JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 3
@pinomjata678Ай бұрын
Dogo kavurugwa mishipa imemsimama hata haelewi anachokisema, mpe pole
@jonasmalima9143Ай бұрын
Huyu Nassor hata kuongea hajuwi anaongea kunde nyama maini choroko yaani hata simuelewi
@errydeo8865Ай бұрын
Nimecheka sana😂😂😂hata msemaji wa Makolo wachezaji hawajui! Asilimia 99 ya mashabiki wa Makolo hawajui walio sajiliwa! Why? Hawajulikani! Ukienda Yanga kila mchezaji hata mashabiki wa Makolo wanawajua! WANASIMBA wanakijua kikosi cha Yanga kuliko chao😂😂😂