UISLAMU ULIANZA LINI

  Рет қаралды 5,354

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@asmaahamber8481
@asmaahamber8481 6 жыл бұрын
Alhamdulillah Elimu ukiitafta utaijua.... Allah atuongozee MashAllah naelimika zaidi kwa mawaidha yako Sheikh. Allah akulipe kila la kheri. Allahumma ameen
@aishamohamed4412
@aishamohamed4412 6 жыл бұрын
Alhamdulilah mola akupe kila lenye kheri uzidi kutuelimisha inshallah
@shammoha5297
@shammoha5297 6 жыл бұрын
Alhmdullillahi. Shukran ustadh. Mola akubariki 🙌
@harunhassan5237
@harunhassan5237 6 жыл бұрын
Mashaaallah
@bonifaceirungu5594
@bonifaceirungu5594 3 жыл бұрын
Okay sasa twambie ,shahada yazamanihizo ilikuwa gani na mtume wakati huo alikuwa nani
@bartazarideogratius5611
@bartazarideogratius5611 Жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo Asifiwe, Wapendwa katika kristo. Inasemekana kwamba, Quran iliteremshwa kutoka, Mbinguni, lakini ukweli ni kwamba Quran imeandikwa na Baadhi Ya Wanathiolojia akiwemo Mohamad,Na uandishi huu, ulikuwa ukichukua Mistari Baadhi katika Biblia, na Mawazo Yao , kisha kutengeneza Quran. Ikumbukwe, Biblia ndiyo iliyoanza karne nyingi 1450 BC hadi 4000 BC hadi Kipindi Cha Yesu kristo, Quran imekuja 610 A.D. HII NDIYO BAADHI YA MISTARI NDANI YA QURAN, ILIYOCHOMOLEWA KUTOKA KWENYE BIBLIA: 1- ORIGINAL KATIKA BIBLIA."" """"""MATHAYO 28:18: YESU Akaja Kwao, Akasema Nao Akawaambia Nimepewa MAMLAKA YOTE MBINGUNI Na DUNIANI" ."""""" KOPI KATIKA QURAN. """Surat AlI'Mran 3:45: "Na Pale Malaika Waliposema: Ewe MaryamuMwenyezi MUNGU AnakubashiriaMwana Kwa Neno Litokalo Kwake. Jina Lake Ni Masihin Isa Mwana Wa Maryamu (YESU), MWENYE HESHIMA Katika DUNIA Na AKHERA"""""" ORIGINAL KATIKA BIBLIA. Mathayo 25:34-46: 34:Kisha Mfalme atawaambia wale walioko mkono wake wa kuume, Njoni, mliobarikiwa na Baba yangu, urithini ufalme mliowekewa tayari tangu kuumbwa ulimwengu; 35:kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; NALIKUWA na KIU, MKANINYWESHA; nalikuwa MGENI, MKANIKARIBISHA; 36:nalikuwa UCHI, MKANIVIKA nalikuwa MGONJWA, mkaja KUNITAZAMA; NALIKUWA KIFUNGONI, mkanijia. 37:Ndipo wenye haki watakapomjibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona una njaa, tukakulisha, au una kiu tukakunywesha? 38:Tena ni lini tulipokuona u mgeni, tukakukaribisha, au u uchi, tukakuvika? 39:Ni lini tena tulipokuona u mgonjwa, au kifungoni, tukakujia? 40:Na Mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambia, kadiri MLIVYOMTENDEA MMOJAWAPO WA HAO NDUGU ZANGU WALIO WADOGO, MLINITENDEA MIMI. 41:Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake; 42: kwa maana nalikuwa na njaa, msinipe chakula; nalikuwa na kiu, msininyweshe; 43:nalikuwa mgeni, msinikaribishe; nalikuwa uchi, msinivike; nalikuwa mgonjwa, na kifungoni, msije kunitazama. 44:Ndipo hao pia watajibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona wewe una njaa, au una kiu, au u mgeni, au u uchi, au u mgonjwa, au u kifungoni, tusikuhudumie? 