UHOLANZI WANATOA PERMIT YA KUISHI HATA KAMA HAMJAOANA | ALIKUA NA MIMI LAKINI ANADATE MTU MWINGINE

  Рет қаралды 10,690

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Ms Lisa ameeleza namna mtandao wa kimahusiano unavyosaidia wengi endapo utakua umeutumia ipasavyo.
Pia ameeleza changamoto za kudate wazungu ziko vipi na namna alivyopigwa matukio na wabongo na kuamua kuangalia upande Mwingine wa Dunia.
Tabia za waholanzi kiujumla na maisha ya nchini Uholanzi.
Thank you Lisa for allowing this to be online
www.Oda.international

Пікірлер: 68
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
Da Shena, siku ukijaaliwa na ikikupendeza please uwe unakaribisha baadhi ya your past guests kama wa 3 kwa mpigo mfanye panel discussion on topics kama life ya 50/50 na wazungu, culture shocks na namna ya kujibalance ili kustahimili , nafasi ya ndugu tunapokuwa kwenye haya mahusiano, misaada kwa familia za kibongo, mtazamo wa wazungu, upweke na depression za ughaibuni,malezi ya watoto waliochanganyika etc etc zitanoga sanaaa hizi discussions
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante kwa mchango Nimeshaandaa moja hivi kabambe nasubiri wapate muda Mtaenjoy hiyo siku 🥰
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
​@@OfficialDatingAssistancesafiiii
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Жыл бұрын
Safi waambie wasifikiri rahisi wanawake wana tamaa sana wazungu hawapendi ❤❤❤
@Brightnessyohana
@Brightnessyohana Жыл бұрын
Nimempenda Lisa , well said Yani ukiwa na chako hata mwanaume hakusumbui iwe mweusi au Mweupe..
@doramkolo1745
@doramkolo1745 Жыл бұрын
Swala la kanisani very true 😂😂😂 najikuta naenda kusali na wazeee
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Interview nzuri. Bi dada anajielewa sana. Big up both of you.
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Shena ufanye umlete mdada anaitwa Jojo gray nae tufahamu experience yake na mlami🤣 anaishi tz kaolewa na mzungu
@Gannaartist
@Gannaartist Жыл бұрын
Nafuatilia sana video zako na huwa zinanifurahisha sana.
@Winnie-8
@Winnie-8 Жыл бұрын
Warabu ni wezi shena njoo turkey you will understand me hawataki kufanya kazi wanataka mserereko Yaan Mm hata kuzungumza nao sitaki kabisa bora atoke Morocco au Egypt hao sio wavivu hawa wa karibu hapa wezi usiombe waingie group la familia nzima wezi Babu mpaka mjukuuu kipindi cha ramadhani Ndio balaaa
@klaussteiner94
@klaussteiner94 Жыл бұрын
nimecheka😅😅😅eti babu,wajukuu
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@annamussa185
@annamussa185 Жыл бұрын
Sana wezi udokozi wanao sana harafu ukimbamba anajifanya Dini iko mbele ukimpekua hutoamini
@klaussteiner94
@klaussteiner94 Жыл бұрын
acha tupambane na wazungu hata kama nipasua kichwa wacha ituuuuwe uwiiiiiiii😂😂😂
@salhamvungi1744
@salhamvungi1744 Жыл бұрын
😂😂😂
@officialemilie
@officialemilie Жыл бұрын
Kabisa 😂😂😂 tuta banana hapa hapa😂😂😂
@klaussteiner94
@klaussteiner94 Жыл бұрын
@@officialemilie unajua nini dada emilie,mie huwa nawashangaa baadhi ya watu hasa sisi waswahili tunarohombaya sana za kukunja,tena chafu,nilishasikia mahojiano ya watu wengi utaskia ohoo mara ulaya maisha magumu,sijui wazungu wakohivi mara vile,,,,etiiii ohoooo sijui nn,,!!nasemaje??ikitokea fursa wewe nenda utajua mbele kwa mbele.chamsingi kama unaenda kwa utaratibu (legally) siyo mbaya,hata kama utazamia fine woiiiiiiii
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 3 ай бұрын
Me too 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sukivlog885
@sukivlog885 Жыл бұрын
Ni kweli hata Mimi kwenye ndege, mwarabu Alitaka kuniibia simu yangu. Bahati. Rafiki yangu Akaona 😢
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz Жыл бұрын
Alitaka kuibaje asee. Mana mm. Ht ilivyopotea sm yangu sikuelewa ndan yandege
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 8 ай бұрын
Very very good interview! Shena Unasaidia sn watu kujiitathimini.❤
@katumabiyan5090
@katumabiyan5090 4 ай бұрын
A very good experience
@Star50046
@Star50046 4 ай бұрын
What did she say
@carolineoyieko4791
@carolineoyieko4791 5 ай бұрын
Wa holanzi wa zuri sana,
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
Nice interview ❤ Ila Lisa nakushauri ukiwa Europe akisema twende walking, gym etc kubali tu mwenzio anaenjoy company,life ya ughaibuni upweke mwingi.Bongo social life iko vizuri ,mambo na matukio kibao, ndio mana huna mcheche na kutokatoka.
