Mimi niliota nimepewa neno hili Zaburi 54, Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu
@SongoaelifredrickАй бұрын
Mimi nilihudumu kwenye kanisa siku moja Kama mhubiri,usiku nikaota vitambaa vya madhabahu vinawaka moto,nikaanza kumiliza Mungu,siku moja siku zimeenda sana nikaota Niko kwenye lile kanisa na niksoma zaburi ya 82;1 baada ya siku chache nikaletewa tena zaburi ya 149:8
@ombaujibiweАй бұрын
Amen mutumishi wa mungu
@lizzymwangi9940Ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu 🙏 hii n sermon n yangu kweri vitabu hupewah kweri kabisa but nikisoma Mimi hufikisha hapo Mungu nimeomba Msamaha🙏 Most Mimi hupenda za Dunia ama inchi kuelezea vile nyakati ziko kwa xaxa😢Mungu nipee direction father I need your help to understand more Amen AmenAmen
@Latherf-v4q3 ай бұрын
Amina 🙏🙏🙏
@Marthamodest-l7q3 ай бұрын
Amen
@BakaliJidaliАй бұрын
Asante mtumish niliota kuna bahar ntapitaje mara bahar ikagawanyishwa uku na uku katikati njia ikawepo basi nikapita
@olivamwaikuyu803 ай бұрын
Asante Sana mtumishi wa mungu,mm niliota vifungu viwili naambiwa na sautti kassome, Daniel 33:3 kiukwel nimefulahi Sana kusikia unatoa SoMo hilo.namshukuru Sana mungu
@BakaliJidaliАй бұрын
Barikiwa mno mm niliota kuna wezi wamevunja nyumba wameiba vitu vya ndani nikawa nalia mara akatokea dada mmoja namfaham ameshika biblia tena kama yangu ilivokua akanionyesha nisaidie
@Mary-z5i1sАй бұрын
Mimi niota nimepewa neno hili wagalatia 3;14
@StanleyJohn-c1u3 ай бұрын
Mtumishi nimewahi kupewa zaburi 21.1... 13
@abigaelmwadena22623 ай бұрын
Ameen nashukuru kw somo hili iliwai kunitokea karibub mara mbili
@RoseNdunge-vm3ex3 ай бұрын
Tafadhali Nabii naomba ufafanuzi wa ndoto ya mbuzi(mnyama) kwa sababu imejirudi mara mbili na bado sijaelewa inamaanisha nini
@BakaliJidaliАй бұрын
Nikiota nasikia masikioni mwangu naimba nyimbo za kuabudu ama kwaya
@BakaliJidaliАй бұрын
Naota naimba nyimbo mdomon mwangu mpka nastuka ama naamka bado ziko mdomon nakumbuka naendelea kuimba
@EmmilianaDeodathАй бұрын
Mimi nimeota nipo kanisani kumejaa sana alaf tumeinuliwa wachache nikiwepo mm alafu watumishi wanatupa maji