No video

DKT. BASHIRU AMJIA JUU TABASAMU KISA MPINA, "NI MTETEZI WA WANYONGE, WABUNGE WAZALENDO TUKO WACHACHE

  Рет қаралды 102,296

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 409
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp 2 ай бұрын
Hongera sana Mpina ! Nchi hii tunapigwa sana.Mbunge Tabasamu analijua AMEKUUNGA MKONO MPINA ILA AMEKWEPA KUFUKUZWA BUNGENI. Mpina WANANCHI wenye AKILI TUKO NYUMA YAKO. (NCHI HII TUMEPIGWA NA TUNAENDELEA KUPIGWA SANA.) (NDUGAI UKO WAPI???)
@haggaikinyau1395
@haggaikinyau1395 2 ай бұрын
Kichwa cha habari tofauti kabisa na kilichosemwa. Mwandishi ni mjinga sana anatumia jina la Bashiru visivyo
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi Ай бұрын
Mwandishi kanjanja
@gregoryogweyo4598
@gregoryogweyo4598 Ай бұрын
ametuchota akili
@beatricemhongole8852
@beatricemhongole8852 2 ай бұрын
Mh. mpina ni mtetezi wa tz
@DealDeskPro
@DealDeskPro 2 ай бұрын
Fanya reseach ya ghasia hii..ukweli uko wazi mbona..Mh. Bashe anajitahidi sana kwenye kilimo..we should say the truth sometimes
@user-vd8hs6ue2n
@user-vd8hs6ue2n 2 ай бұрын
​@@DealDeskProAcha uchawa mzee zungumza na njaa zako mpina anatutetea sisi wanyonge
@juliuswantere6864
@juliuswantere6864 2 ай бұрын
La ajabu ni kuwa watu kama Mpina hawatakiwi nchini kwetu!!!!!
@jimmysameji3602
@jimmysameji3602 2 ай бұрын
@@DealDeskPro bashe alikuwa mchapa kazi enzi mzalendo J P Magufuli.Sasa hivi anarimotiwa na vibaka we nchi.
@aidanexson1634
@aidanexson1634 2 ай бұрын
​@@jimmysameji3602wengine ndo wananza kufatilia akina mpina sahz
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 2 ай бұрын
Kama kuna mbunge mnafki mbunge mjali njaa yaketu na c njaa ya wtz basi tabasam ni1jawpo
@jdanny497
@jdanny497 2 ай бұрын
Hafai kabisa tapeli
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 2 ай бұрын
Hovyo sana huyu
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 2 ай бұрын
Kabisa
@edmundphilemon3054
@edmundphilemon3054 2 ай бұрын
Na jina lake ni lakimchongo tabasam
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
@@edmundphilemon3054 jmni Edmund😅😅
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 2 ай бұрын
Watanzania kwahili lampina ndomjue kuwa bunge Huwa ni kandamizi kwa wananchi Yani ndomjue kuwa bunge sio linatetea wananchi ila linakandamiza wananchi hilibunge nila mchongo ,Yani wamekaa kupigatu ,Yani hilibunge nibola tuludi kuongozwa na mchifu sio Hawa mafisadi
@iddrashid7054
@iddrashid7054 2 ай бұрын
Unamaana Sukari isingeingia nchini kwa wakati kati ya Bashe na Mpina nani angelaumiwa kwa uzembe?tuwe fair Mpina kwa hili anatetea wawekezaji na Bashe amesaidia wananchi
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 ай бұрын
Mpina hajashikwa na kosa lolote kuhusu Bashe. Kosa Lake ni kusema na vyombo vya habari tu.
@sophiemsuya6507
@sophiemsuya6507 2 ай бұрын
Jamani hapo chama kinajitetea. Walio upande wa.wananchi wataendelea kueleweka. Mungu atabaki kuwa mwamuzi wa haki.
