From Tanzania 🇹🇿 wapi like za boaz weka hapa like zote zake hapa 🎉🎉🎉🎉
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@SoloKarani Жыл бұрын
Wakenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tuonyeshe upendo wetu sasa
@favourkosetei6571 Жыл бұрын
❤❤❤
@Jambi254 Жыл бұрын
❤
@victorwachenje8891 Жыл бұрын
❤🇰🇪🇰🇪
@MartinMbuthia-bz1tp Жыл бұрын
This is what we call knowing ur line..you really bless us boaz
@kibetlangat5611 Жыл бұрын
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 Revival has started working
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus, What I bealeve you shall meet GOD in this Song. Kindly Subscribe this Channel for Get more of what God gave us for the Church of God. Thank you for your support.
@MrElachinixon Жыл бұрын
Hallelujah! I t is indeed a powerful song! God bless you
@thevoiceofrighteousness Жыл бұрын
Pokeeni kibali cha huduma
@gerald_kay Жыл бұрын
Ooh!hallelujah 😢
@fridadenis Жыл бұрын
This is too powerful Man of God
@kibetlangat5611 Жыл бұрын
Amen boaz yesterday night the song 🎵 become my prayer I blessed you in Jesus Name 🙏
@tende_marwa11 ай бұрын
Wakenya wapi likes za Boaz 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪🏾🙌.This is a hit
@goodluck693611 ай бұрын
Nobody is talking about the guy blowing the trumpet,aaah Glory to Jesus😭❤️❤️🙏🔥
@Lizzynewsong11 ай бұрын
Wooow saxophone 🎷 he's excellent
@hollinessmwawughanga5769 Жыл бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@boazdanken Жыл бұрын
Thank you Glory and Honor to Jesus please share to many
@peshlucy98711 ай бұрын
Can't get enough of this song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mercychepkemoi416810 ай бұрын
Ujulikane muhamisha milima Ujulikane mtenda muujiza Ujulikane uko peke yako Ujulikane yesu Twakuabudu muhamisha milima Twakuabudu mtenda muujiza Twatukuza uko peke yako Twakuabudu yesu 😢🙏🙏 Thank you Jesus
@comfortmwilambwe7309Ай бұрын
Thank you 🙏🏾
@ruthyohanesy373910 ай бұрын
Najikuta nalia tyuu Mungu nakuinua wewe muhamisha milima na uko peke yako nakuinua Yesu wewe ni Mungu twakuinua😢🙏
@rehemamwaka14010 ай бұрын
Ooh haleluyaa, utukuzwe Mungu mhamisha milima.
@henritachacha5154 Жыл бұрын
You are great God no matter the circumstances,youvare still God 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@deboratabejo700310 ай бұрын
Really
@nancyjoseph9395 Жыл бұрын
Milima yoote katika mwaka huu wa 2024 inasongeshwa sababu niko na msongesha milima na mutenda miujiza...Great song servant of God ,May God enrich you more.
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@SerahNgugi-pu4hb8 ай бұрын
Amen mhamisha milima
@nautofaith84267 ай бұрын
Hallelujah 🙌
@judithmaratani31143 ай бұрын
Amen
@markmichael2236 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukupaka mafuta mabichi kila iitwapo Leo!! Indeed it's a spiritual food for those who are true worshipers 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@boazdanken Жыл бұрын
Amen Glory and Honor to Jesus please share to many
@markmichael2236 Жыл бұрын
Will do Servant of God🙏
@Geo_88 Жыл бұрын
I highly recommend this sound of worship to y'all 🙇🏼♂️🔥 Lock yourself in your room as you pray in the Spirit this evening 🔥. And watch out the real mountain breaker, miracle worker stepping in your situations as YESHUA!! *Micah **2:13* “The [a]breaker [the Messiah, who opens the way] shall go up before them [liberating them]. They will break out, pass through the gate and go out; So their King goes on before them, The Lord at their head.” Blessings to y'all ✨
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
@Gibsong. Жыл бұрын
Sure bro,Spirit-filled one indeed🔥!
@mariahaule1400 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tunasujudu uko peke yako, tunasujudu YESU, tunasujudu wewe ni MUNGU tunasujudu!
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@saidaegwaga1978 Жыл бұрын
Ujulikane uko pekeakoo! It's touching me very well🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@aloycemaps54309 ай бұрын
Bwana Yesu hamisha milima yote mbele yangu hata kama ni rafiki zangu wakionekana milima Bwana hamisha wote ktk Jina la Yesu
@BrianMulwa Жыл бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 is a gateway to blessings.
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
@emanuelavaleriani86465 күн бұрын
Ujulikane Yesu unaweza kufanya jambo lisilowezekana.Wewe unaweza kufanya.
