Niko na swali mtumishi wa mungu niko na shida moja ya kusahau ndoto kila wakati ninapo oota naomba unifafanulie barikiwa sana 🙏🏻
@LydiafoyaLydialydia-x9lАй бұрын
Namba unisaidie mtumishi,nikiwa naomba nahisi moyo unauma sana kiasi kwamba tumbo linakua linakaza sana kiasi kwamba natamani nipige kelele niwambie watu habari za mungu nateseka sana
@LydiahMokaya-sp9sf3 күн бұрын
Mimi mtumisi wa Mungu naomba Mungu habishe adui wanaonifuta
@AngleKade22 күн бұрын
Nashukuru sana mtumishi nimejifunza vtu vngi sna .nmm npo Uganda lkn nakufatiria nilikuwa naomba unisaidie kumuombea baba yngu aache pombe.
@asteriashios18526 күн бұрын
Ahsante sana mtumishi wangu nimekuelewa naomba mungu niutii moyo wangu pale ninapojisikia Hali fulani
@marysteward6203Ай бұрын
Amen, nimejifunza jambo kubwa mtumishi
@lianaally72172 күн бұрын
Ni kweli kabisa ubarikiwe mchungaji wa Mungu
@florakwambaza933821 күн бұрын
Asante sana mie kuna siku nimeota dirishani nikaona mwanga mkali sana mpk unaumiza sana macho halafu nikaona picha ya Yesu ilikuwa mwezi wa pili.
@clarisumaziАй бұрын
Amen amen barikiwa mtumishi Mungu azidi kukupa ufunuo zaidi
@Deopayoung22 күн бұрын
Mungu ni mwema na Mwenye fadhili pia Natupenda sana ingawa sisi ni wakosefu Amina 🙏.
@DushimeSalha-h8v4 күн бұрын
Shukran tena shukran
@HawaNgalemwa10 күн бұрын
Mungu akubarki mtumishi ,nmeipata darasa la kunisaidia maisha ni mambo yanayonitokea kwakwel, shukran
@jobmiriza14 күн бұрын
Mungu akutumikie unapo ombea roho za watu wake mahali ulipo mtumishi
@Patience76323 сағат бұрын
Amina Amina mchungaji
@estakapufi758226 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nitkutafuta
@maazuu-dm7zrАй бұрын
AMEN 🙏.God bless you so much
@LydiaNasimiyu-h1n14 күн бұрын
Bwana Yesu Kristo wanasareti asifiwe mutumishi wa Mungu,nilionda Niko nakaeiya family Yaku ndizi yenye orege
@LillianNgao-ob1pl11 күн бұрын
Asante sana mtumishi juu umenena yote ambayo huwa nasikia mm Mungu anitie nguvu
@AminaMoreen-l8c19 күн бұрын
Asanti yesu I really need this,
@NathanaelCosmasAlfredy-eg4ffАй бұрын
Amen mtumish nashukuru kwa mafundisho🙏
@leilasanga-ye3ui16 күн бұрын
Asante mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana
@janengaga2928Ай бұрын
Utukufu una MUNGU MKUU.Barikiwa sana.
@SofiaUsanjeАй бұрын
Amina mtumishi wa MuNgu ,kwa kiasi Fulani nimefunguliwa kuhusu ndoto .naitwa Sofia musa Niko songea Mungu baba na akubariki
@Selpha-b6tАй бұрын
Amen 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu ni ukweli kabisaaaa
@Mary-x5m7t11 күн бұрын
Amen 🙏🙏 thanks for the update
@BakaliJidaliАй бұрын
Ameen ni kweli kabisa mtumishi hua naamka nashangaa usingiz hakuna wakat mwngne naanza kuomba mungu akubariki
@DeboraAnord-fg5ck20 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi mmi nimeota mme wangu yupo kwenye kundi kubwa la watu watapika nayye yupo hoi anatapika na kuharisha nikamwangalia warvyo mshika anapika najikuta moyo wangu unauma sans sjaelewa maama ake
@samwelngao7 күн бұрын
Asante mtumishi nahitaji msada wako wa maombi
@dayanahancygao21 күн бұрын
MUNGU nimwema kwangu naamini sijatumia MB zangu Bure umenishibisha hakika umeusemea moyo wangu Leo Asante sana pastor mbasha MUNGU azidi kuangaza maishayako na huduma Yako🙏
@Christine-g6j28 күн бұрын
Mungu aendelee kukupa neema kwa haya mafundisho mazuri
Aminaa nashukuru sanaaa kwa neno lako la baraka... karibu endelea kujifunza pamoja nami.
