mm ndo wakwanza leo kwenye bongo 5 naombeni like zangu jamani hata 6 zinanitosha
@aboudsaeedali4 ай бұрын
Huyu ndio big brother ameongea points
@hezronjoseph4054 ай бұрын
Kuteseka nmechoka ,nyimbo inankumbusha ,,nlikua na maisha magumu Sana that days😭😭
@lavimusic_3 ай бұрын
Hiyo ngoma ndo ilifanya niwe shabiki wa Kiba
@hezronjoseph4053 ай бұрын
@@lavimusic_ 🤝nakubali saa🔥🔥
@sircharles81283 ай бұрын
inaitwa aje hii ngoma@@lavimusic_
@solanzatanzania3 ай бұрын
Huyu bro Dully sykes alinifanya na mimi kujikita kwenye kufanya muziki mpaka leo nikipata bahati ya kukutana nae nitamwambia
@JohngeophreyKivamba4 ай бұрын
Dully apewe heshima yake avalishwe crown ya bongo fravour
@Qqambaa3 ай бұрын
Btw dully amechangia pakubwa kuivukisha mziki wa bongo im from Mombasa
@AmisamauridNgagada3 ай бұрын
Xaxa Hawa ndo wafalme wa BONGO flavor kaka mkubwa Prince Dully Sykes akiwa na mdogo wake King Ally salehe kiba 💓💓💓💓💓💓💓
@nickphotographer_76404 ай бұрын
Daaaaah sounds chafu
@abdullahkazungu40254 ай бұрын
Natamani pia siku moja kiba na mond nao wapatane kama ivi ivi
@BagoShabani4 ай бұрын
hio ndo maana halisi ya wanamuziki wakubwa 5 kwa hawa watu
@daudthomas4153 ай бұрын
alkiba unanikumbusha mbali sana 2008 nkaanza kukubali mziki wako dah bas2 nakumbuka mbali sana naninyimbo ambayo naikubali sana katka albam ya cindelela inaitwa kuteseka
@harakationlinetv82243 ай бұрын
Safi sana dully Sykes yupo smart kimuonekano tizama wasanii wengne wa zamani wanatia huruma
@KadustaBoy4 ай бұрын
me wa pili naomba like za kutosha
@Peterchipemba3 ай бұрын
Alikiba,,ni msanii mwenye hekima busara na utulivu sana,,hana mambo mengi,,kiukwer ametulia
@swabilimohamedi46304 ай бұрын
Walikua na ugomvi
@brunomwacha88804 ай бұрын
Nimependa majina yaliyoko kwenye bango kwa nyuma hukoo mmetishaaa