Amina mtumishi wa MUNGU,jana nilisoma wafilipi na nilipata mafunuo ya kufunga kwa kutumia neno hilo nililolipata hapo na nikaanza kufunga kavu kabla ya kupita hapa leo na kusikia somo hili nikiwa kwenye mfungo wangu,huu kwangu ni uthibitisho wa ROHO mtakatifu..barikiwa sana mchungaji
@user-vx5rb6rg1v Жыл бұрын
Amen 🙏 Asante pastor nimepata nguvu mpya 🙌🙌🙌
@user-lv5zk8ns9d10 ай бұрын
Haya mafundisho imekuza kiwango cha imani.asante pastor
@rosemaryowory5710 Жыл бұрын
Hakika ninabarikiwa sana tena zaidi nimepata sehemu yangu 🙏🙏🙏 ubarikiwe mtumushi wa Mungu
@user-vt4wj1fr2c2 ай бұрын
Pastor ninakuelewa mpaka najiona nimeshakuwa tajiri na mtu mwenye Nguvu sana katika mambo yote kwa jina la Yesu kristo.