@vicknessngenzi6146Ай бұрын
Nimejaribu sana kuomba kuhusu Mme wangu au ndoa ila mpaka Sasa sina uhakika Mungu anataka nifanye maamuzi gani juu ya maisha yangu ya ndoa. Niko mbioni kuachana na Mme wangu japo nilitamani sana muongozo wa Mungu kwa hili ili nipate amani kuwa Mungu Yuko namimi
@nimojapan3430Ай бұрын
@@vicknessngenzi6146kama mlifunga ndoa usiachane naye endelea kumuombea Mungu atambadilisha..piga magoti mbele za Bwana Halleluyah
@agneskaranei493Ай бұрын
Niombee sana ,natamani sana kusikia Mungu zaidi na kuinuliwa zaidi supernaturally.
@Rehemapaulo-l8jАй бұрын
Amen MUNGU Akubariki Sana Mtumishi
@MagdalenaNyamgenda27 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi Wa mungu Mimi imekua mara Kwa mara nikilala naota nakimbizwa halafu nikikimbia nakimbia kinyume nyume kumuangalia anae nikimbiza alafu ndo nakimbia sana nikikimbia kawaida anakalibia kunishika ila nikikimbia kinyume nyume namuacha mbali hii inamaan Gani? Nisaidie🙏🙏
@SaraM-m1d27 күн бұрын
Shalom mtumshi samahani san mie niliota na fukewa na viumbe vyo ajabu Nika stuka nikakaa Yani masikio yangu yananiuma Hadi Leo hii ndoto ina maana Gani nisaidie
@Gaynor1234Ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu.
@PatriciaSidi-c4wАй бұрын
Amen barikiwa sana Mtumishi wa Mungu ❤❤❤ unavyo ongea vyote nikweli mungu azidi kukufunulia zaidi ❤❤❤❤
@ErithieKasereka2 күн бұрын
Okasante❤❤❤❤❤
@IreneAlphonce-zi3ifАй бұрын
Amen. Mtutumishi. Tunabarikiwa. Sana. Na kipindi. Chako
@DIVINEPROMISE-c1n20 күн бұрын
Asante ntakua natulia namsikiliza Mungu maana wakati huo mara nyingi usingizi unakata
@YohanaLuambano19 күн бұрын
Amina sana mtumishi,barikiwa sana.
@meshackmahrina1492Ай бұрын
Jesus Christ 🙌🏽🙏🏿
@HafsaShukuru-sq8bsАй бұрын
Asante Mungu kwa kunifunulia hili
@OselohLonga950Ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
@RehemaMwangiАй бұрын
Asante mtumishi yote uliyoongea ni mm nayapitia 🙏🙏
@magdalenalaban889523 күн бұрын
Àsante Mtumishi kwa magundisho na kutufungua.
@jumahmovineАй бұрын
Ameeen 🙏 Mungu kusidishie neema ila mutumushi mm ninapo ataa ndoto nikiamka huwa sikumbyku kabisa.nisaidie
@mtumwamtoo319924 күн бұрын
Kunywa maji changanya na rose water
@asnatramadhan9936Ай бұрын
Ndo kipindi ambacho napitia Ahsante kwa kunifahamisha yaani sijielewi siku mbili hizi lazima usiku kuanzia saa 8 usiku nashtuka usingizi unondoka wasi wasi hofu vinanitawala alhamdulillah huwa naomba kwa imani yangu mpaka usingizi unanipitia
@AnethJonas29 күн бұрын
Amen amen Mungu akubari mtumishi wa Mungu
@editaruta4845Ай бұрын
Nakushukru mtumishi wa mungu
@michaelmumbokalu5930Ай бұрын
Wee bariwa sna mtumishi nimejifunza kitu hpo
@ShilaLewa11 күн бұрын
Amina 🙏ubarikiwe nimepata kitu kupitia hili
@TabizaAaАй бұрын
Amen God bless you 🙏🙏
@NABIIWANDOTODreamProphet-nx4dmАй бұрын
@@TabizaAa thank you so much
@bakariadam932316 күн бұрын
mungu awe pamoja nawe na akulinde piah
@NestoryLubiyuАй бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu naomba kujifunza zaidi na zaidi sana
@RehemaTimoth10 күн бұрын
Amina asante sana mtumishi
@ruganoantonyАй бұрын
Amen ubarikiwe sana mtu wa Mungu
@NABIIWANDOTODreamProphet-nx4dmАй бұрын
Amen tubarikiwe sote
@SaumWangeciАй бұрын
Ameen ahsanti sana
@ShukuruBitorwa26 күн бұрын
Baba yangu mungu akuzidishiye baraka
@PapaNoah-e8mАй бұрын
Ameneeee mtumishi wa Mungu
@LilianMutai-lv8qgАй бұрын
Amen 🙏🙏 ubarikiwe 🙏🙏
@Rehemapaulo-l8jАй бұрын
Amen MUNGU Akubariki Sana
@salomekingu-b2p22 күн бұрын
Barikiwa mnoo Mtumishi nimefurahi Mungu amesema nami vitu vingi mnooo vingine vimekuwa halis kabisa pamoja naKupewa Kitabu cha
@agneskaranei493Ай бұрын
Amina . Zidi kuomba nasi. Twanyenyekea.
