Uyu para mwenye madevu hajui mpira yupo kiushabiki zaidi
@SiaHamad-pi8pc4 күн бұрын
Mm kiupande wangu nahsi Man United walikosa muunganiko na kocha tangia mwanzoni na kocha amekuja na mbinu zake kwaio hua inahitaji mda kwa team kuweza ku adapt so i think Man United watarudi na watakuja kua ni moto sana
@salimalesry4284 күн бұрын
Liva wanaenda kulala na viatu
@DaudFataki2 күн бұрын
Huyu ngoso hichikipindi hakinfai mpeleken masham sham daby skuzote inmaasiliyake kwan liver anamudamlefu yupo kwenyepafomas nzuli lakin alifungwa na everton
@eddieking67694 күн бұрын
Je unapoenda kufunga mpira umeupiga kwa mguu ukakugonga mkononi ukaingia golini inakuaje?