WAGOGO ORG. NA SAUTI ZAO ZENYE UTUKUFU KWA MUNGU WETU ALIYE JUU
@geofreyalexander13822 жыл бұрын
Yuko wapi Seche Ronny tunataka wimbo wa Nakosa Namna
@Mt.Andreakwaya2 жыл бұрын
Aliyeimba hicho kipande siyo Seche ni Mwendwa na nyimbo ni ya kwaya na ilikuwa haijatoka bado. Ila itatoka rasmi mwezi wa nne.
@kazimilykulwa25164 жыл бұрын
Emen
@salomemtwale53703 жыл бұрын
nyie wagogo wanyamsalato hamjambo?hongereni
@Mt.Andreakwaya3 жыл бұрын
Hatujambo kabisa, umetukimbia ndugu zako
@salomemtwale53702 жыл бұрын
@@Mt.Andreakwaya aijawakimbia ni kutafuta maisha tu,ila nawapenda,na kwaya naipa big up Mungubwetu ni mzuri amewainua sana,mzidibkuutunza utufu huo aliowapa Mungu kupitia uimbaji