2024 Feb still here Listening to this Masterpiece birthed from the Spirit
@pauljoseph12012 жыл бұрын
I wish one day nifike kwenye WORSHIP hii mimi napenda sana powerful worship
@mikeyblessed92733 жыл бұрын
Wow Kenyans let us gather here and congratulate this woman of God she is more annointed
@brysonuronu58622 жыл бұрын
You nailed
@edithmwasulama7005 Жыл бұрын
Aliyekwambia ndossi ni mkenya kakudanganya
@DrIpyana3 жыл бұрын
Jesus #UMEKETI na #Umejulikana
@gracelema25893 жыл бұрын
🙌🙌🙌
@nsiandumindossi3 жыл бұрын
Hakika, Ajulikane juu ya Tanzania, ameketi tuu ya Tanzania 🙌🏾🙌🏾
@RudiaMikenganoАй бұрын
Amen❤
@sarahmwamahusi28583 жыл бұрын
"…Uketiye juu ya mataifa,wewe ndiwe mwanzo wa maisha, na ujulikane kama sifa!... Ujulikane sifa juu ya Tanzania,ujulikane sifa ndani ya Dar Es Salaam....Hallelujah!
@christinasillo7923 жыл бұрын
Na ujulikane Kama sifa kwa wote waaminio utukuzwe katika kusanyiko la watu wako. Amen
@irenemushendwa8882 Жыл бұрын
God bless you Minister!
@gospotv3 жыл бұрын
Kwa hakika Roho wa Mungu anafanya kazi ndani ya mtumishi wake huyu. Tumebarikiwa sana na tunazidi kumuombea huduma yake ifike mbali asipotarajia kwa utukufu wa Mungu. AMEN.
@nsiandumindossi3 жыл бұрын
Amen! Thank you so much for the love and support 🙏🏽🙏🏽. Glory to Jesus
@jonathansimon96243 жыл бұрын
Amen man of God
@AngelaMsuya-oy8rf13 күн бұрын
Amina
@MagembeTVOnline3 жыл бұрын
Huu wimbo ni ibada kamili naona jinsi unavyogusa na kuhudumia maisha ya watu Moyo wangu unahisi kupona,naongea kutoka moyoni kabisa Mungu wa mbinguni anaenda kukutambulisha kimataifa Hakika unaimba rohoni sio mwilini,nauona utukufu wa Mungu ndani yako Amen! *1wafalme **18:36**~38* Ikawa, wakati wa kutoa dhabihu ya jioni, Eliya nabii akakaribia, akasema, Ee Bwana, Mungu wa Ibrahimu, na wa Isaka, na wa Israeli, na ijulikane leo ya kuwa wewe ndiwe Mungu katika Israeli, na ya kuwa mimi ni mtumishi wako, na ya kuwa nimefanya mambo haya yote kwa neno lako. 37 Unisikie, Ee Bwana, unisikie, ili watu hawa wajue ya kuwa wewe, Bwana, ndiwe Mungu, na ya kuwa wewe umewageuza moyo wakurudie. Ndipo moto wa Bwana ukashuka, ukaiteketeza sadaka ya kuteketezwa, na kuni, na mawe, na mavumbi, ukayaramba yale maji yaliyokuwamo katika mfereji.
@nsiandumindossi3 жыл бұрын
Ameeenn🙌🏾
@njukibeemusic3 жыл бұрын
Hallelujah! Bwana Yesu asifiwe milele
@joskyshams475811 ай бұрын
Nimeskia huu wimbo leo. Nimebarikiwa sana
@AgnesLukawe3 ай бұрын
This is awesome confession ❤❤❤😂
@jacklinekendi3084 Жыл бұрын
Don't know why but this morning when was scared because of my delivery God sent me here.... Thank you for this
@kushyqush3 жыл бұрын
I was just about to sleep and this song is what appeared on my KZbin account page.. don't know why I clicked on it but the spirit of God is heavily flowing here. Powerful ministration
@PastorNsiandumi3 жыл бұрын
Amen dear, glory to Jesus! Keep sharing so that we can bless more people with the presence of God.
@winnie73993 жыл бұрын
Same experience.
@simplyblessed80293 жыл бұрын
I stumbled upon this song on u-tube, anointed Spirit filled song. Love Kenya 🇰🇪 🇰🇪
@leonardmhina6403 жыл бұрын
Midnight worship.....Abba....Mungu wangu.....
@margaretmuiruri81732 жыл бұрын
Am addicted to this song💓💓❤️❤️❤️🥳
@MrMozth3 жыл бұрын
May the Lord be known by HIS deeds, one day every knee will bow, every tongue will confess that JESUS is LORD, one day!
