Ugomvi wa P-Square: Mr P aandika barua ndefu kumjibu Paul ‘Najiuliza unafaidika nini kwa kunidharau?

  Рет қаралды 23,108

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 155
@Humanity21216
@Humanity21216 29 күн бұрын
Mr P ameandika kwa utulivu na facts kibao 🙌❤️
@miltonmugisha1805
@miltonmugisha1805 28 күн бұрын
Ngumu sana kujibiwa kwa hoja
@JaphetMwakitwange
@JaphetMwakitwange 29 күн бұрын
Ili ni somo kubwa sana,hata ndugu mtoke tumbo moja kuna namna tu mtatofautiana,Mungu bariki familia yangu
@ahmedbakari9443
@ahmedbakari9443 29 күн бұрын
Namkubari sana mr p anajua mziki sana pia mstarsbu ana mambo meng
@innocentboykid2442
@innocentboykid2442 23 күн бұрын
Mr p anadance bhn wala hana tungo tata
@boazambokile2587
@boazambokile2587 29 күн бұрын
bro napenda sana unavo tangaza
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 29 күн бұрын
Inasikitisha sana lakini huyu anaonekana ANAHEKIMA
@zayumar2955
@zayumar2955 22 күн бұрын
Daaah mapacha Jmn Mungu awasimamie wawe pa1 kama zaman wao ni mapacha wasisikilize maneno ya watu Jmn I wish mama yao angekuwepo wasingekuwa na huu ugomvi muendelezo 😢😢 tunawapenda jmn wakiwa pa1❤❤❤
@noswingofficial9624
@noswingofficial9624 29 күн бұрын
Mr_P is the greatest
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 29 күн бұрын
Wanangu nyie ni ndugu shetani gani kawapitia. Naomba mpendane mrudiane msameheane. Mm ni mama niko tanzania lakini nawapenda sana wanangu. MSAMEHEANE I LOVE U MY SONS. MISS YOU ALL.
@victaboy7273
@victaboy7273 29 күн бұрын
Sasa mbona unaadika barua, unahisi watasoma
@RayChausa
@RayChausa 29 күн бұрын
​@vict😂😂😂😂😂😂😂hapa ni sisi ndio tutasoma aboy7273
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 29 күн бұрын
@@victaboy7273 hata wasipo soma basi nifanyeje
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 29 күн бұрын
@@victaboy7273 wasome wasisome its none of my business
@barickprogrammer
@barickprogrammer 29 күн бұрын
Sons😂😂😂😂 watu wana 40 na huko ndo watoto wako??
@karimjuma4019
@karimjuma4019 29 күн бұрын
Hawa washakua maadui hawaez elewana Tena
@dikappymitumba
@dikappymitumba 28 күн бұрын
Ila Pesa jamani , acheni tu ...... Yani , Mnapoanza muda pesa haipo ,hukuna shida .... ila Pesa ikiwepo tu , shughuli inaanza .
@Zaitoon72
@Zaitoon72 29 күн бұрын
I love these twins wallah❤ hata iweje still are my number one Fav artists ❤❤ i hate so much mapacha kugombana 😢 especially hawa watu jmn
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 29 күн бұрын
😢so sad Hii inaonyesha huyo ndugu Kuna watu wanamchochea
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 29 күн бұрын
Wanawake zao ndio wanawagombanisha
@innocentboykid2442
@innocentboykid2442 23 күн бұрын
Jude kakayao mkubwa ndo anawqchonganisha
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 29 күн бұрын
Wazazi wako tu ndio wanataka ufanikiwe kuliko wao🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️wengine wote haiwezekani
@user-zv4ip3zu8p
@user-zv4ip3zu8p 23 күн бұрын
This is so emotional txt , wameshindwa kuwa na vita utotoni sasa wanaiweka ukubwani. Hapo tambuwa wanawake ni akina nani. Hata wagombane aje heshima yao nitazidi kuwapa. Na inauma sana kuona wanagombana nawapenda sana p square.
