Ukiota Jeneza Na Yanayohusiana Na Hilo Jeneza Hizi Ndio Tafsiri Zake - Sheikh Khamis Suleyman

  Рет қаралды 99,051

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 199
@yasalaam590
@yasalaam590 2 жыл бұрын
Shukran sheykh suleiman kama sijakosea jinanlako
@annmamakesymon1678
@annmamakesymon1678 Жыл бұрын
Asanti sana mwalimu niliota hivo nimeliona jeneza kumbe boss anania na mimi kwaukweli niliona hadi mienendo zake . Shukran sana
@salmakhamisi1144
@salmakhamisi1144 Жыл бұрын
Nia kivp yn
@masungamanjano2421
@masungamanjano2421 4 жыл бұрын
Nenda.kwenye point Mr
@sariahamad5650
@sariahamad5650 4 жыл бұрын
mungu akupe maisha marefu na akujalie mwisho ulio mwema
@FatmaMwalimu-p2p
@FatmaMwalimu-p2p 11 ай бұрын
Nice
@suzanne9517
@suzanne9517 Жыл бұрын
Shukran
@hassaniilyasa6230
@hassaniilyasa6230 11 ай бұрын
assalaamu alaikim warahmatullaahi wabarakaatuh sheikh Mimi niliota djeneza mbili zinapita mbele yangu
@fatumaamiri9404
@fatumaamiri9404 8 ай бұрын
Napenda tafsiri zako za ukwel
@SophiaSteven-w9j
@SophiaSteven-w9j Ай бұрын
Unachosha bana maongezi meengi khaaa
@bbb6nnn561
@bbb6nnn561 3 жыл бұрын
Amiiiiiin allah atuepushe na ndoto mbaya amiiin amiiin
@batulipondela1769
@batulipondela1769 3 жыл бұрын
Ukiota umebeba jeneza kichwani nahilo jeneza halina kitu maana yake nn
@tullysanga453
@tullysanga453 3 жыл бұрын
Sielewi hata kidogo
@AmiraAhmed-zv6zp
@AmiraAhmed-zv6zp 4 жыл бұрын
MashaaAllah
@zainurukaya1939
@zainurukaya1939 2 жыл бұрын
Shekh nashukuru kwa ilmu hii lakini unazama kwenye ushahidi zaidi kuliko mada unayokusudia
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق 2 жыл бұрын
Masha Allah
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 жыл бұрын
Thanks shekh Mie mara nying umuota mtume wetu kipenz nn maana yake
@kivindikimondo6853
@kivindikimondo6853 4 жыл бұрын
Endapo umemuota mtume basi umemuona kweri sheikh
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 жыл бұрын
@@kivindikimondo6853 Alhamdulillah thank u
@khadijamgambo6874
@khadijamgambo6874 3 жыл бұрын
Ma Shaa Allah niombee na mm nimuone
@salmakhamisi1144
@salmakhamisi1144 Жыл бұрын
Mashaallah,Niambie sir ya mafanikio yko
@angelinasamuel_9951
@angelinasamuel_9951 4 жыл бұрын
Naomba tafisili Mm leo nimeota ndgu zangu wananikimbia huku wananiambia bado kidogo tu unakufa kisha waakaaza kunicheka baada ya mda kidogo niaanz kusali na nimeamka ninanguvu sana ....