@magdalenajuma62293 жыл бұрын
Naujulikane Kama upo nami Asante Yesu 🙏
@neywilly98173 жыл бұрын
This is what we are missing in today's praise and worship sessions.Barikiwa sana Pastor, hakuna namna Mungu ataacha kutujilia katika sifa kama hizi.
@barasamainav Жыл бұрын
Maybe you attend a wrong church. You can't Miss such in right church there are many
@tukuyufm2 жыл бұрын
Nashangazwa sana imekuwamo sauti hii ndani yangu ni kama miaka miwili mfululizo kila jioni sauti hi ikinipa uamsho wa kuwaka kimguso "ujulikane" "ujulikane" "ujulikanee" kwa kipindi chote ilijulikana nguvu ya roho mtakatifu wala sikujua aliehudumu huu wimbo. Jinsi ilivyo kwangu mungu amekufanya mama wa kiroho "pastor nsiandumi ndossi". Kamwe kujulikana kwa mungu kuhudumie Wengi. Absolutely this song act as a pillar of my prayers in spiritual left a testimony mark. Moreover, Familia yangu imehudiwa na hii nyimbo, Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu.
@PastorNsiandumi2 жыл бұрын
Glory to Jesus Christ
@magdalenajuma62293 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭Yesu asante kwakunihudumia kupitia wimbo huu Asante kwa mtumishi wako uliyomtumia 🙏
@juliethkaaya42473 жыл бұрын
Haleluya Jesus nimebarikiwa sana nanyimbo zakuqbudu😭😭😭😭holygost .thank you Lord
@johnthomas94983 жыл бұрын
I am 😭😭😭😭😭😭...!! GOD HAS USED YOU PRECISELY SISTER, HE HAS REVEALED HIMSELF ALONG WITH THE SONG!! A VERY POWERFUL PRAYER THAT RAISES THE PRAISE TO THE MOST HIGH WHERE WE HAVE SEEN HIS GLORY COMING DOWN....!! I BLESS YOU SISTER...!!
@nsiandumindossi3 жыл бұрын
Glory to Jesus
@scholaruben16113 жыл бұрын
Na ujulikane kama Simba uketiye juu ya mataifa,na ujulikane umeketi juu ya 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@sarahmwamahusi28583 жыл бұрын
Amen to that
@nsiandumindossi3 жыл бұрын
Ameeennn!!
@kestinmbogo3 жыл бұрын
This song makes me stop everything and start speaking in tongues!!🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@mwapemlange57743 жыл бұрын
So powerful song!!!!😭😭😭😭 na ujulikane kama Simba wa Yuda kwenye maisha yangu
@liliannjeri53 жыл бұрын
Holy Spirit has led me here.....ooooh Lord lam grateful ....kukuwa nawe hakika baraka....be blessed pastor
@nsiandumindossi3 жыл бұрын
Amen! Glory to Jesus..
@macrinajoseph14223 жыл бұрын
Ameen ubalikiwe Sana mtumishi mungu yupo pamoja nawe hakika bwana ameachilia Roho ya sifa ndani yako.
@lilianandrew86963 жыл бұрын
Na ujilikane kama sifa, na ujulikane kama moto Bwana,wewe ni Mungu, wewe ni Baba, wewe ni Mkuu sana
@dola84423 жыл бұрын
Weee mama your a blessing to this generation. There's a revival in Tanzania
@millicentayangokunting37283 жыл бұрын
Yees
@ed4Jesus3 жыл бұрын
Something is happening in Africa! There's a move of God. And it is blowing from down South.
@lulumwingira12833 жыл бұрын
Yaani nyimbo zake Zoote ni mooto,Naujulikane,Hallel,Ukiri huwa naziimba kama zangu. Blessings Pastor Nsia Blessings 😘
@annawilliam97613 жыл бұрын
Na ujulikane kama sifa umeketi juu ya mataifa powerful song I am belessed
@esteriapaul98833 жыл бұрын
Hakika na ujulikane baba,Hakika Roho mtakatifu anafanya kazi
@ed4Jesus3 жыл бұрын
Much Loooove from Kenya. Soo blessed! TZ we so loove you, the praises coming from down south are so refreshing!!!
