Asante kwa uchambuzi, nimefanya RESEARCH kama unavyotushauri na nadiriki kusema UMETULISHA MATANGO pori kwa mbaaaali. … naendelea…
@philimonndinadyo21205 күн бұрын
Pole unajenga hoja Kwa vichwa visivyo na ubongo
@RichardDaud-q4iКүн бұрын
Kaka Upo Vzuri sana bando langu kuisha kwa kukusikiliza hoja zako sioni hasara
@FIVEMORE-w2n5 күн бұрын
Kwamambo mengi We nimzuri lkn kwahili kwavile nisehemu inayokupatia posho, kwa udi na uvumba lzm umtetee Mbowe waziwazi. Njaa mbaya sana ad unatia huruma.
@SelemanMohamedi-s6x4 күн бұрын
Upo vizuri mzee wangu.Mungu akubariki.
@sospeterodhiambo68695 күн бұрын
Ngurumo katoa darasa tosha kwa wenye kufikiri kwa kutumia ....alichosema Marehemu Masaburi Warudi wakatumie akili Ushabiki na mihemuko haitaisaidia chama badala yake tunakwenda kuipoteza CDM
@pena_tz4 күн бұрын
😂😂 Kwa sasa hamna darasa. Kila mmoja anaenda kama chawa until further notice.. Huyu mwenyewe kashavurugwa
@malinzirutta33915 күн бұрын
Ansbert hakuna mwenye IQ ya kufikiri. Nimeona hata Advocates nao ni fuata mkumbo miliowategemea wana analytical powers za juu
@hadijasufiani61673 күн бұрын
Unachokisema nikweli upo vizuri hongera
@RevocatusKitambi5 күн бұрын
NALUDIA TENA MBOWE NA LISU ITISHEN KIKAO CHA DHALULA NA VIONGOZI WA MIKOA ,MAANA KUNA MANENO YANATOLEWA NA WANACHAMA WENU SIO MAZURI .MNAGAWA WANACHAMA
@franciscomasungulwa35755 күн бұрын
Mwenyekiti anayo-influence kubwa kufanya manadiliko....Kama LISSU atachaguliwa basi waliomchagua ni pamoja na kukuyakubali maono yake ya mabadiliko ya KATIBA....So hatutegemei kupata upinzani katika kufanya manadiliko
@justusndyamukama48085 күн бұрын
Asante kwa tafakuri hii.
@anthonymlyashimba81315 күн бұрын
Ulikuwa mchambuzi mzuri sana lakini ulipojigeuza kuwa chawa umeanza kupoteza mwelekeo
@EngelbertMakoye4 күн бұрын
Umeongea vizuri sana ila wasikilizaji hawakuelewi mihemko imewajaa vichwani mwao hata wako tayari kukivuruga chadema. Lisu hafai kabisa kushika nafasi hiyo anayoitaka busara kwake ni nadra kabisa.
@monicamwita78654 күн бұрын
Use wewe kama lisu hafai
@samwelmatemu88735 күн бұрын
Ukisikia mtu ana Sema ukomo wa madaraka ni watu wa Levi na hawaoni wamefungwa macho na rushwa.Lisu sio mwenzenu Kesha mtanguliza msigwa yeye anatafuta uhalali wakuondoka
@naturelifeonearth-ek1wdКүн бұрын
Iwapo agenda yako ni ukomo wa madaraka wakati wa kampeni na wakakuchagua; ndio watu hao hao utakutana nao katika ngazi za maamuzi hivyo uwezekano wa kupata sapoti yao ni mkubwa sana wakati wa utekelezaji. Asante Gurumo.
@1961nungwi5 күн бұрын
Pamoja na kwamba Uingereza hawana ukomo kwenye uongozi wa vyama, bado wanabadilisha viongizi mara nyingi. Na viongozi hao wanabadilisha serikali yote. Wameendelea, wanaenda kwa issues, sio sura za watu. Wakivurunda wana Nchi wanawabadilisha, wanabadilisha mpaka serikali. Sisi huko hatujafika. Kwa hiyo mifano hiyo haifai kwenye muktadha wa kwetu.
@MathewNathan-yb2bz5 күн бұрын
Mchambuzi uko sahihi sana.Mimi nakukubali na kuunga mkono sana.
