Safi kabisaaa, Am not Muslim but much respect to that speech, I admire Muslim preachings quite a lot, very calm, knowledgeable, smooth and very genuine wallahi. I also like when they call Mtume Salalaha Wa Salala. Well presented bro!!
@ummuwawili Жыл бұрын
Mashaa Allah welcome true religion
@somosomo48609 ай бұрын
Join Muslim and let be one as muslim there is much more that u will be admire meyb. if u believe and have faith.wlcm bro
@Ress114 Жыл бұрын
Asante Shekhe . Lunga Lunga na Namanga balaa ndugu. Asante Sana
@halimaomari3415 Жыл бұрын
Mashaa Allah sheikh izudin mola akuongoze kwa kila njia yenye kheir na manufaa
@ismailburhan8622 Жыл бұрын
MASHALLAH ujumbe mzito na mzr tumefaidika alhamdulillah
@allyhassan7169 Жыл бұрын
Mashaallah ujumbe umefika speech yako shekh ni nzuri mno maneno mazuri yaliojaa hekma ndani yake hata kionqozi wa siasa ni nqumu kuonqea hayo
@Samsungjprime-ww9ve Жыл бұрын
Mashaallah shukran Ahsante kwa mara mzr na yenye mafunzo mzr na muhimu sana
@mpondamedia2416 Жыл бұрын
Jazaaka llahu khayra umepita vizuri sana
@Abdulrahman.84 Жыл бұрын
Shukran wajazaka allahu kheir Sayyid
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAHU BAARIK
@irakozesoulayman30489 ай бұрын
Respect Mwalim Wang Izudin
@LatifaMwandu Жыл бұрын
Wallah mimi izuddin nimsikilize stress zisitoke...yan najihis nimeingia pepon haswa.nakupenda kwa ajili ya allah
@omarjumaan3061 Жыл бұрын
What's good in your speech is that you are straight forward.
Allah ajaalie uislamu ukue kwa kishindo inshallah kwa uwezo wake jalali
@bigmanfish6346Ай бұрын
Vp fatma
@rahmahasan325 ай бұрын
Masha Allah tabarak Allah
@aaliyahniqab7876 Жыл бұрын
Ma Sha Allah majaliwa this should happen in Kenya tu.
@bigmanfish6346Ай бұрын
Vp aaliya
@sihamjamal2234 Жыл бұрын
MASHA ALLAH 💖💖💖
@rayaalhabsi1725 Жыл бұрын
Kweli kabisa maneno yako sheikh Allah akuhifadhi yaarab
@philetundo Жыл бұрын
Good message from Kenya Samia should take knot please mnatutesa!
@hassanabdalla9688 Жыл бұрын
Mashaallah,waridhi wa mitume.
@aminajuma12155 ай бұрын
Mashallah
@abdallahferouz9238 Жыл бұрын
Maa shaa Allah
@hundredcopies2719 Жыл бұрын
Ameongea vzur sana... Allah akulipe
@infinixoman-nd7nh Жыл бұрын
Mashaallah
@moyogems Жыл бұрын
Maneno yako shekhe yapo saaana na yanaangamiza taifa siasa ya tz ni zaid ni muombe rais wangu afanyie kazi maneno manzuri hayo ili taifa hili liwe salama zaid mungu akubariki
@eastafricahealth81687 ай бұрын
Thank you, shekh izudin TZ boarders ni shida sana kwa wakenya border zote ina shida
@hajikhamis6544 Жыл бұрын
Asant shekh
@shakiramoha9682 Жыл бұрын
Kweli
@mosesgatsinzi7308 Жыл бұрын
Be blessed Sheikh 🙌
@jedidahbintidaudi82415 ай бұрын
Mama Samia binti Suluhu wake Hassan atatutatulia hili swala la kwenye mipaka..Mungu akupe kheri mama
@yusuf131000 Жыл бұрын
ukweli
@abeidkhamis6130 Жыл бұрын
Ni kweli yaani ujinga wa wa Afrika kuhusu kishikilia mipaka ya tulio wekewa na wazungu sijui ni maradhi gani yalotushika
@osmaniidrisa6290 Жыл бұрын
Shekh la dunia
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
💯
@bigmanfish6346Ай бұрын
Fardos vp
@saidkhamismasai1204 Жыл бұрын
Ni Swadakta boda yetu na majiran zetu ina ubinafsi sana .
@AhmedMohamed-um8ox Жыл бұрын
That' is true palipo na ukweli hasidi shetwani hakosekani👹👺
@martymcfly9232 Жыл бұрын
Na wapi huko?
@Aisha-lj8bu5 ай бұрын
Zanzibar
@IsmailJumaAli-wi1xh8 ай бұрын
Naomba namba ya Sheikh Izudin
@musaabdi3467 Жыл бұрын
Kabisa wametutesa mm kwanza kibinafsi
@marrowog8975 Жыл бұрын
Msichanganye haki na batili ..nayo ni aya pia jamani
@aishathabit3732 Жыл бұрын
Huyu ni سامِية Na sio سميا
@SaidHemed-d6d Жыл бұрын
Mh yani ww umetafuta wapi makosa mh haya tumeelewa
@adamnguvu1020 Жыл бұрын
Hata sisii tukijaga kwenu tunapata shida sana
@tintin0019 Жыл бұрын
Ndio kataja horohoro na lungalunga hakutaja horohoro tuu kuwa muelewa mzuri
@qariibnuhamad Жыл бұрын
Amesema pande zote mbili
@habibasalim3092 Жыл бұрын
Wewe huku watanzania wake kwa wake wamejaa wametuchukulia kazi zote za nyumba, sisi wenyewe hatuna magazine tena, wakishika pahali wanaletana wakiletana, kuna majumba hadi yamebandikwa majina yaitwa pale kwa watanzania, tena wake kwa waume wanafanya boss mmoja watanzania wake 2 au 3 na mume wa kufua na kufuta madirisha,,Waombaji zakka pia wamejaa, wametunyanyasa hadi sasa watu wameishilia Saudi sababu kazi papa Mombasa hamna tena
@ChristianKiponda-d7e5 ай бұрын
Hivi kweli hamkemei Ushoga na Wanawake wengi, Huenda kinyume cha maumbile kulinda Bikira zao, Zanzibar acheni kukwepa Ukweli Kemeeni hili jambo.
@mugambarazidjuma846 Жыл бұрын
Nasisi waburundi mpakani twanyanyaswa hata njiani askari wakijuwa tu wewe nimburundi basi utawekewa uzito
@AyuminchasiАй бұрын
Pale lunga lunga mm nilisadiwa na wakenya ila nilipata shida sana upande wa Tanzania watanzania punguzen ubinafsi na roho mbaya mtu una passport 🛂 na hatak uvuke kwenda kenya
@sarahmuhammed6872 Жыл бұрын
Sasa Sheikh Alwi laxima USALAMA uwepo laxima kuwe PAGUMU kwa usalama wa raia na wananchi wote kwa UJUMLA!madawA miraa rasili mali za nchi jusafirishwa bila vibali hizo border ni muhimu sanakuwe na ULINZI wahali ya juu
@yusufhulk3032 Жыл бұрын
Ukweli usemwe boda kuna ubaguzi na udhalilishaji especially kwa wakenya hao polisi wa Tanzania wamezidi
@makhanguwakhutu2408 Жыл бұрын
Na hapa kenya watanzania tumewachia soko yetu kubwa ya gikomba watanzania wako huru wala hatuwasumbui hata kidogo
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
😂MILADU USIJIFANYE KAMA HUJAONA NIQASHI SIULIKUA UNAMPOST ABUU HAATIMY RUSHA NIQAASH WATU WAONE
@khamismwalim5604 Жыл бұрын
Acha chuki zako apo hapazungumzw habar ya nikash
@ahz6907 Жыл бұрын
Nikash ndio nini?