@isaac_mulamba3 жыл бұрын
Que le Dieu de surnaturel te oint encor, ıli i julikane kama yesu ju hayi🔈🔉🔊🔅🔆🔑🔓
@PastorNsiandumi3 жыл бұрын
Amen🙏🏽
@DrNeemaBalige3 жыл бұрын
Yesu azidi kukuneemesha mama yangu. This song is my life prayer
@nsiandumindossi3 жыл бұрын
Amen😊🙏🏽🙏🏽
@gracekiarie42593 жыл бұрын
Halleluya the voice and instruments...am in saudia arabia wondering wen to go back to my country to worship the lord and sing to him in spirit and power and truth since that spirit is in me....it misses places like this wooii🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻may God bless you
@nsiandumindossi3 жыл бұрын
May the Lord touch you even where you are. The beauty about the anointing is that it can be transmitted even through your screen and phone. God bless you
@gracekiarie42593 жыл бұрын
@@nsiandumindossi ameeen I receive it in jesus name
@nellymichael73443 жыл бұрын
Msomaji wa biblia hajifichi.......maneno yana nguvu kuliko chochote
@upendokillewa55223 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe brother, na nyimbo zenye neno la Mungu la kutosha zina upako mnoo
@elizabethfafabian45613 жыл бұрын
Uko vizuri,mtumishi,wa mungu loho wa mungu anakaandani yako inuliwa zaidi
@pastorsafari60873 жыл бұрын
Wow! Powerful declarations song. God bless you
@nsiandumindossi3 жыл бұрын
Amen Pastor! Thank you for the encouragement 🙏🏽🙏🏽. Glory to Jesus
@angeloliver5542 ай бұрын
This sing is amazing which draws nearby Gods presence, God bless you
@beckykalume78502 жыл бұрын
POWERFUL!!! That's all I can say. God bless you Woman of God.🙌
@PastorNsiandumi2 жыл бұрын
Amen! Glory to Jesus Christ. Many blessings to you too.
@elrachum3866 Жыл бұрын
NINACHOKIPENDAGA zaidi is her Tongue.
@reenfaith84683 жыл бұрын
Wimboo huu umekuwa ni maombi yangu
@deoruge3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu ALIE hai.hakika wimbo huu umeinua MOYO wangu
@talitahamisi74433 жыл бұрын
Na ujulikane bwana yesuu katika mataifa yote
@irenemkini41163 жыл бұрын
I cant get enough of this song.. i just feel Him near nikiuskia! Glory to God
@PastorPanta3 жыл бұрын
Anointing anointing over you woman of God
@nsiandumindossi3 жыл бұрын
Amen🙏🏽🙏🏽
@beijoozessence10483 жыл бұрын
Am shocked very bigg mshangaoo uyuuu Mubgu anajuaa kuwatumiaa watumishii wakee whata a soong am veryy muchhh blessed hakikaa Uyuu Mungu ni Mshindiiii
@karistachusi48743 жыл бұрын
Na ujulikane Kama sifa maishani mwangu Bwana.❤️🇹🇿
@yonelamoepya1252 жыл бұрын
Wow. Powerful worship🙌🙌. I'm watching from South Africa. Thank you Jesus Christ🙌🙌.
@PastorNsiandumi2 жыл бұрын
Amen! Glory to Jesus Christ
@joycehaule97173 ай бұрын
Mbona huu wimbo haufunguki
@jacklinebenezethi13473 жыл бұрын
Kupitia sifa hii leo tarehe 8/9/2021 naomba Mungu akajulikane kama simba kama Moto kwa njnayoyapitia katika jina la Yesu Amen.
@nassibuduma71623 жыл бұрын
Uwiiii.....weweeeee...hatareeee wambie upande wa2 huku amejulikana kama Fire.
@subiramwanjabala45132 жыл бұрын
Still here Lord.. Na ujulikane🙌
@florahemmanuel83233 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza huu wimbo,very nice worship song
@annamwakitalu3 жыл бұрын
The lyrics and the melody.....mind blowing!!!! It's such a powerful prayer....can't stop listening to!!! Pastor you are blessed and favoured
@nsiandumindossi3 жыл бұрын
Amen🙏🏽
@ladyz42733 жыл бұрын
I am glad KZbin brought this on my suggestions. The anointing that is in this song so tangible. Powerful ministration. Mungu azidi kukuinua from one glory to another. They are still remnants left in this end times.
@PastorNsiandumi3 жыл бұрын
Amen, glory to Jesus 🙌🏾
@belyseirambona68493 жыл бұрын
Balikiwa sana Paster
@amanilengaram57553 жыл бұрын
Ooh Yesu anajivunia kuwa na watu wanaomuabudu kiasi hiki Mungu azidi kukuongoza
@PastorNsiandumi3 жыл бұрын
Amen, glory to Jesus!
