Faraja, naomba Huyu mtu mrudishe tena siku nyingine ukiwa na muda mzuri zaidi. Wananchi tunahitaji ili somo na aelezee mifuko yote. Faraja uko vizuri sana na hiki kipindi unakipatia sana kaka. Hongera.
@heradiussdereck22574 жыл бұрын
Asante sana..naomba pia ufafanuzi kwa mifuko iliyobaki 4
@ibrahimtwahirkilagwa6533 жыл бұрын
Still watching 27/ 04 / 2021
@filberthendry85194 жыл бұрын
Nilikwa naomba namba zenu za simu I'll nijifunze Zaid
@veronicalelo3325 жыл бұрын
Wow
@umulkhairseif81204 жыл бұрын
Tunaomba tupatie contact zao tuweze kufuatilia zaid huo uwekezaji please
@geofreymwanga17185 жыл бұрын
Nice
@mamahustru6 жыл бұрын
Aafu hao UTT mfuko wa serikali hawana namba ya TTCL?