@LizzyKitiku19 күн бұрын
E mungu wangu naomba unioneshee mume sahihi walioko mbele yangu ni wengii na si niyupii nisaidie
@PendoKalama-rn8pf13 күн бұрын
Ni kweli nabii wa Mungu na fundisho hili limekua la nguvu na ufufuo wa kiroho kwangu
@Victoria-bv6xuАй бұрын
God bless you 🙏
@maicoandrelilepe372829 күн бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu
@VumiPerenzle12 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@mp4rashel12 күн бұрын
Mungu aku wezeshe
@HONORATHAFAUSTINEАй бұрын
Barikiwa mnooo❤
@neemamarko176Ай бұрын
Mungu akubariki
@LucyMonyiАй бұрын
Barikiwa sana mtumishi, na Mungu azidi kukutumia zaidi kila wakati uwe unatulitea mafudisho na ufunuo
@ireneConstantine28 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@nsialema27 күн бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Bwana,nimejifunza kitu kikubwa sna maana mungu anasema sna nami na kuonyeshwa vitu kbwa mnoo ,mungu tusaidie watoto wako ili tuweze kutii sauti yako
@sango.ningejua5243Ай бұрын
Ubarikiwe sana.
@MONICAKIMARIOАй бұрын
Ameen mtumishi wa Mungu.
@FridaWilfredMollel19 күн бұрын
Nakweli nabii ata mmi ucku wajana saa nane nilikosa usingzi ila ckuamka kuomba Asante umenifungua mtumishi
@BoniphaslenatusKinyonga3 күн бұрын
Mm nikiwa namwomba mungu mwili unasisimka sana ni nn hiyo
@MartinAmanAmanAmanMartinAm-l1s29 күн бұрын
Mungu akubaliki nabii umenifumbua
@ceciliakwayamnyani1589Ай бұрын
Amen,NILIKUWA nikitafuta sababu,🙏
@juiethmalilo3480Ай бұрын
Aminakubw asana
@TumainiOmarMapurАй бұрын
Bwana yesu axifiwe
@TausiHasheem22 күн бұрын
Hpo kwenye kichaa nimeelewa Sana Mungu anatumia kitu chochote au mtu yoyote
@ZuhuraElinest15 күн бұрын
Mtumishi tunaomba namba za simu
@Bazilofficial8429 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu, nisaidie ninaota sana ndoto mara tu nikiomba Mungu anionyeshe jambo lakini nakua siwezi kuzitafsiri.