@user-zi4hx4jf3o
@user-zi4hx4jf3o 2 ай бұрын
Mpina tupo na wew huyo tabasamu Mnafiki sana
@barnabasmsamwel4292
@barnabasmsamwel4292 2 ай бұрын
👑machifu tupo 😂😂 😊
@halimamwingu4478
@halimamwingu4478 2 ай бұрын
Dume zima linajikosha kwa Tulia Ackson! Eti “mi nimeumia sn kutukanwa spika” 😂😂😂😂
@zabronmwaipungu2212
@zabronmwaipungu2212 Ай бұрын
Haya majitu ni majinga tu. Anacho kisema mpina baada ya kutolewa bungeni yuko sahihi kabisa, kama vile wachangiaji walipangwa vile!
@saidmabanga388
@saidmabanga388 2 ай бұрын
Uyuuu mzeee nae msenge tuu
@ProductionWinderBulyanhulu
@ProductionWinderBulyanhulu 2 ай бұрын
Hamuwezi kumchafua Mpina wananchi tumemuelewa sana.
@majidimussa8678
@majidimussa8678 2 ай бұрын
haswah
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
kwa kweli
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 2 ай бұрын
Hapo bungeni wabunge wazalendo wachache sijui Kama wnafka 5kwasasa mbunge mzalendo no1ni bashilu Ali kakulwa alikuwepo polepole no2wkamuondoa no3mpna no4kunambi
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 ай бұрын
Mzalendo nimpina 1 hiyo nimiipango ya kumdhofisha , bunge la sasa rinataka mtu awe anasifia wakati wananchi wake harinngum .mpina hakuwenda bungen kumsifia mtu nimkweri daima na mungu amsimamie
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
amina baba
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 2 ай бұрын
Tanzania inatuua kwa uchawa Hawa wote wanaosimama kinyume na mpina wote wala siyo kwa akili zao bali ni kwa shinikizo la kutetea matumbo yao na njaa zao binafsi Mpina chukua form ya urais 2025 Nakwambia samia atasubiri sana❤❤❤
@augustinoevarist6754
@augustinoevarist6754 2 ай бұрын
Nimeshangaa sana Mbunge kusema hii sio nchi ya Kijamaa.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 ай бұрын
Ujamaa tulishautoko toka enzi za mwalimu. Tusijifiche kwenye ujamaa
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 ай бұрын
Ni kwasababu wabunge wetu wamekuwa mapepari wenye kutetea wawekezaji bila kujali interests za watanzania. Bado tutajionea biashara za waarabu na wahindi ndizo zitatawala Mwafirika atakuwa mtumwa
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 2 ай бұрын
Eti bunge 😂😂😂.Mungu isaidie nchi yangu.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Kakulwa oyeeeee kazi inaendelea Mungu akupe nguvu
@paulnsabi3779
@paulnsabi3779 2 ай бұрын
kumbukeni waamuzi wakubwa ni wananchi bidhaa zote ni juu hamna mwenye uthubutu wa utetezi kwa madhira ya wananchi uchumi,bei za mazao chini havina uwiano na maisha kuanzia afya,nk hongera rip JPM katiba maamuzi ni 2024,2025 wananchi tuweke uthubutu kwa watenda haki serikalini.mungu ibariki tz
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 Ай бұрын
We still love u honourable Mpina
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 2 ай бұрын
Ww ndiyo adui wa wanyonge hujajibu hoja za Mpina unafurahisha bunge huku tz balaa tuna viongozi waoga sana ni wachache tu wa maana kama Mwalimu Nyerere, Magufuli, Mpina, Makonda,Bashiru,Sokoine,Ndugai,Anna Makinda,Tibaijuka,Sabaya,Hapi,Siro, wengine ni wahuni tu machawa na mafisadi wakubwa
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 2 ай бұрын
Yaaan nchi hii,"ukitetea tu wananchi lazima ubambikiziwe tuhumaaa
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
yaani nimeligunuda hulo pia..kazi kwel
@stephenwakunyala4004
@stephenwakunyala4004 2 ай бұрын
Bunge la ndiyo Mzee linatutesa Watanzania,
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Ай бұрын
Sasa kwanini sukari imeletwa kutoka Brazil na inauzwa 3000, hivi mnakumbukuka issue ya Iddi Simba? Alijiuzuru kwasababu ya sukari, wakati Raisi ni Mkapa, Mpina yupo sahihi kabisa
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 2 ай бұрын
Ila Wabunge Tz ni nchi ya kijamaa tokea lini,
@kwisa4899
@kwisa4899 2 ай бұрын
Very sad
@JamaliAmour-jp9dd
@JamaliAmour-jp9dd 2 ай бұрын
Huyu muheshimiwa tabasam hoja zake ni upotezaji wa mda tu
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 ай бұрын
Mjinga toot. Njaa tu Jana lolote.