@damakatana
@damakatana 8 ай бұрын
Inamanisha unamahadui waziwazi hukosi kujua kwamba Kuna watu hakupendi na wewe huna wabaya nao
@joycesirimwobole7335
@joycesirimwobole7335 Жыл бұрын
Go to the point
@dorismbise2927
@dorismbise2927 4 жыл бұрын
Shee jarbu kuingia kwenye pont unavyo sema mambo ya mtume wengne atuelewi thanks
@angeladegens7139
@angeladegens7139 3 ай бұрын
😂
@karimkibwana7972
@karimkibwana7972 4 жыл бұрын
Allhamdulillah
@jasminemohamedi5219
@jasminemohamedi5219 3 жыл бұрын
Mara nyingi mm huota nakimbizwa nakimbia naanguka naendelea kukumbia
@albertogeorge6632
@albertogeorge6632 3 жыл бұрын
Mm nimeota watu wengi wamezungukia jeneza alafu mmoja analiendesha na watu hao wanalisujudu hilo jeneza likiwa na maiti
@sembokodedaughter4405
@sembokodedaughter4405 4 жыл бұрын
Amina
@softcoolupdate5472
@softcoolupdate5472 4 жыл бұрын
Sheikh naomba unisaidie tafsiri ya ndoto hii, usiku wa jumamosi kuamkia jumapili nimeota naoga maji yaliyomo katika ndoo nikiwa na watu nisiowafahamu, allah akubariki na kukupa kheri
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 4 жыл бұрын
Subhanallah
@aminaissah2693
@aminaissah2693 4 жыл бұрын
Subhana allha
@mhitihigefhgugihgigdrugduv9367
@mhitihigefhgugihgigdrugduv9367 4 жыл бұрын
Iyo noma
@rukiamwinyi2415
@rukiamwinyi2415 4 жыл бұрын
Assalam aleikum..mm naota naogea..namaiti..na watu hawamuoni..au nikitendea ..mara gafla nakutana najeneza..wanalia sana..mara kwa mara...
@salamakibuda5394
@salamakibuda5394 4 жыл бұрын
Subhana Allah
@suleshsule9670
@suleshsule9670 4 жыл бұрын
Subuhana allah
@saidjoka1282
@saidjoka1282 3 жыл бұрын
Kijana jifunze kuongea kwa ufupi na mara nyingi tafsir ZENU HAZINA UKWELI mnatisha tisha SANA watu maelezo yenu si ya kuzingatia
@hajingangila1558
@hajingangila1558 4 жыл бұрын
Allah Akbaru!!
@ramadhaniissa5370
@ramadhaniissa5370 4 жыл бұрын
ALHAMDULILAH SHEHE WATEUKA TU UMESHIBA WEWE
@abusaeed9037
@abusaeed9037 4 жыл бұрын
Ramadhani Issa hasad hiyo
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 4 жыл бұрын
Hahaha sikushiba huko
@aminarashidy3374
@aminarashidy3374 4 жыл бұрын
Mashaalla
@aminahema9714
@aminahema9714 4 жыл бұрын
Huhu
@estherimbotsi7553
@estherimbotsi7553 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@amossthedone1941
@amossthedone1941 3 жыл бұрын
Ukiota kuna msiba arafu mm na lia sana lakin sijajua alie kufa ni nani ila niona tu jeneza je na hiyo ina mana gan Shee wangu asante
@sophiasophia3825
@sophiasophia3825 4 жыл бұрын
Ni bora ungekuwa unajibu watu humu humu kila mtu apate faida
@aminalibondo7507
@aminalibondo7507 4 жыл бұрын
Shukrani
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Ahsante
@مونا-ج6ذ
@مونا-ج6ذ 9 ай бұрын
Unaogea sana
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 4 жыл бұрын
Aswww Sheikh,mimi nimeshagaota nimekufa nawekwa kwenye jeneza napelekwa kaburini ile tu wanataka kumuweka ndani ya kaburi tu nikaamka nikaona watu wengi mbele yangu,nikashtuka,niliskia uoga na kutetemeka niliamka na kutawadha nakusali.
