Jamani huyo alubino duuh hakika mungu ni mwema amemjalia kipaji anachrza vizur na wanaosolo jamani mpaka najikuta nalia kwa machozi ya fulaha natamani na Mimi kufikia levo zao😂❤
@lovenessmalisa76345 күн бұрын
Amina. Uwimbo mzuri kwa kukumbushwa zaidi. Mungu atufanyie wepesi tuwe na moyo wa kushukuru
@ElviraMwalukasa6 күн бұрын
Mungu akuonekanie,,ila unajua sitaki kusema sana moyo wako unajua
@amarimlwafu54746 күн бұрын
Mungu awabariki Sana wimbo umeimbwa vzuri Sana
@Manasse-d4n7 күн бұрын
Mama kijacho hongera nakuona😂
@Manasse-d4n7 күн бұрын
Hii kwaya kwa kweli Mungu kawabariki mmeitendea haki injili
@eddygad28587 күн бұрын
Iyo choras kenshi abana twakunze kuyiririmba muri sunday school
@mariawandiba67368 күн бұрын
Wimbo mzuri sana umenipa faraja bado naurudia kuusikiliza
@morrisboja10448 күн бұрын
Love the choir..all the moves is killing my vibes.. but stand out is my Albino brother. Cheerio bro..just repeating to see you dance..Bless you bro..from Papua New Guinea 🇵🇬
@CatherineSamky9 күн бұрын
I am blessed yani
@marthageorge504310 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@matakasa10 күн бұрын
Keep it up!. A nice Gospel song
@AgnesMokwa11 күн бұрын
mbalikiwe
@gifftygabriel-n4z11 күн бұрын
Mungu atupe uzima naafya katika jina la yesu🙏🙏🙏🙏
@StevenMbele-q8q12 күн бұрын
Namkubali sana uyo dada muimbishaji na uyo mtunzi wa wimbo huu
@bartonlesilwa215313 күн бұрын
Wako vizuri
@AliciaJuma-b2n13 күн бұрын
Kabisa Amina sana nawapend kwa kazi yenu mungu awainue zaid
@ramayagroup7713 күн бұрын
I love the muzungu allow me to call him that way he sings and dances with passion.....even in the usinisahau song.very dope.great brother you inspire me.mungu akubariki
@Fellybhoke-y3u13 күн бұрын
Best song ever..... ❤❤
@RebekaJames-w9c14 күн бұрын
Sijui ningekuwa wap mm, asante mungu wangu. Nawapenda❤
@YonaSonelo15 күн бұрын
Soloist nakupongeza sana umeimbisha vizuri sana sana tena umeuvaa wimbo wewe ni wa kimataifa
@EllyUrio15 күн бұрын
😢asingekua mungu ningekua wapi asante mungu Kwa Kwa dam ya thamani iliyo mwagika pale msalabani Kwa aajili yangu
@rangyatarimu371615 күн бұрын
Dada Tina, the best soloist wa ufunuo choir Nakupenda kwa moyo wangu wote. Mungu akubariki, akuinue zaidi na akuzidishe katika kipaji na unyenyekevu mbele zake
@HellenMaren16 күн бұрын
Congratulations, ❤ this
@deborahunesa594317 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@EllyUrio17 күн бұрын
Katika mema yako namafikio yako useme motoni mwako nguvu zangu nauweza wangu ndio ulio nipatia utajiri huuu nimaneno niujumbe mzito sana
@EllyUrio17 күн бұрын
Piga kelele Kwa mzungu kama unabarikiwa na mzungu piga lek apo chini
@EllyUrio17 күн бұрын
Nilipo sikiliza wimbo huu nimepatia amani kubwa sana mmoyoni mungu awabariki sana
@EllyUrio17 күн бұрын
Nabarikiwa sana nauimbaji wenu tena hambagui kwenye usororisti mbarikiwe sana mwe waimbaji wa mataifa
@KisaMajura-b9l17 күн бұрын
🙏🙏
@Gopale-e4g19 күн бұрын
Naupenda huu wimbo unanbark
@PendoJoseph-i9k20 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RhodaOdera-k6n20 күн бұрын
Where in Tanzania naweza pata hi choir,much love from Kenya
@RhodaOdera-k6n17 күн бұрын
Iwil always listen 👂 to this song 100 time's aday much Love from Kenya
@lilianwere962820 күн бұрын
Shukrani kwa ukumbusho wa jinsi Mungu amekuwa mwema kwangu. Halleluyah
@SIMEONKISAVA20 күн бұрын
Ila jose chikweza na kaka zungu aloyce mmejua kunigusa
@lordvickmsechu651621 күн бұрын
Haleluuuuuuya Glory to God who providing everything let worshipping Him