45:Naye atawajibu, akisema, Amin, nawaambia, Kadiri msivyomtendea mmojawapo wa hao walio wadogo, hamkunitendea mimi. 46:Na hao watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele; bali wenye haki watakwenda katika uzima wa milele. KOPI KATIKA QURAN. Haya Maneno Aliyosema Bwana YESU katika MATHAYO yamegeuzwa kidogo na kuingizwa katika Quran, Tazama Quran hadithi 22: Kutoka Kwa Abu Hurayrahرضي الله عنه ambaye alisema kwamba Mtume صلى الله عليه وسلم amesema: ((Allaah عَزَّ وَجَلَّ Atasema siku ya kufufuliwa: Ewe Mwana wa Aadam, NILIUMWA na USIJE KUNITAZAMA. Atasema: Ewe Mola, vipi nije kukutazama nawe ni Mola wa ulimwengu wote? Atasema: Ulijua kuwa mja wangu fulani alikuwa MGONJWA na HUKWENDA KUMTAZAMA? Ulijua kuwa ungekwenda ungalinikuta Niko pamoja naye? Ewe mwana wa Aadam, NILIKUOMBA CHAKULA na HUKUNIPA. Atasema: Ewe Mola, vipi nitakupa chakula na Wewe ni Mola wa ulimwengu wote? Atasema hukujua kuwa MJA WANGU FULANI alikuomba CHAKULA NA HUKUMPA? Hukujua kuwa ungalimpa chakula ungalikuta hayo (jazaa) kwangu mimi? Ewe mwana wa Aadam, NILIKUOMBA MAJI NA HUKUNIPA. Ewe Mola, vipi nitakupa maji na Wewe ni Mola wa ulimwengu wote? Atasema HUKUJUA KUWA MJA WANGU FULANI alikuomba MAJI na HUKUMPA? Ungalimpa maji ungalikuta hayo (jazaa) Kwangu Mimi)) [Muslim] 3- MSTARI HARISI: """"""""Yohana 5:25: AMIN, AMIN, nawaambia, SAA INAKUJA, na SASA IPO, WAFU watakapoisikia SAUTI ya MWANA wa MUNGU, na wale waisikiao WATAKUWA HAI."""" KOPI KATIKA QURAN: """""""""Quran 22:7: Na kwamba hakika SAA ITAKUJA hapana shaka kwa hilo, na kwamba hakika Mwenyezi Mungu ATAWAFUFUA WALIO MAKABURINI.""""""" 4- MSTARI HALISI: """""""Luka 1:42: akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.""" KOPI KATIKA QURAN: "Quran 3:42: Na angalia pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi Mungu amekuteuwa, na akakutakasa, na AKAKUTUKUZA KULIKO WANAWAKE WOTE. JE MUNGU NI MMOJA ANAYE ABUDIWA KATIKA UKRISTO NA UISLAMU: Bwana Yesu Kristo Asifiwe, Ujumbe huu ni Muhimu sana kwa Wale Wakristo, walio wachanga Wasio na Imani dhabiti Na Mungu Wanayemuabudu. Kina cho Niuma. Ni Waislamu kubaki katika Uislamu, Pia baadhi Ya Wakristo kuhamia uislamu. Tega sikio ufahamu ukweli huu. Tofauti kati Ya Allah s.w na Muhammad s.a.w VS YEHOVA Mungu Na YESU KRISTO Bwana Wetu. 1- Allah S.W hana Jina kamili. """Quran.17:110 au surat Bani Israil: Sema; muombeni (Mwenyenzi Mungu) kwa (jina la) Allah au muombeni (kwa jina la) Rahman. Kwa jina lolote mnalomwita (katika haya itafaa). Kwani ana majina mazuri mazuri.""" 2- hili ndilo Jina la Mungu wetu. """Kutoka 6:2-3, Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, mimi ni YEHOVA; 3- Nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao."""" 4- Allah ana Maadui ambao ni Wakristo na Wayahudi. """""Quran. 4:51 na 57 (surat Al Maida): Enyi mlioamini! Msiwafanye MAYAHUDI NA WAKRISTO KUWA NI MARAFIKI. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika hao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.""""" 5- Mungu Wetu ni wa upendo kwa Wote, na sisi ametuamuru tusiwe na Adui. """"Mathayo 5:43-45: Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako; 44: lakini MIMI nawaambia, WAPENDENI ADUI ZENU, waombeeni wanaowaudhi, 45: ILI MPATE kuwa WANA WA BABA YENU ALIYE MBINGUNI; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.""""* 6- Wafuasi Wa Allah Wote ni lazima Wapelekwe Jehanam Kwanza kuuunguzwa, Kisha Ndio Watolewe. """""Quran 19:70 - 72:Tena hakika Sisi tunawajua vyema zaidi wanao stahiki kuunguzwa humo. Hapana Atakaye kwepa adhabu hii kati Yao. 71: WALA HAPANA YEYOTE KATIKA NYINYI ILA ni MWENYE KUIFIKIA. HIYO ni HUKUMU ya MOLA WAKO MLEZI ambayo LAZIMA ITIMIZWE. 