@bahatimwangoka53465 күн бұрын
Chama kiwe kama UDP
@dennisungonella2055 күн бұрын
Ukomo wa madaraka ni muhimu Ili kuimarisha demokrasia ya nchi...
@sophiemsuya65074 күн бұрын
Huu ukomo unakuwa kwa cdm tu halafu unaingiliwa na msigwa na wengine. Mbona cuf Wana mtu wao wa kudumu mbona haguswi? Ila mchambuzi una busara sana Umechambua viziri sana. Hapo Kuna mkono mrefu Toka nje ya cdm. Mungu akupe heri mtu wa Mungu, una mawazo chanya Kila wakati.
@daviddsouza7355 күн бұрын
Ukomo wa madaraka katika nafasi au ngazi moja ni muhimu. Changamoto au majukumu yapo na yanabadilika kila miaka 3 hivi, kama vile mama mwenye ujauzito atapambana na ujauzito, baadae kunyonesha, baadae kufundisha maadili na baadae kutafuta ada za shule nk na nk Viongozi waelewe wana muda wa kufanya yale wanayoyaahidi jamii. Binafsi huwa ninakwazika kuona viongozi wanaojisahau na kutaka kukalia vitu huku wakiwa hawana uwezo wa kufanya kazi ipasavyo.
@brucemutuma5 күн бұрын
Here comes another one trying hard to explain why Mbowe should be Chairman for life.😂😂
@matiredms9175 күн бұрын
Ngurumo wewe ni mkweli na una hekima kubwa. Mungu amekupa hekima na busara za Mfalme Suleiman. Usiogope kauli za kejeli za Mazuzu wanaotaka kulazimisha watu wafuate matakwa yao ambayo hayana mantiki au mashiko. Mungu akubariki na akulinde.
@samsonfulgence55535 күн бұрын
Sisi tulio na uelewa mkubwa tunakuelewa sana kaka Ngurumo. Nawe ridhika nasi tunaokuelewa na wale wasiokuelewa endelea kuwaelimisha ipo siku wao au watoto wao au wajukuu zao watakuelewa.
@farajamwaigombe75665 күн бұрын
Ngurumo hiyo gongea msumali hatuwezi ongoza chama kwa misingi ya kuongoza nchi, madhingira ni tofauti sana
@naturelifeonearth-ek1wdКүн бұрын
Nakuelewa. Ukomo wa uongozi sio neno sahihi kwa sababu unapoacha cheo (madaraka) sio lazima uache uongozi...
@saidikindole69145 күн бұрын
Huyu story zake zote ni za kumpigia debe mbowe. Analipa fadhira za boss wake
@MathewNathan-yb2bz5 күн бұрын
Ni mtu anayependa haki.Tatizo ww una uwezo mdogo sana.
@karakairasa21615 күн бұрын
Pumba! Na wewe unalipa fadhila za nani? Ongea hoja!! Usikebehi tu!
@gjrmbise72685 күн бұрын
Na wewe mpigie lisu campaign
@anoldishengoma42295 күн бұрын
Ningekuwa mwandishi wa gazette kichwa Cha habari ningeandika Ngurumo atetea mbowelism of chadema 😂😂😂 Mzee ashasahau miaka kadhaa ilopita walosema magufuli atake asitake tutamlazimisha aendelee, ngurumo akahoji kwamba hata kikwete angeendelea magufuli mngempata??? Leo mbona umegeuza kauli Kwa mbowe sasa😂😂
@farajamwaigombe75665 күн бұрын
kunatofauti kati ya uongozi wa serikali na uongozi wa chama katika level ya serikali tuna watu wengi tuna vyama vingi ko tuna machagulio mengi pia ukiachana na hayo madhingira ya nchi ni tofauti sana na madhingira katika vyama
@anoldishengoma42295 күн бұрын
@farajamwaigombe7566 Kwa namna hiyo tufanye hivi,,,,, kwakuwa ameshapatikana wa kuchukua nafasi yake kwann na yeye asimwache tukaona uwezo wake, tutajuaje kama ni Bora zaidi kuliko aliyetoka?
@MathewNathan-yb2bz5 күн бұрын
Utabaki na ujinga wako.Ngurumo anatetea umoja na taasisi imara na mshikamano ndani ya chadema kwa sababu ni chama imara.
