Zuchu ana mazarau af kisirani... note.show zote lazima akosane na mashabiki!!📌📌📌 afu chngn wasanii wa bongo wanaletag uchawa wa ccm kwny shows na watu hawapendi... watu wana maumivu yao unawavuruga👌👌 so zuchu amepata anachostaili 📌📌📌
@estherwanja5207Ай бұрын
😂😂😂😂😂hivyo ndio waking kama wewe unafikiria.sasa after walifanya hivyo what did they gain?mtu kama hataki kwenda akae nyumbani
@emmanuelmodest7457Ай бұрын
hiyo true
@contempo_buildersАй бұрын
@@estherwanja5207 Sasa wewe ndio mwehu. Si walimuonesha kuwa hawataki upuuzi. Kama unataka na wewe nenda kawaambie upimbi wako.
@estherwanja5207Ай бұрын
@@contempo_builders enda uhare bro.usiniletee makasiriko hapa😏
@NyawileAdrianАй бұрын
Nyie nae😏😏
@yhasintakalenyula970Ай бұрын
Kwa lazima waende huko!!!!Next time waende sehemu zingine,huko Mbeya wasiende,waende sehemu wanazokubalika kuliko kuhatarisha maisha yao.
@Minjum-j5mАй бұрын
Kbsa
@himidiwekabuje8402Ай бұрын
Shida ni uchanganya siasa na burudani tusipepese macho watu mule wanaingia wenye itikad tofauti
@estherwanja5207Ай бұрын
Hapo siasa ilikuwa wapi?kama hutaki kuudhuria kaa nyumbani
@controlTheoryChampsАй бұрын
Kweli kabisa, ila wanajisahaulisha
@JaphetJairosАй бұрын
Kafukuzwa uyu semen ukwel tu mtoto anapenda siasa sana
@stanastana3199Ай бұрын
Anaenda kuimba mara,mama mitano tena,kama ni kuimba imba,watu wamevurugwa bana
@salehkhamis-ob8lnАй бұрын
Hajaimba ivo mshaanza kueka siasa mbele mnamuona Mzanzibar mnaanza kumuhujumu
@estherwanja5207Ай бұрын
Leta video tuone
@stanastana3199Ай бұрын
@@salehkhamis-ob8ln hakuna cha uzanzibar,tuimbe mziki tuwache siasa
@KeyjopАй бұрын
@@salehkhamis-ob8ln akili zako Bado zipo nyuma saana
@NaimaSaid-r6cАй бұрын
Mbona Shabiki walikuwa wanataja P Diddy hamzungumzii ilo au clip nyie hamjaisikia voice
@bwari01Ай бұрын
Ya PDiddy yanatuhusu nini tuyazungumzie? Wacha walioko Marekani wamzungumzie Jambazi Diddy
@minicooper9642Ай бұрын
Walikua wanasema wabamtaka mke wa P.Diddy au hujasikia
@JeannetteManirambona-o6mАй бұрын
😂😂😂
@QqambaaАй бұрын
Wow! Oyole iko kanairo pia🥰
@LolandmwantonaАй бұрын
Mbeya Kuna uyole+255, oyole+ 254
@edwardleonard5793Ай бұрын
Kwa tabia hizi za wasanii za kujichanganya kwenye siasa tutarajie matukio kama haya mengi na kwq wasanii wengi zaidi.
@Michealfarah-n1wАй бұрын
Mwamba aongee tu ukweli awache kuhepesha vitu!.
@mwalitv4555Ай бұрын
Sio nature ya mashabiki...kwa show ya bure ni lazima vijana wa Hovyo walete upuuzi....wekeni kiingilio muone kama Kuna wajinga watakuja ..
@johnraphaelbocco2260Ай бұрын
Lione Ili Jinga We Alokwambia Wasafi Festival Wanaingia Bure Nanii, Uliza Ujue Sababu Kwa Walokuwepo Sio Unaropokwaa Tu
@marlonstudios4408Ай бұрын
@@johnraphaelbocco2260kiingilio ilikua bei gani?
