Follow Us On: INSTAGRAM: / miladu_tv FACEBOOK: / babdeo miladu/ TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan... KZbin: / @babdeomiladu
Пікірлер: 16
@omargargaar5611 Жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah amuhifadhi Raisi Mwinnyi alinde kwa Shari ❤❤❤❤
@sakinasakku8340 Жыл бұрын
MAASHAA ALLAH MAASHAA ALLAH
@abdulhida8291 Жыл бұрын
Jazzak Allah kheri
@fatmamohammad623 Жыл бұрын
Swadakta ustadh
@ALINDURA-yi2zo Жыл бұрын
Mashallah Sheikh Wngu Izdin direct from Amu Kisiwani mashallah Allah atuzidishie Mahabba wal Ukhuwah inshaallah, Sheikh huyo wa Mwisho alotia Taaliki amefafanua Vzuri mashallah, Mungu awape Ufahamu Viongozi Wetu inshaallah ❤.
@maryamhamdan5353 Жыл бұрын
huyu Rais anasemwa sana kwa ubaya lakin anayoyafanya ktk Dini sijawah kuyaona mm, Allah aijaalie iwe asbab yakukuingiza kwenye kheri zaid na ufe akiwa amekuridhia insha-Allah
@AIFOSMUGOTV Жыл бұрын
twataman angekuwa rais wetu wa Kenya
@user-ff4zb2qn1l Жыл бұрын
Sheikh wetu Rais wetu mwinyi Allah akupe wepesi katika mambo Yako hakika umeweka historia siku hii kuifanya kuwa yamapunziko rasmi kitaifa Zanzibar hakika umeweka historia kubwa cha muhimu iwekeeni Sheria madhubuti hata ajae asije itenguwa hii siku kitaifa
@chimilasaid447 Жыл бұрын
🇸🇦niko n furahaa Sana Allah awezeshe iwe dunia Zima
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
MASHA ALLAH sh. Izidin alwy.
@mwatumsaidi5104 Жыл бұрын
MashaAllah 😍 Allah aturejeshee zanzibar yetu
@user-pr7ht3zi1o Жыл бұрын
💯
@user-ff4zb2qn1l Жыл бұрын
Lakini laziada basi Kila ofisi mashureni basi pawepo na karenda mbili hii tulioizoweya na karenda ya kisilaam ziwekwe pamoja insha Allah
@hamzajabirhamza530 Жыл бұрын
MashaAllah Allah awajaze kheri wote waliotowa firkra hii ya kuaximisha mwaka wa kislamu, ila Allah amjaze rehi zaid Mh. Dk. Raisi wetu Kwa kulikubali ombi hili na kuifanya hii siku iwe apumziko kwa waislam wa Zanzibar.
@dinakipingo1905 Жыл бұрын
Masha Allah
@sarahmuhammed6872 Жыл бұрын
Hiyo zaka unayoongelea wewe ni zaka gani?nixakatul fitr su nzaka ipi?