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Wasiliana nami kwa maelezo zaidi: Kupiga simu: +255765893020 +255685496336 WhatsApp +255758678552
@faudhia11haji66
@faudhia11haji66 4 жыл бұрын
Shekhe mm nimeota nakunywa maji kume yale maji yanamavi
@husseinibrahim7165
@husseinibrahim7165 3 жыл бұрын
Whaat
@guwileguwileyasini758
@guwileguwileyasini758 4 жыл бұрын
مشا الله مشا ألله مشا ألله. كك. شكرن💘
@ibrahimshirazi4679
@ibrahimshirazi4679 4 жыл бұрын
Asalamualeikum Shehe wangu nimeota majeneza mengi ardhini yanatembea yanaelekea baharini isipokuwa moja tu likabaki nchikavu naomba unitafsrie
@marickzuberi4316
@marickzuberi4316 4 жыл бұрын
Hilo ni la kwako
@amossthedone1941
@amossthedone1941 3 жыл бұрын
Na ukiobta baba angu menifuta akiwa amekaa tu amenuna mm nikambia he bb umekuja nimekukumbuka sana yy hakujibu chochote ana ondoka zako
@amossthedone1941
@amossthedone1941 3 жыл бұрын
Na ukiota kuna njia mbili mmoja nyembamba na nyingine pana ile barabara nyembamba una watu wengi lakini ile bara bara pana haina watu je nayo mana yako nn Shee wangu
@aminangombe8815
@aminangombe8815 Жыл бұрын
Maelexo mengi
@ShufaaSimai
@ShufaaSimai 2 ай бұрын
Asalamu aleykum shekh .mm ni mwanamke ela nimeota nimesimama kwenye safu ya upokeaji wa jeneza nn maana yake
@mariamibrahim3976
@mariamibrahim3976 2 жыл бұрын
Daaah! Shehe upo silooo! Sana tuhurumie bando jamani😁
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق Жыл бұрын
😁😁😁
@ManyotaManyota-t8k
@ManyotaManyota-t8k 2 ай бұрын
Tatizo shekhe huwa unazunguuka sana badala ya kuzungumzia mada husika ya maana ya jeneza unabaki ukizungumza zaidi mpaka mtu unaisahau mada heee
@ramadhanishabani1738
@ramadhanishabani1738 4 жыл бұрын
Maelezo yanakuwa marefu kuliko point.
@mwakakashanga1969
@mwakakashanga1969 4 жыл бұрын
Mi niliota jeneza linapaa angan
@albertogeorge6632
@albertogeorge6632 3 жыл бұрын
Nani zuri kweli
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 4 жыл бұрын
Allah Akbar
@asharamadhan9411
@asharamadhan9411 4 жыл бұрын
sheikh m kuna ndoto naotaga naota eti nimeenda kutafuta chumba cha kupanga nikafnya usaf kama kawaida hili nihamie lakin cha kushangz sjamuona mama mwnye nyumb yan nimejiamuliya Mimi 2..........naotaga nafukiwa na watu wawili mwanamke na mwanaume
@mzulunatal8062
@mzulunatal8062 4 жыл бұрын
Shekh watu wanaangalia kwa lengo la kujifunza, na mmoja anapouliza swali wengine wanategemea wapate ilmu kupitia majibu yako, sasa unapotoa namba ili mtu akutafute kwa whatsap ndipo umjibu, hawa wengine wanakosa hyo ilmu.
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 4 жыл бұрын
Nisha chukua number lkn ajanambia maana
@hubbyemmanuel3267
@hubbyemmanuel3267 3 жыл бұрын
Hili kishee gan sijui libinafs Sana anashindwa kujib umu na akianza aelez mada anazunguka km chizi
@Spirtualperson
@Spirtualperson Жыл бұрын
Pesa
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 4 жыл бұрын
Subuana Allah 😭😭
@nasrafazal3520
@nasrafazal3520 4 жыл бұрын
Hahahahahh mimi naona uongo uongo tu mwingi
@SkinaMriha
@SkinaMriha 8 ай бұрын
Mimi nimeota nataka kuwingiya kwenye jeneza lkn sikuwingiya nikaondoka mbio nikasema siingi kwani miye nimekufa
@NaimaBanzi-jt5kh
@NaimaBanzi-jt5kh Жыл бұрын
Shekh nmeota baba mkwe wangu kafa tena yupo kwenye jeneza wanaenda kumzika alishakufa nini maana yake
@amossthedone1941
@amossthedone1941 3 жыл бұрын
Wasalamu walekumu Shee wanngu namba unitafasirie hii ndoto. Nimeota kina mtu ameniletea samaki kwenye ndoo nyeupe sana na hao samaki mweupe sana nipo uliza walipo toka hao samaki wanna toka wapi akasema wanatoka bahari ya tisa je shee mana yake nn
@bbb6nnn561
@bbb6nnn561 3 жыл бұрын
Ukiota sanda
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 4 жыл бұрын
Shekhe mimi nimeota nimeona watu wamebeba jeneza huku wakilia na wakawa wanamsifia sana nawalipofika darajani wakaanza kutukana matusi huku wakisema tukipita hapa bila kutukana tutatumbukia mana pana majini nawalikua wanaenda kuzika makaburi ya watu maarufu je hii inamaana gani?