72: KISHA TUTAWAOKOA WALE WALIO MCHAMUNGU; na TUTAWAACHA MADHAALIMU humo wamepiga magoti."""""" 7 - Kwa Wanao Mfuata YESU KRISTO. Watakao enda Kuzimu ni Wadharimu peke Yao. """"Zaburi 9:17: Wadhalimu watarejea kuzimu, Naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu."''''' Wakristo hatuendi Jehanam tuna kwenda Mbinguni na Bwana Yesu. """"''Yohana 14:2-3: Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali. 3- Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.""'''' 8- Allah naye ataijazilizia Jehanam, ili ijae. """""''Quran 50:30:Siku tutakayoiambia Jahanamu, ‘Je! Umejaa?’ Nayo itasema ‘Je kuna ziada (zaidi? Naije tu!. Imesimuliwa na Anas kuwa: mtume alisema watu watatupwa jahanamu, Naye Allah ataiuliza jahanamu akisema je umejaa nayo jahanamu itasema kwani kuna nyingine zaidi na ije tu? Mpaka Allah atakapo ingiza mguu wake nayo jahanamu itasema inatosha! Inatosha.""''''""""' Lakini Mungu wetu hataingia Jehanam. YEYE anaishi katika Mlima Wake Mtakatifu Sayuni na Watakatifu Wake. """""Isaya 57:15: Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu."""""'
@sabraham5308
@sabraham5308 5 жыл бұрын
Asalam aleikum ,Sheikh nakubaliana na wewe,kwa kusema kutofuata madhehebu,je wewe sheikh hufuati hayo?.
@aliyomar9140
@aliyomar9140 6 жыл бұрын
Ahsnt
@johnsombi545
@johnsombi545 4 жыл бұрын
UONGO MTUPU MBONA DINI YA KIYAHUDI MPAKA LEO IPO Muhammad ndio MUISLAMU WA KWANZA 39:12. Na nimeamrishwa niwe wa mwanzo wa Waislamu 6:14. Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: Mimi NIMEAMRISHWA NIWE WA KWANZA WA WENYE KUSILIMU. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina.
@frankyowen7730
@frankyowen7730 4 жыл бұрын
Hzo aya umezitoa wap ndugu????
@johnsombi545
@johnsombi545 4 жыл бұрын
@@frankyowen7730 HIYO ni quran mzee HUONI hapo
@ushahidifilms2011
@ushahidifilms2011 4 жыл бұрын
Naweza kukubaliana na unachosema. Qurani inazungumza wazi kuhusu hilo jambo.
JE KUNA MUDA/IDADI KATIKA TENDO LA NDOA
22:48
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 350 М.
NYUMA YA DINI.         #WACHOKONOZI #NAUZAAKILI  #MediaPaloma
9:12
WACHOKONOZI
Рет қаралды 14 М.
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 87 МЛН
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 5 МЛН
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 44 МЛН
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 138 МЛН
02: UISLAMU ULIANZA LINI? WASOMI WANASEMAJE?
30:22
Ushahidi Films
Рет қаралды 2,3 М.
Sheikh Hamza Mansoor - Kukabiliana na Mitihani ya Dunia
35:41
Mahaasin Tv Official Channel
Рет қаралды 1,2 МЛН
KWANIINI SWALA ZINGINE TUNASWALI KWA SAUTI NA ZINGINE HATUTOI SAUTI
4:22
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 12 М.
SEHEMU ABAO SIMZURI KUSWALI NO 4
19:26
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 314
WAISLAMU MOZAMBIQUE WAPIGWA BUTWAA KUHUSU MTUME MUHAMMAD S.A.W
18:05
BAYYINAT DM TV
Рет қаралды 100 М.
TABIA MBILI APENDAZO MTUME
57:50
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1,1 М.
MAMBO YANAO PENDWA NA ALLAAH
57:25
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1,9 М.
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 87 МЛН