I m Tanzanian citizen but am lives in USA Toronto Canada ❤❤❤❤ I appreciate this song nice sound nice melodies alo the song is teach how to know GOD
@salomemtwale53703 жыл бұрын
huyu dada anaimba3sana,MUNGU ibariki andrea kwaya
@fridaernestmkedege9005 ай бұрын
Ipo siku nitatenga muda wa kuja kuwasalimu mkiwa kwenye mazoezi. Mnafanya kazi nzuri sana! Mungu awabariki! Muendelee kumsifu na kumtukuza yeye aliye asili ya mema yote 🙏
@RoidaMbemba8 ай бұрын
Nimefurahi sana kwaya imejaa waimbaji wenye vipaji,sauti nzuri na wanajiamini sana. Hakika ni kazi nzuri sana.
@Danford-b4f Жыл бұрын
God bless you 🙏🙏🙏🙏 Mungu ndiye muweza wayote.mushukuriwe nyote kanisa hili.
@Shetierysimoni10 ай бұрын
Napenda sana saut yako dada
@mosesmzakwe77742 ай бұрын
Nawapenda sana. Ipo siku nitakuja kukutana na wewe Gradines mnyamvumi
@joycekaganga69247 ай бұрын
Safi sana nyimbo zina ujumbe mzuri
@mg.general77105 жыл бұрын
Mm nawakubali mpaka tone la mwisho mkovizuli sana mungu aendelee kuwajaza nguvu na uzima.
@albertmnyamili3950 Жыл бұрын
Naipenda sana hii nyimbo imenigusa
@ElishaMahelela4 ай бұрын
Ndugu zetu tunawapenda ila mmepepotea tumewamisi sana
@princes60453 жыл бұрын
Amen nice song with a strong blessed voice big up and may our Almighty God bless this choir.
@jerrykabwe5650 Жыл бұрын
Nime barikiwa sana n.a. uimbaji wenu Yesu awazidishe
@andrewkibwata9744 жыл бұрын
Mungu anazidi kuwahaudumia watu wake kupitia wimbo huu
@getrudeamos383 жыл бұрын
Nawapendaga sana nyie uimbaji wenu japo mie msabato cd yenu ninayo.
@jenesimushi26975 жыл бұрын
Mko vizuri sana kila siku lazma niwasikilize
@pilympinga64885 жыл бұрын
Asanteni sana,Ni kweli yupo mungu nimebarikiwa mno
@bluebirdlogisticsco.limite34156 жыл бұрын
It doesn't matter what? if God has planned something it will be,May God bless these servants!
@rozeeroz25156 жыл бұрын
Nami nasema nainua machoyangu nitazame milima musaada wangu utatoka kwate Baba Amina balikiwa waimbaji wote
@rafaelfredy67023 жыл бұрын
Nabarikiwa sana nikisikilizaga nyimbo zenu
@henrytomohty65934 жыл бұрын
Jamani mnanikumbusha 1991 na pasta kazogolo chini ya uongozi wa bishop muhogolo
@shidasaid47384 жыл бұрын
Mungu.awabariki.sana.wapedwa
@emmanuelmlaule9635 жыл бұрын
Mungu awabarikii saana....namuona solorist gladness classmate wangu hongera sana
@fransiscafransisca83706 жыл бұрын
Nawapenda mno Mungu awatunze
@robertmnyanyika82268 жыл бұрын
Mungu awape vipawa zaidi na zaidi hongereni sana nyimbo zipo vyema
@RoseRose-pn6km6 жыл бұрын
Barikiwa naungana nanyi yupo Mungu asiyeshindwa na ki2 Ameen
@andrewkibwata9744 жыл бұрын
Kazi n nzuri mnoo....
@petersuday38235 жыл бұрын
Safi sana, MUNGU awabariki ktk huduma.
@henrytomohty65934 жыл бұрын
Na wamishonari peter akesta msalato jamani
@mubbajohnson63938 жыл бұрын
Mpo vizuri sana
@ndimyakemwakalasya64735 жыл бұрын
👏👍❤ best choir
@magdalenagabriel65614 жыл бұрын
Hallelujah Mungu awabariki.
@anitageoge13676 жыл бұрын
naupenda sana huu wimbo MUNGU awabariki
@sailassarison72966 жыл бұрын
Amen
@godffreygodffrey71564 жыл бұрын
Mwalimu apandishe kii masolo wa kike wanakoroma San kwenye kuvuta manen ya mwisho ndo yana ujumbe lakn aya sikik
@giftmkoma46528 жыл бұрын
God bless you all singers
@roselazaro56314 жыл бұрын
Naupenda huu wimbo jamani mpaka basi
@roselazaro56314 жыл бұрын
Na solo ndo ananiua kabisa jamani mungu awabariki nabarikiwa sana kwa nyimbo zenu hasa huu.
@jonasmwazembe1334 Жыл бұрын
@@roselazaro5631 p0
@dabagakimata82853 жыл бұрын
Sauti ya rose mbona au kipawa tu
@mg.general77105 жыл бұрын
Blessed oll adrea singers
@analethmange21524 жыл бұрын
Hello yupo
@mubbajohnson63936 жыл бұрын
amen mbarikiwe sana
@sillasmichael14915 жыл бұрын
nabarikiwa mno mno
@merianawilliam71454 жыл бұрын
Nice song😘😘
@kefawales81874 жыл бұрын
In God we Trust
@beatricekimaro38856 жыл бұрын
mungu awabariki
@samuelsammwak33378 жыл бұрын
May God bless these people
@Hedva2557 жыл бұрын
Nyie watu mnanibariki sana
@mariameria87736 жыл бұрын
mbarikiwe sana
@mpchart46435 жыл бұрын
balikiwe waketu nyie
@clementmkokaaddchuch1975 жыл бұрын
Elizabeth Jimmy safi sana
@godfreysanga89303 жыл бұрын
Good song
@princes60453 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@jacksonsilvan63145 жыл бұрын
vizur sana
@Angel-b5u2 ай бұрын
Penda sana nyie
@owdensimon34827 жыл бұрын
Hakika Mungu yupo
@priscawami20393 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@mesodenis87507 жыл бұрын
amen
@musalangiboli31018 жыл бұрын
Ipo safi
@marymwalyema98208 жыл бұрын
msalato kwaya mpo juu
@eliambogoli43815 жыл бұрын
sande wagogo wayangu
@msokaentertainment53086 жыл бұрын
hakika yupo mungu
@TheOutpostwolf6 жыл бұрын
Sichoki kuangalia hii video yenye ujumbe wenye kutia nguvu.....Mungu awwabariki sana