@yasalaam590
@yasalaam590 2 жыл бұрын
Ya sheykh jee kwamfano ukiota umeingia mwwnyewe kaburini?nini maanae
@richtoz8456
@richtoz8456 4 жыл бұрын
Mimi nimeota jeneza yani alifariki ni baba yangu Mdogo yupo Canada ila maiti wameileta burundi imefunikwa kitamba ceupe kina maandishi ya kiarabu tuko msibani pakaja butoto bu tatu kudai nikasikia sauti inasema mimi nipewe ile pesa Ndio niwape mimi
@faridaiddi104
@faridaiddi104 4 жыл бұрын
Ukiota umesmamisha Hice na dereva kasimama na unamjua dereva Na konda alivo fungua mlango ukaliona jeneza na ukamjibu konda Basi cipandi garilko limejaa na wakaondoka bila ya kuongea chochote wakaendlea na sfriyao mbele Inamaana gani
@maryamtz4114
@maryamtz4114 4 жыл бұрын
Ukihota unarihaa hinamanishann
@saadahassan1437
@saadahassan1437 4 жыл бұрын
Shekhee a alaikhum mm sijaelewa ukiota mtu analia yy na familia yake na watu wamebeba jeneza kwa mana aliyemo ndani anawahusu mana yake nn
@othmansongoro9121
@othmansongoro9121 4 жыл бұрын
upo
@jumajembe3570
@jumajembe3570 4 жыл бұрын
Sheigh Hamis vipi ndoto unamuota MTU mmoja Siku na mwezi tofautitofauti zaidi ya Mara 3 MTU uyouyo tafsiri yake ipi?
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WhatsApp +255758678552
@amnajugbar739
@amnajugbar739 4 жыл бұрын
@@nyumbayatibanadua737 hata mm Nina shida hiyo
@fatimakassimkasifa9265
@fatimakassimkasifa9265 4 жыл бұрын
Swadkat
@noreenmillicient8101
@noreenmillicient8101 4 жыл бұрын
Zimfikie wapi huko😱😱
@subirasaid5455
@subirasaid5455 3 жыл бұрын
Assalam Alaykum warahmatullah wabarakatuh mume wangu kaota Mama yake amefariki na akasema Azikiwe pahali Fulani sasa yeye alienda kumuarifu Baba yake lkn huyo Baba yake ameshafariki lkn yy kwenye hiyo ndoto ilimjia kama Baba yake yuko hai na alimjuilisha na wakaenda pamoja kwenye msiba walipofika walikuta maiti inasaliwa yy akaenda kutia udhu aliporudi alikuta maiti ishasaliwa na yy hakuwahi kumswalia na walibeba jeneza watu watatu yy , Kaka yake na Baba yake na wakaondoka kwenda kuzika wakati wanaenda kuzika wakajikuta wako peke Yao wamepotea na watu wote hawapo yy akasema mama kasema tumzike pahali Fulani nyie mumekataa sasa tumrudishe kaka yake akakataa akasema tuombe tuombe tumzike hapa yeye akasema turudi tukamzike huko alikosema lkn wakawa wanabishana akazinduka. Sasa Sheikh naomba utuambie ina maana gani? Wabillah Taufiq
@bbb6nnn561
@bbb6nnn561 3 жыл бұрын
Au ndohivyo jumla ya jeneza
@rayadulla9742
@rayadulla9742 4 жыл бұрын
Mimi nimeota dadaangu amefariki na wakati ameshafariki zamani nikaliona kaburi lake linachimbwa mbele ya msikiti na mimi nikawa nalia kwa uchungu alafu nijanyamaza akaja mtu akanichekesha nijacheka nikazinduka kwenye ndoto maana yke nini...??
