1 4 ай бұрын
Hii nyimbo nzuri saaana ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@BenedictorYona
@BenedictorYona Жыл бұрын
Hiki kinaitwa kipawaaaaaa,yanii kwelii nimebarikiwaa
@paullekina6395
@paullekina6395 8 ай бұрын
My always morning song tu ignite my days much love kenya
@JENIPHANESTORY
@JENIPHANESTORY 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉Bwana umuweka nyumbani mwanmke âliyetsa na kùâny mâm wâtoto🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu azidi kuwainua
@daisykirui154
@daisykirui154 2 ай бұрын
Very powerful song albino guy I like the way he's sings
@DavidiKambona
@DavidiKambona 5 ай бұрын
Nabarikiwasana nauu wimbo hapa congo nikiusikiliza mungu awabairki sana.wapiga vyombo nawaimbaji wote sauti mzuri nainayo sikikika vizuri mungu awatienguvu amein
@berylphilip6922
@berylphilip6922 9 ай бұрын
Kwa majira haya mungu amewatuma ili wengine tugundue makuu ya mungu juu ya maisha yetu. MBARIKIWE SANA
@Dftygiikgdschjnbb
@Dftygiikgdschjnbb Жыл бұрын
nzuri sanaaa
@DaniellaBisimwa
@DaniellaBisimwa 7 ай бұрын
Am really blessed with this song ooooooooooo may God bless this choir for me
@LailathShabani
@LailathShabani 2 ай бұрын
Nyimb hii naipenda xan kunamuda najikuta nalia mwenyew hakika mungu yupo
@JacklineCharles-v3k
@JacklineCharles-v3k 2 ай бұрын
Hongelen Sana nawapenda napenda nyimbo zenu,,mungu awabarik
@westheguitarist8546
@westheguitarist8546 Жыл бұрын
Tanzanian music is so beautiful. Keeping the tradition from original choirs of the 80s. I love Tz, from Kenya
@Madamletty
@Madamletty 9 ай бұрын
My mzungu❤, my bebe❤na solo wa pili,mwenye besi km langu,anajua kutabasamu huyu❤ love you so much, mmetisha sana, MUNGU AWAINUE
@emerymapendobabonangenda6219
@emerymapendobabonangenda6219 4 ай бұрын
Nawapenda sana kabisa
@agripinaenock2411
@agripinaenock2411 10 ай бұрын
That was fantastic duh God bless you🎉🎉🎉
@magrethnjonanje
@magrethnjonanje 4 ай бұрын
Kumtumikia Mungu ni Raha sana, nabarikiwa na nyimbo zenu❤
@TeddylameckTeddy-q5o
@TeddylameckTeddy-q5o 3 ай бұрын
Mungu awabariki❤❤❤
@McJullytz
@McJullytz Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sanaa
@MagrethMwita-n3j
@MagrethMwita-n3j 10 ай бұрын
Mungu awe nanyi watumishi wa mungu❤❤❤
@neemafumbe8036
@neemafumbe8036 8 ай бұрын
The last leader though😇👐🥰
@kwiligwashija2571
@kwiligwashija2571 9 ай бұрын
wako sawa MUNGU awabariki
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 Жыл бұрын
Mzungu wangu❤❤❤❤❤
@nathannyiti1052
@nathannyiti1052 11 ай бұрын
❤ best soloists ever blessed massages I love this majestically choir
@SALMANGAZI-ni8pl
@SALMANGAZI-ni8pl 8 ай бұрын
yani hii kwaya kama waliingia ndani yangu na wakaona then wakatunga hii kwaya huyu mungu sijui ata niseme nini mungu sanaaa baba yetu sushi maisha marefu yenye heri na baraka tele
@kennedymuthiani3076
@kennedymuthiani3076 8 ай бұрын
Tangu ni uone wimbo wa usisahau jamani hii ndio choir ambayo ilinibariki kwa nyimbo zenye utunzi mkali na wakumkaribisha mtu kwa Bwana Yesu....barikiweni sana kenya we love you
@gracebakunzi2399
@gracebakunzi2399 Жыл бұрын
I'm blessed by this song
@diananamalwa4573
@diananamalwa4573 Жыл бұрын
I really love huyu ndugu zeruzeru ❤❤❤. More love from Kenya 🇰🇪 t
@tegemlowe1144
@tegemlowe1144 11 ай бұрын
Nawapenda sana nyiee Mungu awainuee zaidi katika huduma hiii ya uimbaji
@lauranekesa6748
@lauranekesa6748 Жыл бұрын
Ufunguo Choir you are the best,keep doing what God has called you to do❤
@officielyamndile3634
@officielyamndile3634 8 ай бұрын
Napenda san uimbaji wenu but zaidi step zenuu amazing sichoki watazama❤❤
@monicamsanjila6205
@monicamsanjila6205 6 ай бұрын
WOOW! UTUKUFU KWA BWANA UFUNUO KWAYA MNAIMBA VIZUR SANA HUYU KIJANA MWEUPE ANA SAUTI NZURI MNO NA WOTE MKO VIZURI MUNGU AZIDI KUWATUMIA KAMA VYOMBO VITEULE KWA UTUKUFU WA JINA LAKEEE. HONGRENI SANA
@releiabby6201
@releiabby6201 10 ай бұрын
Choir with amazing soloists! This young lady wuee. Amen to the beautiful worship!
@dorcasmanda1793
@dorcasmanda1793 8 ай бұрын
Wow,just bumped on this music and it's powerful
@sedeckiempawenayp
@sedeckiempawenayp 10 ай бұрын
I love so much your song is very nice God bless you 🙏
@mathewaugustino-dn2ms
@mathewaugustino-dn2ms Жыл бұрын
Awe mama wa watoto,,,, wenye furaha ! Glory, Glory,be to the GOD ALMIGHTY.Thanks ufunuo choir for this incredible blessings from the real GOD ALMIGHTY, be blessed more and more !