@umojamedia4167Ай бұрын
Wasafi ni 10000@@marlonstudios4408
@fatmaallyabdul1732Ай бұрын
@@johnraphaelbocco2260ulikuwepo?? Na tueleze kiingilio ilikuwa sh.ngapi
@esthermatisho2604Ай бұрын
Ni ushabiki ulio pitiliza,na pombe za kienyeji hizo 😂😂 pole love ❤️ Zuchu.
@zatchardzknestorАй бұрын
Donat Esco anabowa akiwa kwenye Mick " mihaya sana "
@AminaMkopi-z2mАй бұрын
Si kweli nafikiri humfahamu Zuchu. Vizuri amekudharau Nini mtu fresh sana. Acha chuki
@christopherrwehumbiza3894Ай бұрын
Mm mwenyewe nilikuwepo pale airport ya zamani sema nn ni vile show ilikuwa bure so watu wa tofauti walikuwa wengi sana kuna muda fulani show ilikosa muvuto kwasababu ya vurugu za mashabiki.
@MustaphaManoleАй бұрын
Sanaa na siasa ni tofaut angetaka kupiga kampeni angetenga pesa zake cio za watu wanalipa unaleta kampeni zako mitano ndonn sasa
@ArnaudAkanakimana-cr4sqАй бұрын
Wabongo amnahupendo ujingatu ivi kwanfano mgemtofoa jicho mgefahidika nini namnashindwaje kuwapenda wasaniwenu leo africa mashariki akunamsani wakike mwenye bidi kama zuchu kwasasa yeye nde anaskika kuweninakili wapende wasaniwenu wabongo mziki mnahujuwa tatizo mnakosa upendo nikwanini mnaweka ahibu
@nakalikyumile3234Ай бұрын
Kwahio wasanii kuacha kutoa burudani na kuanza kumsifu mama yao ni sawa?watu walipe viingilio halafu we uanze kuleta ujinga watu wakuache?acha tuitwe mbeya wakorofi,na hatutaacha huu ukorofi
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5xАй бұрын
Le respect et la politesse n'est sont pas des maladies essayons de respecter nos stars 🇨🇩💥💥
@QueenRd-r6rАй бұрын
Me nashauli in stage mbel Apo tengenezen wavu itakayo ziba ata ukilusha kitu hakifiki
@rithaurassaАй бұрын
Mpaka ayakubali kuwa kwenyemstari wamaadili mema na Bado kutumbuiza ukiwa uchi siiishu.
@LolandmwantonaАй бұрын
Mr blue anapendwa sanaa mbeya kwasababu anaeshima, mr blue ni mtu wa watu
@yasrimambo439Ай бұрын
Kama hamuwezi kuchambua mambo musitumalizie mb zetu
@chinemaentertainment1110Ай бұрын
Huyo kenge ndio anajifananisha na king kiba kwenye stage
@zachariamwita3926Ай бұрын
Akiendelea na huo ujinga wake Atakosa vyote aache umagharibi Mwingi tu🤣
@mpeligwamoyo4254Ай бұрын
Waache kuingiza siasa kwenye maisha ya watu,mitano tena.kama mnaongea tofauti na ukweli njooni Tena mseme mitano tena.muwe wakweli
@MO12-b1qАй бұрын
Kaka hilo sio kweli ET Zuchu aliamua kuchuka mwenyewa mimi nilisikia Toka mala p Didy
@joycemuhoja4729Ай бұрын
Si muache kwenda iyo Festival Kwan lazima
@mwanahkombo9496Ай бұрын
Ni kweli vyote vilitoka upande mmoja😮
@ashaally6993Ай бұрын
Like....like....like ...nyingi mno
@nurumwakisu3335Ай бұрын
Nimeona had Mr blue kopo likimpiga kile kpara
@FreedomKasonsoАй бұрын
Yan mbeya nawakubari kinomaa..!