@zuwenasaleh9613
@zuwenasaleh9613 20 күн бұрын
Heee mbona wanawake tena 😂😂
@JamesWisdomtz
@JamesWisdomtz 29 күн бұрын
Duh inauma sana in short 😢😢😢
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 29 күн бұрын
Undugu wa kileo mswiba wallah 😮
@zuwenaabdallah2059
@zuwenaabdallah2059 18 күн бұрын
Sipendi kuona wanagombana hawo wandugu napenda wawe pamoja nawa❤
@beatricembunda6168
@beatricembunda6168 28 күн бұрын
Mungu wazindue watoto hao waelewane,shetani alieingia kati Yao ashindwe kwa Jina la YESU,inaniuma sana Mimi ni mzazi
@heritierpaluku7320
@heritierpaluku7320 29 күн бұрын
Daaa una soma g vizuri sana kaka
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 29 күн бұрын
Dah sheten alie watenganisha hawa kaweza so sad
@eslonblack8096
@eslonblack8096 29 күн бұрын
Kweri p square wanetuangusha sana
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 29 күн бұрын
Pacha hiii ni kawaida sana,,mm mwenyewe Niko the same,,kuna mda tunabadilikana utasema ni sio ndugu ,na ugomvi unakolea kweli kweli,,
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 29 күн бұрын
😂😂 kumbe ni kote looh jiran kwetu wapo pacha wakiume Tena vijana kabisa ila wakianza ugomvi hakuna wakuwatuliza hadi wanapigana na michuma kutoana damu Wala hakuna mtu anawagusa Hadi wanatulia wenyewe kesho wako wote😂kama hakujatokea ugomvi
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 29 күн бұрын
@@mariamkibindo1741 ni kweli kabsa
@SlsProductionTz
@SlsProductionTz 29 күн бұрын
Dash asee
@sarastephano3409
@sarastephano3409 29 күн бұрын
Hawa wamegombana Tena jamani si walipatana duuuh
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 29 күн бұрын
Wamegombana muda sana tangu mwaka jana ila saiv wameweka hadharani
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 29 күн бұрын
Da pach mshenzi sana Huy unamsem Mt umtok mfuko mmoj jmn dunia mwenyew mpole Mr p pole sana
@Nuru9568
@Nuru9568 29 күн бұрын
Jood ndo kirusi kikubwa P Square 😢
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 29 күн бұрын
Tatizo kaka ako Jude 😢😢😢😢
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 28 күн бұрын
Point sn
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 29 күн бұрын
Jamaa yupo perfect sana kaongea fact kumuelewesha hata mwenzake maan alionekana kama kapigika hivi😂😂🙌🙌
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 28 күн бұрын
unapoamua kuoa kuwa makini sana wanawake wamewafanya hawa jamaa kugombana
@jumakassim8718
@jumakassim8718 23 күн бұрын
Wanawake n fitina sana
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 29 күн бұрын
Matwin hawa hawapo Siriaz. Nahis kuna mtu katikati anaplay games, though how comes twin!! Yan wana kila kitu,, Pesa, marufu, Kipaji, mvuto n.k 😢
@faiththawe4371
@faiththawe4371 29 күн бұрын
Kaka yao
@faiththawe4371
@faiththawe4371 29 күн бұрын
Matt 😊😊
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 29 күн бұрын
👍✌️👊.
