NDOTO ZINAZOHUSIANA NA SAFARI KINYOTA

  Рет қаралды 51,125

Utabiri Wa Nyota

Utabiri Wa Nyota

Күн бұрын

NDOTO ZINAZOHUSIANA NA SAFARI KINYOTA

Пікірлер: 46
@UmutoniwaseAisha
@UmutoniwaseAisha Ай бұрын
Assalamualaikum wa wabarakatu nayitwa Aisha natokea Rwanda maenewoya Bugarama mbeleya mi paka Burundi na DRC samahani naombatafsiri kuwota mtoto usiyemjuwa wakati uyomtoto niwombaomba akakupa pesa unapomuuliza kwanini anakupapesa anakujibu kwamba nisipokupa.izipesa wengine wataziiba mwisho mtoto anakwitamama anakwambia nayenda kukutafutiya pesa inashirianini
@beatusgosbert-qb6sy
@beatusgosbert-qb6sy Жыл бұрын
Aisee,mi nasafiri sana.
@sophiaraymond7346
@sophiaraymond7346 2 жыл бұрын
Asante naomba kujuwa ukiota umepanda ndege na unafika ikasimama ukashuka je tafsili yake nn
@rahmanassor7793
@rahmanassor7793 2 жыл бұрын
Na mimi nimeota hivo hivo
@tinaagnes2301
@tinaagnes2301 Жыл бұрын
Niliota nimesafiri na mpenzi Wangu nikamwambia pale ndo kwangu na yule nitoto Wangu... Inaashiria nni a si kujua nilisafiri na ndege ama gari niliji Pata nko uko na mmi pamoja n mpenzi Wangu tuko mbali sana
@veronicahowendi1366
@veronicahowendi1366 8 ай бұрын
Nimeota na safiri na mtoto wangu wa kiume first born kwa pikipiki tukieiekea stage za magari nn maana yake. Niliamka kwenye ndoto kabla kufika stage.
@BoscoNchembo-js7nh
@BoscoNchembo-js7nh Жыл бұрын
Nimeota nimetoka ndani ya Nyumba nikasimama nje ya ile Nyumba, niliekua natakiwa kuondok nae akawa ameniacha anaondoka kwa miguu Mimi nikawa nasubilia gari , Ila nikawa Niko pia na Mtoto wangu kila nikimbeba vizuri ananiponyoka , namnyanyua nambeba TENA anakua hakai vizuri
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 жыл бұрын
Hata mm nakufatilia sana mama yangu.
@mabiriziempiretriple95
@mabiriziempiretriple95 2 жыл бұрын
Office yenu iko wapii??
@anastelaemmanuel7150
@anastelaemmanuel7150 Ай бұрын
Nimeota nasafri Ila nilisinamambele baadae watu kwskashuka upa de wakulia wadrewa.viti vikabakiwazi nikalae.ilaviti vilikua vipya kava yarangi yabluubahari
@anwarabduullahrawahi2067
@anwarabduullahrawahi2067 3 жыл бұрын
Asalam aleykum
@ashabilali2366
@ashabilali2366 5 ай бұрын
Mume wng aliota anaitwa na marehem dadaake na mm nikaota nimetoka kwangu sina viatu nikaenda kwa shogaang yy alifiwa na mumewe nikamuomba viatu akanipa kandambili nyeus nikavaa ndoto hizi zinaashiria nini
@rehemasalim1440
@rehemasalim1440 Жыл бұрын
Ndoto zngu hakuna hata moja. Mama mm nmeota nmesafiri n pikipiki kisha mm ndio naendesha
@jordansitadius1525
@jordansitadius1525 2 жыл бұрын
kuota unajiandaa nasafar afu meri inakuacha inamana gani
@Moussabebeto-kz8xz
@Moussabebeto-kz8xz Жыл бұрын
Asww mim nin mistali 5 inamanisha nin?
@sofiaaoscarkenga
@sofiaaoscarkenga 2 ай бұрын
mimi apa sijui
@salomeraymond2051
@salomeraymond2051 Жыл бұрын
Nimeota nimepnd gari tupo wengi tunaend beach lakini nahisi kabisa ajali itatokea uku gari linaend nini maan yake
@AnnitaShishi
@AnnitaShishi Жыл бұрын
Nmeota nkisafiri na mtoto wangu akaskia haja kubwa tukashuka alafu kuenda kusaidia mtu alikua anavindoda akajitokesha kutufukinza asizijisaidie kwa shamba lake akanishika mkono huyo mtu uku nlipiga ndulu
@ally7741
@ally7741 2 жыл бұрын
Salam alaikum . Kuota kunguni manake nini
@gloryfrank7918