@aishaadam-xp7yl
@aishaadam-xp7yl 25 күн бұрын
Mim nimeota jenez wanawek maiti nn mahan yake
@annatkenneth2598
@annatkenneth2598 2 жыл бұрын
Mm nimeota jeneza na liona linaelea baharini maji mengi kweli linaelea nini maana yake
@HereniMsemwa
@HereniMsemwa 3 ай бұрын
Nimepga tupo kwenye gari na nyuma ya gari Kuna jeneza Lina maiti ndani yake
@annaboniface1936
@annaboniface1936 2 жыл бұрын
Shekhe me nimeota ndoto inajiludia kuna mtu ananizka akiwa kwenye Hali ya kawaida Tu wala ana uzuni lakn akanitoa kwenye kaburi na kuniweka kaburi lingine
@salumufaki220
@salumufaki220 4 жыл бұрын
Sheikh ungejibu humuhu ili tupate faida na sisi wengine.....
@sityjuma3049
@sityjuma3049 2 жыл бұрын
Nimeota namsalia maiti
@farhafarhan4393
@farhafarhan4393 4 жыл бұрын
J.3 niliota mdada mmo1 ana itwa Vero tulikuwa tuna heshimiana sana amefalik gafra leo nimeota shilole kafalik kwaku rushwa gorofan atacjui manaake nn
@hamisaadam6588
@hamisaadam6588 4 жыл бұрын
Unakumbushwa kufanya ibada mm naota maiti kila cku leo nmeota mtoto wangu na mume wangu wame fariki nandoto ilikua ndefu sanaaaa
@ishankhadad5950
@ishankhadad5950 4 жыл бұрын
Mimi maranyingi nikiota jeneza basi haifiki wiki sehemu niloiyota inàpita jeneza lazma kutokee msjb
@nassorphamadi6065
@nassorphamadi6065 4 жыл бұрын
nimeota jeneza ila simjui aliye kufa ila nimeliyona mbele yangu likipitishwa au ilimewekwa sehemu husika kwamfano ka
@farhafarhan4393
@farhafarhan4393 4 жыл бұрын
Asalam Alaykum ostadhi mm niliota tupo matembezin na wifi yang gafra police waka mvamia nakumtia ping mikononi mm nikaanza kukimbia naenda mbele tena nikakutana tena napolic wengine wamemkamat mkaka ana lala mika sana anasema niacheni mama yake ana mtegemea cjui manake
@zainabzainab9724
@zainabzainab9724 4 жыл бұрын
Takbir.allahuakibar
@JafarNshimirimana
@JafarNshimirimana 2 ай бұрын
Nimeota nasaliya maiti alaf nikasujudu katik swalatul janaiza nin maan yake
@bbb6nnn561
@bbb6nnn561 3 жыл бұрын
Lakin hiz njoz nyengine utaogopa ata kusikiliza kumbe hazina maana mbya
@SaumuLuvuno-s6w
@SaumuLuvuno-s6w Жыл бұрын
Asalaam alaikum warahmatullahi wa barakatuh, shukran jazakallah kheir kwa elimu nzuri, but nauliza jee kama umeota wewe ndo umelibeba hilo jeneza maana yake ni nini?
@nahyanhareb4053
@nahyanhareb4053 4 жыл бұрын
Assalam allaikum sheikh.mi lkua napenda Sana kumuota mamangu amekufa mara nyingi Sana mpka nlikua nawasiwasi .lakini Kuna cku nlikuja muelezea rafki yangu Kua napenda kumuota mamangu amekufa kwnn Na labda inamaana Gani lakini alisema hajui maana yake .Na toka cku iyo nlipomwelezea Uyo rafki yangu kuusu ndoto iyo BC ikawa mwisho wa kuota mpka leo cjamuota Tena mama amefarki .Sheikh nieleze Ina maana Gani ndoto iyo
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WhatsApp +255758678552
@fatmaabdallah8743
@fatmaabdallah8743 4 жыл бұрын
@@nyumbayatibanadua737 sheikh si.ujibu tu kwa faida ya wote
@hubaamuj5129
@hubaamuj5129 4 жыл бұрын
@@fatmaabdallah8743 kweli shekh... Khery ajibu humuhumu!
