No video

UKIOTA UNAKULA NYAMA NINI MAANA YAKE?

  Рет қаралды 12,563

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

Пікірлер: 74
@agathemichelle238
@agathemichelle238 Жыл бұрын
Mubarikiwe sana Mtumishi kwa kweli unatusaidia kwa ku elewa ndoto zetu mana inatupa nguvu ya Kujuwa mpango wa Mungu kwetu afu niliota paster yuko mazabaoni na Bible akiubiri maana yake nini Mtumishi tafazali
@JudithWanyonyi-cp6mq
@JudithWanyonyi-cp6mq 21 күн бұрын
Asante mtumishi umefanyika baraka kwamaisha yangu from kenya
@user-ld7tp4uc3l
@user-ld7tp4uc3l 2 ай бұрын
NAMI nimekimbolewa Amen
@James-qd2fy
@James-qd2fy 2 күн бұрын
Asante sana mtumishi kwa maelezo mazuri juu yakulishwa nyama katika ndoto .1 question yangu ni hii .je tufanye je mtumishi ku ondoka katika hizi agano ambozo hatukuweza sign.ila zinatusumbuwa.without stop .utusaidiye utupe pendekezo ya kutoka kwenye agano hizi.ilatuna ombasana tunafunga .alakini ukimaliza kuomba jaribu lile lile linafika tu.what we can do to stop this w craft power. Naomba utuelezeye how we can come out from this dangerous problem please fight manu years by praying fasting but nathing chang .iam sorry.kama unagisi ya ku tusaidia please do it.iam james from DRCongo.
@joeljosh6245
@joeljosh6245 2 жыл бұрын
Helen niko tanzania Pasta ulichokisema kuhusu kula nyama ni kweli umenisema maisha maisha yangu jinsi nilivyo napataje masaada mbona ni kweli kabisa nataka kutoka huko mtumish wa mungu
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@ joel Josh unaitaji maombi yakufunga na unaweza nitafunga kwa WhatsApp nikuombe
@alexanderngasa5786
@alexanderngasa5786 2 жыл бұрын
Nakufatilia mchungaji!naomba unisaidie ndoto hizi,siku ya kwanza nimeota nakula kinyesi siku ya nyingne tena nikaota niko kwenye jahazi nasafiri ila bahati mbaya jahaz ikazama wenzangu wakafa maji ila mimi nikaruka mpaka nchi kavu
@aminathaomari8451
@aminathaomari8451 11 ай бұрын
Pokea salam zangu mtumishi🙏Naitwa amina kutoka Tanzania. Nililetewa nyama ntotoni kipande kimoja lakini sio kikubwa ilikua inakaa ribs, nikashika mkononi kabla nili ile nyama nikasikia sauti za watu nyuma yangu wakisema,, Unajua hii ni nyama ya binadamu???nilimrudishia hiyo nyama alieniletea nikamwambia mimi silagi nyama ya binadamu. Akacheka na akaichukua akala yeye. Hio ndoto ina maana gani?? Naomba usaidizi
@user-vr5dc7sm6o
@user-vr5dc7sm6o Ай бұрын
Nipo tanzania naitwa regina
@geofreyaugustino7265
@geofreyaugustino7265 9 ай бұрын
Hizi ndoto ni kweli kabisa mi niliwahi ota ndoto kama hiki na tofauti ni hizi nyama ilikuwa ngumu na sijafa ikiwa kuipa hata kidogo ila napotia magumu ninachopata huwa hakikai mchungaji nahitaji maombi yako theresia from Tanzania
@AshuraSalumu-k7h
@AshuraSalumu-k7h Ай бұрын
Bab nimeota nakula nyama ya kuku hiii inamaana gan
@sylviamoraa6769
@sylviamoraa6769 2 жыл бұрын
hello mtumishi wa mungu ,,, mm ni Sylvia kutoka Nairobi,,, mm nimeshinda nikiota nikila nyama alaf asubuhi nikiamka napata niko na mate mingi mdomoni yanayo nuka harufu mbaya sana tafadhali nakuomba kwa jina la Yesu unieke kwa maombi tafadhali nitashukuru,,,,, Asante
@MarySanga-zj7cn
@MarySanga-zj7cn 4 ай бұрын
Mm naota nakula nyama mda mwngne nakula ugali dagaa na mtu ninaemfaham
@user-eg7ys4xp3x
@user-eg7ys4xp3x 8 ай бұрын
Samahani pastor naitwa neema kutoka arusha nimeota nakula nyama nipo na watu wawili màana yake nini
@hildageorge1781
@hildageorge1781 Жыл бұрын
Asantee sana daddy mungu azidi kukupa maonoo sana
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
@Hildah George Amina Nashukuru sana .
