UKIAMBIWA JISIKIE NYUMBANI HAIMAANISHI UINGIE HADI CHUMBA CHA KULALA!!!

  Рет қаралды 6,117

Apostle Kyande

Apostle Kyande

3 ай бұрын

Пікірлер: 41
@josephinemuringo2453
@josephinemuringo2453 3 ай бұрын
Your songs have great composition ❤ and your message hits home 🏡
@thestandardoflivingchurchi213
@thestandardoflivingchurchi213 3 ай бұрын
Great teaching song
@jobnyakundi2036
@jobnyakundi2036 3 ай бұрын
Apostle Na Utukufu Wote Ni Kwa Mungu...Watu Waheshimu Injili Ile Ya Zamani Yenye Uweza...
@MercyMshai-rz6gj
@MercyMshai-rz6gj 2 ай бұрын
Ur really a legend in gospel ❤❤❤
@ruthkanini6136
@ruthkanini6136 3 ай бұрын
Mbele kwa mbele mtumishi wa Mungu ❤
@nnkoarnold5423
@nnkoarnold5423 3 ай бұрын
Sawa kabisa mtumishi watu wanapenda dezo sana hawataki kushughulisha akili zao mimi binafsi najua ulikoanzia ulivyofanya kazi ya Mungu kwa taabu sana wengine wanataka wale mgongoni mwako usikubali hata Mungu hawezi kukubali udhalimu huo hao wakongo walichukua wimbo wa mtumishi munishi pia naona ni tabia yao ingawaje sio wote barikiwa mtumishi
@thestandardoflivingchurchi213
@thestandardoflivingchurchi213 3 ай бұрын
You are a blessing since I knew you many years ago God bless you
@fredmariita8930
@fredmariita8930 3 ай бұрын
Asante Sana Apostle unanitia moyo Kwa MUNGU siku sote ninapo lemewa na Hali ya maisha lakini Kwa yote MUNGU mwema siku sote🙏🙏🙏🙏
@abrahammochache3558
@abrahammochache3558 3 ай бұрын
God bless you
@MargaretEske
@MargaretEske 3 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu naomba unikumbuke kwa maombi
@user-of7ms8is3s
@user-of7ms8is3s 3 ай бұрын
Yeah sure kyande.❤❤
@felixkmutisya3122
@felixkmutisya3122 3 ай бұрын
Apostle ...hata kwa wengine ni hatia. I wish wote wangepokea onyo hili...God bless you man of God
@hisanipictures
@hisanipictures 3 ай бұрын
Nakwelewa sana Apostle, na kwa hilo nakuunga mkono. Hata ingekuwa kurekodi, bado utaratibu lazima uwepo.
@pascalinamukui8400
@pascalinamukui8400 3 ай бұрын
Tunakupenda mtumishi wa mungu hao wanao kuhudhi washindwe kwa jina la yesu
@servantmosesmunuve2687
@servantmosesmunuve2687 3 ай бұрын
Umeongea kweli mtumishi,ata hio kwangu hainifurahishi kabisa, wengine hata ni mashoga wanaojiita wasanii wa gospel.Huo ni wizi na hakuna mbigu ya wenzi
@MamaGrandma-ie1sl
@MamaGrandma-ie1sl 2 ай бұрын
Amen Ame
@javandaudi5553
@javandaudi5553 3 ай бұрын
Kumbe mzee upo Mungu mwema
@Dennorian001
@Dennorian001 Ай бұрын
Wasamehe tu
@chegeben9981
@chegeben9981 3 ай бұрын
Wow ni kweli lakini ni chungu,
@alexandrebucumi7376
@alexandrebucumi7376 3 ай бұрын
Nyimbo za zamani si kama za sasa mtumishi,za zamani ziko na radha ,mafundisho,....
@NicholasMusembi-ft7wx
@NicholasMusembi-ft7wx 3 ай бұрын
MShungaji tukumbuke Ongata Rongai kajiando Asante
@fenceevance
@fenceevance 3 ай бұрын
Vijana waheshimu watunzi
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 3 ай бұрын
Upo sahihi
@sammymiraka8938
@sammymiraka8938 3 ай бұрын
hao majambazi ,Wakamatwe
@JamesNdunda-dc3qw
@JamesNdunda-dc3qw 3 ай бұрын
Hao ni wezi wakamatwe.
@collinsomondi4672
@collinsomondi4672 3 ай бұрын
Uko wapi mtumishi
@Bedytuns
@Bedytuns 3 ай бұрын
❤❤
@denismutuku2723
@denismutuku2723 3 ай бұрын
Ukiona comment yangu jaribu unikol kol please nakuitaji sana please nimekutafuta sana from kenya
@apostlekyande3143
@apostlekyande3143 3 ай бұрын
Nitafute kwa messenger facebook (inbox) maana sipo Kenya kwa sasa.
@akundaotieno866
@akundaotieno866 3 ай бұрын
Zima hizo vitu zao zote,wako na upuzi kukopi nyimbo za wenyewe
@user-px2iu4mc5y
@user-px2iu4mc5y 2 ай бұрын
Ok tumeshukuru na tumekusikiya ila twaomba sorry kwa walio kukoseya.
@mtimti3912
@mtimti3912 3 ай бұрын
Ujumbe umefika
@user-fw1fz8qq1y