@zakhiamohamed2178
@zakhiamohamed2178 4 жыл бұрын
Si ututafsiriye tupate faida
@maryamtz4114
@maryamtz4114 4 жыл бұрын
@@zakhiamohamed2178 ukihota unaria hinamanisha nn
@florabrown5023
@florabrown5023 4 жыл бұрын
Mi niliota nimebeba jeneza lkin halina kitu nilikuwa natoa sehemu na nikawa nalipelaka offisini .ina maana gan?
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 4 жыл бұрын
Swadakta
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Shukran
@ummusaid1254
@ummusaid1254 4 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh shekhe mimi nimeota nakatwa nyama mwilini na mkwe wangu akizila maana yake naomba nijulishe
@abdoulyousoufsaloom8601
@abdoulyousoufsaloom8601 4 жыл бұрын
Anakusengenya hiyo ndo maana yake
@najjahhassan6261
@najjahhassan6261 2 жыл бұрын
Ukiota jeneza mbili ziko hapo na moja yatona maji manake nini??
@mamsmariam6670
@mamsmariam6670 3 жыл бұрын
Nimeota naliona jeneza limebebwa kwenye gari limefunikwa shuka jekundu mini maana yake
@swalhabaiki5999
@swalhabaiki5999 2 жыл бұрын
Assalam Alaikum warahmatullhy wabarakatuh...mimi nmeota majeneza kila njia ninayotaka kupita kunatokea watu wamebeba jeneza mpaka ikawa wamenizingira sioni njia tena...nini maana yake
@bnussrahlimsantah3730
@bnussrahlimsantah3730 4 жыл бұрын
Duh
@fatumasalim6569
@fatumasalim6569 4 жыл бұрын
Asalaam aleykum shekh mm naota Niko shule yan kila siku lazm nipate ndoto Niko shule hii inamaan gan
@najmamohamed6060
@najmamohamed6060 4 жыл бұрын
Mm pia uota hii ndoto sana tena nanishakua mama
@catherinemwende7
@catherinemwende7 4 жыл бұрын
Spirit of stagnation ; omba sana
@robertmapilya9839
@robertmapilya9839 4 жыл бұрын
jamani mm nimeota nimekufa halafu mengine siyakumbuki
@evaasenga6351
@evaasenga6351 4 жыл бұрын
Nimeota watu wamelileta jeneza nyumban kwangu wakaliweka aebulen Mimi nikasema nitaishije na jeneza nikaanza kuomba jeneza likapotea
@farhafarhan4393
@farhafarhan4393 4 жыл бұрын
Mbona cjajibiwa au unajib kwaku juana
@fahadsanad4163
@fahadsanad4163 4 жыл бұрын
Nikeota leo saa tatu ya subuhi kwa sababu hua ninaamka saa nne mchana jeneza yabrown kubwa sana na ina msalaba tena kuna mziki ndani
@manja7684
@manja7684 4 жыл бұрын
Mitume walikua mara nyengine walikua wakiongea na mola wao kwa njia hio njozi (ilham) jee na sisi ni Mitume? Au lengo kuuza dawa
@rizikihassan9752
@rizikihassan9752 4 жыл бұрын
Makame Moh'd ,duhh watu wengine mafala sana ,ndo tuseme hujaelewa au ujinga tu unaleta ,uwe mtu ww si kukufuru huko
@khadijahhemed8910
@khadijahhemed8910 2 жыл бұрын
Ukiota makaburi jee inalienable nini
@khadijahhemed8910
@khadijahhemed8910 2 жыл бұрын
Ukiota makaburi sehemu mrefu kidogo I kuwa nini na wewe unayapita Nijar ya bars bars na yako mikono wa kulia
@jasminemohamedi5219
@jasminemohamedi5219 3 жыл бұрын
Nakimbia lakini sins mwendo
@mbarakatv633
@mbarakatv633 4 жыл бұрын
Sijaelewa ulamaa mnafiki ni we we ulioota au ninani
@manja7684
@manja7684 4 жыл бұрын
Subhana llah unamwita ulamaa huyo jamaa ! Hata aya zinampelekesha
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Sijuwi nijibu nini
@mamakealizecha9391
@mamakealizecha9391 4 жыл бұрын
Asalam Alaikum,Sheikh mm napenda kuota mama alifariki lkn kwenye ndoto sikosi kumuota akiwa hali ya uzima.nayo hiyo ina maanisha nn mana simalizi wiki..