@Floribert5Ай бұрын
Tunawakubali lakini leo mumekosea kweli zuchu alirushiwa kwa sababu alionesha washabiki kidole cha kati kwa msani kuonyesha zarau kwa ma boss wako lazima ukosolewe kwa hiyo kama hana adabu watamkataa na kumwa unfollow kabisa
@aminamchoya-yk4iuАй бұрын
alionesha dole la kati kwa sababu kuna shabiki alianza kurusha vitu kabla ajasimamisha show
@nurumwakisu3335Ай бұрын
Hawa ndo wamechambua ukwel mi show nimeangalia
@KarisBayaАй бұрын
Watu walikuwa wanamtaka mke wa P.diddy jukwani
@kevo_da_cleverАй бұрын
Sioni kama kuweka kiingilio itazuia hivi vitu......sisi tumeingia kwny show ya Rema na kiingilio kilikua kama 50,000 yenu
@omarymaulidy6302Ай бұрын
Zuchu na hicho kidole Cha kati alivyotuonyesha je ni sawa???
@speciosermusika2009Ай бұрын
Msemaji wa WASAFI hubu ongea kiutu uzima kwa kukemea hiyo tabia na ikomeshwe hata serikali iingilie Kati!Na siyo kusema eti hiyo ndiyo Labda vibe ya watu wa Mbeya kutupa vitu au mawe na jee wakimuumiza mwimbaji faida yake ni nini?. Akikamatwa mtu mmoja tu na kushikishwa adabu au kutumi Kia kifungo hakuna mtu mwingine ataendeleea na hiyo tabia ya kishenzi isiyofaa kuigwa na mtu awaye yeyoye.Na kama unaona humpendi mwimbaji Kwanini uende kwenye shoo yake na kuharibia watu wengine?Hata nyie watangazaji jitahidini kupaza sauti kwa kuandika Habari inayo eleweka ili serikali iweze kuli Fanyia Kazi suala hili na siyo kufumbia mambo kama hakuna kilicho tokea.
@nakalikyumile3234Ай бұрын
Msije mbeya basi,maana vurugu ni asili yetu,hasa mtu akizingua si ndo tunazingua mazima
@geoufo2858Ай бұрын
Inabid wawaekee kiingilio kikubwa tu Bora waingie wachache
@pena_tzАй бұрын
hawawezi kuweka kiingilio sababu lengo halisi sio shoow...
@bahopamontana6381Ай бұрын
20:15 that's point sasa na ndo jibu ilo acha waongee, acha wamtetee zuchu, acha waseme kisa bule lkn jibu ndo hilo atupendi siasaaa zakijinga
@AbubakariMfinangaАй бұрын
Uyo jamaa hana uadilif iv kwa nn ajazungumzia zuch kuwatukana mashabik
@happynesssamwel4249Ай бұрын
Siku ingine naombea wamtoe jicho😂😂😂😂
@NdituTVАй бұрын
Hawa jamaa kumbe ni watu tofauti, Huwa najua ni mtu mmoja. Aisee wanafanana sana
@humbleshoalАй бұрын
Wanafanya sauti au?
