Uleaji wa Vifaranga wa Kienyeji kwa Kutumia Kuku Mzazi

  Рет қаралды 25,694

Changamkia Fursa

Changamkia Fursa

Күн бұрын

Uleaji wa Vifaranga wa Kuku wa Kienyeji kwa Kutumia Kuku Mzazi .
Njia hii ikitumika kikamilifu, Vifaranga watakuwa bila kupata vifo.
Ili uweze kulea vifaranga wa kuku wa kienyeji bila kupata vifo, unapswa kuzingatia mambo yafatayo:-
1. Wape maji kwa dakika 30 kabla ya kuwapa chakula
2. Wajengee banda la kuwalelea
3. Wape chakula cha vifaranga, chakula chenye virutubisho vyote
4. wape antibiotics na vitamin
5. Wape chanjo kwa wakati
USIBONYEZE: bit.ly/2OvSiRm

Пікірлер: 33
@falialaelende
@falialaelende Жыл бұрын
Naomba kujiunga kwenye darasa jipya la mwaka huu 2023
@jeraldboman3053
@jeraldboman3053 3 жыл бұрын
Nimekuelewa mtalamu
@user-sy6jr8oz5m
@user-sy6jr8oz5m 7 ай бұрын
Je naweza kutumia kuku kulea vifaranga wa kienyeji walio totolewa kwa machine ?
@AkidaJumanne
@AkidaJumanne 5 ай бұрын
Grukosi na vitamin ni vya kuku Kwa maduka ya kuku au?
@mu-crzymahez9229
@mu-crzymahez9229 3 жыл бұрын
nzur
@sikujuwabackari3554
@sikujuwabackari3554 Жыл бұрын
Ndani ya hili Banda akuna panya ? na kama wapo si wanazulu vifaranga
@westontirane5944
@westontirane5944 3 жыл бұрын
Habari naomba kujiunga na kwenye group kama mayo au napata naomba ya simu ningependa kununua vifaranga vya kuku wa kienyeji
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Karibu sana, namba ni 0656528455
@ismailwaziry9946
@ismailwaziry9946 3 жыл бұрын
Huyo mama yao yeye anakula nini hapo? Mbona sioni chakula chake, sijaelewa hapo mtaalam
@abelraphael9746
@abelraphael9746 2 жыл бұрын
Kaka yaani umenielimisha mpaka nimehisi nimepata mkombozi
@ekelinangoma5246
@ekelinangoma5246 3 жыл бұрын
Ppl
@eliadimsaki9754
@eliadimsaki9754 3 жыл бұрын
Hii chanjo unachanganya kwenye maji.?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Hapana, ni ya matone kuweka kwenye jicho
@ibrahimdawson8493
@ibrahimdawson8493 3 жыл бұрын
Hiyo chanjo ya tatu moja inapatkana wap?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Imeshasambaa mikoa mingi Tanzania 🇹🇿
@hassanmohd2539
@hassanmohd2539 3 жыл бұрын
Io tatu moja mm naona bado nyepesi Sana kwenye kukinga na ndui
@rosepaul7901
@rosepaul7901 2 жыл бұрын
Na haina matokeo mazuri iyo tatu moja, mie nilichanja kwa mara ya pili ikaua kuku zangu wkt mara ya kwanza hawakupata madhara
@sameersaid5058
@sameersaid5058 3 жыл бұрын
👍👍👍
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Pamoha
@bensonmbwagha3021
@bensonmbwagha3021 3 жыл бұрын
Samahan_Kwahiyo mama Yao anatolewa baada ya Muda ganiii???
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Wiki 4
@bensonmbwagha3021
@bensonmbwagha3021 3 жыл бұрын
@@changamkiafursa kwahiyo baada ya wiki ya 4 akishatolewa watakuwa hawana haja ya kuwekewa chanzo cha_joto tena???
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Ndio, ila angalia hali ya hewa ya siku husika
@annajoycejovin7992
@annajoycejovin7992 3 жыл бұрын
Mama yao unamuachanisha na vifaranga kwa mda gani
@samuelbarasa2249
@samuelbarasa2249 3 жыл бұрын
Nataka kujiunga nanyi nami niko kenya nipe mwelekeo tafadhali
@ramazanindege8722
@ramazanindege8722 3 жыл бұрын
Nina swali mwalim, chanjo TATU MOJA, inaweza ikasafiriswa hadi inchini DRC, kwa mfumo gani wa kuihifadhi ili ifike kwa Salama? Ninaomba maelekezo tafadhali, assante.
@falialaelende
@falialaelende Жыл бұрын
Unafuga kuku? Unakaa wapi apo Drc?
@rolfstahlmoses7462
@rolfstahlmoses7462 3 жыл бұрын
Mi mayai mengi yanaaribika na kuku wanakula sana mayai. Nifanyeje?
@rosepaul7901
@rosepaul7901 2 жыл бұрын
Choma midomo yao wataacha
@fatmamohamedy8136
@fatmamohamedy8136 3 жыл бұрын
Dah nimesha kosea nimeanza na chakula moja kwa moja sikuwaanzia na maji
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Haujakosea
@mr.ppatrick4245
@mr.ppatrick4245 3 жыл бұрын
Plz naitwa Patrick naitaji kujuwa ufugaji wa kuku plz number zangu ni 2149169281
Siku 21 za Uleaji wa Vifaranga wa Kienyeji
9:00
Changamkia Fursa
Рет қаралды 32 М.
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 20 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,7 МЛН
Makosa Yanayopelekea Vifaranga Wengi Kudumaa
19:08
Kuku Village
Рет қаралды 17 М.
IJUE CHANJO YA TATU MOJA
11:38
farmers centre
Рет қаралды 12 М.
CHEKESHA : UGOMVI WA MASANJA NA MPOKI KISA NAMBA ZA NYUMBA.
8:06
Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji - Muongozo kwa Wanaoanza Ufugaji
14:05
Changamkia Fursa
Рет қаралды 143 М.
Jinsi ya Kutunza Vifaranga vya Kuku wa Kienyeji
8:19
Changamkia Fursa
Рет қаралды 256 М.
KUKU WENYE THAMANI YA KUANZIA SHILINGI LAKI SABA
24:23
Kilimo Kwanza TV
Рет қаралды 52 М.
BANDA  BORA LA KUKU WA KIENYEJI .
11:50
Briheka TV
Рет қаралды 72 М.