@MamRecho
@MamRecho 5 ай бұрын
mumgu aikuze kwaya hii zaid na zaid ❤❤
@charlesbundi2861
@charlesbundi2861 9 ай бұрын
Wonderful ❤
@JohanithaMugango
@JohanithaMugango 10 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na hii kwaya nyimbo zao nizakinabii na ufunuo tosha.
@lindamaglan9829
@lindamaglan9829 10 ай бұрын
Yan mm mwenye nibarikiwa nao natamani niwakaribishe kweny kanisa letu
@alicedamas484
@alicedamas484 9 ай бұрын
Be blessed 🙌
@sheilamrogoro8641
@sheilamrogoro8641 Жыл бұрын
Be blessed guys.especially guy in white shirt great vocalist
@aunclemdogo4741
@aunclemdogo4741 6 ай бұрын
The Mzungu guy blessed with everything
@sharonchepkoech3734
@sharonchepkoech3734 10 ай бұрын
Am feel so bless with this choir may almighty God bless you guys and keep you guys ❤❤
@jentamwadime5910
@jentamwadime5910 10 ай бұрын
That was fantastic. God bless you
@EMMANUELMBASA-fj6ud
@EMMANUELMBASA-fj6ud 8 ай бұрын
God bless all of them.
@ZakiaMwakikonyola
@ZakiaMwakikonyola 6 ай бұрын
Amen and Amen❤❤❤❤
@furahaemmily
@furahaemmily Жыл бұрын
Mungu amenifanya wa thamani😢....God bless you for this message
@maki5449
@maki5449 Жыл бұрын
Beautiful,am so blessed!!❤❤
@dullamuso6955
@dullamuso6955 7 ай бұрын
My favourite Choir hakika mnanibariki
@rizikilubula4078
@rizikilubula4078 11 ай бұрын
Wabarikiwe Watumishi was Bwana !
@restyledhvedasto3603
@restyledhvedasto3603 6 ай бұрын
Mzungu ukakosha mioyo ya watu
@eliyajohn4388
@eliyajohn4388 Жыл бұрын
Mnapatikana wap daresalaam nimeipenda kazi yenu MUNGU awabariki sana
@NathanaelIlunda
@NathanaelIlunda Жыл бұрын
Kimara Kwa asikofu bendera
@marystephen1183
@marystephen1183 Жыл бұрын
Nimerudia mara nyingi sana na bado narudia
@KennyfireSol
@KennyfireSol 10 ай бұрын
Asante sana kwa iyo nyimbo ina ni bariki sana
@benjaminkiwelu79
@benjaminkiwelu79 Жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema sitaogopa mabaya Mungu azidi kuwainua watumishi wa Bwana
@glorymsangi4961
@glorymsangi4961 Жыл бұрын
Nimebarikiwa mno.... Awe mama wa watoto wenyefuraha ...
@Iamwinningspirit27
@Iamwinningspirit27 Жыл бұрын
God bless you servants of GOD👏👏👏👏👏 five star CHOIR ❤❤❤❤❤
@veronicanyamsusa4974
@veronicanyamsusa4974 10 ай бұрын
Mmeimba vizuri sana ila wanawake mngevaa sketi mngependeza zaidi
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 10 ай бұрын
Umeona eeh! Na Sijui Kiongozi wao au mchungaji wao alikubalije hii kitu🤔🤔
@CheyoEver
@CheyoEver 7 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@AnnmeriaAloa
@AnnmeriaAloa Жыл бұрын
God keep lifting you dearest ones 🙏
@NuruMwatebela
@NuruMwatebela 10 ай бұрын
Mungu awabariki mnoo
@vicentlawrence8087
@vicentlawrence8087 Жыл бұрын
I see Tuma 🎉
@florencegaikia7656
@florencegaikia7656 Жыл бұрын
Always a blessing to listen to these great voices...and the message always uplifting.
@binajohn3675
@binajohn3675 Жыл бұрын
Hii kwayaa mungu awabaliki sanaa huu wimboo unanibaliki sanaa mbalikiwe sanaa na munguu❤️
@genevievesunday
@genevievesunday Жыл бұрын
Mbalikiwe kwanyimbo nzuri
@niyuhirecharlotte112
@niyuhirecharlotte112 8 ай бұрын
Nawapenda sana from Burundi.
@mathewaugustino-dn2ms
@mathewaugustino-dn2ms Жыл бұрын
Awe mama wa watoto,,,,,!
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 6 МЛН
Ufunuo Choir - Malaika (Official Music Video)
8:54
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 114 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Sija ona kama wewe by Patrick Kubuya
11:13
Patrick Kubuya
Рет қаралды 7 МЛН
Agape Gospel Band - Shuka Yesu (Live Music Video)
16:15
Agape Gospel Band
Рет қаралды 190 М.
Ufunuo Choir - Usisahau (Official Music Video)
9:30
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 118 М.
Ufunuo Choir -  Maisha Yangu  (Live Performance )
8:20
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 1,2 МЛН
Ufunuo Choir -Africa (Official Music Video)
11:10
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 22 М.
BELLAKOMBO   UMENIONGEZA  OFFICIAL VIDEO
8:54
Bella Kombo
Рет қаралды 73 М.
Atasimama (Akutetee) official live video - Bethlehem Choir
13:16
Bethlehem Choir Moshi
Рет қаралды 822 М.
Ufunuo Choir - Maisha Yangu (Official Music Video)
8:21
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 125 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН