UKWELI KUHUSU HAJAAWIRAH

  Рет қаралды 1,647

Akhy

Akhy

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@abuubakarshabanabuubakar5115
@abuubakarshabanabuubakar5115 9 ай бұрын
Allaah Amuhifadh Ustaadh wetu mbora Abuu Haatim Abdullah bin Jumaa.hakik ni mwiba wa kuwachoma Mahzibi
@AdamKassim-og7em
@AdamKassim-og7em Жыл бұрын
Ustadh abuu haatim Allah amuhifadhi
@abuubakarshabanabuubakar5115
@abuubakarshabanabuubakar5115 9 ай бұрын
Allaah akuhifadh ndug yang mbora
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar Жыл бұрын
kwakigezo gani umemuita baramika?
@abuubakarshabanabuubakar5115
@abuubakarshabanabuubakar5115 9 ай бұрын
Qaasim bin mafuta na genge lake wanaitwa mabaramika kwasababu maneno yote wanayoyasema wanayatoa kwa huyo kadhaabu Arafati albarimakii
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 Жыл бұрын
Hajaawira hamna soko tena.
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Жыл бұрын
DINI SIO BIDHAA.
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
@@eng.saalim8646 Pindi mtu aliyepinda akimsema vibaya Sheikh Yahya basi (ajue kwamba ) watu wenye in swaaf watampa cheo na kumuheshimu.(Sheikh Yahya Alhajuury Allaah amuhifadhi na awaongoze wenye kumchukia bila haqq)
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 Жыл бұрын
Kumbe unataka kumaanisha kuwa BARAMIKA kisheria ni sawa??.
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Жыл бұрын
NYINYI MAHIZBIY,BARAAMIKA NI MIONGONI MWA HAQQI ZENU, NA MUMCHE ALLAAH.
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 Жыл бұрын
@@SUNNAH0001 NYINYI MAHIZBI HAJAAWIRA NI MIONGONI MWA HAQQ ZENU NA MUMCHE ALLAAH SUBHANAH
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Жыл бұрын
@@subulus_salaam2023 KWANI HAMKUA NYINYI WAFUASI WA ARAFAATI MUHAMMADIY BARMAKIY KATIKA UZUSHI,UONGO NA MANENO YAKE YA DHULMA JUU YA DA'WA YA SHEIKH YAHYA AL HAJOURIY(حفظه الله),KWA KUMSINGIZIA UONGO MKUBWA YAKUA SHEIKH ANAMKOSOA MTUME(صلى الله عليه وسلم),YAKUA ETI YEYE HAPENDI MASWAHABA HALI YAKUA WATOTO WAKE 2 WAMEKUFA KATIKA JIHAD KWA KULINDA HESHIMA YA DINI NA MTUME(صلى الله عليه وسلم)NA MASWAHABA ZAKE, YAKUA ANAMKUFURISHA MWANAE NABII AAADAMU(عليه السلام)NA MKAMSEMA VIBAYA JUU YA HILI HALI YAKUA HAYA NI MAS-ALA YA KIELIMU AMBAYO WAPO SALAF WALIOPITA MAPITO HAYO NA NI SWAHIIH, YA KUA YEYE HAKUBALI QAULI YA MTUME(صلى الله عليه وسلم)BILA YA DALILI!!! HIVI NI UONGO GANI HUU WA KUMSINGIZIA SHEIKH,SASA KIGEZO GANI NI CHAKE KWA MWENENDO HUU,IKIWA MPAKA QAULI YA MTUME WAKE HAICHUKUI ILLA KWA DALILI(huu ni uongo wenu),WAKATI YEYE MWENYEWE ANASEMA KUA MTUME(صلى الله عليه) NI HUJJAH.. NA MAUTUMBO TELE AMBAO MNAUSIMAMIA VIDETE ..KWA WIMBO WENU HAJAWIRA,HAJAWIRA,,AMBAO NI BAATWIL NA MTAULIZWA NA MTAKOSA MAJAWABU.. IKIWA UNATAKA HAQQI FUATILIA KITABU KINAITWA "الرد على عرفات في ما افتراه في البيان الفوري" YANI NYINYI MAHIZBIY,MUMADHIMMA KUBWA MBELE YA ALLAAH MAHIZBIY WAKIBARAAMIKA KWA KUFUATA KWENU MAS-ALA BILA YA HUJJA NA NYINYI SIO MASALAFY ABADAN MNATAKIWA MUACHE TAQLIID,NA MUMCHE ALLAAH(عز وجل) HAMNA HOJA YOYOYE.