@gloryfrank7918 Жыл бұрын
Nimeota nataka kusafili lakini safari imehailishwa
@REBAWANYAMA-mk7ng
@REBAWANYAMA-mk7ng 10 ай бұрын
Je,nliota dadangu mkubwa amekuja nyumbani na binti yake,na nilkuwa inhaling saa hi nko nci za nje,nini maaana?
@jameswaititu
@jameswaititu 7 ай бұрын
Mimi niliota tukiwa matatu nikahisi kkunywa maji tukaona mto nikaeda kukunywa maji sikuiona matatu hiyo tena
@hassanbora-ig8ei
@hassanbora-ig8ei Жыл бұрын
Ukiota unasafiri na Gari ila inandakinyumenyumw
@jenifasefu1692
@jenifasefu1692 Жыл бұрын
Ukiota ndoto upo kwenye msiba wa ndugu yako maarufu
@LeahAmana-og1vd
@LeahAmana-og1vd Жыл бұрын
Ukiota Umeenda nchi za nje
@سعودةتنزانيا-غ6ف
@سعودةتنزانيا-غ6ف Жыл бұрын
Ndoto yakurudi shule
@anwarabduullahrawahi2067
@anwarabduullahrawahi2067 3 жыл бұрын
Hii njoz inamanisha vip
@deborahmbithe9421
@deborahmbithe9421 Жыл бұрын
Naukita unasafiri na baisikeli
@RahmaYahaya-l2k
@RahmaYahaya-l2k Жыл бұрын
Weka no yako ya cm mama
@NyotaMariamu-h1y
@NyotaMariamu-h1y 8 ай бұрын
Kama mutu anaota iko anaenda ulaya,kipindi hicho anaishi eko, inamaana gani? Tena ndoto inajirudia rudia
@AugustineImbali-h1k
@AugustineImbali-h1k Жыл бұрын
Mimi Naweza elewana herufi gani kimapenzi jina langu la Kwanza ni A
@kennedysimiyu6302
@kennedysimiyu6302 Жыл бұрын
Mimi bado sijua nyota yangu
@SaidaKazuvi
@SaidaKazuvi Жыл бұрын
Ingia Google andika tr. Yko na mwezi wa kuzaliwa watakuletea...
@mariammambo6171
@mariammambo6171 3 жыл бұрын
Ukiota u ajiandaa na safari usafiri lakini unaishia kujiandaa tuu...lakini hufikii ule mda wa kusafiiri inakuwa unastuka...Mimi huwa napata ndoto za hvyo Sana najiandaa na safari lakini mda wa kusafiri haufiki nastuka
@lisakcomediantv3789
@lisakcomediantv3789 2 жыл бұрын
Ukiota umekaa njiani unasikitika alafu unanyanyuka unaelekea msibani unakaa nandug yako
@Vestina-q5r
@Vestina-q5r Ай бұрын
Uko kama mimi tafadhali tunaomba kujibiwa
@suzanne9517
@suzanne9517 Жыл бұрын
Asante sana
@Moussabebeto-kz8xz
@Moussabebeto-kz8xz Жыл бұрын
Mim nik bujumbura nifafanurie
@anwarabduullahrawahi2067
@anwarabduullahrawahi2067 3 жыл бұрын
Je niliotaga nimevaa kiatu Kisha like kiatu kikaniponyoka nikakitafuta nikakikuta nikaona fimbo pembeni nikachukuwa na kukivuta kiatu Yangu Badaeni nikaitupa ile fimbo Mana niliposhika ilikuwa fimbo lakini nilivoitupa chini ikageuka nyoka na kuanza kuindoka pale Tulipoona vile nikashangaa basi nikaondoka lile eneo
@aminatumbo7410
@aminatumbo7410 3 жыл бұрын
Kuota unasafiri afu ushuke na umeshika begi je?
@rahmanassor7793
@rahmanassor7793 2 жыл бұрын
Nimeota hivo hivo
@editorjulius4110
@editorjulius4110 2 жыл бұрын
Nimeota nimeachwa na basi
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 2 жыл бұрын
Ndoto yako inafanana nayangu
MAOMBI NDOTO ZA KUACHWA NA BASI AU NDEGE - Apostle Vera Muro
32:48
Jesus Altar Tv
Рет қаралды 7 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 8 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 121 МЛН
UKIOTA NDOTO MTU WAKO WA KARIBU AMEFARIKI INAMAANISHA NINI? sehemu ya [1]
3:02
Mwalimu Philemon Mbemba
Рет қаралды 7 М.
NYOTA ZENU/ JINA LAKO LINA MAANA GANI?
29:55
Nyota Zenu
Рет қаралды 134 М.
NDOTO ZA WATOTO NA FAIDA ZAKE
6:42
Utabiri Wa Nyota
Рет қаралды 78 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 8 МЛН