@jnmsangi753 жыл бұрын
This song, My October Song for sure. God is real, Holy Spirit is Real
@PastorNsiandumi3 жыл бұрын
Glory to Jesus
@noelanjau43263 жыл бұрын
Uwiiiiii Pastoooorrrr😭😭🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
@susanmbuuko169910 ай бұрын
Naujulikane kama moto,simba....😢God
@raymondmuhondezi83003 жыл бұрын
Mmmmh..!!! Fireee....!! Aleluyaaa.....
@petermwamba87913 жыл бұрын
Ameni nimebarikiwa sana
@ettyluanda22743 жыл бұрын
Thank you mae,Pastor Nsia,huu wimbo nausikiliza kila siku asbh nikiwa naenda kwa mwajiri,nabarikiwaaaaa
@PastorNsiandumi3 жыл бұрын
Aaawwwhhh! Amen! Glory to Jesus. Stay blessed and keep sharing 😊
@ivvyanneivvie85883 жыл бұрын
I can say I listened to this song on hope FM for the first time and it blessed me. It's now my number one on my playlist....this one introduced me to your other songs, and I'm loving them. You are anointed mama...may the anointing continue overflowing
@PastorNsiandumi3 жыл бұрын
Amen! Glory to Jesus! Thank you for the love and support, share with friends and family as well. Blessings
@farajamvemba26932 жыл бұрын
Tukabarikiwe kupitia wimbo huu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@vumiliajoshua2703 жыл бұрын
Amen,Amen,Dada yangu mtumishi wa Mungu
@zuwenahamis59003 жыл бұрын
I thank God for this song🥰 Naujulikane kama ABBA 🙌
@esthernjuguna35543 жыл бұрын
Naujulikane kama moto na sifa kwa maisha yangu hasaa msimu huu.Amen.
@luganoulindula42043 жыл бұрын
Kweli Mungu ajulikane katika maisha yangu
@Gsimon9233 жыл бұрын
She is preaching🙌🙌😭
@erinymwanuka63453 жыл бұрын
Na uuulikane kama mfalme wa wawafalme mungu wenye henzi🙏🙏
@golathkisoma2 жыл бұрын
yes naujulikane leo kama MUNGU ❤️❤️❤️❤️
@bellarinaphil92973 жыл бұрын
Powerful song, our God is GREAT❤️
@travotv11723 жыл бұрын
Umebarikiwa Sana pastor Mungu anakutumia kwa viwango vingine vya juu..🙏
@PastorNsiandumi3 жыл бұрын
Amen 🙏🏽
@emilykaranja11912 жыл бұрын
Powerfu,l the spirit of God is here
@biggyronnymusic3 жыл бұрын
Wuuuuuuuuuuuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@marthaswai11852 жыл бұрын
Big up Pastor Nsiandumi .More blessings
@bigsamtheeboss3 жыл бұрын
This song is just full of the Holy Ghost!!💯💯💯
@ceciliaotaru99943 жыл бұрын
Is is one VERY powerful prayer. All glory to Jesus Christ.
@nsiandumindossi3 жыл бұрын
Amen! Glory to Jesus
@janegothelf84563 жыл бұрын
Woow!!!
@petermghanga76342 жыл бұрын
Consuming fire 🔥, I'm blessed woman of God thank you for being used.
@PastorNsiandumi2 жыл бұрын
Glory to Jesus Christ.
@yedadialukuba53163 жыл бұрын
Barikiwa
@victoriajoseph87993 жыл бұрын
Oh my God this song!!!! Such a powerful prayer!
@goodluckpnjau3 жыл бұрын
Powerful song 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼 Na ujulikane kama sifa, uketiye juu ya Mataifa.
@powerbank90413 жыл бұрын
Moments of Holy Ghost!!
@violethkitaly59483 жыл бұрын
Na Ujulikane kama Sifa we Mungu. Blessings blessings blessings to his Anointed 🙏
@lightsmaker3 жыл бұрын
Nimebarikiwa. Nsiandumi be blessed in our mother tongue ( chagga)
@fridanjiriri93933 жыл бұрын
Moto...
@douglasmardai19323 жыл бұрын
Praises to Jesus Christ, playing this song every hour
@Blessed_Ann3 жыл бұрын
🙌🙌
@dkokoyo Жыл бұрын
Wow. The content and messaging is deep. God bless you
@timgrandmich52123 жыл бұрын
Na ujulikane kama MOTO..Powerful
@PastorNsiandumi3 жыл бұрын
Amen
@evilahmponzi2768 Жыл бұрын
Pastor Mimi nakupenda itoshe kujuwa nakupenda Mungu akuinue kila siku kila saaa