@alsam4881
@alsam4881 Жыл бұрын
Mie Napenda kuangalia video zako lakini nashindwa kuangalia yote kwasababu ni ndefu sana, kila video zako zote ni karibia lisaa moja, na kama unavyojuwa huku kwetu bando ni ghali kuangalia video za KZbin, Kama unaweza basi ukatishe japo iwe interview ya dakika 20 itakuwa ni poa sana, Na natumaini utapata viewers wengi sana na KZbin yako itakuwa sana, Ukiangalia watu wengi huwa hawapendi kuangalia video ndefu KZbin kwasababu wanataka kuangalia video tofauti, natumai utanielewa na kulifanyia kazi suala langu.
@BlessedQueenElizabeth
@BlessedQueenElizabeth Жыл бұрын
Mimi kiukweli na download ni rahisi,
@AliKhamisi-f4m
@AliKhamisi-f4m Жыл бұрын
kweli mda mwingi
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 8 ай бұрын
Anataka watu wajifunze Kwa undani na waelewe zaidi.
@ImeldaIsdory
@ImeldaIsdory 8 ай бұрын
Mimi huwa namfuatilia Shena tangu nilipomfahamu! Hata nikikosa live yake naangalia wakati nikiwa na nafasi. Kama muda wangu ni mfupi, naangalia kiasi na baadaye namalizia. You can't imagine, ninatafuta pesa ya bundle kwa ajili ya kufuatilia hizi interviews. Najifunza mengi out of this. Napunguza matumizi mengine najazia kwa bundle! Mfano, sinywi soda, sitoi michango bila sababu maalumu! Siendi sehemu za starehe ambazo hazina positive impact!
@adamummy4363
@adamummy4363 Жыл бұрын
Sema apo kwenye trein na sehemu ya kutengeneza kucha umeona kama umebaguliwa kuna kitu nimegundua ni suala la lugha kama unaongea english mdachi apigi na wewe stori lakini kama unaongea lugha yake kinederlands mtapiga stori mpaka basi icho ndio kitu nilichokiona kwenye stori yako na kwanini nimegundua kutokana na sistimu uliokua nayo kwamba unakuja holland miezi 3 na unarudi bongo miezi 3 kwasababu gani wanataka usome lugha na ufanye mtihani wa lugha ukipita unapewa pamit ya kuishi ndio siku hizi sistimu ilivyo
@klaussteiner94
@klaussteiner94 Жыл бұрын
ummy nimekuelewa kula chuma hicho👊
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 11 ай бұрын
Good interview
@nicekweba9920
@nicekweba9920 Жыл бұрын
Natamani ufanye live kila siku jamani me napenda😂😂
@annamussa185
@annamussa185 Жыл бұрын
Me wangu aliniuliza mimi na Mungu yupi ni wa kwanza kwako nikamwambia Mungu wa kwanza wa pili wazazi then wewe yani alilalamika akaniambia yeye Mungu kwake ni kama number 10 huko yani hawana habari kuhusu Mungu tena kuna muda hataki hata kusikia😴
@thobiethalibutu1465
@thobiethalibutu1465 Жыл бұрын
😂😂😂🙌
@helinahenry2363
@helinahenry2363 Жыл бұрын
😂😂kumbe ulaya kuna Mbagala ndogo eeh😂😂😂😂🙌🙌
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Italy na UK kuna vibaka zaidi ya bongo.😂
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@jessicagervas4075
@jessicagervas4075 Жыл бұрын
Good interview 💞
@Lizzyktd
@Lizzyktd Жыл бұрын
Safi kabisa 😂😂😂😂
@BerthaKihanga-qd5hy
@BerthaKihanga-qd5hy Жыл бұрын
Mabinti wazuriii wanatumwagia vitu vitamu kabisa.
