No video

UKIOTA UNAOGA KWENYE NJOZI YAKO | NUKTA 13 ZA NJOZI KUOGA NA MAANA ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

  Рет қаралды 33,681

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@dianabosibori8476
@dianabosibori8476 5 ай бұрын
Enda direct to the point aki 3 mins na hujaanza kuelezea aihhh
@BakariAthumani-vs8lk
@BakariAthumani-vs8lk 6 ай бұрын
Huyu mzee sijui kwanini haendagi kwenye point moja Kwa moja ....hajui MB zipo juu maelezo meeengi wengi wanamkimbia😂😂😂
@user-uo1mu3mm5r
@user-uo1mu3mm5r 15 күн бұрын
Eti😂
@abdallahzongo387
@abdallahzongo387 9 күн бұрын
Tatizo lako wewe sheikh unapenda kutoa mawaidhaa badara ya kwenda Moja kwa moja kwenye ndoto....jitahid kufupisha nenda kwenye mada Moja kwa moja
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu Ай бұрын
Waaleykum salaam shekhe mim nimeota nakoga chooni ila maji mazuri ya vuguvugu yenye umoto nikajipaka sabuni nakuoga Yale maji je ina maana ganii
@SafiaKagoya-ow8jt
@SafiaKagoya-ow8jt 11 ай бұрын
Naomba tafusiri ya ndoto hajakubwa choni
@dianabosibori8476
@dianabosibori8476 5 ай бұрын
Kukua na loss
@NunuKupela
@NunuKupela Ай бұрын
Kupata pesa i
@oman1oman179
@oman1oman179 4 ай бұрын
Waleikumsalam warahmatullaah wabarakatuh,mimi jana nimeota naoga maji mazuri ya likuwa kwenye ndo na niliogea chini ya mti
@sashamoud6314
@sashamoud6314 2 жыл бұрын
Ahsante
@zaitunshaban9220
@zaitunshaban9220 3 жыл бұрын
Asalaam Aleikum warahamatullahi wabarakatuh. Alihamdulilahi Rabil Alamina. Kwa kutusadia kujua maana ya njozi. Mimi nimeota ninabeba taka na kutupa Kwa pipa la taka mara mbili nimebeba nikatupa Tena nikabeba taka mfuko mzito nikitupa. Mimi maana yake. Shekh.
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 3 жыл бұрын
Njoo WhatsApp
@raydhahabu9491
@raydhahabu9491 3 жыл бұрын
Asalam aleykum shehe nimeota nachota maji kisimani na kuoga nini maana yake?
@HusinathKaruto
@HusinathKaruto 4 ай бұрын
Mimi nimeota nafanya mapenz na kakayangu
@AlatuginiaMbilinyi
@AlatuginiaMbilinyi 2 ай бұрын
Maneno mengi nawe
@mrsally5583
@mrsally5583 2 жыл бұрын
Aslm alykm sheikh nimeota nakoga kitandani
@annmamakesymon1678
@annmamakesymon1678 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣inachekeza
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 7 ай бұрын
Mimi pia nimeota naonga bere ya nyumba yetu
@shaleabdulaziz1614
@shaleabdulaziz1614 3 жыл бұрын
assalaamu aleykum sheikh naota usiku wakuamkia leo kuwa kaka yangu ako navumbi nyingiiii nikawa nanmwgia maji awe msafi
@khalfanjuma7678
@khalfanjuma7678 3 жыл бұрын
A.alykm,,mm nliota namkosha mtoto chooni ma zaid usoni, ni ina maana gani hyo naomba jawabi
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 3 жыл бұрын
Njoo WhatsApp +255765893020
@faridandabaruhije2321
@faridandabaruhije2321 3 жыл бұрын
Assalam alykum mimi nimeota tofauti nimeota nawaona wanawake na wanaume wakiwa uchi mimi nlitafuta sana pakuogea nikapasa kabisa nini maanake?
@anjunurdin2392
@anjunurdin2392 3 жыл бұрын
She unazingua.kwanza anza na moja.ukiota unaoga.sio unatuletea ukiota umeoga unavaa nguo mpya. Maliza ukiota unaoga. Ni nini? Kuvaa mavazi baadae ni kuota unaoga tu
@eshasalim1471
@eshasalim1471 Жыл бұрын
Islam Itabaki kuwa Islam Sababu ndio dini ya Haki upende usipende Islam ndio uongofu
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 5 күн бұрын
😂😂😂😂
@ulayaz
@ulayaz 3 ай бұрын
Unatoka nje ya mada Kwa mda mrefu
@anjunurdin2392
@anjunurdin2392 3 жыл бұрын
Kama unaota unakoga tu bila kuvaa nguo mpya au yakuchanika au chombo au kumkogesha maiti au sio maji yabaridi bali anaoga tu usingizini bila maji ya moto wala ya baridi au josho la idd.anaota anaoga tu inakuaje? Mbona unatuchanganya? Sio idd wala ramadhani unaota unaoga tu hii hujaielezea mbona?tuelezee mtu anaota anaoga bila lengo au maji yamoto au baridi.
@aishandwata845
@aishandwata845 2 жыл бұрын
ASANTE
@jamilambarouk4746
@jamilambarouk4746 3 жыл бұрын
Shekhe kma Umeota rafiki yko wakarib Sana amefariki gafla na ukaenda mcbani ukalia Sanaa na hatimae akaenda kuzikwa na ukashtuka ukiwa hapo manake ni nn
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 3 жыл бұрын
Njoo WhatsApp +255758678552
@dab8859
@dab8859 3 жыл бұрын