@user-fw1fz8qq1y 3 ай бұрын
Hapa nayo hakuna kupempeleza punda kwa mtelemko. Wanavaa kichapo
@ngangarich4164
@ngangarich4164 3 ай бұрын
Kukamua na thaaraa ya wenyewe wacha
@ApostolKenedyOyata
@ApostolKenedyOyata 3 ай бұрын
Daddy nimekumiss Kila siku natafuta your nambar naomba unisaidie Niko na jambo
@apostlekyande3143
@apostlekyande3143 3 ай бұрын
Nitafute kwa messenger facebook (inbox) maana sipo Kenya kwa sasa.
@ApostolKenedyOyata
@ApostolKenedyOyata 3 ай бұрын
@@apostlekyande3143 Asante be blessed in juses name
@egogoloba381
@egogoloba381 3 ай бұрын
Mbona unawazoweya Wakongo hivyo? Unawadai kuzicopy nyimbo zako mbona hilo nijambo la kuchekesha sababu musiki wa Tanzania na sehemu nyigi Africa umeshawishiwa na ngoma na rhythm za Wakongo. Ukweli ni kwamba nyimbo na ngoma za Wakongo ndio zinakopiwa. Ukisikiza nyimbo za wa Tanzania nyingi wamejifunzia kwa Wakongo. Kama kuna kijana kutoka Congo aliye copy wimbo wako basi hiyo ni makosa yake binafsi ila usijaribu kupakaa Wakongo matope kwa ujumla. Pia kufiata na sheria za copyright mutu anaweza fanya cover songs endapo anaonyesha na kutambua mtungaji wa wimbo halisi na hauwezi ondoa channel yoyote ambayo ina cover ya wimbo wako Kama inakutambua kwamba wewe njoo mwimbaji halisi na hapo hakuna copyright violation
@apostlekyande3143
@apostlekyande3143 3 ай бұрын
Toa maoni kulingana na mada husika. Unasema nawazoea wacongo! Ulishawahi kunisikia mahali popote nikiongea habari zao ndio useme nimewazoea? Unadhani kwa njia hii utaninyamazisha kuhusu kazi yangu? Ulipaswa kusikiliza maongezi niliyotoa nikisema SIO wacongo wote bali hao vijana wa Congo waioiba wimbo wangu .Hivyo usikurupuke kutoa hoja zisizoendana. Kama kuna watu wamejifunzia muziki Congo hilo haliwapi wacongo haki ya kumiliki miziki ya watu wengine, elewa tofauti ya kucopi kazi za watu; Na ikiwa madai yako ni ya kweli kwamba tumejifunzia muziki kutoka kwa wacongo , imekuaje sasa WAALIMU wanaibia majibu ya maswali kutoka kwa MWANAFUNAI???? Sijui kama wewe ni mwimbaji au ni mpiga debe tu kwa kusikia jina wacongo. Huu sio uwanja wa malumbano ya kikabila na siasa bali nimetetea kazi yangu. Sema ni wapi kuna rithim spesheli ya kicongo hapo inayo wapa ruhusa kuwa na haki kwa kazi yangu. Tunaelewa haki ya copyrights usituone wajinga, huwezi fanya Cover ya wimbo wa mtu kwa kuonyesha tu unamtambua bila kupata ruhusa yake. Kwa taarifa yako nimeshaondoa huo wimbo wao kwa yuotube na kama unafikiri siwezi sababisha channel kufungwa, upload huo wimbo youtube kwa channel yako tusiandikie mate. Ujumbe wangu haukuwa vitisho ila nimejiweka wazi msimsmo wangu juu ya nyimbo zangu. Kazi ni yangu na NITAILINDA kwa gharama yoyote.
@emmamolell
@emmamolell 3 ай бұрын
Wewe funga mdomo unaongelea ushabiki mtu anasimamia haki yake wewe unaleta ushabiki? Umekula Muti gani?
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 3 ай бұрын
Je umemuelewa vizuri anacho ongea au unaongea kwa mhimiko
WAABUDUO HALISI
22:34
Apostle Kyande
Рет қаралды 10 М.
Vol  4 Whole
57:45
Apostle Kyande
Рет қаралды 10 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
JITAMBUE KTK BWANA /IDENTITY IN CHRIST
44:12
Apostle Kyande
Рет қаралды 6 М.
Kama ni dini
5:56
Apostle Kyande
Рет қаралды 3,5 МЛН
Mwana Wa Daudi - Naomi Nyongesa(Official Video)
6:32
Naomi Nyongesa
Рет қаралды 13 М.
ZABRON SINGERS-SISI NDIO WALE(official video)
4:24
Zabron Singers
Рет қаралды 1,4 МЛН
KARARAN GOT (Ng'o Ne Mairo) - JOSE JOSE - Official Video 4k
6:22
josphat koech
Рет қаралды 526 М.
KUVUKA MWAKA
22:29
Apostle Kyande
Рет қаралды 3,9 М.
Linda Moyo Wako
39:38
Apostle Kyande
Рет қаралды 5 М.
MCH HANANJA ATOBOA SIRI ZA MITUME NA MANABII, LEO NAONGEA UKWELI
31:52