@JacklinAyubu
@JacklinAyubu 3 ай бұрын
Aminaaa
@irenemwangi7992
@irenemwangi7992 2 жыл бұрын
Mtumishi Wa Mungu niliota nikikula nyama piece moja na nililetewa na mama moja najua na hata yeye alikuwa piece ile ilikuwa kubwa Mimi nilikula ile ilikuwa ndogo kidogo naye pusi akakula ile ilikuwa ndogo....maana take ni nini
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Sawa fatilia mafundisho Leo usiku nitakupa maana yake.
@user-fo2xb6cx5c
@user-fo2xb6cx5c 11 ай бұрын
Mtumishi bwana yesu asifiwe nimeota nakula nyama ya watu na Hadi kucha za binadamu nimeziona hii ilikua na maan gani tafadhari niambie
@JaneMajula
@JaneMajula Күн бұрын
Mtumishi naomba number
@revpeternjihia
@revpeternjihia Күн бұрын
+254706945821
@saadaelias630
@saadaelias630 2 жыл бұрын
MTUMISHI Asante sana nimetazama namna unavyotafsiri ndoto ya kula nyama uliyayaongea kwangu ndivyo yaliyo na hata watoto wangu baadhi yamewapata kasoro hatuna magonjwa ya cancer lkn mikosi na kila aina ya yote uliyayaongea yamejaa ktk familia yangu naitwa saada yusuph nipo tanzania
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Saada Elias Mungu akubariki Sana , funga siku mbili uvunje hiyo roho, na ukitaka nikuombe wasiliana Nami Kwa WhatsApp
@user-vr5dc7sm6o
@user-vr5dc7sm6o Ай бұрын
Naomba unisaidie nakula nyama mara kwa mara naomba musaada wa maombi
@MarySanga-zj7cn
@MarySanga-zj7cn 4 ай бұрын
Pastor naomb namba yako maana hizo ndoto zimenigusa sana
@vincentmakau582
@vincentmakau582 Ай бұрын
Ukiota unakula nyama ya kichwa cha ngombe na rifikiyo
@John-tangastone
@John-tangastone 20 күн бұрын
Nimeota ninakula nyama za uume wabinadamu
@maggykuya3340
@maggykuya3340 2 жыл бұрын
Ameen
@suzanne9517
@suzanne9517 Жыл бұрын
Asante sana mtumishi
@magynzioka1122
@magynzioka1122 2 жыл бұрын
Mtumishi barikiwa zaidi kiwango Cha juu MUNGU azidi kukutumia Mimi nikiota na lishwa chakula chochote kile uwamka saiiyo na kutapika mate mzito na mwisho wake yaonja chumvi au natapika dam mahana yake nini nikawaida yagu sana luota nikishwa nyama
@ndanuemmanuel1483
@ndanuemmanuel1483 2 жыл бұрын
Shalom mtumishi mm naitwa mariam natokea Tanzania hii ndoto nilitoa muda mref niliomba lkn jumatano 18. 8. 2022 nimeota nyam nakul baba
@ndanuemmanuel1483
@ndanuemmanuel1483 2 жыл бұрын
Mm nimeota ndog ndog zipo ndan ya sambusa yan vipande vipande nakataa kwa Jina la yesu
@lucywanjikumandziuk1611
@lucywanjikumandziuk1611 2 жыл бұрын
Mimi ni Lucy from USA It's true 2 day's ago niliota nakula liver n i had a small knife nakula naninakatia watu nasiwaoni n i woke up with a bitter dry mouth 😳
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Kata roho ya magonjwa Kwa Jina la yesu
@wemapaul674
@wemapaul674 2 жыл бұрын
Naomba unitumie namba yako nataka msaada
@user-kg1dd3kh4b
@user-kg1dd3kh4b Жыл бұрын
Pastor niliota nikikula nyama ilikuwa na mafuta sana,na nilikua nimepewa na boss yangu
@hellenmwenda4971
@hellenmwenda4971 2 жыл бұрын
Nimeota niko mahali kuna wa mama nne wa wili walikuwa nyuma yangu pakatokèa mmoja akasema nenda ukalè chukula nilipofika ni nyama sikijua ni nyama ngani nikachukua kidogo kwa mkono nikaona haijaiva nikairengesha nikaosha mkono nasabuni nikachukua bag yangu na pilo yangu ya kulalia na nguo zangu nikamwita mtoto wangu nikamuuliza baďo utalala hapa akasema chukua vitu vyangu nikachukua nguo zake zakulalia zote lakini nilikuwa simuoni akasema nitalala sikuziacha zile nguo zake nikachukua nikaodoka nazo nini maana yake mchungaji nisaidie
@abisagirl3305
@abisagirl3305 2 жыл бұрын
Plz pastor niombea huwa naota sana nikila nyama
@PesaMamboyote
@PesaMamboyote 10 ай бұрын
Niliota tukila nyama na familia ..niobee sana Catherine kutoka nairobi
@captainleonard5769
@captainleonard5769 Жыл бұрын
🙏🙏
@mariamlolwa
@mariamlolwa 11 ай бұрын
Mtumishi bwana yesu asifiwe mtumishi naomba uniambie tafsri ya kuota nyama ya kuku wanakula wenzio wakiwa wengi
@lucywanjikumandziuk1611
@lucywanjikumandziuk1611 2 жыл бұрын
Amen
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 2 жыл бұрын
Mtumishi na Mimi nimeota nakula nyama ck ya Leo, nahitaji maombezi kutoka kwako.
@ndanuemmanuel1483
@ndanuemmanuel1483 2 жыл бұрын
Aki baba yani mimi kabisa huyu baba sita mwacha yesu baba naomb uniombe mm maish yangu ni shida na nin malengo makubwa
@perrymatasa1581
@perrymatasa1581 7 ай бұрын
I came here to know why i dreamt my whole family eating roasted meat😢oh God deliver us
@user-un4rl8oe1v
@user-un4rl8oe1v 11 ай бұрын
Jana nimeota makula kichwa cha kuku kilichokaangwa hadi asubuhi nimeamka nahisi kuna kitu kwenye koo
@dorcasmueni3221
@dorcasmueni3221 Жыл бұрын
Na ukiota umeona nyama vipande viwili na mnapo Enda kuchoma nkaona chini ya kitovu changu mkojo ukaaza kupitia nmeraruliwa vibaya na mchojo unapitia na Dada yangu kanipeleka hospital na kuendea c kuona hosi nliona nmepelekwa kwa bahati mwibaji wa Kenya na nkapewa mchele Nile lkn kile chakula ntaweka kwa mdomo mingi na haina ladha je hii inamana gani plz?
@aaaaaa-fq6rq
@aaaaaa-fq6rq 2 жыл бұрын
M niliota nikila nyama mbichi ila Kuna pita myaka mingi naota ndoto iyo
@AdrianaSepapha-fn8sy
@AdrianaSepapha-fn8sy Жыл бұрын
Mpaka leo tarehe tarehe3 nimeota niko kijijn kwetu nakula nyama niko nafamilia yakakayangu nikiwa kwenye ardhi yanyumbn
@wanjamurithi-ve2pn
@wanjamurithi-ve2pn Жыл бұрын
Na pastor ukiota na msichana WA mume wako na walinifukuza kwao eti mm ni m chawi alafu naota akiniitia nyama kwao 'yaani eti kuja kuna nyama kwetu jioni inamaana gani'
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
kzbin.info-PSodpUGiEs?feature=share
@linajoseph5296
@linajoseph5296 Жыл бұрын
Kweli pasta namm niliota Niko kwa nyumba ya bibiangu kijjn. Sasa mke wa mjomba wangu ndio namuona yy tu Niko nae nakula nyama na pia nawekea wengine ktk bakuli na walikua wamepanga foleni nawatilia nyama na mchuzi.. ila siwajui namjua hyo TU mke wa mjombangu.. siku ingine Niko na hyhyo mke wa Anko nakula nyama badae roho ikaniambia angalia hyo nyama unakula.. nilipo anaglia kumbe nilikua nakula paka mweusi nàkuta nimekula imebaki kicwa😭mpka namka nasikia mate mdomon yanajaa.. so mpka leo Nina ugonjwa sugu, mama yangu alikufa na huo ugonjwa,, mdogo wangu na pia alikufa na huohuo namm Niko nao. Na Mambo magumu, ndoa hakuna.. je inaqeza kua Yule mke wa Anko ndo sababu? Naomba kujua pasta na unisaidia nateseka Sana. Mm Niko Tanzania. Biashara Inakufa vitu havifiki vile natana . Naomba nisaidie Cha kufanya nimemaliza kanisa zote lakin hamna kity
@nurus.mbwana3217
@nurus.mbwana3217 Жыл бұрын
Naomba msaada mtumishi na mm ni muhanga
@bisimwagabriel6244
@bisimwagabriel6244 Жыл бұрын
Ndio mutumishi mimi naletewanyama ninapo zitiya kinywani ni nikita kuzimeza zinakataa kabisa mwisho nazitema au naletewa nyama mazingira isiyo pendezwa ndotoni apo uwa nazikataa nje mahana gani ya ndoto izoo?