@VicentTarraАй бұрын
ni kweli mtumishi mimi Mungu anisamehe sana niliposikia somo hili nimetokwa na machozi. mara nyingi moyo wangu unakosa raha najisikia uchungu sana moyo unahangaika ila nashindwa la kufanya lkn siku hiyo haliishi lazima kutatokea tukio kubwa la kitaifa. mfano ajali ya kariakoo nilishindwa kukaa ndani roho inahangaika nakosa cha kufanya naingia chooni maana ndani watoto wananisumbua kwa muda huo kuomba lkn sielewi pa kusimamia niombee eneo gani
@VicentTarraАй бұрын
maporomoko ya katesh, ajali nyingi za barabani kila linapotokea siku hiyo mi roho itahangaika sana kila ninachokifanya nashindwa najihisi kulia ila nakosa Cha kufanya. Asante sana mtumishi hili somo Mungu amelileta kwa ajili yangu. ubarikiwe mtumishi
@RenaldaBonifaceАй бұрын
Amina
@hossanajosiah571626 күн бұрын
Almost kila siku usiku ifikapo saa nane ni lazima aamke na aanze kulia na kunisumbua,. ikatokea nikaomba basi anatulia analala vizuri otherwise natumia mda mrefu kumbembeleza
@monicaelias380122 күн бұрын
Vicent,pole sana na hongera kw akaeama ambayo Bwana amekuwekea japo bado haujajijua nakuanza kutekeleza napenda nikushauri hivii,weqe ukiona unahangaika na kukosa amani kiasi kwamba jawezi kupara utulivu wa roho nafisi na mwli,wewe kapige magoti muombe Mungu ikibidi lia hafi machozi ya uchungu wakati w amaombi yako Omba kwaajili yako ombea majirani xako omba pia kwamaadui zako Mungu awatokee awarehemu ombea kila uyajuayo na usiyoyajua unamwambia Mungu amani naomba irrjee moyoni mwanvu yale mabaya Shetani aliyoyakududia iwe kwako ama.Kwa waru wengine wewe waombee sana na ulisome Neno la Mungu kilawakati hatimaye utapokea furaha na raha ya moyo wako na utajisikia uko huru kabisaa,pole sana na hongera kwa kua unajuzwa some times jipange unakua unafunga nakuomba hadi hali hiyo inakatima kabisa
@monicaelias380122 күн бұрын
Me hua nikionyrdhwa naomba na matokeo yake huja chanya maana penye kurehemu Mungu hurehemu penye kuepusha mabaya Mungu huepushia mbali na penye kuokoa huokoa kw amkono wake wa nguvu ulio hondari sana2
@Mary-z5i1sАй бұрын
Amina 🙏🙏🙏mimi mara nyingi naota kama naona samaki wengi na pia pesa
@BmEdgewoodАй бұрын
Hakika umenifundisha mtumishi na nimeondoka na kitu mungu azidi kukutumia kwakweli 15:22 15:22
@EstherBitengoАй бұрын
Mala mingi ninaona Yesu ananiandikia kwa mawingu ,nikiamka ninasahau yale maandiko,alafu mikono yangu inawaka joto mingi sana nikiomba inazidi sasa mm sijijui kwa kweli Mungu niko apa sema sasa😢
@AnnahWaeni8 күн бұрын
Amina 🙏
@PriscaLyimo-s5cАй бұрын
Amen... 🙏
@betyanyas878027 күн бұрын
Ameeeen, mtumishi wa Mungu kwa darasa hili la mafunzo ya kiroho.
@irenebeddah6524Ай бұрын
Barikiwa sana
@Wiwine-b9c6 күн бұрын
Naomba msahada wa maombi sababu n'a uta ndoto zibaya saana
@SaraM-m1d22 күн бұрын
Na barikiwa san mtumshi
@buhitexmohamed47857 күн бұрын
Shukran sana nataka tuombee familia yangu please 😊
@SuzanaJuma-w4b26 күн бұрын
Yaan kwa mara ya kwanza nakusikiliza leo nimeshinda moyo unauma,sana munguakubariki sana
@Marthamodest-l7qАй бұрын
Amen Mtumishi mimi ubarikiwe, pia huwa kuna siku kwenye paji la uso panacheza sana maana yake ni nini
@BenMtweve-d1b12 күн бұрын
Ubarikiwe Kwa elim ulio tupa
@KethiaBondeАй бұрын
Kwa kweli asante sana mtumishi wa Bwana kiukweli katika hayo dalili zote ulizosema ni hivyo yalivyo sababu siku y'a juma mosi nilikuwa na program y'a kwenda kwenye maombi kuombea ukingo kwa familia ila sikufanyikiwa kwenda na gafla tuh nikajiskiya kuwa mimi siko sawa kabisa na ndipo hiyo hiyo siku ma pande y'a jioni nikapewa taarifa y'a kuwa babu yangu ametoweka kwenye dunia😢😢 kiukweli niliumiya sana..... nashukuru sana sababu umenifanya nijijuwe zaidi Mungu azidi kukupa mafuta y'a kiroho mtumishi sa Bwana🙏🙏
@RuthMartin-pn4ww29 күн бұрын
Ameni Mtumishi wa Mungu mimi huwa ninaona ishara ya mwili kusisimka na baada ya hapo naanza kutetemeka midomo je hiyo pia ni ishara ya Mungu?