@geniusplus85865 күн бұрын
Umeelewa hoja ya Ngurumo?
@MathewNathan-yb2bz5 күн бұрын
@@geniusplus8586 mjinga kama huyo hawezi kuelewa.
@onesmoherman68325 күн бұрын
Wewe ni MPIGA KAMPENI WA MBOWE hakuna kitu cha kutafakari hapo Mkuu
@joscamwoshezi29865 күн бұрын
Uko vizuri sana
@josephatkajange-zx2tl5 күн бұрын
Mbowe must go! This time we move with Lisu! Mwamba kesha kata upepo politically!
@SeifBashemela5 күн бұрын
Au Hivi kila mtu anaweza kuishi uhamishoni kwa gharama, ushauri na mapenzi yake? Gharama nani anazibeba au uwakala! Vipi ukomo wa ufadhili ukitokea! Muathirika No, 1,2, 3,..... lazima awepo! Tuchambulie na hili honourable Sir Ngurumo
@marieconnect63895 күн бұрын
Baada ya nyerere alikuja badaye kupatikana Magufuli mwenye mitizamo na kaliba na uzalendo, kupinga ufisadi na ubeberu na walikuwa chapakazi, sifa za kufanana, na uzalendo wa haki ya juu wa kuipenda nchi yao bila unafiki. Hao hawawezi kufutika mioyoni mwa watanzania hata wadanganywe vipi waliwahi.j3shwa utamu wa kupedwa na uzakendo ulivyo. Tunajua watu baadhi walivurugwa kiuchumi kutokana na style rais ya kujenga uchumi wa taifa kwa sababu mirija binafsi ilikatwa. Hao acha wakae na chuki zao wanaeleweka kiwango cha ubinafsi wao. Magufuli aluweka kiwango cha uzalendo ambacho itakuwa ngumu sana kupata kiongozi wa kuweza kufikia. Wapo watu wachache wazalendo wa kweli wenye uwezo lakini hawawezi kuja kupata nafasi kirahisi Labda Mungu aingilie Kati. Mafisadi na mabeberu wavunaji shamba la bibi hawatakubali ...piga uwa
@lawrencekombe29295 күн бұрын
Acha kupotosha hajasema atabadillisha yeye mwenyewe.kila kitu ni vikao na wajumbe wataamua
@karakairasa21615 күн бұрын
Ni sahihi wala halina shaka hilo! Lakini yuko wapi mwenye akili wa kufahamu hayo!! Kama mbowe ni mjusi, basi hao wengine wanao wataka ni mamba na na nyoka...
@HellenLemilya5 күн бұрын
Wewe ni kama vile unampigia Mbowe kampeni , watanzania wanamtaka Lissu nami nauunga mkono Lissu kua mwenyekiti , Mbowe awaachie wengine tuone nguvu mpya , wengine wapate fursa na ukomo wa madaraka ni sahihi kabsa ili kukaribisha mawazo mapya , nguvu mpya na muelekeo mpya
@hurumajosephat63335 күн бұрын
20 years is enough je akifa mtafanyaje jaman aongoze na mwingine inatosha
@mbelechimakobola88355 күн бұрын
Hatuwezi kusikia chochote cha kumkosoa lissu maana ndiye pekee anayetetea haki ya watu wote bila kumwangalia mtu usoni, achana na hizo propaganda mzee wangu, namwonaga mtu anayemkosoa Lissu kama adui mkubwa wa watanzania
@rastheunique3 күн бұрын
Kwenye huu uchaguzi nimegundua kila mtu mzuri ana upande wake wa UHOVYO ulio sawasawa na upande wake wa uzuri!! Ngurumo umenithibitishia nadharia yangu!!
@FrederickMuzimaRutikanga5 күн бұрын
Ngurumo unasema mbunge usiyetaka kumutaja jina lakini kichwa cha habari unasema train ya Gwajima ? Lissu ni mtu na nusu lazima mkachanganyikiwe !
@MathewNathan-yb2bz5 күн бұрын
Ww ulifikiri Ngurumo ana akili ndogo kama ww
@HUSSEINMOHAMMEDKISELE5 күн бұрын
Bwana were bad unamtaka Mbowe, Mbowe amejikwaa mara 2, kwanza kutoka jera mpaka ikulu, pili kukubali malidhiana ambayo hayakuzaa matunda ndiyo mana anaonekana akili zimechoka.