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 ай бұрын
Hongera sana Mpina, watanzania tumekuelewa vizuri.
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 ай бұрын
Bunged gani lisiotaka kukosolewa, mpina ni mtetezi wa wanyonge
@paschalkanagana458
@paschalkanagana458 2 ай бұрын
Hongera sana
@seifusengondo9170
@seifusengondo9170 2 ай бұрын
jinga lingine tena
@Mklindi5624
@Mklindi5624 2 ай бұрын
Sasa hilo Bunge la 2026 kwa akili ya kawaida sana maana halisi ni kwamba Mwaka wa uchaguzi kwa mujibu wa katiba ya Nchi yetu ni mwaka 2025,Je ?anawezaje kusimamishwa vikao ambavyo hatuna uhakika kama atachaguliwa kwa mara nyingine tena.Kwangu naona swali hili ni matumizi mabaya ya muda na akili. Nchi yetu kwa mujibu wa Katiba yetu ni Nchi ya Kijamaa,Nenda kasome katiba yetu.
@HamzaHeri
@HamzaHeri Ай бұрын
SASA KAMA HUYO BASHIRI NI MSHENZI WAKATI WAO WALIJIONA MUNGU WATU
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 2 ай бұрын
Njaa mbaya sana
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Ай бұрын
Nadhani mungu yuko kazini kuifunua mioyo ya wakuu
@user-pg2wk7zi5q
@user-pg2wk7zi5q 2 ай бұрын
Ujikombe nini ww tabasamu kwa sipika? Jitukubwa hovyooooooo.
@geofreympemba7831
@geofreympemba7831 Ай бұрын
Sanamu la Jambazi. Hivyo viwanda vimewakwepa. Mpina ni Shujaa wee tabasamu kwendraaa huko na njaa zako
@user-fc3og1eo3x
@user-fc3og1eo3x Ай бұрын
Vitu viwili tofauti kabisa
@zubedadaudi205
@zubedadaudi205 2 ай бұрын
Uyo nae nn? Mbona kama mweu😅😅😅
@onesmoswai9876
@onesmoswai9876 2 ай бұрын
Tabasamu chawa
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 ай бұрын
Tabasamu Mwislam unaomba Bashe achongewe sanamu yake nzega..,.....hujui kama hujui..Umemkosea Mola wako....
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 Ай бұрын
Hakuna watu Wanafiki na waongo kama wanasiasa. Angalia hizo taarifa!!
@williumteete2626
@williumteete2626 Ай бұрын
Hongera sana Mpina, simama na wanyonge
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 Ай бұрын
Uzalendo sio kazi ndogo acheni2
@mokeya
@mokeya Ай бұрын
Natamani kutukana ila duhhh au bas tu. But mpina tunakuelewa sana na tunakupenda achana na hao manafiki . Mungu atasema nao
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf Ай бұрын
Kwanini hamja msikiliza mpina mkampa siku kumi na tano huu ni unyanya saji
@selemsigala4771
@selemsigala4771 24 күн бұрын
Mwili mkubwa kichwani hewa Mpina ndio Mzalendo alie bakia tutasimamanae
@abdukhalnyerere8993
@abdukhalnyerere8993 Ай бұрын
Wakuchongewa sanamu kila mkoa ni mpina na sio mwingine anagusa maisha ya watu wanyonge naona magufuri bado yupo kwa mpina binafsi mimi nasimama na mpina
@SayiMadaha-fq7tu
@SayiMadaha-fq7tu 2 ай бұрын
Msitufanye wajinga kila siku mnatueleza Habari ya sukali wakat hela zinachukuliwa b o t kama njugu tukikaa mwaka bila kutumia sukali tutapata shida gan
@jumaalmasjuma1700
@jumaalmasjuma1700 2 ай бұрын
Je ameto hoja za uongo?
@Ellsonmushi6059
@Ellsonmushi6059 2 ай бұрын
Huhuhuuuuu nice bunge😢
@pmfalila
@pmfalila Ай бұрын
Tanzania haina media na haina bunge
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 Ай бұрын
Mbunge sijajuwa kama nafahamu sifa za nchi za kijamaa na ni ibara ipi imetamka hilo.Mwache Moina awe mzslendo
@Kaka_Rambo
@Kaka_Rambo Ай бұрын
Hili zee akili linazo kwl et limeumia sana😅
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Amewakandamizaje wanyonge? Wabunge wengi hamuelewi. Mpina hajageuka ni kutomuelewa. Mpina amezungumuzia kuhusu wasiokuwa na hadhi na uwezo wanapewa tenda, na waziri Bashe. Munatetea uwongo na kujipendekeza. Hakuna mutetezi wa haki za watanzania kama Mpina
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 Ай бұрын
Huyu mbunge anayetaka Mpina apewe adhabu kubwa zaidi na anajiita mzalendo..Nadhani wapiga kura wake wanamwona na sisi tunawatathimini,na ashauriwe kuwa hata TZ Gen Z wanaweza jutokea na yakatokea kama yaliyotokea bunge la Kenya.
@abelchacha5977
@abelchacha5977 2 ай бұрын
Hoja inaondolewa na hoja. Sio sheria
@user-rx7te2px5d
@user-rx7te2px5d 2 ай бұрын
Habari digital hamko sirias asee
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 Ай бұрын
Mpina wananchi wanakiangalia,ukiomba radhi basi tutaona hyo radhi unayoomba ni ipi. Mpina hakukataa kuagizwa sukari bali ni utaratibu uliyotumikq kwenye utoaji wa tenda hyo
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 2 ай бұрын
Hivi huyuu sio ndio mbunge wa Lushoto?
@user-gy3bv7nm7d
@user-gy3bv7nm7d Ай бұрын
Huyu hv nimbunge wa wapi?
@user-mm6sm9rt9x
@user-mm6sm9rt9x 2 ай бұрын
WATU kama MHESHIMIWA MPINA watakuwa na maana pale tu WATANGANYIKA wakijifunza Kwa KENYA na KUJUA KUWA LINDA watetezi wao. MPINA ANAPASWA KUUNGWA MKONO NA WATANZANIA wote wenye akili timamu.