@AsquinaseNkurunziza-p9e Жыл бұрын
Kabisz
@makhanguwakhutu2408 Жыл бұрын
Hii soko yote imechukuliwa na watanzania wala hatuna shida na wao mbona wao wanawasumbua sana wakenya
@noelnoel4916 Жыл бұрын
Na watanzania wetu wananyanyaswa pia
@eddyrandu3127 Жыл бұрын
Nani anawanyanyasa, weee
@vt-kn6qf Жыл бұрын
Wapi wanapo nyanyaswa
@aishathabit3732 Жыл бұрын
Kuna benki hapo mmedhaminia kutoa da,awa na taasisi zenye miamala haram?
@khamseysagrado7547 Жыл бұрын
Hiyo ni bank ya kiislam.......islamic banking acha ujuaji
@marrowog8975 Жыл бұрын
Uzalilishaji ni uo tu?? Tuache unafiki, kuna wanawake mumewaweka makambini uko na kupiga mapara, kuwapa kazi za kiume, kuwachanganya katika harakati ata za kuingiliana ...uo ndio uzalilishaji
@mafiatv5479 Жыл бұрын
ushauri wako
@qariibnuhamad Жыл бұрын
Amepewa muda mdogo
@marrowog8975 Жыл бұрын
@@mafiatv5479 hakuna komando mwanamke tanzania ... wanawake wasipewe kaz za kiume . Na wasichanganywe
@metrom8009 Жыл бұрын
Hiii east Africa parliament ya wabunge kutoka inchi zote za afrika ya mashariki wao uzungumza nini kwa hiyo bunge mbona hatujawahi onyeshwa Mambo wao uzungumzia ili pia sisi tujue maswala yanayo kumba wanainchi wa hizi nchi
@elsonkingtz4506 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@JumaMelele5 ай бұрын
Ukiona shekh yupo na wakubwa bc tia X
@mohammedkadary27468 ай бұрын
Pogezaneni kimpango wenu msiingize dini
@manjoriwakunesa70065 ай бұрын
Ukweli ukaja tanga shida
@yasiniselemani2412 Жыл бұрын
Mhm chonka bhojo
@twahiruabdul Жыл бұрын
Wabota
@AhmedMohamed-um8ox Жыл бұрын
🤬👹👺
@مبغضالبدع-ع9ص Жыл бұрын
Sisi kila kukicha hupita hapo boda, hata siku moja wakenya hatujanyanyaswa! Wallahi muongo sana mufti wa shibu!! Wewe ni fattaan!!! Ima huna vibali wataka upite tu ama unataka ufanywe kama rais wababaikiwa ukipita!!! Wewe unaleta fitna shkh kikoi
@mariamnur1036 Жыл бұрын
Subhanallah
@yusuf131000 Жыл бұрын
kuna unanyanyasaji
@ishaanizkeah8814 Жыл бұрын
Sasa ww ukitumia lughaa safi ungekoseka wapi kama humpendi nyamaza
@sammarley14135 ай бұрын
Sina sababu yoyote kukuonea aybu mpumbavu kama ww usie naheshima kwa Sheikh huyu labda tu nitumie nafasi hiyi kukueleza nimetembea zaidi yamataifa 13 ya africa nakungineko kwingi nje ya bara letu la africa Katika sehem zote nilizopita Askari police wa Tanzania wanaongoza kwa utovu wanidham nambaya zaidi wanaujinga usioficika unapo kutana nao iwe nimpakani ao ndani nchini kitu cakwanza utacokigundua wengi wao siwasomi maneno macace tu yakwanza anapoongea ni udhalilishaji na masimango Mulize mtu yeyote alieingia tz atakutajia hili. Solution nikubadilika tuwe vizuri natuace ukiritimba sote ni wa africa na mipaka tumewekewa namzungu sasa ajabu tumeikumbatia .