@nicholouswaryoba14745 күн бұрын
Mtabwabwaja sanaaaa
@MDCISFORMALINYIPEOPLE-5 күн бұрын
Kaka Ngurumo ni wakati sasa chutama uheshimu utashi wa umma. Linda heshima yako, unawaumiza wananchi.
@adenmayala92983 күн бұрын
Good
@OmmyJames-xn7ji5 күн бұрын
WAPOTOSHAJI SASA WANAGEUKIANA 🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩KUMBE WANABURUZWA
@moureen74464 күн бұрын
Umetupa Taarifa ya vyama vya nje havina ukomo wa uongozi mfano umesema chama cha conservative kule UK. Umetumia taarifa hiyo kwa upotofu . Hiko chama hawana ukomo wa uongozi ila wajumbe wake wamebadilisha wenyekiti mara dufu. Naendelea…
@goodluckypaul-d3s5 күн бұрын
Chawa wa mbowe wewe hunajipya
@moureen74464 күн бұрын
Ukomo ni jambo zuri. Chadema imekua juu sababu WALIELEWA nguvu ya UMMA kusikiliza wananchi wanasema nini. Wakiamua kusitisha hiyo mienendo ni sawa pia maana chama ni chao ila walikua kwenye mfumo sahihi wa kusikiliza wananchi kama Conservative Party kule UK.
@joycebayo81065 күн бұрын
Ngurumo ulikuwaga mchambuzi mzur ila kwa sasa umepoteza uelekeo kwa kuwa timu kampeni ya Mbowe. Umepotoka kaka. Mimi sio mwanachama wa Chadema ila inaonekana wew unashambulia upande wa Lissu huku ukimtetea Mbowe . Acha kujificha jiweke wazi maana maneno yako na kauli yako inaonesha upo upande wa Mbowe.
@kiliantereba65025 күн бұрын
Hata usemeje watu tunamtaka Lisu
@habibunguvumali33315 күн бұрын
Mbowe ni hazing kubwa chadema
@DavidDanken-uf7kp5 күн бұрын
Saiv hufai wewe nilipotoshaji
@MathewNathan-yb2bz5 күн бұрын
Hafai kivipi ww mjinga?ww ndio hufai.
@Jumamaduka2405 күн бұрын
Huyu Mzee kwa hili yuko vizuri sana. Tatizo tunawaza kishabiki na kufuata Mkumbo. Amini nakwambia ruhusu ubongo wako kuwaza kwa jicho la tatu
@MathewNathan-yb2bz5 күн бұрын
@@Jumamaduka240 hongera uko sahihi sana.
@moureen74464 күн бұрын
Kwa uchambuzi nimegundua kumbe wanachama wa Conservative Party wanaangalia upepo wa kiongozi gani atakubalika na WANANCHI kwenye chaguzi zilizopo mbele yao na ndo maana kimeweza kushikilia madaraka kwa miula mingi kuliko chama kingene kule UK ingawa kwa sasa Labour Party ndo wako madarakani .
@AntonyJoseph-zo8ii4 күн бұрын
Mi mekuelewa sana maono yangu lisu ataua chama
@naturelifeonearth-ek1wdКүн бұрын
Ukomo wa madaraka (cheo) sio lazima uguse ngazi zote za uongozi bali unaweza kulenga ngazi fulani specific kadiri ya mahitaji ya wakati. Vyeo vya chini vjnaweza kufuata baadae wakati ukihitaji.
@PeterMmari-p4d3 күн бұрын
nmekuelew Uko vzr kwauchambuzi wakomakin achana nawabishi nawongo
@ambanconsultants68925 күн бұрын
Ngurumo watu hawapo Kwa sababu hawaoni nafasi Kwa sababu zimeshikiliwa na watu wa kudumu.
@mtumejosephgoliama61595 күн бұрын
Wewe kwangu umeshapoteza mwelekeo. Mapenzi yako kwa Mbowe yanafanya uchambuzi wako kua wahovyo kabisa. Be fair hauko fair kwa Lissu
Acha Kudanganya Mzee.Ukomo Wa Madaraka Ni Lazima Kwenye Vyama Vya Siasa.Ili Hata Wajaposhika Madaraka wanaweza Kungangania Madaraka Mpaka Mwisho.Mfano Mzuri Ni Kagane (Raisi Wa Rwanda ).Maoni Yako Haya Ni Yako Na Hayana Afya.