Asalam alaykum shekhe nimeota naoga lkn kwnye naoga klkua n wtu ndani sikuwaona nlipoanza kuoga ndpo nkawaona n kna mtu alitka kuingia nkamfnglia alikua mume baada y hapo nkatoka n kulia kulikua n mtu naenda kushtkia nlipofka kna wtu n Mpnz wngu nikaomba maji huku nalia akanikmbtia alfu aknpa maji nkanwa
@Marry-el6tx
@Marry-el6tx 7 ай бұрын
Mi nimeot naoga ndan Tena seblen nimeota Kisha nikaanza kufanya USAF ndani nn maana yake
@fatoomaaziz2549
@fatoomaaziz2549 3 жыл бұрын
Asalam aleykum shekhe kama umeota umezikwa upo ndani ya kabur umefungwa sanda kama kawaid pia pembeni yako kuna maraika kavaa na yeye pia nguo nyeupe kakaa upande wa kulia kwangu pia mbali kidogo na mguu ya yupo maraika kavaa nguo nyeusi ila huyu maraika wa nguo nyeupe nikawa nacheka nae pasna kumuangalia uson alivyokua anataka kunigusa nikastuka n nn maana yake naomba nisaidie
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 3 жыл бұрын
Njoo WhatsApp +255765893020
@twaibuvarishtuvarishtu2220
@twaibuvarishtuvarishtu2220 3 жыл бұрын
Assalamu alaykum sheikh mi nimeota nyumbani kwetu kuna vita maanake nin
@user-uz3ez9ne9k
@user-uz3ez9ne9k 6 ай бұрын
Kuota unaoga chooni maji machafu inamaanisha nn?
@mwajabusaid228
@mwajabusaid228 3 жыл бұрын
Asalam alaykum, mm nimeota naoga nyumban nje maji ya kwnye sufuria ila mwisho wa maji hayo Kuna kitu kama chumvi nyeupe
@halimaally2398
@halimaally2398 3 жыл бұрын
Shekhe mm nimeota nataka kuoga maji ya barid ila nilipo anza tu kuoga maji hayakua ya barid nn maana yake?
@nusaibahassan9517
@nusaibahassan9517 Жыл бұрын
Mimi huwa naota nakoga mara kwa mara
@muminhassan3631
@muminhassan3631 3 жыл бұрын
Assalam Aleykum Shehe...mimi nimeota naoga maji baridi na ilikua asubuhi naenda kuswali idd lakini sijavaa nguo mpya na nimeolewa nini maana yake???
@nasrakal
@nasrakal 2 жыл бұрын
Ndoto ya kuolewa si nzuri .. imekemee kabisa
@muminhassan3631
@muminhassan3631 2 жыл бұрын
@@nasrakal 🙏
@yunisalfarsi6168
@yunisalfarsi6168 2 жыл бұрын
Nini maana ya kuota una kunywa maji naaliyekupa ni kwenye nyuma ya mtu aliye faliki zamani
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 2 жыл бұрын
A a uneota kuoga ama Uko chooni una Ogaaa . Tuu
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 7 ай бұрын
Nini maana yake
@mkwayaemmanuel7579
@mkwayaemmanuel7579 2 жыл бұрын
Mtu unapoota mchawi amekuja kukuua na akashindwa kukuua inamaana gani
@eshashamu7663
@eshashamu7663 2 жыл бұрын
Shehe mm nimeota natembea mara nikamukuta baba yangu yuko kwenye kundi la watu ila Kati ya hao watu alikuwepo baba wa mtoto wangu ila Alisha kufa mara baba akanifokea mara baba mtt wangu akaanza kupigana na mm ila nilimpiga sana mpaka akatoka damu ila nilipo amka asubuhi nilitoka damu nyingi sana manaeke nini
@awaahassan936
@awaahassan936 Жыл бұрын
ooh op
@awaahassan936
@awaahassan936 Жыл бұрын
pll
@brehimakeita7597
@brehimakeita7597 Жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh Mwalumu Kumuoteya mtu mungine gafla yumo kwenye wimbi l'amabilité tena maji macafu meusi tena kazama kwenye maji tafsi yake nini
@mamsmariam6670
@mamsmariam6670 3 жыл бұрын
Unaongea sana she he elezea maana tu
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 5 күн бұрын
Kabisaa. Anachosha
@theworldnatureandculture5354
@theworldnatureandculture5354 3 жыл бұрын
Wacha kuongea Islam nyingi. Enda moja kwa moja kuelezea ndoto
@yusramohammedy9854
@yusramohammedy9854 2 жыл бұрын
katafute mchungaji akujibie kams unataka tafsili kuwa na subraa
@eshasalim1471
@eshasalim1471 Жыл бұрын
Allah akutoe Kwa Giza akuingize kwenye nuru
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 5 күн бұрын
Yeye ni muislam lazima aongee kiislam
@SafiaKagoya-ow8jt
@SafiaKagoya-ow8jt 11 ай бұрын
Naomba tafusiri ya ndoto hajakubwa choni
NDOTO NA TAFSIRI ZAKE: MAANA YA NDOTO YA KUKOGA USINGIZINI
14:18
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 8 М.
NDOTO ZA KUOGA MAJI BARIDI USINGIZINI / Imamu Mponda
3:30
Mponda Media
Рет қаралды 230
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 28 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 11 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,8 МЛН
NDOTO ZA WATOTO NA FAIDA ZAKE
6:42
Utabiri Wa Nyota
Рет қаралды 75 М.
NDOTO ZINAZOHUSIANA NA SAFARI KINYOTA
8:39
Utabiri Wa Nyota
Рет қаралды 49 М.
Aliyeona nguo /mavazi Ndotoni Skh :Jafari Mtavassy
30:17
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 42 М.