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WhatsApp: +255758678552 Au piga simu namba: +255685496336
@mamakealizecha9391
@mamakealizecha9391 4 жыл бұрын
@@nyumbayatibanadua737 Ok sawa
@jabilishekusa2202
@jabilishekusa2202 4 жыл бұрын
SHEIKHE nimeota naongea Na rafikiangu baada ya wiki rafikiangu akafa jee nini maanayake
@rizikisebe890
@rizikisebe890 4 жыл бұрын
Naukiota maiti amebebwa kwenye jeneza na maiti ni mzima inamanisha nini
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WhatsApp: +255758678552 Au piga simu namba: +255765893020
@mohamediali4038
@mohamediali4038 4 жыл бұрын
Mmjawapo wewe unaiharibu dini muogope MUNGU
@rizikisebe890
@rizikisebe890 4 жыл бұрын
@@mohamediali4038 shukran
@saadaalmamary8397
@saadaalmamary8397 4 жыл бұрын
Kama hukumbuki ulichooota
@husnamohammed8374
@husnamohammed8374 2 жыл бұрын
Maalim unaongea sn lkn
@harunakamgisha7661
@harunakamgisha7661 3 жыл бұрын
We nae unaongea mengi jmn
@amirlehao8945
@amirlehao8945 4 жыл бұрын
A. Alykum sherkh mimi huwa naota kufanya mtihani lakin nakuwa nakosa majibu kwenye huo mtihani ko najikuta muda umeisha sijajaza kitu,,kingine huwa naona meno yametoka nimebaki na mapengo hii maana yake nini ama mwenye kujua please
@faridaiddi104
@faridaiddi104 4 жыл бұрын
Jitaidi kupambna na unachokipgania maana kila ukitka kufanya mamboyko yaendemble unajkta ynaenda tofauti na Jitaidi kusali na sio kila mipango yako umwambie mtu
@hamismwendo7359
@hamismwendo7359 4 жыл бұрын
ishanlla
@amirlehao8945
@amirlehao8945 4 жыл бұрын
@@faridaiddi104 nashukuru saaana
SURATUL FATIHA NDIO MAMA KATIKA QUR'AN | SHEIKH HILAL SHAWEJI ( KIPOOZEO )
59:22
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 88 М.
FURAHA ILIOJE KWA MTU ATAKAELALA NA KUOTA NJOZI YA JENEZA: Shekh Khamisi suleiman
31:00
SIZE DOESN’T MATTER @benjaminjiujitsu
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 8 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 7 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,3 МЛН
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 13 МЛН
dalili za mtu anaye karibia kufa muda mfupi ujao
10:22
FAFANUO MEDIA
Рет қаралды 68 М.
UTAJIRI NDANI YA WIKI MOJA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
51:04
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 59 М.
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:59:08
038 OTHMAN MAALIM HISTORIA YA NABII SALEH
1:02:30
HABARI MOTO MOTO TV (HMM TV)
Рет қаралды 43 М.
Sheikh KISHKI - {1/2} - MAJINI NIVIUMBE AINAGANI ?
42:36
shining noor
Рет қаралды 80 М.
UKIOTA NDOTO YA CHOO AMA KINYESI INA MAANA HII KIBIBLIA. USIOGOPE - Apostle Johaness John
6:46
MUONYESHE KIUNGO HIKI NAMFICHIE KIUNGO HIKI ATAKUPENDA SANA
1:21:44
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 48 М.
USIKU WA KWANZA NDANI YA KABRI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:04:39
arkas online tv
Рет қаралды 449 М.
AINA 10 YA NDOTO ZA UTAJIRI WAKO NA USIHADITHIE MTU. Tiba Zakissuna tv
21:34
SIZE DOESN’T MATTER @benjaminjiujitsu
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 8 МЛН