@MathewNathan-yb2bz5 күн бұрын
Ww una akili ndogo.mwenye akili kubwa tu atamuelewa.mkiambiwa tanzania ni taifa la wajinga hamuamini.
@geniusplus85865 күн бұрын
Umeelewa hoja zake lakini? Anasema ukomo wa uongozi unatakiwa kuzingatiwa hadi kwenye ngazi ya vitongoji. Je, mwaka jana mlisimamisha wagonbea ktk vitongoji vingapi? Je, ihata kuwapata likuwa rahisi kiasi gani? Genius, tuambie hoja hii umeipangua vipi?
@FrancisShinji5 күн бұрын
Wadanganye hivyo hivyo wajichanganye maana nimeona kuna awengen nimeona wanajitoa fyuzi ety wanakuelewa sana akat unawapotosha kwanza sisi ccm tumtaka mbowe maana akiliamsha la katiba tunamvuta chemba anatulia
@gjrmbise72685 күн бұрын
Nimejifunza mengi sana,kuna kikundi cha wahuni wachache wameshakula pesa za kina Abdul sasa wanataka kwa vyovyote waiharibu chadema,yangu macho na masikio lkn kwa uenyekiti lisu hafai kabisa
@kingkendrickk5 күн бұрын
Team mbowe kwenye ubora
@moureen74464 күн бұрын
Kwa kuongozea hoja.. demokrasia ya wanachama wa siasa za nje na demokrasia ya nchini kwetu ni kama mbingu na ardhi! Tanzania ndo tunajipambanua hata kuelewa demokrasia inamaanisha nini kwetu sisi watanzania, maana wengi wetu tumedumazwa na mifumo mbalimbali ya udikitekta wa serikali yetu. Haswa mfumo wa kufikiri, mawazo,
@onesmoherman68325 күн бұрын
RUDI TANZANIA TU UUNGANE NA TEAM YAKO
@omarinyahegs45395 күн бұрын
Ngurumo vipi tena
@BarakaBashiru-nf3sb4 күн бұрын
Kwaiyo Leo umeamua kumpigia mbowe kampeni waziwazi eti ndg Ngurumo
@PasiweloMpembe-r4l5 күн бұрын
Umeanza kuzingua Sana Sacha uchawa ulikuwa unaonekana mchambuzi mzuri saiv umepoteza ladha
@hassaniyassin16865 күн бұрын
kwani huyu mzee ana cheo gani chadema??
@MathewNathan-yb2bz5 күн бұрын
Kwani ww inakuuma nini
@tospend5 күн бұрын
Wewe unacheo gani hapa mjini?
@FIVEMORE-w2n5 күн бұрын
Mfadhiri wake ni Mbowe .Mm sikutegemea kwamba anamtegemea Mbowe kissing hiki. Mbowe kisha choka kafanya kazi kubwa akapumzike. Kwajinsi unavomsemaga Samia kwahili ilikua unyamaze ao hubiri injili.
@MathewNathan-yb2bz5 күн бұрын
@@FIVEMORE-w2n ww mjinga sana.Hivi huu umbumbumbu ulio nao utakuisha lini.Mimi mwenyewe Lissu nampenda sana ila namna alivyotoa lugha yaani ni kama vile ni mtu aliyedhamiria kukivunja vunja chama.Yaani kaongea maneno mengi ya kashfa kama msigwa anavyoongea.Hata kama Mbowe labda ana makosa huwezi ongea vile hata kidogo.
@anoldishengoma42295 күн бұрын
Huyu ni mpinzani Wala siyo mchambuzi 😂
@moureen74464 күн бұрын
Pia ukomo kwa vyama vyetu hapa Tanzania itasaidia sana kutokomeza uchawa ambao kwasasa ni MWIBA kwa taifa. PIA ukomo utaimarisha mifumo ya chama na katiba yake. Nimemaliza .