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 Жыл бұрын
@@SUNNAH0001 Yaani mnavyomchukulia sheikh yahya Al-hajuur(هداه الله) kana kwamba hakosei yaani kazi yenu kumkingia tu kifua hata mkiambiwa kakosea na kakosolowa na Maulamaa wakubwa kielimu,,,, Zindukeni enyi Mahizbiy hajaawira. wangu ushauri acheni TA'ASUB hicho ndicho kinachowatafuna.
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
@@subulus_salaam2023 Pindi mtu aliyepinda akimsema vibaya Sheikh Yahya basi (ajue kwamba ) watu wenye in swaaf watampa cheo na kumuheshimu.(Sheikh Yahya Alhajuury Allaah amuhifadhi na awaongoze wenye kumchukia bila haqq)
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 Жыл бұрын
Tushawajua sana enyi mahajaawira hata mkijitetea vipi.
@fawaaidzakielimu4858
@fawaaidzakielimu4858 Жыл бұрын
Qaasim Mafuta Yemen alifungwa jela, Qaasim Mafuta huyo huyo alipoenda Saudia Nako akawekwa Jela, Muulizen Kwa nin Aliwekwa Jela na pia Muulizeni Usalafi kasoma wapi?
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Sheikh Abdulkareem Alhassany amesema kweli Mafuta hakuwa salaf huko nyuma wala hv sasa
@abuurauzwat1006
@abuurauzwat1006 Жыл бұрын
Acha kuzunguka jibu swali acha ujinga wewee.
@adammmanga1664
@adammmanga1664 Жыл бұрын
kwa hiyo hajajibu swali??? au wewe unataka jibu liwe vipi???
@subulus_salaam2023
@subulus_salaam2023 Жыл бұрын
@@adammmanga1664 Hajajibu ameulizwa baraamika kisheria ni sawa?. Maana anadai hajawira kisheria sio sawa sasa nataka kujua je hiyo baraamika vipi. Au ndo kujigonga gonga huko enyie MAGHULAAT MAHIZBI WA KIHAJAAWIRA.
@adammmanga1664
@adammmanga1664 Жыл бұрын
@@subulus_salaam2023 naam,,, ni sawa sababu hao baraamika wanafanya taqliid kwa sheykh wao Arafaat Barmaki ktk dhwalala zake na kumtuuumu shaykh yahya ktk mambo ambayo hayuko nayo huku akitumia njia za kiyahudi ktk kukata maneno n.k
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Жыл бұрын
@@adammmanga1664 MAHIZBIY ALLAAH AWAONGOZE HATA KUFAHAMU KWAO NI FINYU. ALLAAH ATUHIFADHI WALLAAH. JAWABU LIPO WAZI HAPO ILA USHABIKI TU NA VURUGU.
@adammmanga1664
@adammmanga1664 Жыл бұрын
@@SUNNAH0001 Amin
Madhara Ya Zinaa - Sheikh Jamaludin Osman
1:08:03
Malindi Youth Projects
Рет қаралды 67 М.
JE INAFAA KUJIITA SALAFI ? | SHEIKH SALIM BARAHIYAN
37:54
Sheikh Salim Barahiyan
Рет қаралды 18 М.
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 27 МЛН
Sheikh Hamza Mansoor - Wasia wa MTUME SAW
42:30
Mahaasin Tv Official Channel
Рет қаралды 125 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 115 М.
MAJIBU YENYE NGUVU KWA ABUU IDDI NA OTHMAN MAALLIM_MUHAMMAD N BACHOO
41:46
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 160 М.
HISTORIA YA SHEIKH KASSIM MAFUTA -ALLAH AMUHIFADHI
30:04
Elimu sahihi
Рет қаралды 65 М.
NIIPI SIKU YA ARAFA
8:16
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 14 М.
Ufafanuzi Mzuri Kuhusu Kuweka Tv Nyumbani || Sheikh Kasim Mafuta
6:15
Alhilaly Media Pro
Рет қаралды 11 М.
NASAHA KWA MASALAFI WALIOPO UNGUJA,ZANZIBAR
2:58
@Abuu Twalha
Рет қаралды 3,7 М.
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН