UGOMVI WA WEMA NA WHOZU SABABU NI MZIWANDA? MWENYEWE AWEKA WAZI KILICHOTOKEA

  Рет қаралды 16,410

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

UGOMVI WA WEMA NA WHOZU SABABU NI MZIWANDA? MWENYEWE AWEKA WAZI KILICHOTOKEA
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 30
@user-ok6zx1nx6v
@user-ok6zx1nx6v 5 ай бұрын
Huyu demu hajui muondoeni wasafi muturegeshe aliyah
@marthahozza2964
@marthahozza2964 5 ай бұрын
Asante mchaga kwa kumshushua huyo dada hajielewi eti umri hata unachoongea hujielewi chefu Wasafi mtaharibiwa brand mmetoa wapi mtu anaropoka kwenye media hovyo that was very unnecessary Ila lilivoshushuliwa likajifanya tz sweetheart bla bla
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 5 ай бұрын
Huyo hafai wasafi aende local media
@marthahozza2964
@marthahozza2964 5 ай бұрын
@@souvenirweber7169 kabisa kuna televion zinamfaa sio hii asee ameboa
@TeresiaNestori-xh9ch
@TeresiaNestori-xh9ch 5 ай бұрын
Huyo dem n mshamba umri unausikaje sasa? Wema nmkubwa lakin nmcute kuliko ww andunje 😏
@ubongosahihi
@ubongosahihi 5 ай бұрын
Kweli kabisa Umri wa Wema unawapa watu shida ni kweli kabisa wamuache our cute Wema ❤❤❤❤❤ ❤
@joycethomas7918
@joycethomas7918 5 ай бұрын
Wewe umri unaingilia na mapenzi
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 5 ай бұрын
Wewe mtangazaji naye eti anampigaje mtu aliye mzidi umri Sasa vinahusiana Nini?
@scolasticahpeterh8649
@scolasticahpeterh8649 5 ай бұрын
Hawa watangazaji au waigizaji tu
@belindanasike2842
@belindanasike2842 5 ай бұрын
Huyu mropokaji ama mtangazaji, wasafi mkue careful
@shikoshania953
@shikoshania953 5 ай бұрын
Huyo mtangazaji insta tag yake gani ninacho cha kumuelewesha😢umri wa chimama umeingiaje refresh?????KOMAA!!!!
@TheclaRobert
@TheclaRobert 4 ай бұрын
Tuna mtaka arya wetyu😂😂
@thestonetown3302
@thestonetown3302 5 ай бұрын
Dahh mshkaj ameongea poah sana#
@mohammedabbas5470
@mohammedabbas5470 5 ай бұрын
Huyu dem kalulu sana
@benjaminsemwenda3152
@benjaminsemwenda3152 5 ай бұрын
Huyo Demu Bado Hana Uzoefu Na Maswala Ya Utangazaji Halafu Ni Mshamba Tu Hawazi Kabla Ya Kuongea Anakurupuka Na Hana Swaga Na Mvuto Kwenye Swala La Utangazaji Anaboa Tu Kumuangalia
@greenermichael2057
@greenermichael2057 5 ай бұрын
Cc tunampenda wema
@mrs2918
@mrs2918 5 ай бұрын
Huyo demu ni mjinga umri unahusikaje hapo
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 5 ай бұрын
Mshamba tu wisdom ni zero hapo anataka kumtukana tu Wema as if Wema hainjoy mapenzi yake.umri na mapenzi wapi na wapi
@RR-dn3ph
@RR-dn3ph 5 ай бұрын
Huyu presenter wakike afundishwe kuvaa atakama ni ramadhan Jamani mbona watu wanaa vaa kiheshima na wanapendexa kavaa Kama yupo nyumbani alafu Hana mashamsham yakuchangamsha kipindi ety ‘’aaah oooh Kweli ‘’ sasa ndo nn amepoa Kama Maji Hana mashamsham it’s boring
@MorrissSamwer
@MorrissSamwer 5 ай бұрын
TEAM CHIBABA
@TaarabChannel
@TaarabChannel 5 ай бұрын
😂
@nickyrizznathan3377
@nickyrizznathan3377 5 ай бұрын
Hichi kipindi alipendeza san alia yn huyu dem hanogi kabisa
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 5 ай бұрын
NA KAMA HATAKI KUFANYA KAZI NA X WAKE JE
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 5 ай бұрын
😊😊😊😂😂
@TaarabChannel
@TaarabChannel 5 ай бұрын
Mmmh muje na kwangu wapenzi ❤
@trillionthamani
@trillionthamani 5 ай бұрын
Mwanamke anafaa kupigwa ila sio kinyama,mtie adabu kama akivuka mstari,hii ya kujidanganya eti mwanamke hapigwi wakati hata mwanaume kuna saa akiwa msumbufu mama anatengeneza vizuri tu,kiafrika mwanamke lazima awe na utii kwa mumewe na mume ampende hayo mengine ni ya mitandano man to man watu wanazibuana tu
@RajabRamadhan-mk9ij
@RajabRamadhan-mk9ij 5 ай бұрын
Tuachane na ukale mambo ya kupigana yalishapitwa na wakati kisasa Mambo yakienda tofaut watu mnakaa mnayaongea yanaisha cyo kupigana
@trillionthamani
@trillionthamani 5 ай бұрын
@@RajabRamadhan-mk9ij maisha ni yale yale umagharibi tu ndo unataka kutuharibu,mimi ni mwislam maandiko yanasema mkeo akikosea mno mtie adabu siyo kikatili hapana mfunze kwa kumchapa hata makofi kadhaa.ukiwa hujaingia kwenye ndoa huwezi kulijua hilo
@onekisstv8412
@onekisstv8412 5 ай бұрын
Feza na yeye ameanza Kua na drama sasa 😂😂😂😂
@WASOMIDIA24
@WASOMIDIA24 5 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmScpYOVg952fcksi=pjSqidgYnwQ7896i vichekesho vya mkojani
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 90 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,3 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 35 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20