@mbelechimakobola88355 күн бұрын
Nilikuwa nimekataa kuangalia chochote katika Chanel yako hii ila kwa Leo nimejaribu kusikia, tunajua unayempigia kampeni ila usijaribu tena kutoa clip yoyote ya kumkosoa Tundu lissu, narudia tena usijaribu Abadan, vinginevyo tutaandamana nchi nzima kupinga Chanel yako
@gjrmbise72685 күн бұрын
Na wewe fungua chanel yako umpigie campaign lisu,wala hatutaandamana
@MDCISFORMALINYIPEOPLE-5 күн бұрын
Unapotezaaaa heshimaaaa yako
@PhilipoMwita-b2x5 күн бұрын
Nyerere alikua masikini alichangiwa pesa KATIKA kutafuta uhuru walichangia chama Cha TANU Lkn Nyerere alikuja akaachia kiti kwann museveni yy hataki KUACHIA kiti ..?
@PhilipoMwita-b2x5 күн бұрын
Mbowe amekupa Hela umteteee😂😂😂kweli njaa ni mbaya MWAMBIE musevini aachie ngazi bhana
@mathiaszakaria70525 күн бұрын
Eti kinaitwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo alaf hakuna ukomo wa madaraka watu wanataka kuongoza mpaka kifo.Endelea kumpigia debe Mbowe ila cc tumechoka na uongozi wake,ameishiwa mbinu za kupambana na maccm amekuwa nyuki wa mashineni.
@rubenmsimbe9345 күн бұрын
Kweli uchawa huleta upofu, hiki unachokitetea kuna cku utakipinga,shame on u....
@JohansenJoas-yu7uc5 күн бұрын
Uko sahii kabisa turiowengi tunaogozwa Kwa miemuko kama munasema mboe amekaa sana Sasa simugobe nanyi niwakati wa uchaguzi kusudi tupuguze maneno .huku kwenye jibo letu tunabebereza watu warudie kugobea ss mukiweka ukomo utahusu nafasi zote Sasa itakuwaje au tutabaki kukinbiza senene Kwa rungu badara ya kuchuta Kwa majani?
@christosiadanieli65124 күн бұрын
waangalie hatima ya chama wanajua sheria waliangalie wasijiaibishe
@Hamy11095 күн бұрын
Wewe umechukua upande tayari ndio maana unajidhalilisha sana kumtetea Kengeza😂
@josephmantago28375 күн бұрын
Ngurumo amepofuka leo anatugeuza kuelekea kizimu hpo hatukuelewi sasa tuko na mh Lisu hatujadanganywa na ccm lbda ww ndo umedanganywa
@AshrafLema-n5r4 күн бұрын
Katika uchambuzi wako mara nyingi ulileta na kukusanya nguvu kubwa kupata hata ushawishi na hata wengi kuamini kwamba Ngurumo anafaa kuwa kiongozi ktk nafasi hata wanazowania Lissu na hata Mbowe kwa wakati husika!! Lkn kwa wimbi hili linalowahusu haswa wanademokrasia ,wanaojua nini maana ya demokrasia wamefika wakati kuona sasa hv umepoteza ladha kulinganisha na wakati uliopita.Bado kwa ufahamu wako watanzania wanakukubali unaweza kuwashawishi kujenga demokrasia nzuri.
@andrewmohere5 күн бұрын
Wajumbe hao watakaoamua wakati huo si ndio hao hao watakaopiga kura kumchagua mwenyekiti na wagombea wanauza sera zao kwa Wajumbe na wajumbe watawachagua kwa kukubali hizo sera, sasa watazikataaje hapo baadae? Hata wakizikataa si maisha yataendelea, demakrasia itakuwa imetendeka.
@SeverinFussi4 күн бұрын
Technics za Kutoa maoni
@josephjohn21144 күн бұрын
kwani Nyerere alipoacha uenyekiti CCM ilikufa au ndo iko imara mpaka leo licha kwamba Nyerere hayupo tena. Mbowe mwenyewe hana msimamo mara naogombea mara sigombei. Mbowe hafai tena ameshafanya mambo mazuri na mambo ya hovyo mengi tu yeye sio malaika akae pembeni.
@rastheunique3 күн бұрын
We Mzee umeamua kujibandua ngozi ya uso kweli kweli aisee!! Hebu pia tuambia MBOWE KAKUPA NINI??