@barakaekuroАй бұрын
Jamaa alafu unajiita TV na ujui Kama ni watu tofauti
@barakaekuroАй бұрын
😂😂
@sofitanzanian955Ай бұрын
Watumishi washetani waacheni wapingwe
@emmanuelmodest7457Ай бұрын
HUYO ALIYERUSHA VITU KWA STEGI ALIKUJA KAVIBEBA NA GARI AU MBONA VINGI SANA
@happynesssamwel4249Ай бұрын
Mm nataman wangemtoa ata jicho kabisa😂😂😂😂kanajikuta sana nasura yake mbovu kamesaidiwa maisha na simba lasivyo kangejuta sana naiyo sura
@ajiratanzaniaonlineАй бұрын
Sema vimedia vyetu vimekua vya hovyo sana aiseee! Imagine wanaongea vitu baadhi ili tu kutoonyesha picha halisi ya pale, Imagine creez sijui anaanza eti mwanaharakati Fatma aliongelea hilo wakati wanaharakati wengi sana sana walifurahishwa na alichofanyiwa yule mtoto na sababu ni msanii kuongelea mambo ya siasa ikiwa ni pamoja na Samia mitano tena hili hakuna kabisaaa
@saumuabdallah198Ай бұрын
Zuchu alifany makosa mawili... kwnz kabisa alisema "mama mi5 tn! pili akaonyesha dole la kati kwa mashabik kisa kuna mtu mmoja alimrushia chupa📌📌📌 na chngn alishawaita watu wa mbea ni wakorofi na alichojichangany kabisaaaa ni kususa show na kuanza kujibizana nao😅😅😅 kisirani mazarau na uchawa wake wa siasa ndo vilomponza zuchu😂😂😂😂
@sulleymernmannarah7930Ай бұрын
Mbn hawakumrushia Mondi na hua anasifia serikali
@estherwanja5207Ай бұрын
Alisema wapi leta video
@cecilegershom4585Ай бұрын
Esco ni mwoga ,, ameanza uoga lini , kuwa mkweli bro , au unaogopa mke wa pdd
@salehkhamis-ob8lnАй бұрын
Shida kubwa Mashabik sahivi wanachanganya Siasa na burudani ndio matatizo yote haya
@pendongowi3508Ай бұрын
Usiseme mashabiki, sema na wanamuziki wanachanganya
@EmmanuelChrispin-bo5xhАй бұрын
Tunataka sababu wenyewe sio washamba achakuchengesha boss
@IssaMgeta-ej6ueАй бұрын
Siasa na Mziki, pia zuchu anayo dharau Sana Akiwa jukeaani, uboya uo
@robertmasu2311Ай бұрын
Kuna watu mmekazana siasa utafikir mliangalia show akuna mahali zuchu aliongea siasa pale
@OscarWaheriАй бұрын
Hakuna mtu wa HIP HOP anazinguliwa MBEYA au ARUSHA this people are conscious in nature and likes HIP HOP MR. BLUE anajua angewaambia
@sulleymernmannarah7930Ай бұрын
Sio kwmb wacontrol vibe zao hapana n washamba tuh period!
@MdNasr-jm8pjАй бұрын
Ubinafsi tuu walio nao mbona jamaa zao hawafanyii ivyo
@bintmrisho3526Ай бұрын
Kuna mtangazaji hapo anaongea kwa malingo sana like like like nyingi azipunguze zinakata swaga nyingi sana like like like punguza broo
@musiccaentertainment100k8Ай бұрын
Reason ni p Diddy 😅😅 walitakq mke p Diddy sio zuchu
@lelarubea6405Ай бұрын
Matamasha yote yasiende tena Mbeya wanatakiwa watu wa huko wawe wastaarabu
@adammjomba5814Ай бұрын
Tatizo la wa Tz ni wakorofi inabidi wanaofanyahivyo watiwe nguvuni na kesi zimimamiwe vizuri mpaka haki itendeke ikiwa ni pamoja na kupigwa faini kubwa pamoja na kutumikia ndio wataacha kurusha vitu vya hatari lazima wa hukumiwe kwenda kutumikia na faini kubwa kabisa. Wataacha tu.
@mwalitv4555Ай бұрын
Waingia bure lazima warushe makopo maana Ili ukae mbele kule na kuleta vurugu lazima uwe uketumia bangi na pombe....kwa shows za viingilio Bado mbeya ni sehem sahihi kwa Promoters
@beatricesaitoti6125Ай бұрын
Sauti znasema tunamtaka p didy then watu wanasema shukaa, issue hapo ni mond kufyekwa na didy
@beyondintrusion1663Ай бұрын
Talk of the town mkiambiwa wanaume wa Tanzania hamna akili hamsikii kenya watu wanaiba simu za maana nyinyi mnamrushia tena mwanamke mawe ndo maana hamuendelei kimaisha
@RoseNjaliАй бұрын
Hapo Giant man ndo alikuwa anaongea vitu vineleweka the rest ni kama wanawasafisha tu wasafi, kweli homeboy wa mbeya wewe huelewi kwamba habari za ccm mbeya ni hatuzitaki 😂😂 kinasema mitano tena wakati hii mitatu tu watu ishatuvuruga, acheni kupindisha maneno
@lelarubea6405Ай бұрын
Kuepusha shari wasafi wasiende tena kupeleka burudani Mbeya
@SaraJinalanguАй бұрын
Na hata hawafi hao watu wa Mbeya Wao washazoea wa Akina Bony Mwaitege
@frosiekibasila2926Ай бұрын
😂😂😂
@Thisisgrace979Ай бұрын
@@SaraJinalangu😂😂😂
@GersahАй бұрын
@SarJinalangu 😂😂😂
@geofreyj.1986Ай бұрын
Clip ndefu halafu haielezei mlichokiandika Kula dole
@samuelpolepoleruhegeza8139Ай бұрын
Upumbafu wa watu wa mbeya Njomana ujinga na maendeleo inawashinda.
@KarisBayaАй бұрын
Diamond platinumz ni mke P.diddy ,muwe munanyoosha maelezo
@JosephMilinga-nl4zhАй бұрын
Sawa tukubaliane na wewe aya wewe unafaidika na nini?
@NasraAlmasy-v2xАй бұрын
Ulikuwepo acha kumuhukumu mtu bila kua na ushahidi acha kua na akili za hovyo devolish mind.
@kaJEMBEvipАй бұрын
Top 3 ya watangazaji wng wee ukosi bro
@KarisBayaАй бұрын
Sasa ndio amuoneshe kidole cha ushoga tena
@alextarimo4972Ай бұрын
Shida hamna security protocol ndio maana.
@DeeJuma-dj1tbАй бұрын
Hhhahaa 😀 kabisa
@rehemathoya8754Ай бұрын
ISRAEL UPDATE PLS!
@kagoyemwambal9061Ай бұрын
Tabia mbaya na ushambaa unasumbua..mambo ya kizaman
@nakalikyumile3234Ай бұрын
Ukitaka upotee basi shindana na mashabiki,msiwaonee mashabiki hata wasanii wako baadhi wapuuzi,kuna muda pale uwanja wa sokoine kwenye show ya tigo,afande sele alipanda jukwaani akiwa amelewa,matokeo yake akashindwa kuimba,vurugu hiyo sasa nadhani hawezi sahau,vitu kama hivi lazima wasanii wajielewe,waache ujinga
@KhadijaMasoud-d2zАй бұрын
Mbea mwenyewe Wa mitego
@merinakassembe118Ай бұрын
Alionyesha dole laKati
@SifaEmmaАй бұрын
Uchawi unatawala kwenye Sanaa Tanzania... Harmonize Mzee Popo kapewa kibali na CCM kuharibu kazi za Diamond kwenye youtube na uchawi...AibuTz😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😮
@AllyBabu-kr6lgАй бұрын
😅😅
@frosiekibasila2926Ай бұрын
Doh😅
@KhadijaMasoud-d2zАй бұрын
CCM Diamond anawaumiza nn hta wamtume konde amchafuwe kwani lazima uongee hapo ni mbea n'a zuchi konde n'a CCM imehusika nn hapo
@HusnaMuhammed-yx8nlАй бұрын
Zuchu pole
@EmmanuelChrispin-bo5xhАй бұрын
Mgewekaa kinyesi kama korea ndio angekomaa awataki honey
@AllyBabu-kr6lgАй бұрын
Uo mzura au taka taka mke wa pididi 😅😅
@estherwanja5207Ай бұрын
Kama babako na mamako😂😂😂😂😂
@AllyBabu-kr6lgАй бұрын
@@estherwanja5207 nasikia ulimfira mama ako
@nuruworldinsight2957Ай бұрын
Ushauri wa bure kwa wasanii wote... Hii mikoa ya ... MBEYA ARUSHA MARA Ipo mbali sana KIMTAZAMO... They are far hard knocks... They are like they don't care with this life ... Hivyo mnapofanya matamasha yenu huko halafu mkajihusisha na mambo ya SIASA ni HATARI sana YAANI !!!