@Andrew_mkameme
@Andrew_mkameme 29 күн бұрын
Hapo mwisho, peace✌️
@noviateffe551
@noviateffe551 29 күн бұрын
Plz make peace
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 29 күн бұрын
So sad😢
@EvaGlow-r3e
@EvaGlow-r3e 29 күн бұрын
😢
@EuniceMasika-l2x
@EuniceMasika-l2x 29 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@GamechangerTz
@GamechangerTz 19 күн бұрын
Mwanzo nilikua nahisi pita ni mzinguaji Kumbe Paul Na Jude ndo miyeyusho wanamzingua mwenzao na shida ni kwa sababu peter kajua ukweli kuwa kaka ao anawapiga au ananufaika zaidi na sanaa yao kuliko wao na Jude anachofanya ni kumpandikiza chuki kaka ake paul ili asiamini ktk njia za peter Ambazo ni sahihi maana wakiwa pamoja peter na paul kwake itakua mbaya sana kuanzia izo pesa ambazo amekua akizichukua kihuni bila wao kujua
@Fx_expertmoneymaker001
@Fx_expertmoneymaker001 19 күн бұрын
Paulo acha ukorofi paulo.. 😂😂😂
@mdl6463
@mdl6463 29 күн бұрын
Wale wanajuana Sana kumbuka wale mapacha mama mmoja baba mmoja alafu Etti wakosane kwani Hawana ndungu wa kuwapatanisha .?? SISI wa shinyanga tunasema (BANYWANABO) 😂😂😂
@chakuboyofficial9720
@chakuboyofficial9720 29 күн бұрын
Dunia ime fika mwisho
@julianampanduji6000
@julianampanduji6000 29 күн бұрын
Mr. P ameonyesha ukaka wake kwa Rudeboy jamaa amezungumza points nyingi kwa busara na utaratibu sana😊
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 23 күн бұрын
Huu ni ugomvi wa ndugu watu wasiingilie mtadhalilika ipo siku watapatana
@b-creative4662
@b-creative4662 29 күн бұрын
Hii hapa wanataka kurudi mjini tu!!
@YunusMuhidin
@YunusMuhidin 29 күн бұрын
Wanagombania nn
@EwaldAntony
@EwaldAntony 29 күн бұрын
Source ni kina mama
@Harexo
@Harexo 29 күн бұрын
Daaah! Mr.P mkorofi sana.
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m 29 күн бұрын
Shetan ypo kazini htki umoja
@sadamissa5687
@sadamissa5687 29 күн бұрын
Wakati wanaanza mziki walikua hawajui kua pesa itawagombanisha coz walikua hawana pesa ,pesa kitu kihaya sana😢
@destroyerban7364
@destroyerban7364 29 күн бұрын
Dem no come back again oo
@hildajoel5
@hildajoel5 24 күн бұрын
Hakuna mtu aliyeumbwa anaweza kufanya kila kitu mwenyew. Mungu katuumba tutegemeane , huyu awe na uwezo wa kuimba, mwingine mtunzi, mwingi ne mungu kampa kucheza., wengine kazi yao kucotch kufunga wafunge kina Ronaldo. Uwe kila kitu ww nani? Mungu baba yako au
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 28 күн бұрын
Ugomvi ukishaauweka tu mitandaoni unakaa mda mrefu sana mpaka kuisha
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 26 күн бұрын
I have twin brothers I feel bad wallah, 😭😭💪
@barickprogrammer
@barickprogrammer 29 күн бұрын
Sasa kaka sky mi ntaweka maoni gani kwa matajiri hawa😂😂😂😂 mi naangalia tu nasubiri utafsiri kikristo hiko fresh😂😂😂
@kazkaz1943
@kazkaz1943 28 күн бұрын
Alisema Ruge hakuna utajiri wa kikundi😂😂
@Djugaripro
@Djugaripro 29 күн бұрын
acha kila mtu ale joto lake asikie uchungu wa kutengana
@SaraJinalangu
@SaraJinalangu 23 күн бұрын
Huyu Peter ndo mkorofi na wenye haya majina tu wakorofi kweli
@infomediahabarizandaninanj2722
@infomediahabarizandaninanj2722 29 күн бұрын
Jude okoye behind this
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 29 күн бұрын
Huyo kaka Yao ndo tatizo, mkubwa ila Hana akili ameshindwa kuwapatanisha wadogo zake ? Kaka Gani mpuuzi huyo Halafu inaonyesha mdogo ana akili kuliko huyo pacha mkubwa
@TheBossOdhis
@TheBossOdhis 29 күн бұрын
My opinion too
@freddiecharlz6611
@freddiecharlz6611 29 күн бұрын
Mkubwa ndo aliyeongea hayo Mr.P, mdogo ndo yule rude boy aliyeongelewa hapo.
