Shalom alafu niliota na nimeenda kwa shamba na wafanyi kazi mara ya kwanza tulipata shamba halija malizwa kulimwa nikajaribu kupada begu nikapata nikungumu sana mala ya pili nilieda nika wapeleka lakin mahali tulikua tuna pitia kulikuwa na mashimo mingi sana lakin niliwafikisha kwa shamba na nikarudi nyumbani kuwapikia chakula dio doto ikaisha
@Victoria-bv6xu17 күн бұрын
God bless you 💕👏
@ednahamisi7288Ай бұрын
Amina mtumishi
@nancynancynancyw4931 Жыл бұрын
Mimi niliota ati Yesu ameniabia niongoze wimbo wa who has the final say Jehovah has the final say maanake
@prophetichealer1004 ай бұрын
Karama yako ipo kwenye kuimba gospel
@AssumaniMathieu24 күн бұрын
Amen
@ednahamisi7288Ай бұрын
Ata mimi naotaga naimba.tena watu wamejaa wengi wamenizungukq mimi nipo juu katikati ya watu nawatazama nyimbo nzuri mnooo watu wote walionizunguka wanaipenda.
@TehsHdhdh-lm3ow7 ай бұрын
Asante sanah mutumishi may God bless you
@IdahNambelasiwala-qs3su5 ай бұрын
Amen ubalikiwe mutumishi wamungu 🙏
@LydiaNasimiyu-h1nАй бұрын
❤❤❤❤❤
@Rehemapaulo-l8j2 ай бұрын
Amen MUNGU Akubariki Sana
@Ezekielkindole2 ай бұрын
Amina barikiwa sana
@Latherf-v4q4 ай бұрын
Ubalikiwe mtumishi
@Desire-wn9iv3 ай бұрын
Mtumishi nimeota ninaimba nikaamka nimesahau huo wimbo nini maana
@JacklineKalinga-y4jАй бұрын
Mimi mala nyingi naota kila ninapo taka kuimba kunamtu ananiwah anaimba badala yangu sielew shida nn
@Songoaelifredrick2 ай бұрын
Inanitesa sana kujua
@AnnaMunis-g9m2 ай бұрын
Nimeota navalisha nguo ya zambarau nzuri,nimeota nikiambiwa nisome kitabu cha waebrania