@samoskiyalo60953 күн бұрын
Ukomo wa uongozi si hoja ya kampeni isubiri wakati wake
@VedastusMtesigwa5 күн бұрын
Nakujua sana kabla ya MAGU Hajakufanya ukakimbia Inchi. Nimeonana na wewe Mara Nyingi Mwanza tukawa tunakula kitimoto Mara Nyingi tu uko smart kichwani na unafanya tafiti nyingi . Huku wanachama wanamtaka TAL Na wanaweka imani kwake ya kuwapeleka kwenye Kushika Dola. FM anaheshimika mno so abaki na heshima hiyo
@samwelmatemu88735 күн бұрын
Nashauri chadama wamfukuze lisu awahi huko anakotaka kwenda
@MshumbusiChrisostom5 күн бұрын
Kwanini hutaji akina lipumba, Mzee cheyo na Ashimu lungwe na marehemu lyatongamlema vyama vyao wamegangania leo vikoje? Huku chini watu wanamtaka lisu wamuunge mkono ,
@josephjohn21144 күн бұрын
Swali dogo tu ..vyama vya upinzani karibu vyote Tanzania TLP, CUF, UDP vinaongozwa na wenyeviti wa kudumu ambao hawana ukomo wa uongozi je imesaidia nini zaid ya vyama kufa na kuunga mkono Ccm ? We ni muongo bwana usitudanganye hapa.
@kayombogregory82415 күн бұрын
Acha kampeni mr. Ukomo wa uongozi ni maamuzi ya chama kubadilishana uongozi. Naona unatoka nje ya reli Mr. Wewe sema unachotetea wazi bila kuficha, uko upande gani wewe? Tunajua.
@TzTimes5 күн бұрын
Mzee leo umechemka bhanaa, swali kwako, kwanini serikalini siyo viongozi bali watawala? Nadhani unajaribu kudhoofisha dhana ya Mbowe kuongoza(kutawala) muda mrefu kisa anaongoza chama. Kwa mtazamo wangu viongozi wana ridhaa ya wananchi siku zote ila watawala nyakati zingine huhodhi madaraka.
@adiaygo85465 күн бұрын
Wewe usikipeleke peleke hii ya lissu kugombea inakuuma😂😂😂
@exseviangaeje11584 күн бұрын
Gulumo ulijijengea heshima na kuaminika lkn SASA unajibomoa mwenyewe pole
@DiwaniMwafongo5 күн бұрын
Nakuaminia Sana kaka, ila graph ya akili ,ushupavu, na utendaji wa Mbowe umebakwa na CCM. Chadema, chama kikuu Cha upinzani ninapasuka vibaya kwa uking'ang'anizi wa Mbowe, period! Wewe SI wachambua ila sisi wengine tuna maono!!
@MathewNathan-yb2bz5 күн бұрын
Haujabakwa ila wananchi wenyewe ndio mmebakwa.Mbowe alijitokeza kuandamana mbona hakuna mwananchi aliyejitokeza kuandamana.
@mathiaszakaria70525 күн бұрын
Mwenzake anaandamana kudai katiba mpya yeye anaandamana kutangaza maandamano si upuuzi huo?? Maandamano ya Lissu yalikuwa na mvuto kuliko ya Mbowe @MathewNathan-yb2b
@kyambokyambo59394 күн бұрын
Nilikuwa shabiki wako ila kwa sasa, full kapuni, unafanya uchambuzi kumpendelea Mbowe!
@MaluguFabian4 күн бұрын
Uyu jamaa ni mtu wa hovyo kabisa, Alimtukana Magufuli na kumzalilisha na kumuita Dicteita kumbe nikteita wako nae kwenye Chama Chao na kwa sasa anajitahidi kumetea mbwa uyu
@rubenmsimbe9345 күн бұрын
Yy alikuta kuna ukomo wa unachita uongozi,akabadili katiba ka mu7,kuna tofauti gani kati ya mu7 na mbowe,alafu tuwape nchi ili mng'ang'anie madaraka,msahau kuhusu nchi...
@boniveturendimbo88804 күн бұрын
Mithali 18:18
@eliajimmy955 күн бұрын
Huyu chawa wa Mbowe, sasa hivi nashindwa kumsikiliza kwenye channel yake