@andrewmachage9102
@andrewmachage9102 29 күн бұрын
Rudeboy ndo kulwa
@BoniphaceDonald
@BoniphaceDonald 29 күн бұрын
Daa hawa jamaa wanatofautiana kitu gan aisee ni wasanii hatarii sn na maarufu waachane na chuki waendelee na kundi
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 29 күн бұрын
Mr p anabusara sanaaa
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 28 күн бұрын
Shetani nimbaya kwei apacha wagombane
@rehemamgeni203
@rehemamgeni203 29 күн бұрын
Pesa ni shetani hap kuna uhasama ndani yao kuna kitu
@erickngundi690
@erickngundi690 29 күн бұрын
Fear women!!!. Chunguza utapata wanawake ndio chanzo cha ugomvi wao
@oswaldacleofas2803
@oswaldacleofas2803 29 күн бұрын
Wanawake ndio tatizo hawa jamaa mwanzo walianza vizuri,walipo oa ikawa tatizoo.
@annafrancis7313
@annafrancis7313 27 күн бұрын
Huyu kaka yao Jude ndiye anasababisha haya yote anatamaa anawagombanisha kwa maslahi yake.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 29 күн бұрын
Tushawachoka nyie mapacha. Mrudieni Mungu, mfunge na kusali maana adui yupo anawaandama na kwa uwezo wenu wenyewe hamtoweza, Mungu aingilie kati
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 29 күн бұрын
Hila.ukweli usemwe kipindi wametengana aliyekuwa ana hit ni Paul Peter alipotea kabisa..
@kingcopper_tz
@kingcopper_tz 29 күн бұрын
elewa mada mkuu, Alifika wapi huyo Rudeboy? Aliwahi kutoa hit kubwa kama Bank alart, Personally, Beautiful Onyinye. A alivokuwa pekeake ake???
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 29 күн бұрын
@@kingcopper_tz hizo ngoma ni za kundi mm nimeongelea ngoma za kila mtu akiwa pekee yake Kipindi wametengane Paul alitoa hit nyingi sana sana Peter alipotea kabisa nazani ni ngoma moja tuu ndoo ilienda tena sio sana...
@derickdepota101
@derickdepota101 29 күн бұрын
Peter naye ana Album yake ya The Prodigal Son ya moto sana🙌🏿
@faiththawe4371
@faiththawe4371 29 күн бұрын
​@HamzaMkwekwenda hukobasha-xs2ky
@chinguilechinguile1501
@chinguilechinguile1501 29 күн бұрын
​@@derickdepota101 hawajui mziki kaka Peter solo album inaitwa prodigal ilitoka April 2021 ni album kali mno na ndio ilitoa hit songs kama paloma,Odo etc. Paul solo album anaitwa Rudy killus ilikuwa kituko aisee ilibuma Mimi nawafuatilia vibaya mno. Mr.P (peter was structure and face of P Square) Rude boy ( paul was voice of P sqaure)
@msafirisaidiest
@msafirisaidiest 29 күн бұрын
tangu zamani tulifidishwa hakuna kundi linalo ndumi milele
@user-ps1ph9iv5b
@user-ps1ph9iv5b 29 күн бұрын
Kwani pal ni yupi na piter ni yupi jamani, ?
@EmmanuelMpogole
@EmmanuelMpogole 29 күн бұрын
Huyo mwenye upara ni Peter mwenye rasta ni paul
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 29 күн бұрын
Kumbe twins huwa wanagombana huyo paul mkorofi dah 😢😢😢
@faiththawe4371
@faiththawe4371 29 күн бұрын
Ndoa imemshinda
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 29 күн бұрын
Huyo Mr P naishi nae Kila siku namwambia aache hayo mambo haelewi hadi manager wake ananiambia niwe namshauri Ila Leo usiku lazima niende kwake nikamwabie
@benhamza5649
@benhamza5649 29 күн бұрын
We don’t care no more.