@mordekaikiwango36008 ай бұрын
MUNGU AZIDI KUKUTUMIA KWA VIWANGO VIKUBWA NABARIKIWA NA NYIMBO HII
@favourkenya Жыл бұрын
For the love of Kenya in heavenly glory, He must be known to all nations, ""ujulikane mhamisha milima""❤❤❤
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@rosesiamashayo46218 күн бұрын
Very powerful 😭To God be the Glory 😭To God who do wonders without numbers , May God Glorify himself through your Ministry in Jesus Christ Name Amen 👏🏻🙏
@ngisirubenard48478 ай бұрын
Napenda nyimbo zako boaz danken,,the problem is that your songs are undownloadable yaawa,,,❤
@kadumaisaya42872 ай бұрын
hiii ni ibada kubwa sana hakika MUNGU ametuhudumia sana kupitia wimbo huuu hakika MUNGU MWEMA SANA ubarikiwe sana kaka boaz
@Ellenplaysroblox Жыл бұрын
Wacha mungu kujulikana katika maisha yangu mtenda miujiza ni wewe.... Mungu akubari mtumish wa kwa nyimbo zako huwa zina gusa moyo Wangu sana ❤❤❤❤❤
@elizabethmwangeka46572 ай бұрын
Wewe ni Mungu pekee yako twakituza. Kutoka Kenya 🇰🇪
@atuswegemposi166819 күн бұрын
Julikana kwangu yesu uko peke yako najivunia wewe yesu wangu
@JosphatChare11 ай бұрын
Nakupenda ndugu yangu BWANA MUNGU KATIKA YESU KRISTU AKUBARIKI mazao yawe mengi na ulinzi na upendo wake ukufunike na UTUKUFU wake ukufunike
@annamisigaro79152 ай бұрын
Na ijulikane mwenye faraja ya kweli, ijulikane wewe ni Mungu ijulikane ❤
@eunicenthenya848Ай бұрын
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we❤you guys
@ElizabethSadalaАй бұрын
Umetenda kwangu Yesu hakika uko peke yako nikikutafakari nalia peke yangu 😢😢😢😢
@janami299 Жыл бұрын
...starting the intro with the saxophone is 🔥🔥🔥🔥 Yesu ujulikane maishani mwangu, na maishani mwa kizazi changu... 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many and subscribe our channel to get more worship
@branesore36711 ай бұрын
Ujilikane wewe ni Mungu. Nomatter the circumstances we face, our God is big and Almighty🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿. Hapa kenya Twakuabudu muhamisha milima 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@josephwambui34149 ай бұрын
Twakuabudu wewe ni Mungu 🇰🇪
@jacklineowiti620811 ай бұрын
Feeling blessed from +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@lynnpesa374411 ай бұрын
Ujulikane muhamisha milima Ujulikane mtenda miugiza Ujulikane uko peke yako Yesu Ujulikane wewe ni Mungu. Wow! Wow! What a powerful worship...Neema ikutoshe kabisa Mtumishi.
@MaryDavid-u7wАй бұрын
Huu wimbo jamani unaingia kwenye uwepo wa Mungu hongera sana mtumishi
@WiliamTumainАй бұрын
Mungu ni mwema Boaz tuzidi kusonga mbele
@zainabusona5901Ай бұрын
Utukuzwe MUNGU wangu uko peke yako
@seralekataka1861Ай бұрын
Wewe ni Mungu... muhamisha milima... mutenda miujizaaa... Uko peke yako... lllloooove this song to bits.... watching and appreciating from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@alphiamwendwa511611 ай бұрын
Mungu wangu mkuu na unulikane Jehovah onekana katika maisha yangu na ya mwanangu muuo mukomboe,mponye kabisa mtenda miujiza ,mhamisha milima naijulikane wewe ni mumgu
@wafabian8116 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🙌🙌🙌🙌🙌 ujilikane wewe ni MUNGU YESU
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many and subscribe our channel to get more worship
@wafabian811611 ай бұрын
@@boazdankenAMEN
@charitykanini243811 ай бұрын
Mungu wetu julikana onekana kwa familia yangu na katika biashara yangu wewe ni mungu mkuu
@gyanpoul397811 ай бұрын
Ukiwa rohoni ndo utaelewa uzito na nguvu iliyopo ndani ya wimbo huu barikiwa sana mtumishi #ujulikane yesu.
@bienvenumuhindonyamukama2011 Жыл бұрын
Yesu julikana katika maisha yangu muhamisha milima. Niteteye Yesu julikana
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@JacklineNdawila11 ай бұрын
Hakika uko peke yako Mungu wetu, mfalme mkuu mbeba siri za maisha yetu 🙏
@jaminaallana552929 күн бұрын
Nmesikia huu wimbo during ministration in church ,,,its very powerful. Nmekuja kuitafuta youtube. Ubarikiwe mtumishi
@Grolyosborn8 ай бұрын
Hakuna mlima utakuwa kwenye maisha yangu,mana muamisha milima ndiye baba angu
@SiahMatembaАй бұрын
Ujulikane Mungu ninayekuabudu 🙏🙏
@dorcaskhamaya9497 Жыл бұрын
This is the sound of heaven❤ Ujulikane Yesu
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many and subscribe our channel to get more worship
@Amina-o7x1hАй бұрын
Ujulikane mungu ninae kuabudu mbele ya aduwi zangu
@blessingsluhanga6977 Жыл бұрын
This song is drawing us more closer to the Lord! This is powerful
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@EnockMwangu Жыл бұрын
🙏🙏
@JONAHKARU2 ай бұрын
Na mungu ajulikane anaweza HIM alone is worthy of our praise
@marianzowa23813 ай бұрын
Nakutukuza,nakuinua wewe YESU hakika unastahili sifa utukufu,hakuna la kukushinda YESU,unapgana na adui zangu YESU Asante
@jeannemariefrancoisebukuru56325 ай бұрын
Ninajiunga nanyi kwakumuinuwa kwakumuabudu pia kumjulikanisha ubarikiwe sana .
@laurakhloe8030 Жыл бұрын
Ijulikane ni wewe Tu Mungu coz when I think of his Grace,love,care,healing upon my life and my family,I just wanna stay in his presence and tell him how perfect, loving, marvelous, forgiving he is.#MunguMuhamishaMilima😭🙏
@dottomadirisha8245 Жыл бұрын
Kiufupi tu ww ni role model wangu itoshet kusem hivii!! One day nitafika ulipo na kufanya kaz na ww hili ni ombi langu🙏🙏🙏
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@dottomadirisha8245 Жыл бұрын
Amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@kilifaithadventures9 ай бұрын
Ninakuinua, Ninakuabudu...Ninakusujudia...Uko Peke Yako Yesu....Wewe Ni Mungu....Muamisha milima..Mfuta aibu....🙌🙌
@StanleyNgowi-bp7tr8 ай бұрын
Nyimbo zina upako sana sababu ni moja ni mnyenyekevu sana huyu mtumishi
@comfortmwilambwe7309Ай бұрын
I'm in love with your music, sir Boaz Danken I'm blessed every time I listen to it 🙏🏾🙌🏾 You're a true worshipper, and I've been really inspired by you I pray that one day when I sing, God may use me to touch lives🙏🏾 as He is using you
@sashalemmoh3264 Жыл бұрын
Tunakupenda Sana dankeni❤. Libalikiwe Jina lamungu wetu huyu yesu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@dinahjoseph2476 Жыл бұрын
❤❤❤❤ hallelujah hallelujah sifa na utukufu zikurudie we we Mungu pekee barikiwa sana @boaz danken
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
@JentrixNasenyaWafula23 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 Glory to God
@joshuamuhini1076 Жыл бұрын
Ujulikane Mtenda miujiza. Utukufu kwa Bwana Yesu
@boazdanken Жыл бұрын
Amen Amen Please share kwa wengi ukiweza
@JulieGodbless Жыл бұрын
Hakika Yesu ujulikane kwA maisha yangu pekee haleluyaaaaa... barikiwa kaka Boaz❤
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many and subscribe our channel to get more worship
Ujulikane wewe ni Mungu muweza,ulikotutoa ni mbali..,Amina🙏🙏
@dorcaseliahАй бұрын
Hakika anatoa milima yote hakuna linalomshinda
@MarthaKinya-l6iАй бұрын
Asante sana YESU,twa wapenda ndugu zetu,wa Tz baraka za mungu ziwe nanyi
@wanderisamuel11 ай бұрын
Much love from Kenya
@mercyandanyi749 Жыл бұрын
Much love❤ from Kenya man of God..ujulikane mhamisha milima ooh Jesus come and intervene.
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many and subscribe our channel to get more worship
@davidkisalimwala9458 Жыл бұрын
ujulikane uko pekee yako Yesu wewe ni Mungu............................powerful song Man Of God.....................from Kenya Nairobi Ngong CFC church we are blessed by your ministry..............1st Dec 2022 we cant forget how God used you to bless our Church indeed you are a man of God BOAZ DANKEN...........................
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@dianachepkemoi911 Жыл бұрын
Ooh glory 🙌 how I love this sound🔥more grace man of God much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many and subscribe our channel to get more worship
@masterjimmy829510 ай бұрын
Kwa kweli munanibariki Sana Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Mungu awaongezeye mafuta n'a ufunuo wa zaidi
@MayStanley-r4u2 ай бұрын
Uko peke yako Mungu
@getrudeludwig79523 ай бұрын
Ujulikane Yesu muamisha milima 🙏🙏
@JescaGaison11 ай бұрын
Wewe ni Mungu pekeeee😭😭😭😭😭🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙏🙏🙏🙏🙏 huu wimbo kla ski nkiamka lazma niusklize uwepo unashuka roho mtakatifu anatamalaki
@nsiandumindossi Жыл бұрын
Aaammeennn!! Utukufu kwa Yesu, ajulikane mhamisha milima, mtenda miujiza! Thank you Brother Boaz for such a powerful song!
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@maryndanu9859 Жыл бұрын
Hujulikane, mhamisha milima...❤❤❤
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
Glory and Honor to Jesus please share to many and subscribe our channel to get more worship
@SarahMazunda11 ай бұрын
Yes, kweli ujulikane YESU
@JanethMtaki11 ай бұрын
Ajulikane mtawala wa watawala wote Amen ubarikiwe ❤
@naomimugisha6943 ай бұрын
Kweli Mungu azidi kuongezeka ndani yetu, Very humble man of God be blessed
@GIVASDASON24 күн бұрын
Yes Jesus is only our Father
@maureenjacob75523 ай бұрын
Hayo mafuta yaongezeke in Jesus name
@maryannewanjiku4085 Жыл бұрын
May it be known to all corners of the world that we serve a God that moves mountains
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many and subscribe our channel to get more worship
@maximilianamwikalagodfreyt3645 Жыл бұрын
Tunakwabudu uko peke yako, hatuna mbadala, hatuna kimbilio lingine zaidi yako, tunasujudu mbele yakiti chako cha Enzi baba😭😭😭😭😭😭😭😭😭 uabudiwe muamisha mila, mtenda miujiza uabudiwe uko peke yako uabudiwe Wewe ni Mungu🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many and subscribe our channel to get more worship
@JaneThuo-ms4ex2 ай бұрын
All 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Glory and honour back to JESUS and let his Servant be raised oooooooooh JESUS
@dropouts_9113 ай бұрын
Ujulikane wewe ni mungu
@BritharWilsonАй бұрын
Hallelujah Wakati nasikiliza huu wimbo nimepata sababu nyingine mpya ambayo katika sababu zangu haikuwepo Kwa nini namwabudu Mungu? 1.Ukiacha kwamba nimepokea msamaha wa dhambi kwa njia ya msalaba Namwabudu Yesu kwasababu yuko peke yake Hana chakulinganishwa nacho, Pesa, magari,watoto,ndoa,fahari ya ulimwengu huu hakuna cha kulinganishwa na Yesu Suleman pamoja na utajir wote aliokuwa nao alisema vyote ni ubatili Yesu hatuna cha kumlinganisha nacho yuko peke yake Yupo juu ya vyote Atuhitaji mambo mengi Tunamuhitaji yeye peke yake Tukimpata tumepata yote Tumepata fahari ambayo hakuna cha kulinganishwa nacho. God is realy🙌 Hallelujah Yesu
@kingboyoscar6725 Жыл бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunawakilisha
@boazdanken Жыл бұрын
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi ukiweza
@kilifaithadventures9 ай бұрын
Hiyo beat ya trumpet is everything.....so deep....Ujulikane Yesu....🎉😊
@catherinekamanda3778 Жыл бұрын
This song! Huu wimbo!
@mugurebetty4668 Жыл бұрын
Amen twakuabudu mvunja Milima .
@antonymbugua6407 Жыл бұрын
mtenda miujiza, wewe ni Mungu..... Ameen....
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many
@reagankiiza9245 Жыл бұрын
Hello sir min Boaz Duncan you are a blessing to the world 🙏🙏.. I really appreciate you.. thank you for being an instrument of God 🙏🙌 thank you sir thank you sir 🙏🙏
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please share to many and subscribe our channel to get more worship
@LilianEmanuel-xn5kz11 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi nakuelewaga sana nyimbo zako, iyo nyimbo niko nyang'anyang'a full upako imejitosheleza
@sophiariwa4707 Жыл бұрын
🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ELVIAHKABIKIRATIMANYWA-lg1ge11 ай бұрын
Ujulikane mhamisha milima. Hamisha mlima wa magojwa yaliyoshindikana kwangu. AMINA
@emilywanjala3710 ай бұрын
Yesu ujulikane kuwa Mungu katika maisha yangu wewe utabaki kuwa Mungu