Poleni sana sana sana. Tume safiri pamoja kuja Delhi lekini Bro ameni acha Huko Mimi bado na pata matibabu. Rest in peace my Brother. We were together in Ethiopian Airlines.
@FatumaBakari-uz3ox4 сағат бұрын
Poleni sana jmn, mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu,
@gracekagoma32314 сағат бұрын
Fundisha vijana kuongea kiswahili pia tafadhali.Inabidi wote tuelewe waombolezaji wanaongea nini😢
@Globalpeace1232 сағат бұрын
Poleni sana Tena mno Serikali inapotoa mchango sio kuwa chama tu chama cha mapinduzi peke yake kwani hela inapotolewa ni hela inayotokana na kodi za watanzania wote sio ccm peke yao Msiendeleze ubaguzi wenu wa ccm. Hili ni kwa watanzania wote wanaomboleza
@HarunaIsmaili-tf9co2 сағат бұрын
Poleni sana
@Mimi-wf7mb2 сағат бұрын
Mdogo wake wa nne😳😳. Ningedhani huyu ndo mkubwa
@MwatijaFikoti5 сағат бұрын
Poleni jamani ila inauma kama Watanzania maana huyo kaka alituheshimisha Watanzania Kwa kazi yake aliyopata kabla ya mauti kumpata.
@nestorymanyama7 сағат бұрын
Pole
@ntegrity2774 сағат бұрын
AMEUMWA NINI HADI KUFARIKI MBONA MMEFANYA SIRI KUBWA KATIKA HILO! ONDOENI SITOFAHAMU HILO! KWANIMI KAMATI YA VETTING HAIKULIJUA HILO? MLIMPITISHAJE KAMA ALIKUWA NA TATIZO KUBWA LA KIAFYA? AU KALISHWA SUMU MAANA TANZANIA NI NCHI HATARI SANA
@gracekagoma32314 сағат бұрын
Ameuawa na nini😢Watanzania tunataka kujua 😢😢😢Ni mhimu😮