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 29 күн бұрын
Africa cares your nothing🚮😂
@hopechidera
@hopechidera 28 күн бұрын
Who is we??? Talk for yourself not for everybody. And I care because I don't joke with the family...
@hassanabdallah3202
@hassanabdallah3202 29 күн бұрын
Freemasons mkiwakosea tu masharti yao lazma mshuke. Lazma wawashushe na hamuwez elewana tena
@aronboy1
@aronboy1 29 күн бұрын
Pesa ni shetani wa pili
@katotopesaofficial
@katotopesaofficial 29 күн бұрын
ACHA utani Sky eti Hawafanyi vzr we Ushasikiliza madude ya Rudeboy huyo jomba Ni sheeda Anaimba mbak anaimba tenaa anapangilia Mziki vilivyo Hapa Chuoni Tasuba ngoma zake Wanajifundishia vjana kuimba
@faiththawe4371
@faiththawe4371 29 күн бұрын
Haaaaaa wapi?😮
@emanuelsarara6383
@emanuelsarara6383 29 күн бұрын
Daaaaah anaimbia wapi?? Unaonekana umezaliwa juzi hivi wewe unaijua psequre 2008, 2009 walikuwa wa moto kinoma waliitetemesha Africa ndiyo walikuwa wasanii bora Nigeria na Africa, huyo unayesema anaimba hata kwenye chart za wasanii wakali wa sasahivi hayupo hadi mademu wakina tyla na Ayra Starr wanamkalisha
@katotopesaofficial
@katotopesaofficial 28 күн бұрын
@@emanuelsarara6383 Chizi ww Me wa 1993 Alokuambia Kuwa Chat ndo Kuimba Nani ? Kumbe ata mziki Uhujui Kuimba Na Kuwa Chat hio bidii yako ya push ndomna watu wanasauti mbovu kama za kina Davido na wanapiga Ma Grammy Kibaao Lkn hawaiimbi kama kina "Brian Nirrah " hao wanaimba Mjuba Lkn ukuti ngoma zao kwenye chat Kama Ujui mziki pita Kushoto Sio Unaleta ushabiki Haap Utatiwa dole mdogo etu
@Qqambaa
@Qqambaa 29 күн бұрын
Anaendika izi nyimbo za P ni uyo p mrasta huyu mwengine ni dancer hivyo ndivyo navyo wafahamu hawa wawili
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 29 күн бұрын
Kama ulisha maliza kukojowa enda kalale 😮😮😮😮 acha kuropoka usivyo vijua
@DjMswati
@DjMswati 29 күн бұрын
awa jamaa ni wanangu san uwaga napiganao stor pale mji lagos ila nabid niwapatanishe 😂😂
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 29 күн бұрын
Okay
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q 29 күн бұрын
Eee 😂😂
@gracethobias8069
@gracethobias8069 29 күн бұрын
😂😂😂😂
@kennedymahega5223
@kennedymahega5223 29 күн бұрын
😂😂
@DjMswati
@DjMswati 29 күн бұрын
@@kennedymahega5223 😂😂
@DM_15
@DM_15 29 күн бұрын
Doto huwaga watukutu sana huyu Mr p alisha kuaga mtukutu kitambo, rude alitoa ngoma inaitwa enjoyment ukiangalia clip alizo kua aki tz alikua na kakayake jude ukisikiliza ulewimbo nikiujumbe fulani kwa pacha wake , nikama doto hataki rude kua karibu na jude, nili sikia mashairi yake nikajua washa zinguana , and ges wat, imekua kweli
@user-mf2jf6dp7z
@user-mf2jf6dp7z 29 күн бұрын
Mkubwa ni uyu mwenye Rasta au napenda kujua kaka
@user-tx3dh3de5o
@user-tx3dh3de5o 29 күн бұрын
Rasta ndie mdogo. Ana itwa Paul Okoye (Rude boy).