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 2 ай бұрын
Huyu tabasam kumbe na yeye ni walewale tu, kapewa asali anamsaliti mpina,
@kamalabuberwa2001
@kamalabuberwa2001 2 ай бұрын
Mpina yupo sahihi, tabasamu nyie ndo maadui wa wanyonge
@mkondomkondo4721
@mkondomkondo4721 2 ай бұрын
Huyu mbunge mpumbavu ajitambui,mpiga debe huyu hilo jimbo analotoka mko na mwakilishi mzigo
@user-dq1ss2uq6u
@user-dq1ss2uq6u 2 ай бұрын
Mpina yuko sawa ss tunamuelewa jmn wabunge msitufanye ni mambumbu ss
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze Ай бұрын
Sukuma gang wanajifaragua 😂
@ayubumoha6313
@ayubumoha6313 Ай бұрын
Jinga Sana unajipendekeza
@user-fc3og1eo3x
@user-fc3og1eo3x Ай бұрын
Hovyo kabisa bado nasimama na mpina
@PeterMaonga
@PeterMaonga 2 ай бұрын
Mpina sio kubwa la maadui maadui wamebaki ndani mtetezi yuko nje
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 ай бұрын
Tabasamu we vipi wabunge wa kanda ya ziwa WANAFIKI SAAANA mwenzenu anatetea wananchi ninyi mnatetea matumbo yenu?? MPINA OYEEEEEEEEEEE
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri Ай бұрын
Ni kweli kabisa Mpina hatufai kweli kabisa ni mtetezi feki wa wanyonge haikosi alihongwa kweli na watu wa Sukari Mhe daktari spika.
@user-ps6wm2qm4f
@user-ps6wm2qm4f 2 ай бұрын
Ila Mimi nakukubali sana Mpina.Siku zote ww ni msema kweli.Wabunge wengi c wasema kweli.Tuwe wakweli jamani ndo mapenzi ya Mungu.
@richardmessayi9578
@richardmessayi9578 2 ай бұрын
Huo utetezi wa wanyonge umewauliza wananchi ni nani wanaona yupo upande wao kati ya wewe na Mh.Mpina??
@geraldluiso6792
@geraldluiso6792 2 ай бұрын
Bunge la kinafiki. Hoja hujibiwa Kwa hoja
@victorphilipo
@victorphilipo Ай бұрын
Mimi sija mwereway tabasamu kwa maana Yuko upande upi
@ramadhaniyahaya7286
@ramadhaniyahaya7286 Ай бұрын
Wabunge mnakosea wapi
@user-kw5pb9dd7p
@user-kw5pb9dd7p 2 ай бұрын
Duhuuu
@GeofreySenka
@GeofreySenka Ай бұрын
Ili kubwa jinga
@zakariasengo8930
@zakariasengo8930 Ай бұрын
Aya masenge yanageuza narrative ionekane mpina anatetea majambaz wakat wao ndio majambaz
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 2 ай бұрын
siss tunapenda what mpina is doing
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k Ай бұрын
RUTO Ali nunu Bunge kupitisha Bili yana Mutokea puani Hivyo chonde chonde ogopeni yasije Wakuta Tuka umia na wengine Tusio na Hatia Muna jua Mpina yupo kwa Masilayi ya Taifazaidi
@omariSaliboko
@omariSaliboko Ай бұрын
Jadilini matumizi ya mipaka mwongozo wa upatikanaji wa sukar hapo mbona hamsemi mnaenda kwenye kuongea na wandishi
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 2 ай бұрын
Shida bunge lina wabunge mbumbumbu weng san
@ERICKMAGETA-rz2eg
@ERICKMAGETA-rz2eg Ай бұрын
Tabasamu umekuwaje kuweni wakweli na wawazi
@phchouseprintmwanza8123
@phchouseprintmwanza8123 2 ай бұрын
"Nchi ni ya kijamaa Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Serikali ya Tanzania" By Bashiru. Ujamaa upi hasa unaouongelea ndg muheshimiwa? Ujamaa wa wawakilishi wa wanyonge kupitisha Tozo kandamizi? Hivi ukilinganosha maisha yenu ya anasa yanaendana na maisha ya watanzania? Watanzania ni watu wakimya. Wamekubaliana na Hali Ili amani iwepo. Ndio katiba ni ya kijamaa lakini nyinyi wawakilishi mnapaswa kujipima kama huo ujamaa mnao ndani ya mioyo yenu.
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile 2 ай бұрын
Umeongea poit kubwa , lakini mimi naonaga viongozi wengi wa hapa kwetu , akiwa anaomba kula anakuwa na akili timamu , akipata uongozi , anabadika nakuwa tofauti na alivyokuwa akiomba kuchaguliwa je kwa nini ?
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 ай бұрын
​@@MirajiMbolileunamuuliza nani?
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile 2 ай бұрын
@@walidmgonja3644 hata wewe unaweza kulijibu tu kama uelewa unao na macho yako yanaona hayo yote
@nicholausmasese6337
@nicholausmasese6337 2 ай бұрын
MHE. ANAONGELEA UJAMAA ULIOANDIKWA KWENYE KATIBA YENU . UNATEKELEZEKA ? !!!
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 ай бұрын
​@@MirajiMboliletumbo na ujinga wetu kudanganyika kwa virushwa vya shilingi 2000/-
@tonnyamon8881
@tonnyamon8881 2 ай бұрын
Wanazingatia kanuni zaidi ya hoja. Sasa hoja yake imeishia wapi? Suala la maji na barabara hawawezi kutatua ila suala la mpina ni kama zege hawajalaza.
@user-pg2wk7zi5q
@user-pg2wk7zi5q 2 ай бұрын
Ww ni jitu kubwa lakini hovyo kweli unamuuza hivyo mpina wewe hata wa nchi wa sengelema kama watakuchagua tena hawatakuwa na hakili.
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 2 ай бұрын
Waache wajione walo vizuri wajue wananchi wananunguka rohoni siku moja itakaa iwe kama kenya
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 2 ай бұрын
This is bogus mp, huyu mpuzi tena na tena
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye 2 ай бұрын
umeanza vzr lakini mwishon umevurunda kwel nikuombe2 futa kwanza kauli ya kujiita mtetezi wa wanyonge we n mtetezi wa tumbo na siyo wanyonge
@user-pr7pe4lf8p
@user-pr7pe4lf8p Ай бұрын
Wazalend ni wachache sana
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 ай бұрын
Mpina ni mutetezi wa wanyonge. Mpina ameongelea Bashe ametowa vibali kinyume cha sheria. Bashe kątowa tenda kwa watu ambao sheria hairusu wawo Kuagiza sukari. . Munampaka Mpina matope kwa kuweka wizi hadharani unaofanyika. Kwa bunge kama hili, Tanzania is doomed
@selemsigala4771
@selemsigala4771 Ай бұрын
Mzalendo ni mpina pekeake wewe ni njaa na nibendera kichwamaji.
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 2 ай бұрын
Huyu mbunge ni mpuuzi kweli yaani vikao 15 ni vichache kwa kosa lipi Sasa, hivi mnacho jadili ni nini hicho? yaani mwizi anaitwa shujaa hii ni aibu kwa nchi na hili bunge, cc wananchi tunaamini Bashe ni mwizi na fisadi kama mafisadi wengine
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 ай бұрын
Hatumitaki nyie wabunge mjiuzulu, mpo hapo kwa maslahi yenu tu
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 Ай бұрын
Bila D mbili huwezi kuelewaa 😂😂😂😂
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 2 ай бұрын
Mpina aliongea nje ya bunge. Hiyo tume tunaitaka itoka nje ya bunge. Hapo mnajifurahisha sisi tunamwaminin MPINA hamtubadilishi. Mpina bado ni mtetezi wa wanyonje. Tunataka tume huru.
@RajabuDangi-qv2uo
@RajabuDangi-qv2uo 2 ай бұрын
Uchawa hauna maana kabisa
@PartySekemi
@PartySekemi 2 ай бұрын
Mtetezi mpina shikamoo wewe tabasamu ndio chawa
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w 2 ай бұрын
KOSA NI LA NANI
@johnmalale3860
@johnmalale3860 Ай бұрын
Yaani hii mibungeeeeee;
@ofreyking5975
@ofreyking5975 2 ай бұрын
Alie andika mpumbavu kabisa hii habar
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 Ай бұрын
Hivi nyinyi mnamwelewa kweli?
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 40 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 87 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 8 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 18 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 46 МЛН
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 109 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 87 МЛН