@zanzibarboyzanzibar509Ай бұрын
Sauti zilizokua zikisikika Tunamtaka mke wa Diddy nafikiria hapo ndo Chanzo cha yote
@AllyBabu-kr6lgАй бұрын
Ila alikiba kasema yeye mambo ya mafuta mkamuulize alie alienda kwa pdd😅😅
@estherwanja5207Ай бұрын
Na yeye tunajua yake😂😂😂😂
@jackiefredrick586Ай бұрын
Kasahau yake ya kwenda Mombasa kwa Joh 😂😂😂
@estherwanja5207Ай бұрын
@@jackiefredrick586 😂😂😂Mimi sijataja mtu😂😂😂😂
@MdYeasin-xx1gmАй бұрын
seemu pekee msafara mgombea wa uraisi Jina naweka kapuni ulipigwa mawe ni mbeya Kuna mizuka sana
@TumainWiliamАй бұрын
Kaka walete wachokonoz bas
@Floribert5Ай бұрын
Kumbuka US alijifanya Rhanna akazarau ma promote alafu alikuta stage empty 😂😂😂😂aache kuvimba bwana 😂😂😂😂
@estherwanja5207Ай бұрын
Ungetumia hii.nguvu kwa maisha yako utakuwa tajiri😂😂😂😂😂
@LisoClassic9510Ай бұрын
Laana ya P diddy😂😂
@AllyBabu-kr6lgАй бұрын
Kumbe mondi choko analiwa 😅😅
@svt3Ай бұрын
Kaliwa na baba yako, ubaya uko wapi
@AllyBabu-kr6lgАй бұрын
@@svt3 ukweli unauma sana 😂 😂 jeshiiiiiiiiiii mbombo claaaaaaa
@svt3Ай бұрын
@@AllyBabu-kr6lg yaani una comments na unajichekesha sign of stupidity when non one make you laugh, ukweli gani unafahamu do you have evidence?
Chochote ya Bure lazima kuwe na wahuni, walevi, wavuta bangi dawa ya kulevya hiyo ndio sababu
@Mariam-fm8vqАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kama namuona maskini
@sarahmcharo1548Ай бұрын
yan angemmark mapema saaan angetuma askari akamatwe iwe fundisho kwa wenginee,,askari pia ingefaa wawepo juu y stejii
@popiya2368Ай бұрын
😢😢😢😢😢
@ImaniMsafiАй бұрын
Mbeyawashamba
@paulonjozi1638Ай бұрын
Sisihasa atujue maana yasihasa
@mr.viongeАй бұрын
Alisema mitano tena 😂😂😂😂 walikuwa wanaimba p diddy
@salehkhamis-ob8lnАй бұрын
Wabongo mshaanza kueka siasa mbele mnamuona mzanzibar mnaanza kumuhujumu. Msichenganye siasa na burudani. Matokeo yake ndio haya
@MustaphaManoleАй бұрын
Ata uko zanzibar hujuma ndo zmezaliwa uko wabongo wanatengwa akifanikiwa kupata Kaz selikalini akahamishiwa znzbr watu wote wanakimbia office wanakufanyia majungu mpk uhamishwe imagine mtu wa bara awez kumilik ardh znzbr lkn wao wanaweza kumilik ardh uku kwetu muungano gn huu.
@MustaphaManoleАй бұрын
Cjaadithiwa nmeona kwa macho yangu nmekaa miaka 6 uko
@RoseNjaliАй бұрын
Huyo zuchu yeye alitumwa aseme mitano tena😂😂
@mrsinia3064Ай бұрын
Tatizo nyimbo za wasafi zimejaa matusi kwa Asilimia kubwa nafikir ndio maana huwa wanashambuliwa mbona kina konde na king kiba sijawahi kuona? waache hizo bana 🙄