@rosemalipulla345
@rosemalipulla345 Жыл бұрын
Mchungaji na mimi hivyo naumwa kweli
@suzanelibarick2152
@suzanelibarick2152 Жыл бұрын
Kuota mwanangu kalima ndan yakorongo la maji namahindi na alizeti yote yamekomaa vizuri maana yake Nini?
@user-sf1vi8tz7n
@user-sf1vi8tz7n 11 ай бұрын
Mimi nimeota nalishwa nyama ya kuku n'a watoto zangu alafu nimeamka naskia tumbo inajaa n'a kichefuchefu
@veronicakarimi1341
@veronicakarimi1341 Жыл бұрын
Bwana asifiwe naota nikiumwa na schana tunaye fanya kazi nayeye maana yakenini mimi Veronica muturi
@rosemalipulla345
@rosemalipulla345 Жыл бұрын
Pasta na mimi nimeona hivyo nateseka sana
@ibrahimsixberty8298
@ibrahimsixberty8298 Жыл бұрын
Je ukiota upo kanisani na ukaletewa chakula pilau nyama imeungwa vizuri Nini maana yakee
@abumussabnassor6141
@abumussabnassor6141 Жыл бұрын
Niko mwanza naitwa maryam nimeota na cheza na marehem dada angu
@user-ew3fq7re2t
@user-ew3fq7re2t 9 ай бұрын
Maana ya ndoto nyama walzo kupa ule zikamwagika ni Nini?
@ndanuemmanuel1483
@ndanuemmanuel1483 2 жыл бұрын
Je tunaweza kutok huk
@bashimbealice4825
@bashimbealice4825 Жыл бұрын
Tu saidiye baba kutoka iyo mahalii
@gygy41
@gygy41 Жыл бұрын
Mtumishi naomba number yako tafadhali haya yote ni vitu zenye naotanga
@wemapaul674
@wemapaul674 2 жыл бұрын
Nisaidie mtumishi natokaje huko
@duncanmogwasi5812
@duncanmogwasi5812 7 ай бұрын
Pastor help me with you number please
@revpeternjihia
@revpeternjihia 7 ай бұрын
+254706945821
@ndanuemmanuel1483
@ndanuemmanuel1483 2 жыл бұрын
Je tunaweza kutok huk
@wemapaul674
@wemapaul674 2 жыл бұрын
Mtumishi naomba unisaidie niweze kutoka huko maana mimi hizi ndio ndoto zangu sasa natokaje
@salmaali6605
@salmaali6605 Жыл бұрын
Muobaji niliota nauza nyama naona niko nazo mikononi paster niombeye hiyo umasema nikweli.
@AnnaFanuel
@AnnaFanuel 7 ай бұрын
Mm mtumishi ndoto ya kuzungukwa na maji inanisumbua sana nifanyeje
@JeanclaudeUwimana-mg9br
@JeanclaudeUwimana-mg9br 5 ай бұрын
Shalom tafsiri wanakudayi hela
KUOTA UNAPOKEA PESA INA MANA GANI? +254706945821
1:58:28
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 18 М.
KUOTA NA MCHELE INA MANISHA NINI? USIPITWE NA HII
1:00:42
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 11 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 17 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
MAISHA NI KIROHO. (life is spiritual)
1:23:22
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 203
Ukiota Na Ngombe Ina Manisha Nini?  🐄
12:13
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 10 М.
የሱስ ክርስቶስ እስራኤል ተገልጦ ---part 8
1:24:41
The God Kingdom Son
Рет қаралды 45
HATARI YA NDOTO UNAZOOTA Part 2/5 - MKUTANO WA MBEZI DAY 7 | Bonyeza SUBSCRIBE
22:51
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 131 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 243 М.
🔴LIVE | IBADA YA JUMATANO YA MATAMKO | KANISA LA VUKA YORDANI | 01 MAY 2024
2:03:58
NDOTO 5 UKIOTA UKO SHULENI
44:25
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 311
Kuota Na Nyanya Ina Manisha Nini? +254706945821
1:40:02
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 9 М.
KUOTA UNA KULA NYAMA YA NGURUWE
10:07
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,3 М.
#3. CHAKULA CHA BWANA KAMA MAHAKAMA INAYOMPA MUNGU UHALALI WA KUHUKUMU MIUNGU
1:50:18
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 70 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 17 МЛН