@Naw89
@Naw89 Жыл бұрын
Shena sio kila Mwarabu ni mwizi usiweke kabisa hiyo dhana Kila nchi ina wezi pia wizi ni akili ya mtu na malezi futa hiyo fikra kabisa haipendezi hasa kwa mtu kama wewe unaedili na jamii mbali mbali
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Naona umeichukulia negative… nimeeleza Experience yangu na hivyo nikiwa nao kwa public transport ya Ulaya navyopata ile feeling ya tukio lililopita… sijasema waarabu ni wezi.. kwani wizi ni tabia ya mtu personally haihusiani kabisa na kabila au asili fulani ya mtu.
@zackariamtunguja9435
@zackariamtunguja9435 11 ай бұрын
Ni vibaka hasa hao.. Mimi nawajua
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
Dada mwanaume ndio ni lazima awe provider ni kweli hasa Kwa Mila na desturi zetu za kiafrica but sio kwa wazungu mamy, wewe si unamiaka 2 tu just wait your still New mpendwa hiyo ni trela, movie yaja 50/50 lazima labda kama haufanyi kazi ❤
@annamussa185
@annamussa185 Жыл бұрын
True,tena muholanzi lazima 50/50 harafu wazungu wana maisha ya kawaida so lazima msaidiane labda kama ni Bilionea hapo sawa ulaya maisha magumu nyie😴
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
@@annamussa185 exerctly hata hao Afrika men walioko huku Europe wanasaidiana kwa kugawana majukumu sio rahisi maisha ya Europe kumuachia mume au mke pekee no way 😍
@miskyabdillah7451
@miskyabdillah7451 11 ай бұрын
Jamani binaadam wte ni kutoka kwa Adam na Hawa, but tunahitaji kujisoma
@Evakibira
@Evakibira 9 ай бұрын
Which is the best site? help
@rehemasteven5819
@rehemasteven5819 Жыл бұрын
Jaman Mbona hao wa Italy Kama waswahili 😂
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 6 ай бұрын
Ukiona mzungu anakojoa barabaranivujue ni muitaliano
@marykisoka4233
@marykisoka4233 Жыл бұрын
Kiukweli kinachotutoa kwa waswahili ni vituko na matukio yao yanachosa sana alafu ni nothing
@LilianPhilemon
@LilianPhilemon Жыл бұрын
Ongea kiswahili
@jescaemmanuelmollel9011
@jescaemmanuelmollel9011 Жыл бұрын
I hate kukumbushiwa makosa yaliyopita
@user-ri7mc2vu3g
@user-ri7mc2vu3g 11 ай бұрын
Shena namba yako naipatajenafuatilia sana kipindi chako
@LilianPhilemon
@LilianPhilemon Жыл бұрын
Hi shena mambo
@victorianambololo5718
@victorianambololo5718 9 ай бұрын
Lisa nisaidie
@hamisndusu3625
@hamisndusu3625 3 ай бұрын
Usaidiwe nn?
@Yness-vh4yy
@Yness-vh4yy Жыл бұрын
Picha ya uso na kwenye video ni vitu viewili ni tofauti!
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Wewe unataka uso wake au maneno yake ??
@lissagloo350
@lissagloo350 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 🙌🏻
@upendogreutert199
@upendogreutert199 Жыл бұрын
😂😅
@luluhilaly5694
@luluhilaly5694 4 ай бұрын
Je huyo shemeji yetu ana umri gan
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 8 ай бұрын
Mwanaume wangu nigeria ila najuta😂😂😂usipokula km dada zao unalo😂 shena tuwekee wake wa wapopo kwanza😅
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 8 ай бұрын
Kiukweli nawakaribisha sana.. Kama unamjua mtu nipatie Connection nae nimuombe interview
KUJIUZA NI AJIRA NA UNAKATWA KODI NA SERIKALI | TUMEISHI MAHUSIANO YA MBALI MIAKA 3
43:00
WAITALIANO NI KAMA WAZARAMO
42:09
Official Dating Assistance
Рет қаралды 9 М.
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 49 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 53 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 185 МЛН
WELCOMING BABY ACEJALEN HOME | BABY AJ'S REACTION
17:27
WAMBUI KAJIM
Рет қаралды 87 М.
NILIPATA MZUNGU MVUTA BANGI | HELA YA MZUNGU NI NGUMU | WALITAKA MAHARI MIL 5
38:11
Official Dating Assistance
Рет қаралды 16 М.
SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS
11:45
NG'ARING'ARI
Рет қаралды 54 М.
UBINAFSI WA WAZUNGU NI CHANGAMOTO | ALIKUJA TANZANIA KU VOLUNTEER
40:30
Official Dating Assistance
Рет қаралды 11 М.
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 49 МЛН