Wewe ni mtumishi wa Mungu wa kweli katika Kristo Yesu
@rehemamartin4574Ай бұрын
Ameen napokea katika jina la yesu kirsto aliyehai🙏🙏
@AdmiringBeachHammock-qv3nkАй бұрын
Amina nyota yangu nimeipokea Kwa jina la yesu Amina
@stephanosospeter1709Ай бұрын
Namshukuru Mungu sana kwa kunikutanisha na wewe❤
@ThomasMmary-r7wАй бұрын
Barikiwa sana mtumishi 👏
@NABIIWANDOTODreamProphet-nx4dmАй бұрын
Aminaaa asante sanaa
@StanleyJohn-c1uАй бұрын
@@NABIIWANDOTODreamProphet-nx4dm Mungu azidi kukuinua maana ni karama ambayo mwongozo wake ni Mungu pekee ndio akupe na pia inahitaji muda wote mahusiano Yako na Mungu yasiwe mbali Kwa mambo ya kidunia hongera sana.
@BmEdgewoodАй бұрын
Amina mtumishi wa mungu naomba unisaidie uniombee kuhusu nyota yangu eliza
@DanielHope-q5w13 күн бұрын
Asante sana mtumishi, Mungu akuongezee ujuzi mkubwa sana!
@luhambamerere241017 күн бұрын
Barikiwa Sana mtumishi,, Amen
@buhitexmohamed478527 күн бұрын
Barikiwa ssna nabi naomba uniombee❤
@tamariamisi354016 күн бұрын
Amen mtumishi
@jacintamodesta471Ай бұрын
Amen kama vile kwa bibilia inuka na uangaze naomba niangaze kea jina la yesu🙏
@JudithBaremiАй бұрын
Asante mtumishi
@AlafsaKisindaАй бұрын
Ameen sana ubarikiwe sana, nyota yangu imerudi kwa jina la Yesu kristo amen
@emmymatigula4870Ай бұрын
Nakutafuta mtumishi Blessings 🙌
@SamueltajiriKivuyo-pl9dbАй бұрын
Amen 🙏🙏🙏 mtumishi wa mungu ubarikiwe
@MaryPaschal-x2cАй бұрын
Ameni🙏 asantee mtumishi
@Patience7637 күн бұрын
Amina Amina
@MwehuMuganza-z1kАй бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu.
@SofiaUsanje16 күн бұрын
Asantre mtumishi wa mungi kwa sababu nimefunguliwa niko songea na majina yangu sofia musa usanje
@EditherNjamwanoАй бұрын
Amina mtumishi
@StanleyJohn-c1uАй бұрын
Mtumi Mungu amekupa kitu walichopewa watu wachache sana dunia nimesikiliza makala zako karibu zote nitakutafuta one day nina mambo mengi kuhusu uliyoyazungumza Mungu akubariki sana mkuu .
@NABIIWANDOTODreamProphet-nx4dmАй бұрын
Nashukuru sanaaa kwa maneno yako mazuri yananipa nguvu zaidi ya kumtafuta Mungu ili anitumie kwa Viwango zaidi.
@erictekelectronicssolution84826 күн бұрын
Naelewa sana masomo yako
@MugishaDorine-t6z16 күн бұрын
AMEN 🙏🙏🙏
@marymukolwe5137Ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi 👏nimejifunza mengi kupitia kwako mungu akuzidishie🙏🙏🙏
@AdmiringBeachHammock-qv3nkАй бұрын
Ameeen ameeen
@IreneMukadeАй бұрын
Ameen🙏🙏💞 Thank you Good
@Apostolicrestorationmira-xk5ixАй бұрын
Amina Baba naitwa Joyce makao nimkenya mchungaji lakini nahisi baba nyota yangu haipo
@VeronicaMtitaАй бұрын
Amen mtumishi wa mungu
@JoyfridaJanuaryАй бұрын
Amen,nipo Arusha natamani nifike kanisani kwako
@EdithaEdithathadeiswaiАй бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri
@ashuramuhammad8813Ай бұрын
Ameen 11:34
@linetambasa9844Ай бұрын
Pastor pia mimi uniombee aky yangu imexima kabisa venye nakaa nko kwa giza kabisa mpaka naona nimefika mwisho😢😢😢😢
@evarkhanaya7891Ай бұрын
Tafathali mtumishi niombee sina nyota .
@ClaudineIrahozaАй бұрын
Mungu akuzindishiye
@tumpedaudi668129 күн бұрын
AMEN
@JosephDomicianАй бұрын
Ntajuaje kama nina nyota nzuri
@Lawrencemtabazi-f1wАй бұрын
Ameen mtumishi
@TheoristerbulamuАй бұрын
Ameen ntamutafuta mtumushi
@annamagiri-zd9wzАй бұрын
Amen, Mimi nimeshaamshwa mara 2 kusali nikiwa kwenye ndoto hiii inamaana gani
@annethsongwe6063Ай бұрын
Mungu anataka kuongea na ww
@LydiaNasimiyu-h1nАй бұрын
❤❤❤❤❤
@Victoria-bv6xuАй бұрын
Amina💞🙏
@بيلي-غ4زАй бұрын
Amina
@ImakulathaMaliloАй бұрын
Hata Mimi nyota yangu imeibiwa
@HildatBathromeo-q2vАй бұрын
Yupo weng ndugu Yan mm had Leo nyota yangu cjui nitafutie wap
@maglindaanyangoАй бұрын
Amen
@YorandaBonephasАй бұрын
Nikweli wanganga huwa wanaiba nyota zawateja wao yalisha nikuta sintokuja kurudia kwenda kwa mganga kamwe.
@LatifaLachouАй бұрын
Hata mm nashuk kma nimeibia nyta yang mana nikifanya kt hakiwi
@sigitymaiko5986Ай бұрын
Mtumishi umezungumza kuhusu kucha zenye doti nyeupe zina ashiria nini?
@evarkhanaya7891Ай бұрын
🙏
@LatifaLachouАй бұрын
Jee wanisaidia je?
@annamagiri-zd9wzАй бұрын
Na ni kiwa kwenye mahusiano na mwanamme huwa anafanikiwa haraka sn
@اناانت-ص1ث7زАй бұрын
Kanisa lako lipo chanika sehemu gani
@Mwlhanklawa-2Ай бұрын
Chanika NYEBURU Mahali popote unapotokea ikiwa ni nche ya dar es salaam Hakikisha unafika Dar kisha panda gari za chanika Kisha SHUKA KITUO KINAITWA MAGENGE hapo uliza boda boda kanisa la MAHAKAMA YA MUNGU watakuleta hapa Ameen