@jacklinefaustine
@jacklinefaustine 29 күн бұрын
Mwenye rasta ndo mkubwa
@user-mf2jf6dp7z
@user-mf2jf6dp7z 29 күн бұрын
Mbona sielewi hapo nani mkubwa
@ashamdemeka
@ashamdemeka 29 күн бұрын
Mwenye Rasta ndo mkubwa (rude boy) mdogo Mr P ndo anaemlalamikia bro wake
@EmmanuelMpogole
@EmmanuelMpogole 29 күн бұрын
Mwenye rasta(rude boy) ndo mkubwa ambae ni Paulna huyo mwenye upara(Mr P) ndo mdogo ambae ni Peter
@bakaribakari_
@bakaribakari_ 29 күн бұрын
Tanzania is a very 'special' country. Yaani, a whole opposition leader has been arrested but SNS wako busy na story za Psquare. You are an independent media house but you act like you need permission from the government to do your work. Say no to this oppression my people.
@victaboy7273
@victaboy7273 29 күн бұрын
Sure bro😢😢
@mgendijr7380
@mgendijr7380 29 күн бұрын
The fight is not real,its a business thing,hawa wanakula na kunywa vizur wakikutana kwao
@karimniyo1909
@karimniyo1909 29 күн бұрын
Kwani Rude bwoy na Mr P nani mkubwa?
@MosesHarerimana-ku2cp
@MosesHarerimana-ku2cp 29 күн бұрын
Rudy boy ndiy mkubwa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 29 күн бұрын
​@@MosesHarerimana-ku2cpna ndo mjinga ,yaani mdogo wao ndo ana akili
@AdamsUwimana-vf7xt
@AdamsUwimana-vf7xt 29 күн бұрын
Apana mr p ndio mkubwa
@BarakaMugisha-g2m
@BarakaMugisha-g2m 29 күн бұрын
​@@MosesHarerimana-ku2cpno Mr.p ndo mkubwa
@freddiecharlz6611
@freddiecharlz6611 29 күн бұрын
Mr. P au Peter okaye ndio mkubwa, yule mwenye Ego ni Rude boy na ndio mdogo
@abdulqadirjuma7495
@abdulqadirjuma7495 29 күн бұрын
Bwana ninyi wacheni upuuzi, hawa watu wanawachezea akili .baada ya miezi tu wanarudi pamoja na shoo ya pamoja kuwepo wanapiga pesa .mnabaki wajinga ninyi
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 29 күн бұрын
Aliyewafaidi ni Diamond kupitia wimbo wa #Kidogo na baada ya wimbo huo ndo kundi lilivunjika,Inaskitisha sana ila itoshe tu kusema #RudeBoy ni fundi wa mziki
@user-ot3tw3uq9o
@user-ot3tw3uq9o 29 күн бұрын
We nae unaongea nini
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 29 күн бұрын
@@user-ot3tw3uq9o ukiona kitabu hukielewi jua hujaandikiwa ww
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 29 күн бұрын
Sasa Diamond kaingiaje hapa?
@user-ot3tw3uq9o
@user-ot3tw3uq9o 29 күн бұрын
Akili yake ya matope uyu jamaa
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 29 күн бұрын
@@zanzibarboyzanzibar509 kwa miguu
@SlsProductionTz
@SlsProductionTz 29 күн бұрын
Dash asee
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
NDARO STEVE WE NI TAPELI   MSIKILIZE MANENOYAKE
14:35
Steve Mweusi
Рет қаралды 281 М.
P-Square wazinguana tena, tatizo ni pesa na Mr P kumuonea wivu Rude Boy!
6:26
Kijue CHANZO cha ugomvi wa P-SQUARE na kwanini kundi hilo lilivunjika
29:20
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 214 М.
HáDanko (Piatoček)
24:58
SME
Рет қаралды 46 М.
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН