Рет қаралды 3,607
Shirika la Bandari Zanzibar
Kampuni ya ZF-DEVCO kutoka uholanzi , imeanza ukaguzi wa eneo lililotengwa Kwa ajili ya ujenzi wa bandari ya abiria ya kisasa katika eneo la mpigaduri/Marhubi.