Asante sana Pastor kwa mafundisho Mungu akubariki, tatumia nafasi i kutubu: nisamehe Mungu kwa kuto kuwa na moyo wa shukurani kwa watu walio tenda wema kwangu🧎♀️
@jentamwadime5910Ай бұрын
May God build a hedge for you servant. May God answer all your prayers let his blessings, favors follow u and your family, your ministry in Jesus name
@LucyPaul-e7v3 ай бұрын
Ahsante sana baba kwa mafundisho Yako yanayotuimarisha kiroho.Mwenyezi Mungu akubariki sana.🙏🙏
@petermwakalinga726515 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu akubariki sana! Somo limekuja kwa wakati! Umenigusa sana!
@BettyNanniesAgencies19 күн бұрын
Nashukru mungu Sana kwa sababu ya kunifunza paster
@essywanga62402 ай бұрын
Nashkuru Mungu kwa ajili yako mtumishi nimebarikiwa sana na mafundisho yako.Baraka tele kwako milele
@RoroRoserororo2 жыл бұрын
Asante kwakuni fundisha 🙏🏻🙏🏻
@shshygibb2236Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Ameeen TrueProphet truthfully ❤❤❤❤❤❤woow Asante Mungu Kwa kutupa MTU Wa Maans Dunia Kama wewe prophet pastor Geog ❤❤❤❤❤❤Be Blessed Kwa Ipana😊❤❤❤Amina!!!
@marundimahugija81683 ай бұрын
Hallelujah NIMEBARIKIWA na huu ujumbe leo tar.1.9.2024, Mom Lee.... shukran inakupatia. UHAI...Ibrahim,Isaka waliishi maisha marefu coz ya kumshukuru MUNGU
@LizzyMwambene-t9y3 ай бұрын
Asante baba kwa mafundisho mazuri naomba MUNGU aniumbie kinywa cha shukrani na kuniondolea manung'uniko kinywani mwangu
@lovenessmwamengo70902 жыл бұрын
Mchungaji Mungu akubariki sana, unatufundisha sana. Asante sana.
@lightnessjames59242 ай бұрын
Asante sn pastor kwa masomo mazr y mungu
@DamarisTwai12 күн бұрын
Amen nipe roho ya kushukuru
@mercynafula69055 ай бұрын
Amen 🙏 mtumishi wa mungu ubarikiwe sana kwa hili neno🙌
@annaadaestate-ir3jp3 ай бұрын
Asantesa sana MCUNGAJI kwa mafundisho. Yananipa kusonga mbele, kukua kiroho, na kukomaa ktk kila changamoto nyingi sana, Na nimepata mafanikio mengi kiroho na kimwili pia, Mungu akubariki sana MCHUNGAJI🙏🙏🙏🙏
@Beatricekanyifasisei-np6koАй бұрын
Paster bwana yesu asifiwe nashukuru kwa mafundisho yako paster nilifatilia hii mafuzo yako y shukurani nikanunua kwa church yangu simiti mifuko 6 to n iyo cmiti nimefugua jia zangu kabisa boss wangu aliniogeza mshahara n Sai pia natengenezea mum nyumba nashukuru sana kwa mafuzo n sitawacha kushukuru Mungu kila wakati
@princesprovide32 жыл бұрын
Ameeen na barikiwa kwa mafunzo na jina la YESU lipewe sifa milele
@MiriamIbobo3 ай бұрын
Ameen nimebarikiwa Sana na hili neno ,namtukuza Mungu katika vyote na yote tunayopitia
@VailethJimmy-v7u4 ай бұрын
Asante MUNGU kwa kutupatia mtumishi mwenye mafunzo mazuri na ya kushiba kila enao kwa ustawi wa wananadamu kuweza kuufikia ufalme wa MUNGU .
@mshumbusiprotase90952 жыл бұрын
Ubarikiwe na bwana mtumishi wa bwana wamajeshi 💒🙏🙏🙏
@TheodotaKadindaАй бұрын
Mtumishi wa MUNGU Huduma hii iko Wapi Hapa Tanzania kila ninapo jeruhiwa Na movu umekuwaMsaada sana kwang
@SelinaSulle3 ай бұрын
Paster nabarikiwa sana na mafundisho yako hasa neno la shukrani kwa kila jambo kwa ngu momi ni jipya maana sijawahi kushikiri kwa mabaya kwa hiyo kumbe natakiwa nitubu kwa hilo mungu anisamehe sana . Amina❤
@nancynasambu9973 ай бұрын
Asante mchungaji mungu akuzidishie baraka
@ConfusedCityMap-fy6ou3 ай бұрын
Amen mtumishi msg imefika kabisa
@AmbeleMwakihaba3 ай бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU
@MiriamIbobo3 ай бұрын
Najipatanisha na hyo sauti ya kurejeshwa kazini na kumkumbuka Mungu
@mankakiwelu6072 жыл бұрын
Jaman huyu baba🙏🙏🙏🙏
@LilanLilian-c4l3 ай бұрын
Ahsante baba kwa Siri hii kubwa iliyositirika Mungu akupe upako zaidi.
@mbuyagiseboga91652 ай бұрын
Ahsante sana bab kwa kutukumbusha
@marynkembo25473 ай бұрын
Asante Mutumishi kwakutufundisha Mambo Mazuri ya kumshukuru Mungu
@JacintaWanjiru-j2d5 ай бұрын
Waah. Asante nimekuwa na dhambi mingi yakutoshukuru kwa mabaya lakini leo nimepokea neno vizuri kushukuru kwa kila jambo liwe mbaya au zuri, Nashukuru Mungu kwa hilo neno kunifikia kwa maana sitabaki jinsi nilivyo. Amen
@LoyceKulwa4 ай бұрын
Mch. Asante sana kwa somo, umenibariki sana sana, masomo unayofundisha, yamenibariki mno imani inaongezeka
@salomejabarikalenga8863 ай бұрын
Unanibariki sana pastor. Mtu aliyekutendea mema usimlipe mabaya.
@NorahMbithe-i6m6 ай бұрын
Pastor ubarikiwe tu sana you changed my thoughts and life.I thank God.
@sarahstanslous3474 ай бұрын
Pastor namsgkuru sn Mungu kwa mahubiri yako Neema ya Mungu ikutunze Tunavuka sn
@evelynekabaka71402 жыл бұрын
Amen barikiwe sana sana.
@ephaskamwela25388 ай бұрын
Pastor mafundisho Yako yananifungua ,Mungu Akubariki sana !!
@finacouture88043 ай бұрын
Ubarikiwe baba mafundisho mazuri
@yvonnebora16274 ай бұрын
Asante baba mchungaji kwa ajili ya ili neno. Kweli iyi ni tatizo kubwa nilikuwa nayo. Kushindwa kushukuru
@nellykadenyi3 ай бұрын
nashukuru kwa uhai ulinzi umenipa
@dorothybanda52782 жыл бұрын
Amen mungu akubariki
@MaryMwihaki-if7ry7 ай бұрын
Amen mungu akuongeze ngufu ya kutusaidia sisi wana wake mungu wetu
@leahmahali89482 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi
@HyasintaMauki21 күн бұрын
Bwana akubari sana
@malandojames51517 ай бұрын
Kwa pasta huyu. Mungu yu pamoja naye. Anamafundisho yenye nguvu Sana. Nabarikiwa Sana naye.
@malisamgosi91792 жыл бұрын
Amen mtumish wa Mungu nimebarikiwa saan na mafundisho yako 🙏🙏🙏😇😇
@phyllisnanjlawafula4432 жыл бұрын
asantee kwa kunifundisha pst
@patrickjames65472 жыл бұрын
Amen mtumishi Asante sana kwa mafundisho yako hakika najifunza mengi kwako Amen
@gracembala4519 Жыл бұрын
@@patrickjames6547 m k 😅
@anaelisarakikya5 ай бұрын
Amina ubarikiwe somo zuri sana
@wazirimahenge14583 ай бұрын
Asant mch.kwa mafundisho mazuri
@PhilimoniElisha21 күн бұрын
Asante sana baba
@NancyJonas-h1j Жыл бұрын
Asante sana pastor kwa Neema MUNGU aliyokupatia..nitawezaje kupata mawasiliano ya Pastor jmn?
@wilsonkahuthu66044 ай бұрын
AMEN N AMEN 💟🙏 IN JESUS MIGHTY NAME 📛🙏.
@NancyKanana-nb4hy5 ай бұрын
Very powerful man of God
@evalynependo3824 Жыл бұрын
Amen and Amen 🙏
@Joycepetro10 ай бұрын
Mungu Nasema asante kwaajili ya huyu pasta maana kwa mafundisho yako nimebadilika
@NakanguMwoziEspéranceАй бұрын
Jambo baba nimegegwa tena kwa hili somo
@BettyNanniesAgencies19 күн бұрын
Amen amen paster
@JolleetNiaze3 ай бұрын
Amen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kaumbyacyprianbatamzi81433 ай бұрын
Amena❤
@AgnesNyaleso6 ай бұрын
Amen amen amen 🙏🙏🙏❤
@DavidTarimo-g8n5 ай бұрын
Amen mtumishi
@Pulchrafortis Жыл бұрын
Hallelujah ❤
@matheihaule-tw8yt Жыл бұрын
Pastor naomba nambar yako unanifariji sana
@officialmjerumani802313 күн бұрын
🙏🙏🙏
@fulgencenayingo8919 Жыл бұрын
AMEEEEEN
@ChristineWafula-tm2mp3 ай бұрын
Amen
@GuFg-d1y9 ай бұрын
Amen🎉🎉
@BerthaPhilipoShigi-pg4kv4 ай бұрын
Pastor umeniponya kupitia sim sijui wewe unafundishwa nani jamani mbona mimj siwezi
@leahwairimu33124 ай бұрын
Asante pastor nipe no.yako ya simu tafathari.
@Zainab-sw6lg2 ай бұрын
Paster kwani naijeria nini inatafutwa nawachungaji sikwaubaya lakini mm sijui naomba unijulishe
@doveadventure11 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe nabarikiwa sana na neno lako pastor naweza vipi kupata namba yako ya simu?
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Ameen
@tinakatana45134 ай бұрын
🙏🙏🫢🫢🥰
@rosahilario17 Жыл бұрын
Asante sana Pastor kwa mafundisho Mungu akubariki, natumia nafasi i kutubu: nisamehe Mungu kwa kuto kuwa na moyo wa shukurani kwa watu walio tenda wema kwangu🧎♀️
@wazirimahenge14583 ай бұрын
Asante mtumishi kwa mafundisho mazuri , naomba Mungu anisaidie kuwashukuru walionisaidia